No video

NILIJUA MTOTO

  Рет қаралды 555,807

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Wenye magari jamani sio kila anaetaka kuvuka barabara ni mtoto mdogo.. Kuweni makini watu wapo na bebe zao...

Пікірлер: 464
@marcowawaghufa8197
@marcowawaghufa8197 9 ай бұрын
najiweza kiuchumi, kiserikali na kichawi😂😂😂
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 9 ай бұрын
😂😂😂
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 9 ай бұрын
Mm wa mwisho maana kila mtu wa kwanza utadhan mnalipwa😂😂😂
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 9 ай бұрын
Yani huwa nakereka.😬😬
@Mummy452
@Mummy452 9 ай бұрын
Waviona na ww dada utadhan wanlipwa million 😅😅😅😅😅
@thomascharles8535
@thomascharles8535 9 ай бұрын
Umeitisxha
@danielbihuzu2365
@danielbihuzu2365 9 ай бұрын
Basi wewe ulipwe 😂😂
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 9 ай бұрын
@@danielbihuzu2365 😄😄😄
@musakaphu4581
@musakaphu4581 9 ай бұрын
Najiweza saana kiuchumi,kiserekali na kiuchawi pia 😂😂
@halimamohamed5327
@halimamohamed5327 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BenardIsmail
@BenardIsmail 9 ай бұрын
Kakomaaa😂
@frankbujiku9496
@frankbujiku9496 9 ай бұрын
Joti ni mfupi kakutana na wafupi haris wanaukoo wake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 9 ай бұрын
Wenye magari wengi sana wanazo dharau kwa watu wasiowafahamu
@nancembaga43
@nancembaga43 9 ай бұрын
Raha ya joti hana dharau unaigiza na kila mtu na ndomana nyota yako haipoi❤
@dianerditto
@dianerditto 9 ай бұрын
Hatimae joti kakutana na wafupi yeye ndio mrefu basi hapo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HassanMohamed-vs4re
@HassanMohamed-vs4re 9 ай бұрын
Naomba like zenu wa kwanza mimi
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 9 ай бұрын
Yaan huyu jamaa ana bahati kuitwa mwanafunzi mmetishaaa fanya nao nyingi zitaendaaaaa saaana
@adandida5727
@adandida5727 9 ай бұрын
Kumbe we braza 😂😂 sijakuanngalia vizuri
@zainabthomas6960
@zainabthomas6960 9 ай бұрын
Jot umezingua unapigwaje na watu wafupi😂😂
@visionstudios6804
@visionstudios6804 8 ай бұрын
Sijapenda
@fatumasophu5855
@fatumasophu5855 9 ай бұрын
Nimeanza kucheka kablaa jotii jotii jotii❤❤❤
@zeynaaly1948
@zeynaaly1948 9 ай бұрын
🤣🤣 Mr. Mtombagile Kitwango chukua zawadi zako🍇🍇🍍🌶
@paskomilesjohn5892
@paskomilesjohn5892 9 ай бұрын
Daah anafanana na millad Ayo
@RichardvShengoto
@RichardvShengoto 18 күн бұрын
Mimi wa kwanza ndo nini acheni ushamba mnalipwa au kila mtu mimi wa kwanza duh😅😅😅
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 9 ай бұрын
Najiweza kiuchumi kiserikali na kiuchawi ...Joti Fala sana
@evanssichalwe1716
@evanssichalwe1716 9 ай бұрын
Sema mpiga picha kapata tabu sana akizumu hawapati inapidi awapige kwa mbali😅😅😅😅
@barakaelkaaya40
@barakaelkaaya40 9 ай бұрын
Mbona Hana chupa ya maziwa??😂😂❤❤❤love sanaa joti
