Dada farida nakupenda najiamini kazini kwangu kwakitumia mafunzo yako yaani ni bando langu tu😘😘
@faridaothman Жыл бұрын
Hongera sanaa
@user-fm9gq5xn4l5 ай бұрын
Asante dada mwnyez mungu amekupa kipaji kwakwel ashukuriwe allah!
@elipendoemanuely81712 ай бұрын
Asnte dada nakupenda
@FeelbetterMahay-mq3dn8 ай бұрын
Uko vizuri sana mungu akubariki uendelee kuishi miaka mia
@florakimuto-yd9je3 ай бұрын
Unafundisha sana dada nakuelewq
@helenamalisamalisa4 ай бұрын
Mungu amtuze
@mtendajames5656 Жыл бұрын
Happy new year madam wangu nimekuja nmejfunza vingi
@dorcusmsinga31367 ай бұрын
Farida Mungu akubariki sana unasaidia wengi mnooo nikiwa mmoja wapo ninae faidika na video zako
@user-bg6fe7ku1l4 ай бұрын
Naomba kuliza unaweza tumia rasta ya aina yoyote
@user-qc4fh6ej8r5 ай бұрын
Hongela dad nilikuwa sijui dizaini ya kuskia lasta za aina gani nimezielewa asnte
@sollomushi7842 Жыл бұрын
Ni aina gani ya rasta inatumika?
@tatumatuta427610 ай бұрын
Dd Farida upo vzur mungu akubariki
@edithayoram4601 Жыл бұрын
Nimeipenda iko good madam
@EdithKimario3 ай бұрын
Inahitaji rasta bunda ngapi
@asterebeautysalon602 Жыл бұрын
Nzuri sana hii Mungu akubariki kwa mafunzo tunayopata
@faridaothman Жыл бұрын
Sante sana
@beatricemoses Жыл бұрын
Madam wangu happy new year 💋😘
@LoyceMwekwa2 ай бұрын
Dada faridakwan rasta za maj mot n tofaut na za kawaida?
@user-hy1kw2ou2j10 ай бұрын
Naomba nifundishe notres
@faridatwaha5955 Жыл бұрын
Nimekuelewa Sana dada wajina
@innassalum9292 Жыл бұрын
Midoli ya kujifunzia inapatkn pia?
@user-vs6vx6rs9n7 ай бұрын
Vizuri sana❤
@priscaheguye4408 Жыл бұрын
Barikiwa san
@DavidPatrice-qv6of11 күн бұрын
Mnasuka vizuri
@faridaothman10 күн бұрын
Sante sana
@PhilipinaPiusy-wt3dv Жыл бұрын
Hii Rasta inaitwaje na inauzwa Bei gan
@user-zr5kf5pk4p Жыл бұрын
❤❤❤❤ da farida
@merylyimo926711 ай бұрын
Asante dada nimepata kitu
@dinnasilayo3159 Жыл бұрын
Niunganishe kwenye group
@jenifasimbuta625711 ай бұрын
Da farida mikia unasuka mpka mwisho
@user-ur8rl9hf1m5 ай бұрын
Rasta gani zinatumika
@dargiesglam98 Жыл бұрын
Farida apo kwenye mawimbi ukishachoma na maji moto unatoa uzi muda huohuo au unasubiri zikauke ndo mawimbi yatokee?
@masemopaul878 Жыл бұрын
Nataka kujifunza
@user-hw9vc3xy7l9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@ameena123 Жыл бұрын
kazi nzuri sana barikiwa
@faridaothman Жыл бұрын
Sante snaaa
@niselascarion94893 ай бұрын
Nimekupenda hapo unasema usipokua makini unaweza kumchoma mteja ni kweli baadhi ya saloon hawana umakini unahisi kabisa huyu mtu ataniunguza aiseee , mfano wewe umesema hakikisha mpo kama wa 4 eti mtu unakuta ni mmoja anataka afanye mwenyewe
@monicafelisian73474 ай бұрын
Jaman uko wap nataka nisuke
@dargiesglam98 Жыл бұрын
Mi nina swali.. apo kwenye mawimbi ukishaliweka na maji moto. Unayafujua muda huohuo au umasubiri zikauke ndo ufunue mawimbi
@adelinakibejile654 Жыл бұрын
Kaz nzr mnooo ila madam umebana sauti jamaniii mjitahd kuongea kea sauti kubwa iv
@faridaothman Жыл бұрын
Sawa pia ongeza kwa simu yako
@irenemwakisyala-ew8rb Жыл бұрын
Mbona mi nikiweka mawimbi yanakuwa marefu hayawi mafupi km hvo
@isumbaally6850 Жыл бұрын
Ukishaweka maji moto unakausha na draya alaf ndo unafungua au unazfungua hivohivo mbichi?
@faridaothman Жыл бұрын
Huwek kwa draya
@dorisedom7358 Жыл бұрын
Madam mi nimejalibu mawimbi hayakai wap nakosea?
@dorisedom7358 Жыл бұрын
Madam mi nimejalibu mawimbi hayakai wap nakosa?
@faridaothman Жыл бұрын
Unatumia rasta gan
@chummakeup77 Жыл бұрын
Unaweza kusuka kwa Rasta Aina yeyote
@dominamagafu2348 Жыл бұрын
Farida ninashida na hivo viti vya darling navipataje?