No video

NILITOROKA KWENDA AFRIKA KUSINI:BIASHARA YA MADAWA/MAUAJI YA KUTISHA, (S02EP06-PART 03)

  Рет қаралды 16,187

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

#Mbanga #StoriYangu #Dupamdupange
Ni kumbukumbu za maisha ya kijana wa kitanzania, akitoroka nyumbani kwao Tanzania na kuingia nchini Afrika kusini kwa lengo la kujitafutia maisha, anakutana na mikasa ya kutisha karibu utazame hii ni MBANGA.....
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 39
@user-rj5zc1gm7l
@user-rj5zc1gm7l 4 ай бұрын
Napenda elimu inapatikana hapa
@joelmwanza6009
@joelmwanza6009 11 ай бұрын
Dogo ni msimulizi mzuri. Story yake ina mlolongo ulionyooka!
@evancemayala1576
@evancemayala1576 2 жыл бұрын
The best story ever ❤
@Abbasbakarsth
@Abbasbakarsth 8 күн бұрын
Kwel jamaa kazungumza ukwel mzee tunapitia mengi huku ughaibuni ila watu waelewe jamani huku ughaibun maisha yko tight sana
@davidochieng7055
@davidochieng7055 2 жыл бұрын
pamoja sana mkuu
@theaccuracy0145
@theaccuracy0145 2 жыл бұрын
Nilikuwa naisubiria sana hii Brother Dupa
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Dah atimae 🔥🔥🔥🔥
@nikyhassan9394
@nikyhassan9394 2 жыл бұрын
Safi sana bro dumpa.... kip it up broo.
@abdulmajidmohammed2059
@abdulmajidmohammed2059 2 жыл бұрын
Hapo kwa kazi ni kweli
@innocentrichard9316
@innocentrichard9316 2 жыл бұрын
big up man dupa..mzee wa kuchechemua
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 2 жыл бұрын
Apo safi broo
@modricnoma3686
@modricnoma3686 2 жыл бұрын
Huyu mbona kama ana simulia story aliyo hadithiwa 😁😁
@jacktarimo8213
@jacktarimo8213 2 жыл бұрын
Achausengeee
@modricnoma3686
@modricnoma3686 2 жыл бұрын
@@jacktarimo8213 wewee mtoto choko nini unataka kufirwa eeeh
@princessmyoii
@princessmyoii 6 ай бұрын
Dupa Naomba Jitahidi story żako uzimalizie maana nimegundua nyingi hazina mwisho wake Please malizia mdau canada 🇨🇦
@alexandermilanzi9860
@alexandermilanzi9860 2 жыл бұрын
Huyu jamaa msela.... Ila ana akili kinyamaaaa
@abdultimoc4625
@abdultimoc4625 Жыл бұрын
Big up san broo
@HassanHassan-si2rt
@HassanHassan-si2rt 2 жыл бұрын
Oya brother dupa apo mweshoni umezingua mzee, Mshikaji alitaka kutugea namba ujue, Sema nn Wana kibao hatujapenda io Next time jirekebishe mzee
@AhmedAli-oq4km
@AhmedAli-oq4km Жыл бұрын
Kwani uongo
@josephmay4260
@josephmay4260 8 ай бұрын
jamaa maisha kashindwa sbb ya usela
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 жыл бұрын
Mwishoni kaongea vitu vya maana sana.
@adamabui6121
@adamabui6121 Жыл бұрын
Boys unaongea umetulia super mjombaaa
@hassanisalimpulo2223
@hassanisalimpulo2223 22 күн бұрын
DOGO KAONGEA UKWELI SEMA JORBUG NDIO KUNA UBAYA UBWELA WOTE
@bobboris4859
@bobboris4859 2 жыл бұрын
Dupa unalaza kutuletea story
@farouqsilvester9918
@farouqsilvester9918 2 жыл бұрын
South African bule kutibiwa Hospitall za serikali…. Ugonjwa wowote ule hata operation unafanyiwa bule
@GIVEN994
@GIVEN994 2 жыл бұрын
Anakuwasha unawaka dupa buana hahahaahaha
@nicolomakavelli7506
@nicolomakavelli7506 2 жыл бұрын
Ughaibuni story za warembo sare tu
@samirakiango957
@samirakiango957 Жыл бұрын
Husein alikamatwa na wauza ngada wenzao waka kakamatwaa
@kizengawani5868
@kizengawani5868 Жыл бұрын
Brazamen umeadisiw ujawai kuingia pande izi acha kuchalazia next time utakufa kibudu
@davidanselmo4041
@davidanselmo4041 2 ай бұрын
Acha kutisha watu wewe sadali south sio wote washenzi wengine tunapiga mishe zetu na mambo yanaenda😅
@sirajbakari104
@sirajbakari104 Жыл бұрын
Du sio poa
@bakarikitatile4853
@bakarikitatile4853 2 жыл бұрын
Muwaambie na migration watoe passports kwa wananchi bila rushwa
@jacktarimo8213
@jacktarimo8213 2 жыл бұрын
Namba 😂😂🤣🤣
@azizipispo5522
@azizipispo5522 2 жыл бұрын
Mbona anajing'atang'ata au sio kweli?
@user-gw6zg5yx9e
@user-gw6zg5yx9e 11 ай бұрын
Uyujamaa kunamengine anayaongea vizur ilamengine anachomekea kama kuusukubebabange kwenyechupa nakupelekamkoa mwengine kadanganya
@sirajbakari104
@sirajbakari104 Жыл бұрын
Du sio poa
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 7 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 21 МЛН
JAMBAZI ALIYETOROKA GEREZANI ASIMULIA: ALIKUFA/NIKAMCHOMA KISU.
21:53
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 7 МЛН