Mama Maria kwa maombezi Yako niombee Mimi ninayexhumiwa na ndugu Angu baadhi wao ni kuniona tu m Aya ,wewe na mwanao Yesu kristu mwajua yote kabisaa kuhusu Mimi Mungu Roho Mtakatifu nitakase naitJadike hasa mbele za watu wangu na wote wanaknizunguka
@sakinakamagi54529 күн бұрын
Mama Maria mama mbombezi kwa wenye shida mbali mbali usiniache mwanao bondeni huku nina shida inayoitaji huruma yako usiniache mama mama muombee kea mwanao Yesu Kristo
@Jackline-x6j8 күн бұрын
😊Eee3e33e3eee33333eé😊e
@baderhajeanbaptiste9963Ай бұрын
Merci kwako kwa nyimbo izi nzuri🙏 mama azidi tuombea uponyaji kwa mwana wake yesu kristu👌🏼💪🙏
@rozkiwale9123 ай бұрын
Hongera Sana dada hakuna kitu utaomba kwa Mama Bikira Maria ukose
@vincentmboti27 күн бұрын
Great and wonderful songs
@PhilipoBajut19 күн бұрын
Nyimbo za bikira maria zinanibariki sana
@user-zd2mv6hy4i5 ай бұрын
Hongera wote kwa uimbaji wenu 🎉🎉🎉🎉🎉
@annambokaanatoli97004 ай бұрын
Wow asanteni sana yaani Niko CHINI ya mti nikisikiliza na kuwaza nitaweza kumbembeleza Mama Maria KUPITIA nyimbo hizi ....be blessed
@kasindimawazondiba80832 ай бұрын
Asante sana kwa Ku muimbiya maman yetu anatu ombeyaka Sisi wa toto wake Siku zote
@user-bf6fk2xj6n4 ай бұрын
Tusali Rosario tupate Amani duniani côté.🎉🎉🎉
@lucylyuki4852Ай бұрын
Mwenyezi Mungu kwa njia ya mwanao Yesu kristo Asante kwa maombezi Yako mama yatu Bikira maria uniombee katika makaribu haya naamini kuvuka katika yote na pia kuheshimu jina lakeama aniombee kwa Yesu anitie utaji na utisho kwa maombi na uovu wote nisiguswe na uovu na u hadi wa Dunia hii Yesu kristo unikonge na uovu wowote na mabaya yote kuanzia sasa niwe na Amani na uhuru kamili kiroho na.mwili kati ya mabaya na maonevu na madharau yasiyo lazima. Amina mama Maria uniombee
@user-pp6nu4js1i2 ай бұрын
Asante sana mama Maria nikumbuke na familia yangu
@lucylyuki4852Ай бұрын
Naomba mama nisaidie kuniombea Roho ya nsMaha na Amani kwanza kwangu Binafsi Mimi ndugu zangu wote niwasamehe kwa yote Martha Simon Michael Marry Anjelina na Daud. Mwenye Enzi Mungu kwa maombezi ya mama Bikira Maria nijaliweoyo wa msamaha na Hawa ndugu zangu wajakiwe wote Roho ya msamaha amina
@Maria-ic5kp16 күн бұрын
Lesson for the Day for me in T- WA US
@marymasungwa2 ай бұрын
Tumuombe Mama Bikira Maria atusaidie
@catherinembaluto67092 ай бұрын
Amen. Tusali Rosali daima
@PatrickWambua-o8v17 күн бұрын
Wimbo tamu
@samwelashayo7511Ай бұрын
Asante sana Mama Bikira Maria kwa maombezi yako ya daima. Yananipa faraja mimi pamoja na familia yangu na rafiki zangu. Asane mama yangu kipenzi sana!!!!!
