Waambie ustadh waelewe kina bachu ni ushindani tu hana analo lijuwa wala usijitie taabu kushindana na bachu.bachu husoma kwa computer
@ShaibMahindaАй бұрын
Mjo zanzibar mm nitakuwa mwenyeji wako mjo
@ismailhassan5209Ай бұрын
Bachu hawezi kupanda juu ya Izudini
@ShaibMahindaАй бұрын
Nakukubali mku
@ShaibMahindaАй бұрын
Ok
@seifmasoud3061Ай бұрын
Huyo Muhammed kesha masalafi wenziwe washamtoa thamani kumwita Muhammed kichwa kitupu hana elimu.itakua cc watu Ahlul sunna waljamaa
@seifmasoud3061Ай бұрын
Shekh huyo hakupati hata kwa ukucha hugo Kesha saidi kashamvuruga Hama kitu shekh izuddiin endelea na daawa zako tu
@hassanmohamedabdalla4108Ай бұрын
Taarifa ya Arafa je umefunga siku yarafa au amefunga mwezi tisa wa dil hija? أما المراد بعرفة في الاصطلاح: فهي عرفات وعرفة؛ المكان الذي يؤدي فيه الحجاج ركن الحج وهو الوقوف بها. والمراد من الوقوف بعرفة: وجود الحاج في أرض عرفة بالشروط والأحكام المقررة ([6]) ([1])المصباح المنير في غريب الشرح الكبير (ك العين) . (([2]ينظر لسان العرب (9-242)، القاموس المحيط (1-1080)، مختار الصحاح للرازي ص376 ([3])التحرير والتنوير (2-238) ([4]) التفسير الكبير (5-173) ([5]) الكشاف (1-264) ([6]) الموسوعة الفقهية (17- ؟ )
mimi ninakujibu,wewe upo mombasa na mombasa na saudia matlai zao ni moja!!habari ya eti Australia? austarilia wana masheikh zao,watachukuwa fatawa kwao!! wewe wasemee watu wa mwembe tayari!! Kwani mwembe tayari mpo Australia?
@MauroZaratte-r4r14 күн бұрын
Iyo kwmba Kenya ama nchi yyote ifate saudia iyo fatwa umeichukua wpi wacheni ujahili wa kiwahabi
@hamzakimaro3764Ай бұрын
wapiii?izudini huna uwezo wa kufanya mnakasha na mohamed bachu?
@fauznuhu9981Ай бұрын
Ndiyo kwa sababu huoni mchindani izudini ni mwadilifu
@fauznuhu9981Ай бұрын
Bashu mbishi wapi nawapi na izudini yeye ni meadilifu
@karimdaud3993Ай бұрын
Wacha uchepe wee huyu IZUDIN anaradhi sio kama weee na bachu