NONDO ZA Pro MAZINGE KWA KAFIRI NDACHA KUTOKA KENYA

  Рет қаралды 29,232

arkas online tv

Жыл бұрын

USISAHAU KU SUBSCRIBE

Пікірлер: 73
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Love Muslim 💓 mazing mungu akuzidishie umri Kwa elimu yako
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Жыл бұрын
Ndacha ubarikiwe una kazi ngumu kuwaelemisha hawa watu maana yamefichwa machoni pao
@washonsankau7442
@washonsankau7442 Жыл бұрын
Huyo Mazinge hana ualimu bali ni mchekesheji tu.
@ramazecha2877
@ramazecha2877 Жыл бұрын
Kafiri ndcaha hana hoja
@SwaahibulMakaan
@SwaahibulMakaan 16 күн бұрын
Ndacha kaumbuka amna kitu kabisa
@mamawamoya3344
@mamawamoya3344 Жыл бұрын
Ma sha Allah, kila kitu kiko wazi kwenye biblia ,kuelewa tu
@danielmwita1989
@danielmwita1989 Жыл бұрын
Ndacha kazi nzuri
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Mwenye kupost mbn umemwambia Ndacha kua nikafri?? Na ndo kiboko yenu💪💪 Ndacha Mungu azidi kukupa nguvu, waislmu msikimbilie takbriiii, malizeni kwa vifungu vya Bibilia.
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana Ndacha umejibu vyema
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 8 ай бұрын
Lohhh mazinge amemfanya Ndacha umbwa katika bibilia 😂😂 kweli ni professor
@rbagha5280
@rbagha5280 Жыл бұрын
A MAZING MAZING e. Mazinge is truly a legend. May God Bless him. He speaks the truth. I pray he will unite our noble brothers and Sisters in Christianity and Muslims to worship only ONE GOD. We are all monotheists. Christians are monotheists as well. Monotheism means to worship only ONE GOD. You really do not want Jesus (Peace be upon him) to reject your worship to him. We may love Jesus, but we must obey his direction to worship the Father In Heaven. We are all the children, or creations, of the ONE CREATOR. Let us be TRUE monotheists. Not a mixture of two in one, three in one, and other designs that humans concoct. God bless. From Canada, peace be on you all. Ray B.
@SwaahibulMakaan
@SwaahibulMakaan 16 күн бұрын
Kafiri ndacha amna kitu kaangushwa
@rubbenjohn9451
@rubbenjohn9451 11 ай бұрын
Ndacha we ni kiboko
@rubbenjohn9451
@rubbenjohn9451 11 ай бұрын
Mazinge hamuwezi ndacha hahahahahhahahah
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 Жыл бұрын
Mazinge hamna kitu yaani aibu 🤔🤔🤔
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu 10 ай бұрын
Wakirsto hawana jipya
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
ukimuwekea kitu ndacha anachomeka tu🤣😂🤣😂🤣😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Жыл бұрын
Ndacha hongera Kafiri Mazinge ameshapata dawa yake amebaki na hoja za kizamani 🤣🎼
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Ila hizi debate zinazo andaliwa na waislamu ziko na upendeleo mkubwa sana haiwezekani haiwezekani mkutano ukiisha anapanda jukwani muislamu kuongeza vionjo halafu mKiristo hapewi nafasi ya kumalizia vionjo kama anavyopewa mazinge huo ni uhuni waislamu wanafanya uhuni na janjajanja kwenye debate kuhusu utaratibu wa debate ni kwamba muanzisha mada kama ni mkristo atatumia dk 20 anakuja muislamu kujibu baada ya hapo zinakuja dk kumi kumi za ufafanuzi kwa kila upande wa imani kisha yanakuja maswali dk 3 kwa muulizaji dk 5 kwa anae jibu baada ya hapo mkutano unatakiwa ufungwe na wenyeviti wa pande zote mbili... siyo tena jukwani anapanda mazinge kuchombeza na waislamu wake halafu ndacha haruhusiwi kupanda kuongea na wakiristo wake hiyo siyo fear ni uhuni unatendeka ionekane wakiristo wameshindwa na hii inawafanya waislamu ambao tayar wameijua kweli wanataka kuokoka wanashindwa kubatizwa kwasababu ya hao kina mazinge kupanda jukwani kuongea na waislamu wakati mkutano umeisha
@petergoyandi5699
@petergoyandi5699 Жыл бұрын
Kakubali mtume wao kalogwa Ndacha elemisha watu hawa wamjuao yesu kua ni mwana wa mariam
@jacklinekhatenje
@jacklinekhatenje Жыл бұрын
Mbona mwaogopa kupeana full nmapeana Tu ya kafiri mazinge simueke yote tuamini ukweli. Mbona mnakata na video ilikuwa full . Weka tupime.side zote mwaogopa
@kennah03m
@kennah03m Жыл бұрын
Imekatwaa😅😅
@ibrahimkusaga9141
@ibrahimkusaga9141 Жыл бұрын
Mazinge hajui kujibu maswali.
@kivurugaramadhan6923
@kivurugaramadhan6923 Жыл бұрын
W
@AllyGrefier-ee2yq
@AllyGrefier-ee2yq 7 ай бұрын
Prof ata muhuwa ndacha manzinge ni mwanaume
@ludovickmutalemwa7387
@ludovickmutalemwa7387 Жыл бұрын
Naona hadi wameandika eti Ndacha kafiri. Je kati yenu waisilamu wapinga kristo na Ndacha nan ni khafir. Mmepotea mohamad hana makao anaisubiria jehanam
@shaikhabudallahgathaffi7611
@shaikhabudallahgathaffi7611 Жыл бұрын
mashaa Allah
@legend9805
@legend9805 Жыл бұрын
Hamuwezi kuwashinda waislamu kwa hekima na elimu
@josephmchila6467
@josephmchila6467 Жыл бұрын
Ndacha ni kichwa know, mazinge na vikaratasi mkononi,ndacha kichwa tuuuu,
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
😂😂😂
@threebrothers..
@threebrothers.. Жыл бұрын
Waisilamu wanafuata maiti muhamadi mwanadamu,fuateni yesu,,,waisilamu ni kafiri
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Жыл бұрын
Ndacha amejibu Sawa kabisa
@joachim5650
@joachim5650 Жыл бұрын
Ndacha anaupiga mwingi... Barikiwa lazima waelewee hawaaa ila muandishi usimuite ndacha kafiri
@user-tw1xd9ok4h
@user-tw1xd9ok4h Жыл бұрын
Ndacha wewe ndio Prof
@countercheck887
@countercheck887 Жыл бұрын
Mwalimu Ndacha kiboko na dawa ya makafiri, wapinga Kristo. Wasio nav hoja. Uislam Dini ya majini na Mtume muongo aliye msilimisha shetani
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Жыл бұрын
Makafiri si ndio nyie sasa Wakristo
@countercheck887
@countercheck887 Жыл бұрын
@@emanuelkyomo3772 kafiri ni wewe na mwingine yeyote anayepinga Kristo.
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Жыл бұрын
@@countercheck887 sisi hatumkatai Yesu tunamkubali alikuwa mtume kutoka kwa Mungu na bila shaka wamepita wengi kabla yake tunawakataa nyie mnaosema Eti Yesu alikuwa Mkristo na hamna hoja juu ya hilo(ni Uongo) na bila shaka ndio maana tunawaita nyie Wakristo makafiri.,
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Жыл бұрын
@@countercheck887 Kwanza kumkata Mtume (Swalla allahu alayhi wa sallam) peke yake tu imetosha wewe na wengine kuwa ni Makafiri.,Waislamu hatumkatai yeyote ktk mitume na manabii, lakini pia hatuvukii mipaka ktk sifa za mitume na kuanza kusema mara hoo baadhi ya mitume ni watoto wa Mungu, mara wengine wakasema ni Mungu haswaa na nyie wote ni watu wa imani moja hiyo sasa ndio kufuru na jina ukafiri juu yako na wenzako
@emanuelkyomo3772
@emanuelkyomo3772 Жыл бұрын
@@countercheck887 yani ungekuwa humpingi Kristo ndio tungekuita kafiri? Acha vituko ukafiri wenu umekuja pale mlipojianzishia dini yenu wenyewe kwa hila na matamanio yenu tu na kusema eti Yesu alikuwa dini hiyo na wala hata Yesu mwenyewe hakuwa Mkristo
@lushidulajidanda2321
@lushidulajidanda2321 Жыл бұрын
Sisi wafilika ukiritimba nawisilam sio dini zetu kidini zauongo
@enockkibona7522
@enockkibona7522 Жыл бұрын
Yaani Ndacha ni Mtu mwingine hata walimu wa kislamu waje 10 na waandike majibu yao kwenye karatasi,lakini ndacha ni kichwa bila karatasi madini yanatoka,hapo tu ndio panaonekana ni yupi mwalimu
@pendosaid-dr5wr
@pendosaid-dr5wr Жыл бұрын
Hi
@arkasonlinetv2370
@arkasonlinetv2370 Жыл бұрын
Hi
@chrismassa3183
@chrismassa3183 Жыл бұрын
😂😂😂😂Waislam yaani title yenyewe imeanza na Matusi.
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 Жыл бұрын
Kwani urongo
@legend9805
@legend9805 Жыл бұрын
Kafiri ni mpingaji wa ukweli
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 Жыл бұрын
Wana waIsrael hawajalaniwa ndo maana mpaka sasa ni taifa teule lenye watu wenye akili duniani yaani gifted people
@legend9805
@legend9805 Жыл бұрын
Kasomee hujui kitu walilaaniwa kuvua samaki siku ya jumamosi
