#Harmonize #BSS #BongoTouch Please subscribe now on our KZfaq channel to be the first to hear about the latest news and updates on time.
Пікірлер: 632
@halimafuketi83694 жыл бұрын
Kama kuna mtu amemuona madam white akilia gonga ka like apa chini
@vickydotto90034 жыл бұрын
Jaman huyo dogo namwombea sana najikuta namsikiliza yeye tu mpk MB zinaishia kwakwe jaman kama unampenda na wewe gonga like hap
@joharimanyanda33634 жыл бұрын
Kweli
@shadrachkapange3598 Жыл бұрын
Yuko vizuli na mimi namuwombea🙏
@mjelumani Жыл бұрын
So wewe ata mm nilikuwa simfatilii lakini saiz namkubali kinoma ❤
@magrethemmanuel54798 ай бұрын
Dahhh nmelia san yan
@SleepySaintBernard-zc6zj7 ай бұрын
Duuuuh amisss mim wakoooo
@floshkitchen30614 жыл бұрын
Hamisi amenifanya nikaupenda huu wimbo mpk nimeu download,God bless you Hamisi ufike mbali
@tameemothman81924 жыл бұрын
Ww noma hata kama hawakutaki nimekusikiliza mpaka nikalia u sing on soul God be with u forever
@mektridahango39632 жыл бұрын
Aise huuuu ndo mziki tunaoutaka very amazing. Touching. So sweet
@ireneshayo4134 жыл бұрын
God bless you bro Hamiss, unajua sana. Na unakipaji kizuri sana Mungu akuongoze uendelee hivo hivo 🔥
@twahirumtunguja41364 жыл бұрын
Madam dogo kakuimbia wee apo mungu kakushusha kwaajili yake upate kumtoa na kipaji chake na rangi yako Kama unaoga mafuta nimemuelewa Sana Nani mwingine kamuelewa twende like
@mohdhamood93794 жыл бұрын
Aisee
@aminamakacha62584 жыл бұрын
Kuku penda. Sichok khamis wallah💕💕💕
@nikundiwembwambo25924 жыл бұрын
Jembe hio pitisha
@safariswagga67264 жыл бұрын
Amina Makacha anaweza sema wamezingua sana
@mwitamarwa22772 жыл бұрын
The boy is humble, down to earth yet super talented!! Big up!! The future is bright and holds big. Press on Soldier Hamisi!!
@jonnykish48684 жыл бұрын
I'm from 🇰🇪 but I will support him 100% 👌👌
@twalibmakau83804 жыл бұрын
Wakimtoa tu dogo mimi na washkaji zangu hatuangalii tena bss na tuomba haki endeke.. We like the boy ✔️✔️✔️✔️ hongera bss kwa kukisaka na kukipata hiki kipaji
@nurathhassan73234 жыл бұрын
Hamic yuko vizur....ila mmemfanyia vbaya kumtoa binafc imeniuma sana hamic.........nakupenda hamic nmelia sana kwa ajili yako mungu atakuongoza kwa kila ktyu uckate tamaa.....inshallah mungu yupo🙏🙏🙏🙏🙏
@irenecharles59194 жыл бұрын
Kama hukumpgia kura ukamfanya ashinde unalaumu nn sasa ila kiukwel hamfkii yule alieshinda
@judithmelvinealuchio89684 жыл бұрын
congratulations baby boy you're a future super star 🙏🙏👏
@joharjohari67054 жыл бұрын
sichoki kumuangalia hamisi, bss mfanyie haki
@jeanclaudeilungamaweja18354 жыл бұрын
mpeni hizo pesa zake huyo ndo mshindi wangu wa bss msimu huu 2019
@hamispeter58514 жыл бұрын
Hakika
@estamelejomah5724 жыл бұрын
Napenda kilamala kumuangalia
@hamispeter58514 жыл бұрын
For sure anavutia sana
@alexwilla71804 жыл бұрын
Nice
@yusuphmgaya9879 Жыл бұрын
Kuna wakati njia yako ya maisha Mungu anakuandalia haijalishi utapitia magumu kiasi Gani never give up play for God
@ridhiwanijuma15444 жыл бұрын
hamis ningekua nauwezo flani ivi ungependa mwenyewe nkupenda sana hamisi unajuakuimba ila we imba kihisia tu ndugu yangu wala usiwe na haraka
@salmaalbarwani26184 жыл бұрын
Yes Khamis anahitaji little help good singer but he's vry fester
@peterkweka74454 жыл бұрын
Kila rahel dogo
@aminashq11814 жыл бұрын
Anaweza hamisi🔥🔥🔥
@angelakimjohn27084 жыл бұрын
Jamani umeliza boy😭😭😭😭how I wish ningekua na uwezo wa kutosha nikusupport,but I know there's God 🙏🙏🙏utafanikiwa
@angeljohn61164 жыл бұрын
Hamis anaweza kila kitu, ila ubinadam kaz wengine wanasema Hawez imba Daah, inaumiza sana Mungu akutangulie Amina👏👏
@alverztv62724 жыл бұрын
Huyu dogo mpeni support jamani.... Bidii aliyo nayo na akiangalia maisha yake ndio yualia ivo... Madam Ritah jamani mpeni dogo support
@salumkiya39254 жыл бұрын
No more like Hamisi big Up
@raphaelezekiel44064 жыл бұрын
Very good huku ndiko nchi inako elekea watu sahihi kwenye sehem sahihi umeti shaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@aishawangoni89114 жыл бұрын
Hadi raha yaani
@agathaachuchi44104 жыл бұрын
i like that voice ,it touched me so much
@arikaa254tv94 жыл бұрын
Hapa Kenya tunakubali huyu dogo likes zije kama pia wewe wamkubali
@jaybaba27004 жыл бұрын
Tatzo Tanzania fitna nying
@barakarajabu35114 жыл бұрын
Yupo vizur sana
@littlesakho12194 жыл бұрын
chibu baba mchukue hamissi
@littlesakho12194 жыл бұрын
dogo unajua kuimba
@mohaavickie2294 жыл бұрын
Hongera dogo # from Kenya
@athumankinguji58634 жыл бұрын
Kaka konde zama bbs ucheki vpaji wadogo mi konde nimemkubali sana hamis usimuache dogo mpe tafu
@muhirwandarwubatse7534 жыл бұрын
Kabisa unajuwa 💝💝💝💝💗💗💗💗💖💖💖😍😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘💝💝💝💝💟💟💟💟💟♥️♥️🖤💙💚
@dephorahnyangarisa22523 жыл бұрын
love this guy, the voice is amazing, Hamisi you rock my world of music, i love you, i support you all the way from Kenya
@elishabukwimba37304 жыл бұрын
Maumivu yamapenzi nayaogopa sana ata wivu sina roho ya chuma tunavyo ishi wanadhan tunadanganyana dondosha like kama umeelewa hii ngoma
@patrickwarioba33814 жыл бұрын
My young sina cha kukupa ila nakuombea kwa mwenyezi mungu akujalie kila la heri katika kufikia malengo yako
@selinakirui94884 жыл бұрын
Congrats ... all the best young boy. I like him big up.
@selinakirui94884 жыл бұрын
Big thanks to Madan Ritta for taking this boy back. God bless you.
@leahkisendi19654 жыл бұрын
Dogo Yuko vizuri Sana hongera
@marthadaiman33164 жыл бұрын
Upo.. Vzr Hamiss Mungu akusaidie uweze shinda Bss unanifany niiitizame Bss kwa ajir yko upo vzr sana.... 👍
@mariyaal53664 жыл бұрын
Anaweza sana mpaka raha yani
@dullayraschal85824 жыл бұрын
Mariya ni wats up niko msa +254715934763
@shahaupunda3014 жыл бұрын
Mtapata aibu ngoja tuone
@mariyaal53664 жыл бұрын
@@shahaupunda301 hakuna aibu mi namini mpaji ni Mungu2 asipopata Hamis riziki yake ipo 2
@baisitv40734 жыл бұрын
Mariya Al kabsa
@MohamedSaid-jx3df4 жыл бұрын
Wasisimua watu wazima ee
@massudbiz98284 жыл бұрын
Super star wangu Hamissi saidi👏👏👏kweny bss
@yoelbundala41354 жыл бұрын
ok ipo good
@khamissuleiman33034 жыл бұрын
Anajua san
@mwanahyusuph81424 жыл бұрын
Khamic Bss anaimba vizuri sanaa Allah amfikishie lengo Insha Allah
@mohamedabdallah34114 жыл бұрын
Hamis I love you so much 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘🤩🤩🤩🤩🤩
@laylatbeshy59014 жыл бұрын
Nimekupenda bure. Madam Rita usiwe unalia bana unaniliza na Mimi mamaaaa.
@zulfahaji918 ай бұрын
Yaaani. Kanimaliza hisia zangu daaa!
@salimumtaita28502 жыл бұрын
Binafsi ningelikua nauwezo ningejaribu kukufanya uwe zaid ya hapo ulipo ila naimani mungu hubariki kazi za mikono yetu waja wake kipaji unacho haipingiki salute kwako