Tutazingatia hayo ili mradi tuepuke nayo inshallah
@aminaramadhani69692 жыл бұрын
Ma shaallah tabaraka Allah
@banihashim53472 жыл бұрын
Umependeza Shekheee🤣
@aminaramadhani69692 жыл бұрын
Warekum msalam waramatullah wabarakatu sheikh
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Walayka salamu warahmatullah
@mahmoodalghefeili53702 жыл бұрын
Mhhhhhh Mungu atuepushe
@maryanmohamed36152 жыл бұрын
Assalamualaikum sheikh 🥰 Niko na swauli moja je mm nampendwa san mwanaume lkn yy amesema tukutane kwa hotel na mm sio mke wake lkn mmi nilimwambia tufunge ndoa kama kosa yoyote itatokea Kati yetu asiwe itatuletea dhambi n yeye amesema tutafunga ndoa siku mbili na hio siku ikiisha tutaachana je ni sahihi watu wakiowana siku mbili na wakiachan bila kufanya zinaa plzz