@user-li3kc6tf3o6 ай бұрын
Jameni tusali rosali milele
@KahindoDéborah-t7tАй бұрын
Asante sana mama,nikumbe mimi na familia yangu,na ma rafiki zangu ❤
@MariselinaMasaoАй бұрын
Nimebarikiwa na hizi nyimbo za mama maria napenda ukatoliki wangu
@WalburgaMushi18 күн бұрын
Mama utuombee wanao
@enatanonga304829 күн бұрын
❤
@israeldanda77899 ай бұрын
Kazi nzuri ya uimbaji, imetulia na inabariki vyema. Hongera sana Valeriana, Mungu kwa maombezi ya Mama Maria akuimarishe na kuendelea kukubariki namna ambavyo ninabarikiwa hadi nasitisha ratiba nyingine nikisikilizia uimbaji uliotulia. 🙏
@Valerie3659 ай бұрын
Amina na amina!
@israeldanda77899 ай бұрын
Ninamsikiliza mpiga kinanda wako, naomba uniunganishe naye nimpe maua yake na bahasha ya khaki aiseee
@Valerie3658 ай бұрын
@@israeldanda7789 Wimbo wa kwanza kinanda amepiga PETER PERFECT.
@johnmalimi148 ай бұрын
Hongera nabarikiwa na nyimbo za mama
@stephanombwana40179 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri dada angu....
@annechebichiy22636 ай бұрын
Kila ninapotaka kusali Rosali uwanina amu ya kuskiza nyimbo za Mama yetu Bikira Maria Mungu akubariki sana mama Valerian Simon🙏😘
@user-cr1je5ut2j9 ай бұрын
Nyimbo nzuri za kubariki.Pongezi sana.
@annahgodblessyouandprayfor65156 ай бұрын
Nyimbo hizo zapendesa sana na zinambariki sana God bless you 🙏
@Valerie3656 ай бұрын
Amen. Tubarikiwe sote!
@mbalamwezilinda3369Ай бұрын
Hallow my dear Vareliana TYK Mimi ndugu yako nakutafuta
@Valerie365Ай бұрын
Karibu Linda. Tafadhali Nikumbushe zaidi.
@jacksonakwenda78388 ай бұрын
Nyimbo tamu sana zenye kuvutia.
@kellengift52143 ай бұрын
Mubarikiye sana kwa nyimbo
@dativamtaresi19736 ай бұрын
Kazi nzuri mamy&Team.❤Am really proud and inspired by you..❤
@Valerie3656 ай бұрын
Be blessed binti wa Yesu!
@dativamtaresi19736 ай бұрын
Amen🙏❤️
@dushimimanaalex41106 ай бұрын
Nyimbo zenu ni sawa kbsa nawapenda Sana
@nancyjepchumbakebenei83673 ай бұрын
Moyo wa Maria utuombee
@user-dh8sk8ej1d9 ай бұрын
Hongera sana🎉🎉🎉
@frankkadege-ev9wg8 ай бұрын
Hongereni sana 😂😂
@deulegervas13039 ай бұрын
🔥🔥🔥
@sammynjoroge55953 ай бұрын
Nyimbo tamu 🔥 🔥
@catherinembaluto67092 ай бұрын
Tumsifu Mama yetu Bikira Maria kupitia nyimbo zake tamu sana. Mama tuombee katika familia zetu na watoto wetu tushinde nguvu za shetani.
@cresensiankembo86589 ай бұрын
Mzidi kubarikiwa
@philipojoseph-tr2xo8 ай бұрын
Asant
@AnatolyMkude8 ай бұрын
😢mama MAMA NIMAMA YETU UTUOMBEE
@kochulemdelvine12854 ай бұрын
Blessings 💞💞💞💞💞💞🙏🙏🙏🙏
@TalishaSalmashally13 күн бұрын
Daktari ako wapi lamo coz uenda joy naye amenda kwa daktari wake avuruhe
@VailetMbina3 ай бұрын
Dada unatisha sana huwa nabarikiwabsana na nyimbo zako,naikumbuka pia ile tuwaombee wagonjwa mashairi yalijitosheleza mungu akutunze dada
@Valerie3653 ай бұрын
Amina na amina
@stephanombwana40179 ай бұрын
Wanaovimba kama mimi hapa tujuane... dada itabidi tukae vizuri nishiriki kwenye wimbo hata mmoja hapo baadae