NUTRITION - E02 : MAZIWA YA SOYA

  Рет қаралды 1,284

VOAGTV

Жыл бұрын

Maziwa ya soya ni kinywaji kinachofanana na maziwa lakini kinatokana na mbegu za soya .Maziwa ya soya asili yake ni huko Nchini China ambapo soya imetokea.na Baadaye, mimea ya soya na vyakula vyake vilikuja Japan na mpaka kusambaa Duniani kote.
Hata hivyo ni zao mojawapo katika mazao ya jamii ya mikunde ambalo Kwa Nchi yetu ya Tanzania hulimwa kwa wingi katika mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Morogoro, Rukwa, Lindi, Mbeya, Iringa na Arusha.
Zao hili huwa na virutubisho vingi kama vile wanga, protini, mafuta, madini na hata vitamini. Aidha, lina sifa ya kuwa na kiasi kikubwa cha protini kinachofikia hadi asilimia 40.
Soya ni zao la muda mfupi ambalo hukomaa ndani ya miezi mitatu hadi mitano toka kupandwa kulingana na aina, na pia hata hali ya hewa na mwinuko kutoka usawa wa bahari.

Пікірлер: 3
@Mariam-zh4bf
@Mariam-zh4bf 3 ай бұрын
👏👏👏
@user-ng6fl2km8x
@user-ng6fl2km8x 17 күн бұрын
unaweza kuweka asali kwenye maziwa ya soya
@Voice_of_Agriculture
@Voice_of_Agriculture 16 күн бұрын
Ndio inawezekana
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 47 МЛН
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 20 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Gamarra de Emergencia para Caballos 🐴
0:42
NONO RANCH
Рет қаралды 1,2 МЛН
Не трогайте эту ВОЛОСАТУЮ ШТУКУ! 😱
0:24
Взрывная История
Рет қаралды 2,7 МЛН
Strawberry Cat?! 🙀 #cat #cute #catlover
0:42
Stocat
Рет қаралды 2,6 МЛН
Gamarra de Emergencia para Caballos 🐴
0:42
NONO RANCH
Рет қаралды 1,2 МЛН
Dude saved BigFish Life #shorts
0:28
Deep Miami SpearFishing
Рет қаралды 17 МЛН
Magician turns his Hair into Animal 😳
0:37
Xavier Mortimer
Рет қаралды 20 МЛН