Рет қаралды 144
FELIX BOIMANDA
Ni shule ambazo zinamilikiwa na kanisa LA Waadventista wa Sabato, jimbo LA nyanda za juu kusini. Ni shule zinazofanya vizuri saana kitaaluma na zinatoa malezi bora katika nyanja zote. Karibun saaana.