No video

NUSAIBA Part 2 (BONGO MOVIE)

  Рет қаралды 60,031

RELAX TV

RELAX TV

Күн бұрын

#GLEKONLINETV

Пікірлер: 167
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 5 жыл бұрын
Mashallaaah dada angu aisha allaah akuzidishie hii movie umeitendea khaki kama dini inavyosema
@munasaidi614
@munasaidi614 5 жыл бұрын
Muvi nzuri Sanaa hongera nyote mungu awajalie muzidi kuendelea nimeipenda sanaa
@sibukuleatayi8370
@sibukuleatayi8370 4 жыл бұрын
Dada Nusaiba mungu ni mkuu,kwa maombi na IMANI amekutoa katika mikononi mwa mwovu hallelujah Jehovah. Inspiring movie wow !A very nice lesson 👍👍
@hidayayussufu8683
@hidayayussufu8683 5 жыл бұрын
Nimejikuta nalia tu😢 Mashaallah movie nzuri Sana
@umisidi1816
@umisidi1816 5 жыл бұрын
Move nzuri mungu awabari kwa hii move mzuri
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 5 жыл бұрын
Kama umeikubari hii movies gonga like twende saw
@mohamedabdallah4846
@mohamedabdallah4846 5 жыл бұрын
hii filamu ni nzuri maa shaa Allah haya jamejaa katika maisha yetu Allah tunusuru Yarab.
@edresallrab85
@edresallrab85 5 жыл бұрын
Family zingine bwn mtihani km hawamjui ALLAH mtihani sn ALLAH tupe moyo ya subra ktk ndoa ztu na utunzidishie imani,🤲tusijekukumbna na mitihani km hya bdala ufanye yko unasubili uvuruge ndoa ya Kaka yko kusudi ukae ww mungu jehakuoni?
@Djshalom5846
@Djshalom5846 Жыл бұрын
Uyu mtoto mzuri mzungu alicheza filamu vizuri sana kanifanya pia mimi nitafte wokovu🙏🙏🙏🙏
@mwanamisskheyo740
@mwanamisskheyo740 5 жыл бұрын
Mashallah, bonge la movie shukran wote walio husika
@nurudovino288
@nurudovino288 5 жыл бұрын
Natamani Imani yenu ilivo simama iwe na mm iwe hivo hivo inshallah
@biommy6700
@biommy6700 5 жыл бұрын
Hongereni wote washiriki nzuri sanaa..mumeitendea hakk inamafunzo
@tundaclassic2704
@tundaclassic2704 5 жыл бұрын
Mawifi wengne bwaba awafai kuni wala mbao kama mti wa mpapai nice movie
@issaissa3694
@issaissa3694 5 жыл бұрын
mambo
@habibabora3404
@habibabora3404 5 жыл бұрын
Wifi hana kabisaaaaaaa hofu ya Mungu
@halimashaha8442
@halimashaha8442 5 жыл бұрын
Yaaaan mafi wengine mtihani wallah ahaaa
@zakiazakia4552
@zakiazakia4552 5 жыл бұрын
Hongera kazi nzur duu we wifi mwanga
@aishasaif31
@aishasaif31 5 жыл бұрын
Diamond kanyaga
@zakasaid5399
@zakasaid5399 4 жыл бұрын
Hongereni movie nzuri kwakel niwanaume wachache xna wenye moyo wa subra kiukwel Allah awape subra muendelee kuwa na moyo huo huo na subra pia inshaallah
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Kama nawe ikugusa moyo tujuane.. yarab mie Nina moyo mdogo...machozi yanitoka..jaman kuna watu Wana roo ngumu...lkn subra mina Allah....
@sophiakasana2937
@sophiakasana2937 5 жыл бұрын
Duuuhh iko vzr sana hongereni
@munasaidi614
@munasaidi614 5 жыл бұрын
Wauu nafurahia kuiyona muendelezo hongera nyote mmmwaaa
@nasrazubeli3573
@nasrazubeli3573 5 жыл бұрын
Subbuhanallah Allah hamtupi mja wake hii movie imenifanya kulia
@halimashaha8442
@halimashaha8442 5 жыл бұрын
Subbuhaallah leo mmejua kutubu adi wifi kajifunika ushungiiiii jamani
@khamisjuma3760
@khamisjuma3760 5 жыл бұрын
Mjomba na mke wake wamekutana roho na sura zao sawa sawa kungalikuwa na watu kama hawa basi duniya ingalikwisha gharikishwa na mwenyezi mungu mtu hajuwi swala wala ibada yeyote hatari sana
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 жыл бұрын
Wapo mbona kaka
@salmalita6483
@salmalita6483 4 жыл бұрын
Watele kama hawa
@many2761
@many2761 5 жыл бұрын
Nizuri sana kabisa sauti fresh sana kama sim zenu ni Nokia badili
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 5 жыл бұрын
😁😁😁😁😁
@sjl3207
@sjl3207 5 жыл бұрын
Kabisa😀😀
@latifahmakwegah4355
@latifahmakwegah4355 5 жыл бұрын
Yani iibonge LA muvi linamafunzo ndaniyake bongo muvi mnajitaidi sikuizi
@naakabwe1595
@naakabwe1595 5 жыл бұрын
Nzr nimeipenda mungu awatangulie
@saleheathumani1291
@saleheathumani1291 5 жыл бұрын
Naombeni namba ya nuisaba nataka nimuoe😂😂maana nimemuelewa kweli 💓🙆🙆
@athuu1464
@athuu1464 5 жыл бұрын
😆😆😆
@goodboy-bp3gn
@goodboy-bp3gn 5 жыл бұрын
Hongereni sana hii movie iko vzr sanaaa
@tifahfauzia9157
@tifahfauzia9157 5 жыл бұрын
Mjomba ana macho kamaambae akata roho 😂
@juliusneymar6609
@juliusneymar6609 5 жыл бұрын
Mawifi kama hao ni kukanyaga nice move
@mamafau1790
@mamafau1790 4 жыл бұрын
Nimzuri wifi siyopoa
@mamafau1790
@mamafau1790 4 жыл бұрын
Nimzuri wifi siyopoa
@juliusneymar6609
@juliusneymar6609 4 жыл бұрын
Mawifi kama hao sio poa katika hiii dunia
@hawababuu4350
@hawababuu4350 3 жыл бұрын
Bana ee yani mi ningekua nishambutua mabao wifi huyo kwiyoo spendi ujinga mm😂
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Dunia Ina mazito WiFi unahaha na Mali za kaka kama zako looooo!!!!! 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ 🙆‍♀️ R. I. P jengua
@gullaalex6590
@gullaalex6590 5 жыл бұрын
Mm s mpenz San wa move za bongo ila hii zur na inafundisha hongeren san
@mayasatt1151
@mayasatt1151 3 жыл бұрын
Movies nibomba mnoilasauti Allah anijalie nm subira km hawa
@jacksonvenance3507
@jacksonvenance3507 5 жыл бұрын
Waoooo ndo nilicho kua nakisubri asanten
@fatimaemma833
@fatimaemma833 5 жыл бұрын
Love it movie nzuri sna 😍😍😍😍
@issaissa3694
@issaissa3694 5 жыл бұрын
mambo
@salmasalim6055
@salmasalim6055 5 жыл бұрын
Wow movie 💯👍sauti very good
@jaliasaidi7934
@jaliasaidi7934 5 жыл бұрын
Sauti hamna
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 жыл бұрын
Hakk sauti hakuna Mashallah movie nzur
@rizikikombe5309
@rizikikombe5309 5 жыл бұрын
Hakuna part 1
@vionasindani1206
@vionasindani1206 5 жыл бұрын
Nzuri sana ila sauti hamna
@ashuramakanwa8219
@ashuramakanwa8219 4 жыл бұрын
Move nzur sana tatizo sauti tu
@thammyfrancis9568
@thammyfrancis9568 5 жыл бұрын
😔😔😔Inahuzunisha 😔nimelia jamani 😭😭😭😭
@abdalatifsafina3034
@abdalatifsafina3034 Жыл бұрын
Masha Allah 🙏
@mishiathmani6055
@mishiathmani6055 5 жыл бұрын
InshaAllah mungu atujalie mwisho mwema
@shuushuu6908
@shuushuu6908 5 жыл бұрын
Amiin
@saumuali8132
@saumuali8132 4 жыл бұрын
Shukrani jaman kwa kutuletea muendlezo
@mwanatumungenya4978
@mwanatumungenya4978 Жыл бұрын
Mashallah please part 3 Kama iko
@sssaminasaidaaamashaalah3291
@sssaminasaidaaamashaalah3291 5 жыл бұрын
Nizuri sanaaa asanteee
@jaliasaidi7934
@jaliasaidi7934 5 жыл бұрын
Powa
@uniqueeunice7424
@uniqueeunice7424 4 жыл бұрын
Movie nzuri ....lakini mbona sauti kwengine yapotea ..
