No video

OTHMAN MASOUD AIBUA MENGINE MAPYA TANGANYIKA INAVYOIBANA ZANZIBAR (SUBSCRIBE)

  Рет қаралды 2,345

ACT Wazalendo Digital

ACT Wazalendo Digital

Ай бұрын

Asante kwa kutazama Video hii tafadhali Subscribe kuwa wa kwanza kupata taarifa zatu kila wakati.

Пікірлер: 12
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 Ай бұрын
Wazanzibar hemu tujitambua tuna akili gani hawa watu wa upinzani wanaongea ukweli kabisa lkn tunajitia utashi hivi mbona ccm hawaongei kama hawa wa upinzani tuache ujinga Zanzibar haina kauli yoyote ccm wapo kwa maslahi yao binapsi maraisi na mwaziri tuzinduke haswa vijana na wakina mama tuwe pamoja ccm wanatugawa wa unguja na pemba ili wao wapate kufanya yao wala tusihadaike na elfu kumi na flana tujiangalie tunakaa mika yote hatuna tunalolipata sio tumtumikie bwana tu huku disi tunakufa kwa njaa wazanzibar inatosha sasa tuamkr
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
SIRI KUU YA MUUNGANO NA CHAMA CHA MAKANISA✝️ Serilali ya Muugano wa Zanzibar na Tanganyika inalindwa na Chama Cha Makanisa (CCM) kwa faida ya Tanganyika.✝️
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Ай бұрын
Unachoongea hukielewi, Muungano yote ina changamoto hata wa ndoa inayohusisha watu 2 tu. Hivyo tuzungumzie changamoto. Kabla ya 1964 (Mapinduzi ya Zanzibar) na utawala wa Karume miaka tisa 1964 - 1972 Wazanzibar wenye asili ya Pemba walikuwa Pemba na wenye asili ya Unguja walikuwa Unguja, wakati huo Karume alikuwa Makamo wa Rais wa Tanzania mwenye mamlaka kamili kama Rais ikiwemo kusaini miswaada na ikawa sheria mfano 10/06/1965 alisaini mswaada wa fedha (shilingi ya Tanzania) iliyopo leo na kuwa nyongeza ya 1 kwenye mambo 11 ya pili ya mambo ya Muungano ambapo leo yapo 22 ingawa kabla hajafa Karume yalikuwa hayajafika idadi hiyo. 1977 ndio ilianzishwa CCM na Mzee Jumbe kama Rais ndie aliyeanzisha kampeni ya Wazanzibar kuchanganyika kwa vijana wa Unguja kusoma Pemba na Wapemba kusoma Unguja, kuanzia hapo ndio tunapata Zanzibar tunayoiona leo. Hivyo CCM ndio iliyotengeneza Zanzibar unayoiona. Changamoto zipo na siasa iwepo lakini tujifunze "appreciate inquiries" ili kuzuri tuseme na kibaya au kasoro tuseme. Tukifanya siasa hizi za kuona CCM ni mbaya kwa kila kitu itabidi na wao watengeneze "defence mechanism" ya kufanya kila kitu ni kizuri. Hata Mhe. OMO alipata fursa ya kuwa Mwanasheria Mkuu wa SMZ kwa miaka karibu 10. Ofisi hiyo ndio inasimamia mikataba yote ya SMZ ikiwemo Muungano yeye kafanya lipi hata leo aone wenzake ni wa ajabu.
@user-mk8pr6vq5e
@user-mk8pr6vq5e Ай бұрын
Mungano hatutaki
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Ай бұрын
@@hajihassan5433 TAAREKHE YA ZANZIBAR INAPOTOSHWA KUWABAGUWA WAZANZIBARI KUHALALISHA MUUNGANO KWA UKOLONI WA TANGANYIKA Ni kweli "Muungano yote ina changamoto hata wa ndoa inyohusisha watu 2 tu." Nchi kadhaa za Afrika zilifanya Muungano na kuvyunjwa kwa salama na amani. Ndoa nyengine huvunjika tafauti na ndoa ya Tanganyika na Zanzibar baina ya Abeid Karume na Julius Nyerere. Kwa vile hawakuzaliwa Zanzibar, Waislam wa Dola walikuwa ni Muhanga kwa kulazimisha Muungano. Kabla ya Abeid Karume, Mzaliwa wa Nyasaland (Malawi) kuhamia Unguja na kuwa Rais wa Zanzibar, kulikuwa hakuna Ubaguzi baina ya Wa-Pemba na Wa-Unguja kama baadhi ya Wazanzibara na Wakiristo wanavyopotosha kwa faida ya Tanganyika na Kanisa Katoliki la Nyerere anayetakiwa kuwa Mtakatifu kutoka Mji wa Vatican. UMOJA WA WA-PEMBA NA WA-UNGUJA KWA U-ZANZIBARI Baadhi ya Wazanzibari waliozaliwa Pemba waliishi na walisoma Unguja. Sheikh Muhammed Shamte Hamad al-Shirazi, Mzaliwa wa Pemba alisoma Unguja pamoja na Sheikh Ameir Tajo al-Shirazi, Mzaliwa wa Unguja. Walisoma kwa Sheikh Fattawi Issa al-Shirazi, Mzaliwa wa Unguja. Lakini wote ni wanafunzi wa Mufti Hassan Ameir al-Shirazi, Mzaliwa wa Unguja. Baada ya Wakoloni wa Uingereza kumwambia Nyerere aunde (Afro-Shirazi Party) dhidi ya Zanzibar Natioinalist Party (ZNP) Raisi wake Sheikh Vuai Kitoweo, Mzaliwa wa Unguja, ndipo Sheikh Muhammed Shamte Hamadi al-Shirazi na Sheikh Ameir Tajo al-Shirazi waliunda Zanzibar and Pemba People Party (ZPPP) kuwaunganisha Wa-Pemba na Wa-Unguja dhidi ya Ukoloni wa Kikafiri wa Uingereza. Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi, Mzaliwa wa Unguja pia aliishi na alisoma Pemba kabla ya kwenda Tanganyika baada ya kuitwa na Wanafunzi wake walokwenda kusoma kwake Unguja. HARAKATI ZA WAISLAM KWA UHURU WA TANGANYIKA KABLA YA NYERERE Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi alifuata nyayo za Mwalimu wake Sayyid Ahmad Abu Bakar al-Sumait baada ya kuwa Mshauri wa Sultan Abdul Hamid wa Uturuki na Mkuu wa Pan-Islamism dhidi ya Ukoloni wa Kiingereza nchi za Kiislam. Akiwa Tanganyika Muifti Hassan bin Ameir al-Shirazi alipigania Pan-Islamism wakati Zanzibar ni Makao Makuu kwenye Msikiti Barza. Kadhalika, alipigania harakati za ukombozi wa kupigania Uhuru wa Tanganyika Mkatoliki Nyerere kujiunga na siasa kwa msaada wa Maryknoll Fathers ya Chama Cha Makatoliki (CCM) na 1957, Katibu Mkuu Padre William Collin alimwandikia Father Heinzmann wa Vatican City kwenye: NYERERE AND HIS RELATIONS WITH THE MARYKNOLL IN TANGANYIKA kuwa: "The British Colonial Administration and the Catholic Church support Nyerere because he dedicated to lead the party (TANU) to the Catholic direction." Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi ni miongoni mwa Waislam 14 waliompokea Nyerere kujiunga na Tanganyika African Assosication (TAA) kama wafuatao: 1) SHEIKH HASSAN BIN AMEIR AL-SHIRAZI 2) Sheikh Sulayman Takadir 3) Mohammed Tambaza 4) Omar Kilondo 5) Rajab Diwani 6) Mshume Kiyale 7) Mwinyijuma Mwinyikambi 8) Tatu Mzee 9) Asha Ngoma 10) Hawa Maftah 11) Khadija Kamba 12) Titi Muhammad 13) Said Chamwenyewe 14) Tewa Said Tewa UONGOZI WA NYERERE NA FADHILA ZA PUNDA Baada ya Mkatoliki Nyerere kuwa Rais wa TAA, aliwafukuza Waislam na kuwaingiza Makatoliki alosoma nao St. Mary Missionary School. Kati yao ni Andrew Tindedebage, George Magembe, Patrick Kunambi, Germano Pacha, Kirilo Japhert, John Rupia na Joseph Kimalando. Wote walishirikiana na Mkoloni wa Uingereza Gavana Edwward Twining. Baada ya Muungano, Nyerere alimfukuza Mufti Hassan bin Ameir al-Shirazi na kurudi kwao Zanzibar. Nafasi yake ilichukuliwa na Mwanafunzi wake Sheikh Muhammad Sulayman Nassor al-Shirazi, Mzaliwa wa Makunduchi na Mwalimu wa Muhammed Abdul Rahman Dedes, Mzaliwa wa Unguja. Na Maalim Seif Shariff Hamad al-Shirazi, Mzaliwa wa Pemba aliishi na alisoma Unguja kabla ya Mapinduzi na alimsomesha Juma Duni Haji, al-Shirazi, Mzaliwa wa Unguja.
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Ай бұрын
Sisi tunajua yote ayo but hakuna chama ata kimoja kitakacho maliza haya mambo kama sio hao ccm wenyewe kuamua, me spendi mambo ya vyama haya ndio bakora yetu tunayo pigiwa ili tupate kugombana wenyewe kwa wenyewe
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Ай бұрын
The wonderful joy that has been years in county that I love the most Zanzibar, if you dare support Palestine 🇵🇸 please Mr. Vice-president say your opinion to Israel? 😊
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Ай бұрын
Typing error meant Country excuse me please 🙏
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 Ай бұрын
WATANGANYIKA NI VIFUU TUNDU, AKILI ZAO ZIPO KTK HELA TU NA KUWEKANA MISUKULE! AMKENI WATANGANYIKAAA
@adamyussuf1678
@adamyussuf1678 29 күн бұрын
Hapana kurudi nyuma mpaka tupate mamlaka kamili ya Zanzibar
@walterngowi5835
@walterngowi5835 Ай бұрын
Tunaombeni jaman xix Watanganyika tunaomba iwe jua iwe vua tuuvunje huu Muungano kwan Wazanzibar mnatunyonya mmejaa kwetu viwanja vyetu na biashara zetu na ajira zetu mnafanya tuuvunje mamae zenu na tuwabarase huku kwetu mkafe na njaa kwenu umbwaa nyie 😎😎
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 Ай бұрын
Labda wizi na utapeli hamna jengine mnaloliweza, kwanza wewe ni mtu wa vijijini, huko kijijini kwenu umekimbia, sasa umeona jinsi watu wanavyoishi sasa unajifanya mjuba😂😂😂😂
Tengeneza Tabia Zitakazokupa Mafanikio - Eric Shigongo
14:14
Hamasika Tv
Рет қаралды 37 М.
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 32 МЛН
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
MAKALA || YALIOFANYWA NA MWAKILISHI WA PANDANI PEMBA (PRF.OMAR)
27:56
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 840
OTHMAN MASOUD || WATAWALA WAMEGEUKA KUWA WEZI NA MAFISADI
20:35
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 2,8 М.
Jussa atuma salamu nzito kwa ZEC na Rais Mwinyi
53:20
Weyani Tv
Рет қаралды 10 М.
UWEKEZAJI KISIWA CHA BAWE
7:10
ZIPA TV
Рет қаралды 13 М.
ALICHOKISEMA OTHMAN MASOUD KWA WANANCHI WA MKOANI PEMBA
7:08
ACT Wazalendo Digital
Рет қаралды 886
Mtikila Na Safari Ya Kuidai Tanganyika
7:19
SIMU. Tv
Рет қаралды 8 М.