PABLO ALMAS afunguka kisa chakuondoka MANARA TV nakwenda CROWN MEDIA, MANARA wameni BLOCK

  Рет қаралды 16,312

Mino TV

Mino TV

Күн бұрын

Jiunge nasi kupitiaa mitandao yakijamii Facebook, Instagram na Twitter gusa link za zetu apo chini pia waweza kuchat nasi kupitia whatsapp ama kutupigia kawaida kupitia namba zetu ni +255755449629 karibu sana kwa habari mbalimbali
.
FACEBOOK / minotv
INSTAGRAM / minotv_tz
TIKTOK / minotv_tz .

Пікірлер: 17
@lodricklazaro1013
@lodricklazaro1013 2 ай бұрын
please naomba kujua Pablo anauwezo wakuongea lugha ngapi na nizipi hizo pia ajaribu kujieleza japo kidogo kwakila lugha please
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 ай бұрын
Si kiingera kifaransa na kiswahili si Amekua akihoji watu kwa lugha hizo na tumeona
@Mgema001
@Mgema001 2 ай бұрын
Kama mond anavomkubali jamal April ndivo kiba anavomkubali pablo, hawa washikaji wote ni watu poa
@ChenchiKing
@ChenchiKing 2 ай бұрын
Pablo Namkubali Xana Anajuw 🎉❤🎉
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 Ай бұрын
Pablo ni mzima sana
@kabujeasukile5462
@kabujeasukile5462 Ай бұрын
Uko vizuri dogo
@user-su5eg9cs6b
@user-su5eg9cs6b 2 ай бұрын
Big up pablo
@yuzotv458
@yuzotv458 Ай бұрын
sound mbovuuuuuuu
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 ай бұрын
Pablo yupo visuri
@Manumwarome001
@Manumwarome001 2 ай бұрын
Twaskia Alikiba sai ako na gari mpya kwa mjibu wa mwijaku so please fatilia tujue ni gari aina gani
@abasilihundu200
@abasilihundu200 2 ай бұрын
Duuh 😅😅
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 2 ай бұрын
Itakua n carina hiyo gar
@Official83640
@Official83640 2 ай бұрын
Hivi Kiba anaonyeshaga gari zake kweli km wengine?
@Manumwarome001
@Manumwarome001 2 ай бұрын
Haonyeshi bt utaliona wakati akiwasili eneo la tukio
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 2 ай бұрын
@@Official83640 hana tu ndo maana
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 20 МЛН
CHIEF GODLOVE . .
3:38
Best TV
Рет қаралды 3,1 М.
MCHUNGAJI AUMBUA NJAMA ZA WAJUMBE SIMBA KUMTOA MO/ WALIKUWA WAPI?
12:33
Maximum Tv Online
Рет қаралды 7 М.
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН