NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP VOL.04

  Рет қаралды 1,001,334

NYIMBO ZA KUABUDU

NYIMBO ZA KUABUDU

Жыл бұрын

Listen and download :
Swahili heaven Worship on Spotify: open.spotify.com/artist/7CKHJ...
Swahili heaven Worship;
.."Bwana ndiye Mchungaji wangu sito pungukiwa na Kitu"..
Download and listen on all digital platforms;
Spotify: open.spotify.com/artist/7CKHJ...
Itune: / swahili-heaven-worship
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
Facebook: profile.php?...
Instagram: swahiliworship?...
Contact us through;
Phone number, +255759496895
Email; andreanico211@gmail.com
#nyimbozakuabudu #nyimbo #kuabudu #swahiliworship #swahiliworshipsong #lyrics #nonstop #nyimbozamaombi #maombiyausiku #maombi #swahiliheavenworship

Пікірлер: 334
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@stellaasena7137
@stellaasena7137 Жыл бұрын
🙌🏾🙏🏾🙏🏾
@janeongeri7016
@janeongeri7016 Жыл бұрын
Thenkz so much this songs is so nice. Be blessed more and more
@emersonsoftboy
@emersonsoftboy Жыл бұрын
Amen
@mariyaboniface3580
@mariyaboniface3580 Жыл бұрын
🙏🙏
@marymbula529
@marymbula529 Жыл бұрын
Nice
@joanna_kitchens6402
@joanna_kitchens6402 Жыл бұрын
For everyone who reads my comments I pray for you, Mungu akakubariki Sawa Sawa na MAOMBI yako Barikiwa saana na hizi nyimbo Za kuabudu zikakupe amani in the name of Jesus Christ 🙏❤️
@habibaamanzi8518
@habibaamanzi8518 11 ай бұрын
Amen
@jorgbender3284
@jorgbender3284 10 ай бұрын
Amen
@roselynmutoro2810
@roselynmutoro2810 7 ай бұрын
Amen. Blessings to you too
@melleryacheka3981
@melleryacheka3981 7 ай бұрын
Amina Amina
@marianjapasso1404
@marianjapasso1404 6 ай бұрын
Amen and amen
@maureenkenya
@maureenkenya Ай бұрын
Leo nimeamka nikiwa mnyonge na udhaifu mwilini lakini niliposikiliza nyimbo hizi instantantly God fill me afresh no more pain and I'm blessed 2024-04-26 Thank you Father Lord and bless everyone who is listening to this fantastic song in Jesus name Amen❤
@maureenkenya
@maureenkenya Ай бұрын
To God be the Glory❤ we love you jesus
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Ай бұрын
Amen ❤️‍🔥
@brownmwailunda1436
@brownmwailunda1436 10 ай бұрын
Mungu Azidi kuwabariki watu wa Mungu, shetani ameshindwa kwa Jina la Yesu, anatabia ya kuzificha nyimbo hizi kijanja unakuta siku hizi haziimbwi Makanisani kwa hiyo Mnapojitokeza Watumishi wa Mungu na kuzileta humu Munamuaibisha shetani, Na Watu wa Mungu Wanaanza kumsifu Mungu
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 10 ай бұрын
Amen
@rosenamrema7809
@rosenamrema7809 19 күн бұрын
Amen mtumishi
@sharonlizz934
@sharonlizz934 3 ай бұрын
Nilikua nahisi nimefika mwisho lakini hizi nyimbo zimeniamusha sifa kwake mwokozi🙏🙏
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b Ай бұрын
I'm Muslim nahisi namna tofaut kujuwa hii dini zaidi ningekuwa tz ningeenda kanisani hope nikirudi ntakwenda kujuwa zaidi nahisi utulivu saaana kwenye moyo wangu
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 29 күн бұрын
Amen ubarikiwe sana Mtumishi, Mungu azidi kukutia nguvu na kukulinda huko uliko wakati wote ❤️
@rosenamrema7809
@rosenamrema7809 19 күн бұрын
Karibu na Mungu akubariki
@user-zo7wq6pe8d
@user-zo7wq6pe8d 10 ай бұрын
Hakuna mungu Kama wewe,hakuna mshauri Kama wewe,kiukwel nmebarikiwa sana
@FatmaHussein-tr3gt
@FatmaHussein-tr3gt Жыл бұрын
Amina amina wariyeimba nyimbohii mungu awabariki sana mana nami nimebarikiwa sana
@stephenlembo8986
@stephenlembo8986 4 ай бұрын
Endelea kukiri wema wa Mungu ndani ya maisha yako.
@flaviacharles1348
@flaviacharles1348 Ай бұрын
To Jesus be the Glory always. Asante sana kwa kutuwekea hapa nyimbo hizi zilizojaa upako wa nguvu.
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Ай бұрын
Amen 🙏
@kiliannanneka3767
@kiliannanneka3767 27 күн бұрын
Hossain ndiwe Mungu wetu oooh❤ imenikumbusha maisha ya shule tulikua tukiabudu kwa roho yaan raha sana wimbo umenigusa sana huu🙌
@PriscaKamathi
@PriscaKamathi 8 ай бұрын
I have faith in you God bless my family 🙏🙏 usiache huu mwaka upite bwana usiache huu mwezi uishe bila kuponya my blood siz ooh God.But in all let your Will be done, you have a purpose for each and person 🙏🙏
@HildaKessy-yw7kh
@HildaKessy-yw7kh 4 ай бұрын
Hilda ukimjua yesu ni raha sana
@aishahamadi6592
@aishahamadi6592 Жыл бұрын
Am a Muslim just woke up today I feel God's presence in my life baba kumbuka nafsi zetu
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen 🙏 stay blessed 😇
@kayteben5912
@kayteben5912 Жыл бұрын
Jesus loves you.
@agnesmwende1104
@agnesmwende1104 Жыл бұрын
Be blessed
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Even me my dear am blessing through this worship songs
@ceciliamwangi2229
@ceciliamwangi2229 Жыл бұрын
That great,we serve a great God,stay blessed
@user-dg3li6sj7d
@user-dg3li6sj7d Ай бұрын
Amen amen mungu awabaliki sana
@Mercymunene67-cz6hg
@Mercymunene67-cz6hg 6 ай бұрын
Tenda miujinza katika Maisha yangu Baba🙏🙏🙏🙏I need you in my life lord please be with me.
@floramacheva5855
@floramacheva5855 11 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏🔥🔥🔥....am blessed 🙏 today.... Mungu tenda muujiza ndani ya maisha yangu yote
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 11 ай бұрын
Listen and download on all paltforms BOOMPALAY www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID SPOTIFY open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=hLWrCz7RSZeUZb0nHCKSog APPLE MUSIC itunes.apple.com/album/id/1690338996
@fanuelotieno5926
@fanuelotieno5926 Жыл бұрын
Hello anybody here listening to these songs please let us pray for our nation...🙌👏👏
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 10 ай бұрын
Amen
@suzanmarroch9662
@suzanmarroch9662 Жыл бұрын
God is real and God lives inside of me, and inside of all of us ...its doesn't matter whr I'm I know and I feeling
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 11 ай бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@martinbyamungu5539
@martinbyamungu5539 7 ай бұрын
Yani nikisikiya izi nyimba nagisikiyaka kama niko paradizo jamani Mungu nimuzuri naanakuwaka najibiya maombi ukimuomba
@nziokidoris524
@nziokidoris524 4 ай бұрын
Tenda muujiza katika maisha yangu Bwana,
@domisianmbuya2310
@domisianmbuya2310 2 ай бұрын
Hakika hakuna mungu Kama wewe🙏
@user-dj7ge7mv8t
@user-dj7ge7mv8t 4 ай бұрын
Mungu akubarik sana na wimbo hu ukawe baraka kwang ktk mwak huu
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 11 ай бұрын
Aleluya aleluya aleluya unastaili baba wa mbinguni pokea sifa na utukufu yesu mkombozi wetu 👏👏👏🙏🙏🙏
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 11 ай бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@timothysalehe402
@timothysalehe402 6 ай бұрын
Mkuu kama hutojali naomba unitajie majina ya waliomba hizi nyimbo mbili za Mwanzon na Mungu akubariki sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@JohaBadru
@JohaBadru Ай бұрын
Today is Thursday morning kupitia hizi nyimbo tutafunguliwa na tumeshafunguliwa kwa jina la yesu.. tupe amani ya moyo tuwe na furaha ya munguu.. Mateso yote yatuachee na shetani yoyote ambae ni mbaya kwanzia now anashindwa kwa jina la yesu.. mungu atubarikii amina...
@rhodanangoma7386
@rhodanangoma7386 Ай бұрын
Ni wewe tu Bwana! Ni wewe tu
@jisephatbombo4614
@jisephatbombo4614 10 ай бұрын
Hakuna mungu kama wewe
@user-by5yi4mv1e
@user-by5yi4mv1e Ай бұрын
Very nice song
@masikaathuman
@masikaathuman 3 ай бұрын
Currently i have been going through alot may God forgive me for everything I have done and heal my heart with everything Iam going through 😭😭😭😭
@glory.nyimbozadinishirima2825
@glory.nyimbozadinishirima2825 Ай бұрын
Hakika Mungu ni mkuu anastahili kuabudiwa milele
@mariasiantemi3410
@mariasiantemi3410 Ай бұрын
Tenda miujiza ktk Maisha yangu wewe bwana nakutumainia usiniache ❤
@MerryJoseph-tu8on
@MerryJoseph-tu8on 9 ай бұрын
Amina nimebarikiwa sana
@user-dj7ge7mv8t
@user-dj7ge7mv8t 4 ай бұрын
Ni wewe MUNGU peke yako unastahil hakuna kama wewe!
@JohnsonUshaki-xd7em
@JohnsonUshaki-xd7em 3 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu yangu
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 3 ай бұрын
Amen 🙏
@kabibiscovia9141
@kabibiscovia9141 Ай бұрын
tenda miujiza baba mwaka huu usipite bila kutenda miujiza
@happywiliam4984
@happywiliam4984 Ай бұрын
Pokea sifa na utukufu baba ni wewe tu kauna kama wewe
@user-cd9cw8wq3o
@user-cd9cw8wq3o 2 ай бұрын
Hakika hakuna kama Mungu,ukimwita anaitika
@aughstusmasila8673
@aughstusmasila8673 Жыл бұрын
Amen amen barikiwa sana mtumishi wa mungu wimbo safi sana amen amen
@user-vr5ur7mp7p
@user-vr5ur7mp7p 2 ай бұрын
Good blessed
@richmondclassic2014
@richmondclassic2014 3 ай бұрын
Am woke up Thanks God
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 3 ай бұрын
Amen 🙏
@Neema-pe2ec
@Neema-pe2ec 8 ай бұрын
YESU niokoe katika majaribu
@divinahnyatichi4978
@divinahnyatichi4978 Жыл бұрын
N asubui njema tumefunguliwa na mungu asante Baba kwa siku ya Leo 🙏🙏🙏🙏
@DianaTweve-iv6lc
@DianaTweve-iv6lc Жыл бұрын
Wewe ni mungu unaeishi kwenye maisha yangu
@user-pp3of6kw6p
@user-pp3of6kw6p 4 ай бұрын
Ni kweli hakuna mungu was kufanananishwa na mungu wetu
@sallylimo3070
@sallylimo3070 Жыл бұрын
Nyimbo za baraka. Nina kila sababu ya kumsifu na kumwabudu Mungu aishie milele. Pokea sifa Yesu Kristo
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 11 ай бұрын
listen and download through various Digital platforms through the link below Boomplay; www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID Spotify; open.spotify.com/artist/7CKHJr2FF9vn69VYcMf00p?si=BWxUtRGYSSiG9Ct8aEY8yg& Apple Music; music.apple.com/tz/artist/swahili-heaven-worship/1690080319
@joycemmassi5046
@joycemmassi5046 5 күн бұрын
Read. Psalm 32:8. Holly spirit will teach and show you the way to pass every day be blessed and DON'T GIVE UP!!!
@christinakalonga6032
@christinakalonga6032 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri zilizojawa upako nabarikiwa Sana
@SarahAman-hr7ly
@SarahAman-hr7ly Ай бұрын
wewe ni Mungu usiye shidwa baba endelea kutuonekania nakutupigania
@sylviaomwenga8740
@sylviaomwenga8740 4 ай бұрын
Hakuna kama wewe bwana 😢😢😢😢unaweza kabisa Jehovah
@ezelinemboma1716
@ezelinemboma1716 4 ай бұрын
Jesus please make it happen this time, let me testify your greatness in my life❤
@flaviacharles1348
@flaviacharles1348 Ай бұрын
You deserve all the Glory and Honour Lord.
@loreenmwambinguloreen7373
@loreenmwambinguloreen7373 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI sana MTUMISHI kwa nyimbo zenye uwepo wa MUNGU ndani yake
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen 🙏
@TarimoTarimo-pf5lo
@TarimoTarimo-pf5lo Жыл бұрын
Uwepo wa mungu unashuka amen!!
@user-iq3mb2zd7k
@user-iq3mb2zd7k 4 ай бұрын
Ikawe kwagu me mwaka huu ❤❤ MUNGU wangu❤❤
@rebekasanga3341
@rebekasanga3341 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen 🙏
@anodimatei7013
@anodimatei7013 Жыл бұрын
YEHOVA NAOMBA UNIKUMBUKE
@joycenose2356
@joycenose2356 4 ай бұрын
Amen 🙏🙏😢😢 hakika Mungu anaweza
@LomanaLucasi-yf3qh
@LomanaLucasi-yf3qh 2 ай бұрын
Hakika mungu anaweza
@hawadaud2609
@hawadaud2609 Ай бұрын
Asante yesu wangu umeniokoa
@JsjsHzsh-tk1kg
@JsjsHzsh-tk1kg 5 ай бұрын
I'm blessed 😭 Asante Mungu
@happywiliam4984
@happywiliam4984 Ай бұрын
Tenda miujiza mungu kwenye maisha yangu
@user-ob4jb7uc4m
@user-ob4jb7uc4m Ай бұрын
Amen amen amen
@manmaking7717
@manmaking7717 5 ай бұрын
The one who composed this masterpiece was completely driven by the power of Holy Spirit
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 5 ай бұрын
Amen 🙏
@ConfusedCaptainHat-ke2nj
@ConfusedCaptainHat-ke2nj 4 ай бұрын
🎉
@NellyKadenyi-qc3em
@NellyKadenyi-qc3em Ай бұрын
Amen Amen Amen
@user-ez7lk3it5s
@user-ez7lk3it5s 5 ай бұрын
Amina
@marthakinya389
@marthakinya389 Жыл бұрын
Amina,thank you LORD JESUS,,atawakumbuka sister Aisha usiwena shaka ni mungu wa Rehema,
@Gideonnaire
@Gideonnaire Жыл бұрын
I'm a sinner but I believe in Jesus Christ and salvation
@sharonnaliaga719
@sharonnaliaga719 Жыл бұрын
🙌 Hallelujah ninasababu ya kukuabudu. Ukuu wako na uwaminifu wako Nisabu ya kukuabudu
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen 🙏
@terezimwangombe2009
@terezimwangombe2009 Жыл бұрын
I feel so blessed kindly help me download this worships
@annabar6603
@annabar6603 Жыл бұрын
Bwana Yesu Christu Umetukuka asante Yesu Christu
@judysenelwa3031
@judysenelwa3031 Жыл бұрын
Hiiyo ni mwimbo yangu
@leornadchali9683
@leornadchali9683 Жыл бұрын
Wewe tu bwana ninaekutegemea ni wewe tu mungu wangu
@zakarygitei4348
@zakarygitei4348 Жыл бұрын
Good work in doing the compilation.
@lavenderauma794
@lavenderauma794 Жыл бұрын
Thank you God for loving and mercy..you save my daughter and siz in terrible accident where alot of people loss their lives I will always be greatful 🙏🙏🙏🙏your living God and I will save you until my death thank you Jesus 🙏🙏🙏
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen Stay blessed 🙌
@hopesonchangala4934
@hopesonchangala4934 Жыл бұрын
Amen
@jenifalaurian8924
@jenifalaurian8924 11 ай бұрын
Amen
@annabar6603
@annabar6603 Жыл бұрын
Halleluja Halleluja worship Jesus Christ is king of kings and lord of Lords we love you our redeemer saviour refuge fortress hakuna kam wewe bwana Amen
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen , plz subscribe 🙏
@rosianacool2041
@rosianacool2041 Жыл бұрын
Amen and Amen ,sifa na utukufu Kwa Mwenyezi Mungu 🙏
@francismepukori9840
@francismepukori9840 6 ай бұрын
I'm blessed through this holy songs❤ May Our Almighty God continue to do miracles for all listenership and believers 🙏
@user-nu9dh8vw7l
@user-nu9dh8vw7l 10 ай бұрын
Gory to God 🙏🙏🙏 am blessed
@robertsinyinza4103
@robertsinyinza4103 Жыл бұрын
😂we thank God for you brother for Gods presence continue to be with his presence happy for you
@LiziweNgogodo
@LiziweNgogodo 4 ай бұрын
Thank you I'm so blessed amen
@lindakapesa2934
@lindakapesa2934 10 ай бұрын
I love you Jesus
@annaclement2723
@annaclement2723 Жыл бұрын
Ashukuriwe mungu wetu
@coolwaveac7659
@coolwaveac7659 Жыл бұрын
Amen ni wewe Yesu unaye sitaili kuabudiwa na kupesa sifa
@DismasSembuye
@DismasSembuye 14 күн бұрын
Amen
@lydiaatieno7611
@lydiaatieno7611 11 ай бұрын
Thank you Jesus,,hakuna kama wewe Bwana🙏
@user-ie1uk7dr9h
@user-ie1uk7dr9h 9 ай бұрын
I feel blessed
@HelenaMputa-xq3xx
@HelenaMputa-xq3xx Жыл бұрын
Pambio za kusifu
@estherwayua4589
@estherwayua4589 5 ай бұрын
Nobody else but you Lord🙏
@elizabethnafunamakhanu8064
@elizabethnafunamakhanu8064 Жыл бұрын
Hallelujah hakuna aliye kama wewe Mungu 🙏😭😭 ubarikiwa
@felixmtoga9352
@felixmtoga9352 Жыл бұрын
Thanks Jesus My savior for this opportunity...
@invocavitnatai9539
@invocavitnatai9539 Жыл бұрын
Amina nyimbo zina ni Bariki sana
@kebeloemanueli5290
@kebeloemanueli5290 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kwa nyimbo nzuri
@georgeokelo4400
@georgeokelo4400 9 ай бұрын
I love this song
@j-keyz8291
@j-keyz8291 Жыл бұрын
With my Heavenly Father I'm not worried kabisa. May almighty God be praised.
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen 🙏
@monikanduku7938
@monikanduku7938 Жыл бұрын
Nabarikiwa na nyimbo zako amenn
@annbns3398
@annbns3398 9 ай бұрын
I am blessed by these songs ,
@messytishta908
@messytishta908 Жыл бұрын
I saw this mix at my bosse's place i have been searching it ☺today o found it🙏🏻☺
@nyimbozakuabudu2650
@nyimbozakuabudu2650 Жыл бұрын
Amen 🙏
@peshwanyambu1102
@peshwanyambu1102 Жыл бұрын
Am blessed
@jacklinesangu3294
@jacklinesangu3294 Жыл бұрын
Amina
@liliannganga5045
@liliannganga5045 Жыл бұрын
You're worthy my Lord no one like you
@user-dj7ge7mv8t
@user-dj7ge7mv8t 4 ай бұрын
No any one like u gehova
@jackyatieno8225
@jackyatieno8225 Жыл бұрын
Good songs worshiping song,s
@user-wm6jj6wc9q
@user-wm6jj6wc9q 9 ай бұрын
Nibarikiwa cna
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI WORSHIP SONG WITH LYRICS NONSTOP 2024 VOL.06
58:53
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 3,9 МЛН
Black Magic 🪄 by Petkit Pura Max #cat #cats
00:38
Sonyakisa8 TT
Рет қаралды 30 МЛН
Заметили?
00:11
Double Bubble
Рет қаралды 2,7 МЛН
How I prepare to meet the brothers Mbappé.. 🙈 @KylianMbappe
00:17
Celine Dept
Рет қаралды 55 МЛН
BEST OF ISRAEL MBONYI MIX
39:46
DigitLight Agency
Рет қаралды 988 М.
DAMU YA YESU INANENA MEMA __ WIMBO WA KUABUDU
8:55
Dr. Luis Malole
Рет қаралды 976 М.
10 GREATEST SONGS 2023 OF SIFAELI MWABUKA- SKIZA DIAL *811*29#
57:18
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 1,2 МЛН
Swahili Worship Songs, 2020 Video Mix
1:46:29
CyberWorld
Рет қаралды 4,6 МЛН
DEEP SWAHILI WORSHIP MIX | 1 HOUR OF NONSTOP WORSHIP GOSPEL MIX | DJ KRINCH KING
41:47
Black Magic 🪄 by Petkit Pura Max #cat #cats
00:38
Sonyakisa8 TT
Рет қаралды 30 МЛН