@starjay3052
@starjay3052 9 ай бұрын
anasoma kijijini mjini mbona kama kakomaa 😁😁🤣🤣
@kachabisnea8815
@kachabisnea8815 9 ай бұрын
Dah eti mbona kakomaa hivi anasoma la ngapi😊😅😂😂
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 9 ай бұрын
😂😂😂 joti kakutana na kina sele sasa
@blackpanther4825
@blackpanther4825 9 ай бұрын
Nishai kama harakati za Pimbi kitambo gazeti la Sani. Harakati hazifanikiwi siku zote 😂😂😂
@Boaz22
@Boaz22 9 ай бұрын
Wakwanza hapa,gonga like kama unamkubali joti 😂
@RuniHaruna
@RuniHaruna 9 ай бұрын
Joti noma
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc 9 ай бұрын
Mbona dar wamekuwa wengi jamani zamani tulikuwa tunawaona kwa harusi mabele wakicheza mziki🤣🤣🤣
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 9 ай бұрын
Joti 🤣🤣 leo kakutan na rafik zake pamoj n Gari wote wamefanan
@davidnchoji
@davidnchoji 9 ай бұрын
Daah asee noma sana Joti we ni mwehu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@clodoaldusrutakangwa2702
@clodoaldusrutakangwa2702 9 ай бұрын
Leo wa kwanza nipe like zangu🔥💪
@user-vw5gy9mv6r
@user-vw5gy9mv6r 9 ай бұрын
😂😂😂anasoma kijijini au mjini mbon km kakomaa joti fala sanaaa
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 9 ай бұрын
Jotiii never disappoint Bro 😂😂😂😂
@erickmidomsodock8716
@erickmidomsodock8716 9 ай бұрын
From Japan and I love you YANGA bingwa 😃
@mayaally2512
@mayaally2512 9 ай бұрын
Kesho tunawajaza mashine😅😅
@amanchuphichuphi4725
@amanchuphichuphi4725 9 ай бұрын
M pia wa kwanza
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 4 ай бұрын
Rahaaaaaaa joti unajiamin kiserikali, kiuchum a kiuchawi🔥🔥🔥
@YoungblackPeople-qf7vx
@YoungblackPeople-qf7vx 9 ай бұрын
Mimi sitaki like mana kila mtu nipeni like zangu kama mme wapa bando
@user-md5cj8wh4x
@user-md5cj8wh4x 9 ай бұрын
❤ nakupenda San joti
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 9 ай бұрын
Uwii huyu joti hivi anaitwa baba nan vile🤣🤣🤣🤣
@kitomarijames3507
@kitomarijames3507 9 ай бұрын
Mimi wa Kwanza ila Bado sijaangalia weka like nipate chai nitarudi baadae
@babusharo
@babusharo 9 ай бұрын
mambo vp😢😮😮
@salvinhosn3916
@salvinhosn3916 9 ай бұрын
...kiuchumi, kiserikali na kiuchawi....he pulled out the Platinumz banter....😂
@Mgala_jr
@Mgala_jr 9 ай бұрын
Et najiweza kiuchumi, kiserikali na kiuchawi 😂😂😂
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 9 ай бұрын
Hahaha 😂😂 unyama mwingi joti
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 9 ай бұрын
Mhubiri 12:1 Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo.
@Makala360
@Makala360 9 ай бұрын
Katombwe huko ww nn kuma ww mwenzako anachekesha hajamaanisha matako ww
@michaelramadhan9466
@michaelramadhan9466 9 ай бұрын
@@Makala360 kwani Mimi nimemtaja jina..? Ukiona mpaka unatukana ujue Kuna shida namna umelelewa kwenu
@Jaydannychawaboy.
