Рет қаралды 24
ONGEA ni Kipindi cha redio kinachotoa elimu kwa vijana juu ya UKIMWI, afya ya uzazi, ukatili wa kijinsia, lishe, na stadi za maisha.Kinaratibiwa na Tacaids kwa ushirikiano na Unicef na ofisi ya waziri mkuu (Tamisemi).
kaulimbiu: KIJANA JITHAMINI, TULIZA MIHEMKO, PIMA VVU, TUMIA KINGA.