@saleheathumani1291
@saleheathumani1291 5 жыл бұрын
Uyu wifi anaroho mbaya hadi namchukia maana kuna muvi nyingine ukiigiza kuwa mchawi watu watakuhisi mchawi kweli ukiigiza ukatili bc watu watachukukia hivyo hvyo ndo huyo mmama nimetokea kumchukia pumbavu
@sjl3207
@sjl3207 5 жыл бұрын
Yani uyo mama ndoalivyo pana ingine movie alicheza ya watoto wa tatu yani hivyo hivyo naloyak mbaya😂😂
@user-vj5hi5ck9h
@user-vj5hi5ck9h 4 жыл бұрын
Movi mzuri Ila Nimeria xana😭😭
@shuushuu6908
@shuushuu6908 5 жыл бұрын
Dah uyu bb yn michezo yk yote ukatili tu.
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Wifi ana roo mbaya..kama Sura yake...daaa ...wapatana mtu na mjomba wake...mijitu kama hii..isipo tubu...Moto Una wasubiri
@halimashaha8442
@halimashaha8442 5 жыл бұрын
Swadka wajinaa moto2 awaaa
@irakozealice5321
@irakozealice5321 5 жыл бұрын
😭😭😭hakika inaum ash buhet unaniliza kwer
@babyblackhakizimana6134
@babyblackhakizimana6134 5 жыл бұрын
Uwiiii nimeipenda Nusaiba MashaAllah
@mwajumamrishosuleiman9703
@mwajumamrishosuleiman9703 5 жыл бұрын
iko pouwah nimeipenda sna ila mawif noma jpo kua c wote ila asilimia kubwa wako ivo tubadiliken wanawake
@mariamayubu9185
@mariamayubu9185 5 жыл бұрын
Nimeipnda Sana move
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 5 жыл бұрын
Anaye kubaliana na Mimi sauti piya Peart 2 bado iko na usenge ganga like yako twende sawa ssuti hakuna akii
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Simu yako mbovu sauti iko
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 5 жыл бұрын
@@halimasssomar8793 iko kweli lakini sikote marausikiye Mara usisukiye
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
@@mapenzikatana9990 ataa kwnagu iko vzr Tu walah siez sema urongo..toka part 1.Alihamdulilah nimetazama vzr
@mapenzikatana9990
@mapenzikatana9990 5 жыл бұрын
@@halimasssomar8793 afadhali wewe dear Mimi yangu sijui shida nini
@ameenaameena3324
@ameenaameena3324 4 жыл бұрын
@@mapenzikatana9990 😁😁😁Shida sm
@custcust6181
@custcust6181 5 жыл бұрын
Sauti sauti sauti hatusikii kitu
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Simu yako Bana sauti iko poa Tu
@sarasospeter8280
@sarasospeter8280 5 жыл бұрын
Movenzurisana.wifiumekuwampole
@athuu1464
@athuu1464 5 жыл бұрын
Mashallah 😍 😘
@rashalakhal9838
@rashalakhal9838 3 жыл бұрын
Nice movies
@shancyskitchen3044
@shancyskitchen3044 5 жыл бұрын
Nzuri Sasaaaaaa Mnaosema Sauti Mbona Kwangu Zote zipo Vizuri Simu zenu hizoo
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 жыл бұрын
Hapana sauti vipande hakuna.cm zetu inamaana hii movie tu mbona nyingine sauti zipo
@ameenaameena3324
@ameenaameena3324 4 жыл бұрын
@@dottnatt7110 😁😁😁😁😁😁😁😁
@hawahawa6915
@hawahawa6915 4 жыл бұрын
Yani wifi kama uyo Allah hatunusulu 🙏🙏
@nurumwinyi9958
@nurumwinyi9958 5 жыл бұрын
Chakushangaza mjomba hana mke wala mtto,na huyo dda nae hana mume wala mtto....kufatilia ndoa za wenzao 2
@salamajalina7789
@salamajalina7789 5 жыл бұрын
Nuru Mwinyi Tenaa Wifi Anaambiwa mjomba mpk unakonda 😁😁😁😁
@salmalita6483
@salmalita6483 4 жыл бұрын
Ndivyo tulivyo binadamu haoni mapungufu yake
@saumuali8132
@saumuali8132 4 жыл бұрын
Mbona uku kwangu sait ipo down
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 4 жыл бұрын
We mama una loho mbaya sana, kiboko yako jamirah ngoja nimuite
@okadimoses75
@okadimoses75 2 жыл бұрын
MIMI NI NASIR KUTOKA UGANGA, HII FILAMU IMENI SABABISA MACHO KU TIRIRIKE SANA. ASANTI KWA MAFUNZO KAMA HAYA ...
@tifahfauzia9157
@tifahfauzia9157 5 жыл бұрын
Huyu mumu mzr sana mashaallah karibia move zake zote nazipenda sana lakini huyo dada na mjomba wabaya move zao zote sizipendi😕
@nasrajuma3293
@nasrajuma3293 5 жыл бұрын
Masha Allah japo imeniliza jaman😭😭😭
@rayajackson4085
@rayajackson4085 5 жыл бұрын
Maashaallah nzur
@mahijamwwchaga7864
@mahijamwwchaga7864 3 жыл бұрын
Sauti mtihani ila bonge la movie
@shummylove4611
@shummylove4611 4 жыл бұрын
Maasha Allah nc movie
@lehilasalehe2342
@lehilasalehe2342 5 жыл бұрын
Eshaaaaa😗😗😗
@ibrahimharish9351
@ibrahimharish9351 2 жыл бұрын
Lakini sauti ndio yapotea maneno mengine na si mtandao wangu ni movie yenyewe ni nzuri sana na ikona mafunzo nzuri but sauti inapoteza maneno mengine
@zainabalex388
@zainabalex388 5 жыл бұрын
Mawifi wengine n balaa tu unacha mambo yako unafatilia ndoa ya kakako
@2nukhamis447
@2nukhamis447 4 жыл бұрын
Kama ujatoa ata mchozi bc una imani jmn tuwe na off ya allah 🙏
@mobyyusuph7175
@mobyyusuph7175 2 жыл бұрын
Hata kama nyumba mnakodisha mngeitoa hiyo midoli
@Aminaamina-cg8sf
@Aminaamina-cg8sf 5 жыл бұрын
Jamani mbona hama sauti au kwangu tu
@tifahfauzia9157
@tifahfauzia9157 5 жыл бұрын
Wifi mbaya aonekana yy ataka nduyeafe apate nyumba mmmh! Wifi kama huyu mungu usinijaaalie
@hindisaid2413
@hindisaid2413 3 жыл бұрын
Sauti imekufa maneno hayasikiki
@kulthummohamed8626
@kulthummohamed8626 5 жыл бұрын
ya allah mungu wangu tusaidie na dunia hihi.