@Jaydannychawaboy. 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 eti huna wazi weeee naijua hio 😢😢😢😂😂😂😂❤❤❤❤
@rahimally3898
@rahimally3898 9 ай бұрын
Kumbe familiaaaa
@idrissaissa5607
@idrissaissa5607 9 ай бұрын
Joti kaya timba😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vediantazvedastus6107
@vediantazvedastus6107 6 ай бұрын
🤣kumbe familia...najiweza kiuchumi kiuchawi na kiserikal
@salim4919
@salim4919 9 ай бұрын
Furaha ya mtu mfupi ni kumuona mfupi kuliko Yeye 😂😂😂
@petermanala6138
@petermanala6138 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂nimekuelewa
@ozilxhaka2431
@ozilxhaka2431 9 ай бұрын
Good Job mr Joti With Your Team
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 9 ай бұрын
Wa kwanza jot peke yake alietunga hiis story nyie wengine hamjaitwa hd mjitambukishe wa kwanza n kuomba like mm simpi mtu like yangu zaid y jot peke yako mnakera sana
@kanikisomanda578
@kanikisomanda578 9 ай бұрын
😅😅 mm nakukubali sana mwamba joti ww kiboko Chao, mm na chamq langu tuko pa1 naww
@japhetlust5050
@japhetlust5050 9 ай бұрын
Hapo kwenye kiuchawi mi 😂😂😂
@jamesndonde
@jamesndonde 9 ай бұрын
Mrishoooooooo blazaa katisha sana nice acting
@GidionKasenene-kc3yx
@GidionKasenene-kc3yx 9 ай бұрын
Wakwanza naomba like zangu
@mejoomejoo-vl2vi
@mejoomejoo-vl2vi 9 ай бұрын
Joti respect 😂😂
@user-fl7yd2st5b
@user-fl7yd2st5b 3 ай бұрын
Ila joti kwahy anajiona mrefu yeye😂😂😂😂
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 9 ай бұрын
😂😂😂 Never disappoint jotiiii😂😂😂😂😅
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 9 ай бұрын
Dorris wajua kweli kumbananisha Nishai.😂😂
@bboynickyy
@bboynickyy 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 uyo mwamba amekomaaa 😂😂😂 mpaka makalio 😂😂😂
@user-im7nb4ld1i
@user-im7nb4ld1i 9 ай бұрын
Woiii nampenda Sana huyu joti, hajawai kuniacha nisicheke jamani
@alidingongo443
@alidingongo443 9 ай бұрын
Alijua mshikaji kumbe bloo 😂😂😂
@gama_liely
@gama_liely 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂daah
@maherzain615
@maherzain615 9 ай бұрын
Kumbe familia😂😂😂😂
@collinsbella8360
@collinsbella8360 9 ай бұрын
Kiuchumi, kiserikali na ki uchawi... Ila joti.....😂😂😂😂😂😂
@wadhifatv8827
@wadhifatv8827 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂nikecheka asubuhi hii leo nitapata pesa naona mbavu zote zimefunguka
@dullabadeco2681
@dullabadeco2681 9 ай бұрын
Joti noma
@Influvesselstz
@Influvesselstz 9 ай бұрын
Nasubiri wale wanaocoment.. "Joti never disappoint" 😂
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣nawewe mfukunyuku daaa!
@mathiasshayo6348
@mathiasshayo6348 9 ай бұрын
Mi nasubiri wale wanaosema "siku yangu ndo imeisha hivyo sina stress"
@user-lu8gt1bi2g
@user-lu8gt1bi2g 25 күн бұрын
Ety me mwenyew cho mrefu😂😂😂
@user-rk9tu1il5r
@user-rk9tu1il5r 9 ай бұрын
Nan kasikia watagongwaa😂😂
@harryvice77
@harryvice77 9 ай бұрын
Hahahaha kumbe familia 😂😂😂😂
@Roby_Tz
@Roby_Tz 9 ай бұрын
Hahahahaha😂😂😂😂 kak nipe ujuzi
@AloyceMathayo
@AloyceMathayo 9 ай бұрын
Joti on fire 🔥🔥🔥😂😂😂
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 9 ай бұрын
Chuchumaa mtu anapiga magoti si dharau zingine kusimama tena notatizo😂😂😂😂😂😂
@SalumJumanne-zk8ei
@SalumJumanne-zk8ei 9 ай бұрын
Hahahaa mbona ananiangalia hvyo
@farsydickson3073
@farsydickson3073 9 ай бұрын
Wa kwanza nipeni like
@user-pc2ow8rb8z
@user-pc2ow8rb8z 9 ай бұрын
😂😂 asee Nishai bhana
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 9 ай бұрын
watanzania wanapenda usingzi weee
@muddytv1513
@muddytv1513 9 ай бұрын
Wa kwanza na mliotangulia naombeni ushuru
@benOfficial36
@benOfficial36 9 ай бұрын
Mtoto😂😂 Ila joti bhana,, Mm sigombanii namba moja wala wa mwisho😂😂 Kikubwa nimeona🎉🎉
@Elijahkha
@Elijahkha 9 ай бұрын
Wa kwanzaaaaaa joti alipwe na you tube tu
@edsonatupele9331
@edsonatupele9331 9 ай бұрын
😂😂 Nishai kitwangoo
@user-xl4zf8gi2i
@user-xl4zf8gi2i 9 ай бұрын
Nakubal sana kaka jot
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 9 ай бұрын
Najiweza kiuchumi, kiserikali na kiuchawi😂😂😂
@shigojust3313
@shigojust3313 9 ай бұрын
Leo wa kumi Like nyingi toka Mwanza
@user-fs7hl6vg2p
@user-fs7hl6vg2p 9 ай бұрын
❤😂🎉😢😮😅😊 umetishaass mwamba jotiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiuuuuuiiiiiii
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 9 ай бұрын
Vinapiga mabao Km mabis yanavyo iva😅
@nemesisumbe6840
@nemesisumbe6840 9 ай бұрын
Watu wanawahi san na kabaridi haka hawalali😅😅😅😅
@seifmmaka5961
@seifmmaka5961 9 ай бұрын
Joti 🔥🔥🔥
@eddygonza891
@eddygonza891 9 ай бұрын
kumbe Familia😂😂😂😂😂😂😂
@habibhamza9766
@habibhamza9766 9 ай бұрын
Nahisi jina lilikua liwe “kumbe familia”😅
@ibrahimwali4457
@ibrahimwali4457 9 ай бұрын
Mtoto alie komaa anasomea almashauri 😂
@kanikisomanda578
@kanikisomanda578 9 ай бұрын
😅😅 Leo kasahau kuwa Kuna mitwango mitombangile Leo kaingia chama cha Wana 😅😅😅😅😅
@rabanmsumbwamwendokasi597
@rabanmsumbwamwendokasi597 8 ай бұрын
Nyieee joti nikichaaaa😂😂😂 huyo mtoto sijui nayeye hana.mdomo😂😂😂 joti umeyatimba😅😅😅😅😅
@boazambokile2587
@boazambokile2587 9 ай бұрын
😅😅😅😅😅 et naniweze kiuchumi kiserikali kichawi
@reginajustini5271
@reginajustini5271 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mhhh joti hatariiiii
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂joti nyonga baskeli 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
@laurencematitah7046
@laurencematitah7046 9 ай бұрын
Hahahhah Nishai Leo kayakanyaga
@kibombi
@kibombi 9 ай бұрын
Nishai mtombangile kitwango mikazo miguno
@user-lb8zg6gx5z
@user-lb8zg6gx5z 9 ай бұрын
Ufupi sio ugonjwa😅😅😅😅😅
@FRANKKALANDA
@FRANKKALANDA 9 ай бұрын
Sijawahi mpo faster😂😂😂😂😂
@abdillahsalim1623
@abdillahsalim1623 9 ай бұрын
Joti the real legend ❤
@user-gj1ct7bj5v
@user-gj1ct7bj5v 7 ай бұрын
Uyu sio seleman kweli😂
@zicomgravity4897
@zicomgravity4897 9 ай бұрын
Mrisho.
@laurentwailes3557
@laurentwailes3557 9 ай бұрын
Daaaaah joti fala sana
SIO MTOTO
8:07
Joti TV
Рет қаралды 221 М.
MAMA MDOGO
10:58
Joti TV
Рет қаралды 286 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 26 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 213 М.
SIO BABA YANGU.
19:08
Maxmillian Nammangu
Рет қаралды 704
UTACHEKA!  RINGO NA TIN WHITE WAMEYATIMBA
10:46
Ringo Sabufa
Рет қаралды 345 М.
MGANGA MMBEA
9:33
Joti TV
Рет қаралды 576 М.
KAMA MWALIMU
9:09
Joti TV
Рет қаралды 874 М.
LEONARDO ALIVYO CHUANA NA JOLMASTER
9:00
Cheka tu
Рет қаралды 622 М.
MTANGA NA BAMBO ,WAUZA MISHKAKI YA NYAU ,HII KIBOKO KABISA
6:38
MTANGA COMEDY TZ
Рет қаралды 623 М.
HELA YANGU YA MCHEZO
9:23
Joti TV
Рет қаралды 486 М.
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН