Mashallah, napenda mawaidha ya shekhe othman maalim na NAMPENDA SANA Shekhe Othuman maalim kwaajili ya Allah, ALLAH akuifadhi na akuepushe na MITIHANI ya Dunia na Akujaalie JANNAH inshallah.
@vainusaaburo79948 жыл бұрын
Ila tu nachukia anasherekea maulid which is bid'ah Subhaana Allah
@fatmaally7147 жыл бұрын
+Vainusa unajua maana ya bidaa ?
@hilalhilal84004 жыл бұрын
Mashallah. Shekh ulio leleka na Mashekh. ALLAH. SW. Akuongozee hivyo hivyo mpaka peponi inshaAllah.
@MrsRight-wf7mb4 жыл бұрын
Amin thumma Amin.
@aishajeaninejeanine89345 жыл бұрын
shukrani sheikh wetu napenda sana mawaidha yako Allah akujalie umri izidi kutuongoza Amiin
@saleheomary36405 жыл бұрын
Mashallah
@rehematawalani74725 жыл бұрын
Naam shukran sana ma'alim Othman kwa mawaidha yako
@aligedi28695 жыл бұрын
Mashallah sheikh upo sawa sana mungu akijalie umri
@OmanOman-gc1zu4 жыл бұрын
jazzakaAllah kheri Allah akuzidishie kila KHERI katika maish yako in shaa Allah 🙏🏻🙏🏻🙏🏻♥️
@saidal-harthy91092 жыл бұрын
Zanzibar is not 7
@rufaydabaskut22307 жыл бұрын
allahumma swali wasalim alayh.....shukran ya ustadh napenda sana darsa zako
@lemugamba70215 жыл бұрын
Nwenyezi mungu akupe mwisho mwema
@hanunnahtimamy23423 жыл бұрын
Sauti yake vile ile mzuri mashallah ❤
@kassimkhamis75818 жыл бұрын
wewe ukiwa huyapendi ni wewe hujayajuwa nini maana ya maulidi hatuyaachi kuyasoma maulidi mpk yaumu kiyama mauli ni kwenda kusikiliza itori ya bwana mtumie صلى الله عليه وسلم 🌷
@abdulrahimmohamed84268 жыл бұрын
Hata kuweka umeme, tiles na umeme msikitini ni bidaa mtume hukufanya, we umeona maulid tu?
@mikidadibonifacsiwa46665 жыл бұрын
Tuisomeni dini
@amirikhatibu19894 жыл бұрын
Maashaalah
@rufaydabaskut22307 жыл бұрын
hata mm sitoacha kusoma maulid mpka kufa kwangu na family yetu kwa jumlaaaaa.....hata kua na simu ni bidaa usiwe nayo my dia
@liverpoolfootballclub99854 жыл бұрын
Rufayda baskut Sadakta
@ramathedon40013 жыл бұрын
tusigombane kwa ajili ya maulidi sisi sote niwamoja na mungu wetu ni mmoja na mtume wetu ni mmoja basi isitufanye tukachukiana sisi kwa sisi