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Kwani uyu wifi watoto wake wake wako wapi mbona majanga
@rashalakhal9838
@rashalakhal9838 3 жыл бұрын
Tujifynze kwahili jamali
@laylasuliman5805
@laylasuliman5805 5 жыл бұрын
Hv si muwe mnaongeza sauri
@abdimalikabdimalik7437
@abdimalikabdimalik7437 5 жыл бұрын
Huyu wifi kila movie yeye anakuwa na roho mbaya tu jaman duuh
@zainabalex388
@zainabalex388 5 жыл бұрын
Umeona
@halimashaha8442
@halimashaha8442 5 жыл бұрын
Umeona eeeh
@amirimussa2161
@amirimussa2161 4 жыл бұрын
Hamuna saut
@nuraidahashim10
@nuraidahashim10 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭yarab tupe mioyo yasubra
@paulinekababa524
@paulinekababa524 5 жыл бұрын
mashaallah
@veronicamathayo320
@veronicamathayo320 5 жыл бұрын
Move nzr ila saut nii shida kweli khaa
@babynadymchala8656
@babynadymchala8656 5 жыл бұрын
Sauti iko pw
@beatricemutoni8121
@beatricemutoni8121 4 жыл бұрын
Nisuri ila kibaya sana aiogeyi nomasana
@user-nr1bf7iu8z
@user-nr1bf7iu8z 5 жыл бұрын
MashaAllah
@halimashaha8442
@halimashaha8442 5 жыл бұрын
Subbuhaallah mjambo mh😢😢
@salmalita6483
@salmalita6483 4 жыл бұрын
Movie nzur ila vipande vingine hamna saut
@queenprinces8604
@queenprinces8604 5 жыл бұрын
Sauti akuna
@salmalita6483
@salmalita6483 4 жыл бұрын
Hadija hakuwa na huruma na jamila leo awe na huruma na ww
@tifahfauzia9157
@tifahfauzia9157 5 жыл бұрын
Waekee sumu nao pia wafilie mbali janajike roho mbaya kushinda hata ya firauni
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭
@jacksonvenance3507
@jacksonvenance3507 5 жыл бұрын
Saut INA skilach kuna vipande jomon
@abdimalikabdimalik7437
@abdimalikabdimalik7437 5 жыл бұрын
Jackson Venance No ipo vzr mwanzo mwisho
@rizikikombe5309
@rizikikombe5309 5 жыл бұрын
Hakuna part 1..naisaibu
@sweetbeibebeibe5230
@sweetbeibebeibe5230 4 жыл бұрын
Move nzuri sana
@abdullytorres5116
@abdullytorres5116 2 жыл бұрын
Sijainjoi haina sauti
@francoiserusia3782
@francoiserusia3782 5 жыл бұрын
Kwanini mume ikosesha sauti?
@shamsilugundi8212
@shamsilugundi8212 4 жыл бұрын
Subhanallah is good move but where is the voice
@fanilaakimana6653
@fanilaakimana6653 5 жыл бұрын
Sauti jamani😣😣😣
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 5 жыл бұрын
Simu yako Bana... mbona ipo vizr tu
@tifahfauzia9157
@tifahfauzia9157 5 жыл бұрын
Subira ni nguo ya busara
@mariamshabani562
@mariamshabani562 5 жыл бұрын
Wasamee hawajui walitendalo
@ramadhanmatumbatu4228
@ramadhanmatumbatu4228 5 жыл бұрын
Haina sauti kuna mziki
FILAMU - NUISAIBA Part 1
59:27
RELAX TV
Рет қаралды 99 М.
Matilda  Part 2B - Hemed Suleiman & Salma Jabu (Official Bongo Movie)
55:47
Wyldpytch Rekords / 51 Lex Records
Рет қаралды 183 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,7 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 10 МЛН
DUNIYA LABARI 1&2 LATEST HAUSA FILM 2019
1:00:48
MdEnt TV
Рет қаралды 74 М.
MWAKATOBE TANGAZO FOOD
5:09
MHINA RECAP
Рет қаралды 17 М.
MATOKEO PART 2,-(RINGO, TINY NA KIPUPWE)
1:29:28
Zest Films Production
Рет қаралды 3,5 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 256 М.
KAZI BASI
1:00:22
DORCAS CHEASE
Рет қаралды 141 М.
Mwiko Part 2 - Madebe Lidai, Hidaya Boli, Anwar Nassor (Official Bongo Movie)
44:27
Wyldpytch Rekords / 51 Lex Records
Рет қаралды 52 М.
SHAHADA PART 1 FULL MOVIE (bongo movie) islamic movie
49:51
Sinema za kwetu
Рет қаралды 124 М.
BONGO MOVIE 2022:  FILAMU KALI YA “TEMBELE”
1:49:35
JASONS TV
Рет қаралды 89 М.
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН