Oooh asante Mungu nabarikiwa sana na hizo nyimbo 😭🙏🙏🙏
@alfayosauli-ls8uv Жыл бұрын
🙏🙏🙏🤝 Amina mtumishi wa MUNGU
@CatherineBenard-xq3de7 ай бұрын
Napenda kumwabudu mungu, mungu awatangulie ninyi na familia zenu na aendelèe kuwapa saut nzuri zaidi😅😅
@gracesteven Жыл бұрын
Kweli roho wa bwana tuongoze peke yetu atuwez👏👏👏
@user-bs7hz7lo2c4 ай бұрын
Nikiwa iringa nimebariwa sana na nyimbo hizi
@Josekisamba2 ай бұрын
Blessed nkiwa emali
@user-kw9wt5qm3w7 ай бұрын
Nimepata faraja kubwa sana Mungu awabariki mno
@user-oz6vn1xu9g8 ай бұрын
Amen hii nyimbo imenifikisha bele za mungu nasikia roho yangu imetulia sana❤❤❤
@EsterMichael-gc1gk2 ай бұрын
Amen
@user-mz5qc8le3o2 ай бұрын
Nafarijika Xana mungu wangu kwa waimbaji Hawa wanao kuambundu namii naungana nao Amina🙏
@winniekazungu4953 Жыл бұрын
congratulations nyimbo zimenigusa🙏🙏🙏🙏🙏
@abdalahelihazina9536 Жыл бұрын
MUNGU akubariki, nyimbo zinanibariki sana
@agathjoseph610810 ай бұрын
Ameen nimebarikiwa saana na hizi nyimbo
@emmanueldonald824 Жыл бұрын
Mbarikiwe kaz iendelee kusonga mbele MUNGU awafanikishe mnapotaka kufika
@user-mp2oe5ju2t8 ай бұрын
Nyimbo iyi inanifariji sana ndani ya maisha yangu
@clairemakotswi9666 Жыл бұрын
Hakuna kama wewe bwana yesu niwewe tu unasitahili kupewa heshima na utukufu hallelujah Amina Asante sana yesu
@user-rx1jd2oo1f5 ай бұрын
Unastahili yesu Asante kwa uhai ahsante kwa kila kitu hata haya magumu naamini utanipitisha mungu
@user-dv4ch3sy8l7 ай бұрын
Amen Glory be to almighty God I'm so blessed with this worshipping songs my God be you all the time
@laithkavishe8881 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo mungu awabariki sanaaaaaaaa amina
@user-ge4vs2ib7i6 ай бұрын
Mungu na akubariki kwa kazi nzuri
@user-vn1wy3qi6h9 ай бұрын
Mtege mungu kwa kila jambo🙏🙏🙏
@masiboagnes3510 Жыл бұрын
Powerful songs be exalted the most high God receive the praise and honor because it belongs to you
@user-oc3bk6bq6x7 ай бұрын
Nyimbo zuri sana Amen mbarikiwe
@NellyKadenyi-qc3emАй бұрын
Umenitoa machozi mungu amenibariki
@mariamjohn9784 Жыл бұрын
Ameen barikiwa sana mungu wetu ni mwenye nguvu kubwa sana 🙏🙏
@user-zb2cv5tt4b4 ай бұрын
Glory to my living LORD I have blessed with this powerfull songs
@JamesPoso-ef4nx Жыл бұрын
Wimbo huu umenitia nguvu tena ni murudie mungu, ubarikiwe sana na mungu
@JENIPHERMWAKE-tq1vx Жыл бұрын
Ni mungu pekee ndio kimbilio langu eehh ,,nena nami bwana siku zote za maisha yng
@user-gm4ih5cm6w5 ай бұрын
Ooooh glory to God🙏🙏,,, through this songs , God i want do anything for my education, life and my family in all🙏 Amen.
@gladyswairimu925111 ай бұрын
I all the glory to God am blessed by the worship songs.
@matesoluka5485 Жыл бұрын
Ahsante Sana watumishi wa bwana mbarikiwe na bwana
@christinemukonzo-wo5tb Жыл бұрын
Thank you for this song hakika roho wa Mungu ananiudumia
@neemankwera2407 Жыл бұрын
Hu
@user-ns1kh2lq4z6 ай бұрын
🎉I fill so blessed with this powerful worship it makes me fill the presence of God
@jumanneadam940211 күн бұрын
Kila wakati mungu ni mwema amen
@jamlickshuel838411 ай бұрын
Very powerful Worship Songs,God bless and God continue to annoint your people to deliver your gospel to the world 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻,Roho wa mungu niongoze Hadi nifike binguni,tumaini langu ni kwa bwawa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@hillaryabuyagah08 Жыл бұрын
Have woken up listening to this. My heart is warm and healing in Jesus name. Thank you for the song.
@praisetunes Жыл бұрын
Amen
@mjombawallace4966 Жыл бұрын
Amen
@JacksonMaende-jj9bc Жыл бұрын
Amen
@Elijah-qr3bp Жыл бұрын
May dhe lord blesses that team of praise and worship
@user-gq4xz9pp9e11 ай бұрын
Asante yesu kwa vyote umekula mwaminifu
@nancyachieng14062 жыл бұрын
Wow i love this song hakika mungu anastahili kuabudiwa
@georgeotieno2348 Жыл бұрын
what a vibrant morning, wonderful songs, I feel blessed🙏🙏🙏.
@Dorcasmanase7Ай бұрын
Ubarikiwe mno 🙏🙏
@margaretwambui56385 ай бұрын
Namtegemea mungu kwa kazi, thankyou Jesus
@ameria2332 Жыл бұрын
Atuzwe BWANA YESU pekee milele Amen.
@user-ie2qs8rq9w7 ай бұрын
Baba ye2 usieshindwa shoshote zindi kukaa nasi baba milele daima😢
@esthermbega8306 Жыл бұрын
Ahsante Yesu wangu Kwa wema wako ahsante Kwa waimbaji Hawa Mungu awarki Kwa huduma nzur
@Elijah-qr3bp Жыл бұрын
Lllpolp
@apendayetweve8441 Жыл бұрын
Asante mungu wangu sifa na utukufu nakurudishia wewe
@TotoKajira-rm4vh10 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akubariki sana nakuombea mwisho mzuri kuliko mwanzo niko katika kipindi cha ma chozi cha kufiwa na mama mkwe wangu ila kupitia hui nyimbo ya kuabudu nasikia kupokea ujazo mara mbili 2timotheo 4:1-6
@user-cr7py4jv9t8 ай бұрын
🙏🙏🙏wasitahili sifa na utekufu mungu wangu
@dorcas2469 Жыл бұрын
Yesu Kristo jinalako linanguvuuuuu
@marywafula2858 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah karibu Roho ...
@lizdhewan6493 Жыл бұрын
Napenda yo spng
@user-vk8ub2jf8v4 ай бұрын
Nikiwa Zanzibar najisikia vyema kusikiliza nyimbo za kuabudu alatibu
@HusnaHumbi8 ай бұрын
Nimebatikiw sana na huu wimbo moyo wangu ulikuw unauma sana nasikia kuumia mno ola nilivosikikiz wimbo huu wakuabudu ,nina amani moyon mwangu.barikiwa sana
@justineoirere Жыл бұрын
Nyimbo sa kutia moyo Safi sana
@jeanpierrendayishimiye1732 Жыл бұрын
Mubarikiwe munanibariki kwerikweti
@EvansBenjamin-jj8mu7 ай бұрын
Mungu awabariki Sana kwa wimbo huu
@alicemaina313911 ай бұрын
Hallelujah 🙌🙌🙌 Amen amen amen,
@levinamwaila78472 жыл бұрын
Nikiwa dubai nimebarikiwa na hizi nyimbo🙌 eeh mungu wangu unikumbuke na roho wako mtakatifu akaniongoze 🙏🏾
@evamkata61952 жыл бұрын
Bwana yesu apewe sıfa Uko dubaı sehem ganı tujuane
@domnickokaro665 Жыл бұрын
Enda kwa embars ya dubai na upige Baba nembo bulu yes yes , kuwa mkenya muzalendo ata Joseph na mariam akiwa mizito wali pigs oya
@gshugsua9531 Жыл бұрын
@@evamkata6195 nina mtoto ako dubai anapitia magumu
@nyamohangamahemba534 Жыл бұрын
F5555
@mariethjohn3074 Жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo
@shanix20457 ай бұрын
Karibu ROHO fanya mapenzi ya BWANA.unijaze..
@user-lm7fv7nb5j10 ай бұрын
Mungu akupenguvu ya kumtumikia milele
@user-hz6se7vh4h3 ай бұрын
Very powerful songs ❤❤❤
@user-hz9bx4iq9z2 ай бұрын
mungu atuinue wote natumuabudu mda wote 3:02
@AlphoIrakoze-tn5dd7 ай бұрын
Mubarikiw kwa kazi hiyi
@doctormakeki7539 Жыл бұрын
Naomba nyimbo ya nifinyange ipigwe mpaka mwisho
@mercylwehabura200 Жыл бұрын
Huduma ni njema,barikiwa
@user-ss3hv2yw8o3 ай бұрын
Mungu awabariki sana,nyimbo zina tu ingiza mu maisha ya ki roho
@LilianNicrous2 ай бұрын
Amina, Mungu wetu anastahili daima..Be blessed at all
@user-wx8oy8ll9l2 ай бұрын
🙏🙏 Thanks my God, sifa na utukufu ni vyako
@SamwelMatonange-hj1or Жыл бұрын
Barikiweni watumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri by mch.samwel matonange
@princessvai610 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana nimejikuta nalia na kumuabudu mungu
@rechosagumo8971 Жыл бұрын
Nimebarikiw Sana na hiz nyimbo we mungu uniguz
@mariethjohn3074 Жыл бұрын
Nawapenda ninasikiliza nyimbo zenu nzuri
@elizabethademba8355 Жыл бұрын
Great worship.wonderful mix.stay blessed
@user-hx1cs6uq3p10 ай бұрын
wimbo huu umeninguze sana
@NeemaKipande-hr9rz3 ай бұрын
Nikiwa nyumbani Tanzania nilikuwa nasubiria viza yangu kusafiri nije Canada nilikuwa natumia Sana hizi nyimbo ktk maombi yangu na vmpaka Sasa nipo nchini canada yaani izi nyimbo nazisikiliza mda nikiwa nataka kuomba maana Kama ninafanya kazi nashindwa kiasi naanza kulia na KUINGIA ktk maombi mbarikiwe Sana watu WA mungu.Eeh MUNGU unikumbuke baba
@benjaminkimanzi29273 ай бұрын
Sasa ..Mimi ni mkenya na naomba jinsi naeza fika Canada naomba unisaidie ..Nina vyeti za masomo pia
@NeemaZakayoPili-rh1uq3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏😱😭😭😭 haleluyaaaaa eeebwana niongoze mwanao
@agathjoseph610810 ай бұрын
Nimebarikiwa saana na nyibo hizi
@kendrimushagalusadrc Жыл бұрын
Kwa muda huu mugumu Congo 🇨🇩 inapitiya vita, mauwaji naomba Mungu ashuke atufariji. Pia nimekumbuka wakati nilikuwa zambini Yesu akaniokowa!!!
@domnickokaro665 Жыл бұрын
Kwaza epulu Mungu awalinde washable Mungu mesaka na Abengo awaangazie
@jacobjulius57718 ай бұрын
Ohhh asante mungu hizi nyimbo zimenibaliki sana
@dicksonmbwambo6615 Жыл бұрын
Mungu nimwema kilawakati
@user-iu4cu6ms9z Жыл бұрын
May God lift you highly l feel am in heaven worshiping with angels ❤
@bishoparronmgaya17498 ай бұрын
Utukufu Kwa Bwana Yesu
@everlynmutsoli7702 Жыл бұрын
Nimebarikiwa kwa nyimbo hizi nzuri za kumusifu Jehovah amen
@JuliethShirima10 ай бұрын
Katika roho mama angu apone awe na afyaa njema Amina 🙏🙏