Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:- Facebook : / gospeltvshow Instagram : / chomozanews KZfaq : kzfaq.info?su... #ChomozaTv#2021
Пікірлер: 37
@elizabethanthony82733 жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo zahuyu kaka Hasa akiimba kwa kunena kwa luga mpaka nywele zinasisimka mungu amtunze amen
@wycliffzedeck92093 жыл бұрын
Huwa napenda kufatilia uimbaji wa live wa watumishi mbalimbali, kupitia hilo kuna jambo kubwa sana nilijifunza, kwamba waibaji wengi wanatengeneza mashabiki wa Yesu na sio real christ followers(wafuasi halisi wa Yesu). But you Boaz Dankeni you have been so much to blessed kwa sabab unatengeneza wafuasi wa Yesu. Mungu akubariki.
@estherwilliam51252 жыл бұрын
Na Mwimbaji Abiud Misholi tunahitaji interview yake Chomoza🙏🏽
@rechomethod82882 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka Brazil nyimbo zako zilenaleta uwepo wa mungu
@estershija899 Жыл бұрын
Napenda sana huduma yako..namuona mungu kwa viwango akiniinua kupitia huduma yako
@daudidaniel83563 жыл бұрын
Hekima ya Mungu iendelee kukaa ndani yako
@christinephilip50436 ай бұрын
Bwana akuinue brother boaz u'r so humble
@arnoldgerson92803 жыл бұрын
Napenda unyenyekevu wako Duncan, Mungu akuinue viwango vya juu sana uwafikie wasiofikiwa
@fortunatusdigamile493 жыл бұрын
Ananibarki sanaaa huyu boaz dunken Mungu akusaidie baba ameeen
@dorcascasrlos3 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana'a kaka Boaz,, Mungu akuinuee zaidii
@magrethsimtenda9263 жыл бұрын
MUNGU akuinue zaidi Mtumishi
@meshackmeleck8343 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu huduma yako ya uimbaji isonge mbele
@micracyrbukulu81417 ай бұрын
Mungu akubariki SANA
@liberathachizenga21552 жыл бұрын
Kuheshimu madhabahu ya nyumban kwetu
@rafikimjukuu48002 жыл бұрын
Boaz mungu akubaliki penda sana unyenyekevu wako kaka
@joycenuhu15663 жыл бұрын
Nabarikiwa na wewe sana kaka Boaz maongezi yako tu yana upako wa Mungu
@isayamwalukosya97123 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine kaka boaz
@wycliffzedeck92093 жыл бұрын
Wewe ni sabab ya mimi kuudumiwa na kuanza kunena kwa lugha mpya siku moja katika concert at UDOM....
@happychonde34513 жыл бұрын
Hata mimi pia tareh 28/11/2019, Chimwaga
@jicholafursa70583 жыл бұрын
Jimmy kumbe ukitulia unakuwa on fire praise God unakipaji
@yusuphmkisinza66232 жыл бұрын
Boaz umbarikiwe
@oronievewegesa68512 жыл бұрын
Am inspired
@liberathachizenga21552 жыл бұрын
Hallelujah... Watarejea
@pendosenya2509 Жыл бұрын
Such a humble man
@reginaemanuel89943 жыл бұрын
Yaani Mungu aendelee kumuinua Kaka yetu
@suzanaemanuel36213 жыл бұрын
Mungu akubariki Boaz
@preciousmunuo1422 жыл бұрын
Na sisi tunatamani nyimbo za ibada
@miriammollel17552 жыл бұрын
SIFA NA UTUKUFU NI KWA YESU.
@mariammwaipopo94413 жыл бұрын
Barikiwa Sana Kaka wa mimi
@kiremah2 жыл бұрын
Humble man, yet anointed.
@marthagrayson81402 жыл бұрын
Be blessed Boaz danken .amen
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Hongera sana bro
@neemajulius12563 жыл бұрын
Amina
@user-rk8yk7re1b2 ай бұрын
Kaka umepambana
@lionofjudahtv87963 жыл бұрын
Ndiyo maana
@isaacmueke8179 Жыл бұрын
@joyce Kitonga
@SubilagaKabango-bu8tu Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Boaz Sunken Ubarikiwe sana! Uimbaji wako sio wakawaida!( Biblia,Kitabu cha Zaburi ya 40:1-5 KWA jina la yesu Kristo wa Nazareth)