@dicksonkoech9528
@dicksonkoech9528 Жыл бұрын
Aty kafiri
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 Жыл бұрын
The title says KAFIRI ndacha
@nicholasmunyanya9964
@nicholasmunyanya9964 Жыл бұрын
Umekatakata video ukatoa mabom kubwakubwa ya ndacha
@johnbuya1003
@johnbuya1003 Жыл бұрын
Ndacha kiboko cha waislam
@ramazecha2877
@ramazecha2877 Жыл бұрын
Asiekua muislamu ni kafiri tu
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Жыл бұрын
Sasa hapo kuna nondo gani?😂😂😂
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Nondo zipo ila zimetolewa na Ndacha, na wa sio Mazinge, hyu Mazinge hana lolote.
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 Жыл бұрын
unasema wanao kuamini wewe sio wano mwamini MUNGu
@sansonmoris4839
@sansonmoris4839 Жыл бұрын
Hii dibeti haina mipangilio juu yakwamba mtu akimaliza kuuliza swali anastahili awe kimyia usikilize jibu.waislamu Wana mipangilio ya maswali .Jamani tumuheshi mungu kwa neno lake
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
duh wakristo kwa kubadilisha maandiko? ikiwa wamchao Mungu wanaitwa waisrseli na watu wa mataifa nao wataitwaje?
@mobutu3884
@mobutu3884 Жыл бұрын
Kwani hujasikia kama quran ndio imesema au unaipinga quran😀
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 Жыл бұрын
Mbona hata quran inataja waislamu wa makkah, medina na nyinyi mpo tu kupinga waisiraeli,uislamu gurudumu la mzigo
@consolataisangia273
@consolataisangia273 Жыл бұрын
Sasa ni kitabu chenu kina sema hivyo usipinge na kama unapinga kabadirishe maandiko
@consolataisangia273
@consolataisangia273 Жыл бұрын
Hawa huwa hawasikii lolote wao walishadanganywa kwamba uislamu ndio dini ya kweli na basi hata hawafanyi uchunguzi kujua ni mini kiko ndani ya korohan je ni kitu chema au kibaya! kinanifaa Kwa saa hii ama la! Wao nikufuata Tu Bora nikitu au Jambo wamepata linafanywa na wazi wao ni basi
@consolataisangia273
@consolataisangia273 Жыл бұрын
Acha niwaambie waislamu hii si miaka ya kudanganyana watu wamesoma watu wamefanya uchunguzi vitabu vya kidini vimetafsiliwa Kwa lugha ambayo mtu anaweza kuelewa na mambo sasa hivi yamewekwa peupe kuliko kitambo sas uta mdanganya Nani kuhusu uislamu sasa mambo yenu yako peupe mafundisho mliyo fundisha katika Giza sasa twajisomea wenyewe na twaona vile korohan ilivyo danganyifu
@biswalhadogani-wt8kv
@biswalhadogani-wt8kv Жыл бұрын
Ndacha huna jipya we we ni mbwa kwa .mujibu was biblia yakooo?? Sasa mbwa were utam-bwekea simbaa???
@andersonnatse5798
@andersonnatse5798 11 ай бұрын
mazinge ni propheser fake
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
wewe uliye post kuwa ndacha ni kafiri ulaniwe kwa jina la yesu kiristo mwana wa Mungu aliye hai kafiri ni wewe babako mamako na watoto wako
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Kwani mungu ndo alimzaa yesu au Mariam wewe mung akuongeze ufe aliakua Muslim
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@cabylake2320 we nawe ni mjinga hujui kuhusu yesu bila shaka ni muislamu wewe ndomana unasema yesu ni mwana wa mariam mana waislamu mpo kimwili zaidi hampo ki roho kama ilivyo kwa wakiristo
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
@@ramadhanmahongole9293 sasa mungu ndo alimzaa yesu au wakristo mungu awaongoze kabisa akili za kuona mbele Amna mna ambilia ukwel mweye una kataaa 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@cabylake2320 kwaiyo nyie waislamu ndio mnaona mbele?!🤣😂🤣😂🤣😂😂 pole
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
@@cabylake2320 mhammad mwenyewe unae mfuata hana makao anahangaika tu huko aliko na moto wa milele unamngoja yeye na nyie makafiri wenzie ambao ni wafuasi wake
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 32 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 18 МЛН
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01