Njombe wabuni mbinu ya nyuki chakula na maji

  Рет қаралды 19,156

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Baadhi ya wafugaji wa nyuki mkoani Njombe wameweka mipango ya kuhakikisha wanapata makundi mengi ya nyuki na kuzuia waliomo kwenye mizinga wasitoke kwa kuzingatia utaratibu wa kuwawekea chakula na maji ili waendelee kuishi mahali hapo.

Пікірлер: 11
@semanasitv8303
@semanasitv8303 5 жыл бұрын
safi sana
@nkubhagana-nafco5477
@nkubhagana-nafco5477 11 ай бұрын
Nimevutiwa sana na manzuki yenu, hongereni sana, ila swali yangu ni kutaka kujua hiyo pumba ni chakula ya nyuki au malighafi ya kutengeneza chakula ya nyuki, halafu unamzuia nyuki asitoke kwenye mzinga au asihame, pia kwa uelewa wangu mdogo nyuki huchakata asali kwa kutokana na nekta, je pumba hizo pia humuwezesha nyuki kuchakata asali?
@albeez1844
@albeez1844 5 жыл бұрын
bg up
@johnmsalluka7530
@johnmsalluka7530 3 жыл бұрын
Habari napenda kujifunza ufugaji wa nyuki elimu naipata wapi?
@shirazmdimu7615
@shirazmdimu7615 3 жыл бұрын
Naomba namba ya huyu mfugaji ili anielimeshe zaidi hata mimi ni mfugaji wa nyuki
@charlestafsiri9846
@charlestafsiri9846 Жыл бұрын
namba
@4theloveofbees
@4theloveofbees 4 жыл бұрын
Chakula gani hio mnalisha?
@MrSidi1970
@MrSidi1970 4 жыл бұрын
Pumba
@martinmayende1897
@martinmayende1897 3 жыл бұрын
@@MrSidi1970 Pumba hutoka kwa kitu gani? Naulizia kutoka Kenya
@mangichomola603
@mangichomola603 2 жыл бұрын
@@martinmayende1897 nafaka(cereals) ikitolewa maganda, sasa ile dust yake ndiyo pumba. Na hiyo hapo ni ya mahindi
@benadomgaya8769
@benadomgaya8769 2 жыл бұрын
Mkuu Naomba msaada namba yako
Mkulima I Ujenzi wa Mizinga ya Nyuki ya Kisasa
14:58
KBC Channel 1 TV Shows
Рет қаралды 634
Vidokezo vya ufugaji nyuki Kenya - Maisha Kilimo
19:50
FarmKenya
Рет қаралды 4,7 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 69 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 51 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 5 МЛН
Honls' Honey Extraction
15:13
Minnesota Honey Producers Association
Рет қаралды 1,8 МЛН
Making honey in Ethiopia
3:08
Oxfam GB
Рет қаралды 14 М.
Reaping big from honey bees (Part 2) | SEEDS OF GOLD
28:53
NTVUganda
Рет қаралды 31 М.
Building hives and a Beekeeping equipments guide
28:02
FarmKenya
Рет қаралды 6 М.
Kilimo Biashara | Wafugaji wa nyuki wamerejelea mizinga ya kitamaduni
3:12
How to be a successful Beekeeper - Prof Miriam Kindiki
23:31
FarmKenya
Рет қаралды 73 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН