Wale tunaotarajia kuwaimbia tuwapendao future….. wimbo huu hapa pole pole tusikanyagane jomn❤
@user-bo9bw7wk9b5 күн бұрын
Mungu akubaliki sana naamini hii nyimbo kama uliniimbia mimi maana ameniokoa nilikuwa ngizana sioni mblie yangu baada ya kusikiliza hii nyimbo moyo wangu umekuwa na amani
@joshuamwangi959810 күн бұрын
What a fantastic song, be blessed bro 🙏 🙌
@zainablinda66626 күн бұрын
Barikiwa kaka nyimbo zako nazipenda saaaaaa🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯👌👌
@elizabethmtabale-wt7bd3 күн бұрын
Glory to God mungu adhidi kukuza kipaji chako
@laxmajor10 күн бұрын
Sasa hapa kumekuchwa ⭐😍🇹🇿
@SilvestaKilamlya9 күн бұрын
Naomba roho mtakatifu nikumbushe siku ya harusi yangu niingie na huu wimbo maua mengi kwako kaka @ObbyAlpha 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🥀🥀🥀🥀🌷🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🥀🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@mesiambilinyi41129 күн бұрын
Kwa kwelii Na mm roho mtakatifu naomba nikumbushe Huu wimbo siku ya harusi yangu❤
Nani kapenda BRIDGE kama mim ( Kumbe msiri wangu Ana Msiri wake...Rafiki Yangu Ana Rafik Yake....Ndugu Yangu Ana Ndugu Yake....Siri Siyo Siri Tena.)Haleluyaa YESU Rafiki mwema
@allymaibisa1255Сағат бұрын
Haya wale mnopenda Mziki mzuri mje hapa Mimi nimeshaupakua huu wimbo
@alexnyaga66069 күн бұрын
Kali sana @Obbyalpha. Mungu azidi kukubariki
@MohMauzo-mm7xb9 күн бұрын
Albamu kali sana kaka kila wimbo umenibaliki sana
@yohanameshacklikindaanyu28849 күн бұрын
well arranged and performed🎉🎉🎉🎉🎉
@eliassoingei204615 сағат бұрын
Oneday nitamwimbia somebody huu wimbo
@cynthiamumbua28795 күн бұрын
😂😂😂not me listening to this na sina wa kwangu lakini nina imani nitampata wa kwangu
@AniaSawaki9 күн бұрын
Nimepata wimbo bado bwana harusi 😂
@mrsinia30649 күн бұрын
Nipo hapa
@doncolionthereferee25410 күн бұрын
weeeee wenye tuko single tusi sikilize hii
@mesiambilinyi41129 күн бұрын
😂😂
@merpattoi3 күн бұрын
Have loved every song in this album ❤❤❤❤❤
@andrewamoss18528 күн бұрын
barikiwa sana obby huu wimbo ni wimbo uliofana sana
@jimmytv280510 күн бұрын
Wimbo wa harusi tayari bado mke sasa
@mrsinia30649 күн бұрын
😂😂😂 nitakupa dada
@RashidySalehe10 күн бұрын
Grory to god wimbo wa viwango vya juu
@safenathpanea10 күн бұрын
Be blessed broo 🙌🙌
@yonachitema9 күн бұрын
Wow 👌
@b3falampendwa7588 күн бұрын
I @m happy too.
@straton379 күн бұрын
Furaha 🙋🙋
@puritykarimi_9 күн бұрын
Hallelujah 🎉❤❤
@BenyDaniel9 күн бұрын
Amen amen
@brainwambua16907 күн бұрын
Everytime this guy hanatowa new song I find myself loving him More ❤❤❤❤
@eliudhezron1819 күн бұрын
Wimbo wa harusi tayal haya bibi harusi come near to mr🎉🎉🎉