PART 2: ALIKAMWE AUCHANA USAJILI WA SIMBA "Sisi tulishatoka Huko siku nyingi"/ TAREHE YA JEZI MPYA

  Рет қаралды 71,309

Crown Media

Crown Media

24 күн бұрын

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: profile.php?...
TIKTOK:
- www.tiktok.com/@crownmedialiv...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 222
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 23 күн бұрын
Habari crown media ?, aisee huyo Ally kamwe yupo very smatt sana katika kutoa habari nampa kongole nyingi sana mungu ampe maisha marefu na baraka nyingi saana
@issaselemani491
@issaselemani491 19 күн бұрын
Kwani hao Simba hawana wachezaji wenye umri mkubwa hadi sasa?Mbona wapo akina Kapombe,Hussein,Che Malone,Onana na wengi wengineo.Chama na Baleke tu ndiyo walioongezwa kutoka Simba ambao ninyi ndiyo mnawasema wazee.
@edwinmartin8066
@edwinmartin8066 23 күн бұрын
Point sana 1 GSM 2 UONGOZI 3 MASHABIKI
@AYK.65
@AYK.65 22 күн бұрын
Ali Kamwe nakukubali sana una upeo mkubwa sana bigup Yanga
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 23 күн бұрын
Mkianza kujenga Sanam ya GSM mm wakwanza na mifuko kumi ya simeti niko tabola
@hawamasanje9589
@hawamasanje9589 22 күн бұрын
Asante sana Semaji Ally Kamwe Mungu azidi kukubali sana sana
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 22 күн бұрын
Yanga wanajua Ku-BRAND WACHEZAJI wao kwa kweli..... Huyu Baleke pia Atafanya vizuri im sure
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 22 күн бұрын
Ally Kamwe ametulia saaana kwenye usemaji.. Kule upande wa pili ni COMEDIAN...
@Mrdigital.
@Mrdigital. 20 күн бұрын
Kwenye kila mafanikio ata mpiga debe ataonekana smart sana,,, kwenye simba yenye migogoro na cahangamoto nyingi ila ahmed ameweza kutulia na kutengeneza mifumo ya sisi mashabiki kuendelea kuifwatilia team yetu na hizo comed ndo zinawapa uhai team yetu
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 20 күн бұрын
@@Mrdigital. no bro.. uKatuni saana anafanya.... seriousness ni ndogo
@mathiasmbeya7332
@mathiasmbeya7332 22 күн бұрын
Alikamwe ni msemaji ila ahamed ni mchekeshaji
@phiddeschacha3143
@phiddeschacha3143 23 күн бұрын
Uongo, uongo, uongo uongo uongo mkubwa kweli kweli. Waambie kabisa ukweli. Hakuna mchango wowote uliotoka kwa wanachama wala viongozi wa serikali.😊😊😊😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@graysonlameck1317
@graysonlameck1317 22 күн бұрын
Ally Kamwe ana matani mengi sana ila ikifika kwenye ukweli anasema ukwel congratulation Ally
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 21 күн бұрын
Leo nimeangalia Crown media kwa sababu ya msemaji wetu, vinginevyo siwezi kuangalia kwa sababu ya baadhi ya wachambuzi vimeo waliochukuliwa hapo,
@mmewaswida
@mmewaswida 21 күн бұрын
Weye kama mie tu
@phiddeschacha3143
@phiddeschacha3143 23 күн бұрын
Yeees hapo umenifurahisha saaaaana hapo ulisema Mkude bado tunaye na pia Musonda kipenzi chetu waoooh zile pilika pilika za Musonda pale golini nazipenda sana
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 22 күн бұрын
Unajuw w nd mm kabisa kwny kila engo
@awalutibiita9650
@awalutibiita9650 23 күн бұрын
JUMA AYO upewe soda unywe nitaliap kwa maswali yako
@fadhilimpini
@fadhilimpini 20 күн бұрын
Good
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 23 күн бұрын
😂😂😂 Prince Chotas pakamwe upo sahihi sana
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 23 күн бұрын
Semajiiiiii lamanaaa San 😂😂😂
@oscarsanga3293
@oscarsanga3293 23 күн бұрын
Prince Chrotas Ki Pakamwe
@HousenAhmadi
@HousenAhmadi 23 күн бұрын
Jamaa anajua sana kukera😂
@FaustineClement-q3j
@FaustineClement-q3j 21 күн бұрын
Katika wasemaji wanaojua mpila ally kamwe anaujua mpira sio mtu unaongea hovyo tu bila uhalisia
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Siyo keeling kwamba huyu mzuri kuliko huyu kila mtu apambane na mwandishi wake
@jumamshana3417
@jumamshana3417 20 күн бұрын
Imerekodiwa na sim flan kavunga tu lakini anamaanisha tecno..
@NemesMasawe
@NemesMasawe 22 күн бұрын
Crown ipoo juu
@bakabrandtz8910
@bakabrandtz8910 22 күн бұрын
Kamwe ni professional spokesman
@musasulaiman8881
@musasulaiman8881 21 күн бұрын
This lad is very smart
@tatalyzer382
@tatalyzer382 22 күн бұрын
Yanga ni Bonge la dudeeeeeee 🎉🎉🎉🎉
@fadhilimpini
@fadhilimpini 20 күн бұрын
Good news
@GoboreMinihaji
@GoboreMinihaji 22 күн бұрын
Mwamba Sana huyo alikamwe
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 21 күн бұрын
Shida ya Paul Mkai anafanya kipindi ili kumaliza muda siyo kumaliza Mada, nimkatishaji mzuri sana anaboa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 18 күн бұрын
Uongooo uongoooo uongooooo😂😂
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu 23 күн бұрын
Fact yanga tunajua kutunza na kulinda wachezaji wetu
@SportsRaha
@SportsRaha 23 күн бұрын
Km Mayele mmemtunza 😂😂😂
@user-jj3tq1rh4p
@user-jj3tq1rh4p 22 күн бұрын
naam kwa ukweli Ali pc kamwe yu sahihi
@ChenchiKing
@ChenchiKing 22 күн бұрын
Semaji La Mabingwa💚🇹🇿
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Kutazamwa let's wait
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Thank you kwani maana take ni thank you thank you ni Asante wewe una yako
@fadhilimpini
@fadhilimpini 20 күн бұрын
Salute from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@adamuayubumwendolwa7723
@adamuayubumwendolwa7723 22 күн бұрын
Tumelipa kadi ya uwanachama,wanachama tumechangia kumbakisha Aziz,give us our credits
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 23 күн бұрын
Kausha dam Azizi ki
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Mnawataka wachezaji wasiona ugumu wa kuwapata hahahaaa wote mmechukua wengi waliomaliza mikataba
@elizabetty-rt7py
@elizabetty-rt7py 23 күн бұрын
💚💚💚💚💚 good 👍
@joelsaganya4077
@joelsaganya4077 21 күн бұрын
Hapo kwa mashabiki ni sawa@ mobeto
@bakarially253
@bakarially253 20 күн бұрын
Inaitwa Augsburg ndio timu yetu ya mkoa wetu ni miongoni mwa timu tatu kubwa katika jimbo la Bayern. 1)Bayern München 2)Nürnburg 3)Augsburg Hizo ndio timu kubwa katika jimbo letu la Bayern na zote zipo Bundesliga
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Smart kwa wenye ushabiki naye
@deodatusmatwegula5364
@deodatusmatwegula5364 20 күн бұрын
Huyo Juma hivi kweli anajua ya kuwa wakati Yanga wanamsajili Saido Simba waliwasema Yanga wamesajili mzee na hatimaye Simba wakamsajili
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Maude chama mchezaji wa Azam🎉🎉
@abdallahchungulu4439
@abdallahchungulu4439 22 күн бұрын
uyo juma ayo anauliza swali anazunguka weeeee mpaka anakera
@SimonMasebo
@SimonMasebo 23 күн бұрын
Hakika ww ni mwamba
@alphoncealmack9240
@alphoncealmack9240 22 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂huyo ndio ali mwana wa kamwe, wachane wapasuke hao makoloboi a.k.a vibatari lunyasi
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f 22 күн бұрын
Hao waandishi wa habari kabla ya kutoa habari wazifanyie kazi ya uchunguzi kwanza
@ahmedimakope
@ahmedimakope 23 күн бұрын
Hawa si ndio walisema wananchi lipeni pesa za uanachama Ili ipatikane abaki Aziz ki
@Sesakwaukweli3
@Sesakwaukweli3 22 күн бұрын
Tunaomba na Pemba isikilikane jaman isiishie unguja tu Zanzibar nivisiwa viwili sio Unguja tu mnatunyima kwanini
@chisongastephen7299
@chisongastephen7299 20 күн бұрын
Ally kamwe umetisha kaka
@oliverwhite1676
@oliverwhite1676 23 күн бұрын
Free agent huyo
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 23 күн бұрын
Sema unachojiskia ally 😂😂
@awalutibiita9650
@awalutibiita9650 23 күн бұрын
Mbona unajibu kwa makasiliko 😂😂😂 kuna ukwel ndani yake nn
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r 22 күн бұрын
Noma
@AstrozyZayoh
@AstrozyZayoh 22 күн бұрын
🙌🙌
@user-nm2jq7xo5f
@user-nm2jq7xo5f 21 күн бұрын
Kamweukopoa sana wahabarishe
@saidmkuwa6088
@saidmkuwa6088 22 күн бұрын
Msemaji yupo vizuri sana sema wanamradhimisja awataje simba
@emmanuellukwaro407
@emmanuellukwaro407 21 күн бұрын
Hamna msemaji humu
@devotabashome1090
@devotabashome1090 20 күн бұрын
Haka kajamaa bana😊
@minazsaid2470
@minazsaid2470 23 күн бұрын
Wanasimba acheni chuki na comment zenu mbaya wehu nyinyi
@edwarddastani3691
@edwarddastani3691 23 күн бұрын
Ww ndo mwehu..........
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 23 күн бұрын
Mwehu mwenye we am na Ally komwe wenu
@josephlorri431
@josephlorri431 23 күн бұрын
Kolo wamevurugwa..wote mwezi mchanga..mtatukoma
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 23 күн бұрын
@@josephlorri431 vyura mbona mnatoa sna mlio🫢
@victorgogadi55
@victorgogadi55 23 күн бұрын
Mapenzi akaamua ku sign mwaka mmoja, Haya Mapenzi au method
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 22 күн бұрын
Shule ndogo
@ClementKonda-uj1nj
@ClementKonda-uj1nj 21 күн бұрын
Kwa sababu waliwapatiaga kamulungula wakatufunga 5
@alitante4279
@alitante4279 23 күн бұрын
Tuliza komwe iloo hassan wee kakushinda mke tu utaiweza simbaa dgo fatumaa wee😘
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 23 күн бұрын
Please usihukumu usije ukahukumiwa please mind your own Business please
@alitante4279
@alitante4279 23 күн бұрын
​@@naliakafatuma9870 punguza shobo na comment za baba zako ww sungura tope
@alitante4279
@alitante4279 23 күн бұрын
​@@naliakafatuma9870 punguza shobo na comment za baba zako wadg we sungura tope
@bernardndemba2253
@bernardndemba2253 23 күн бұрын
kamezidi kupepeta mdomo​@@naliakafatuma9870
@AlexMbagata
@AlexMbagata 19 күн бұрын
Kama waandishi tuwe tunauliza maswali ya msingi kuendelea kusisimua habari tunazozitoa.
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Wewe ndiyo unatoa pesa wangeongea kina GSM
@mwitamalwa2773
@mwitamalwa2773 19 күн бұрын
Tunajua yanga inasaidiwa naviogozi wa serikal
@user-st8hd9iq4o
@user-st8hd9iq4o 18 күн бұрын
HVI HUYU NJITI ANAJIONA KAMA YYE NI TOP YA TZ WAKATI MBUMBU MMMOJA
@CastonJohn
@CastonJohn 4 күн бұрын
Ubingwa wa afrikaa nkazi kuubeba
@sevelintino6181
@sevelintino6181 23 күн бұрын
Huyu dogo siku simba akiongoza ligi atawatukana sana wachambuz sababu anaro ndogo sana
@shakiddymussa6822
@shakiddymussa6822 23 күн бұрын
Huyu ndio msemaji ttzo sio simba kuongoza lig ttzo ambebi ubingwa
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 23 күн бұрын
Yan Ana roho ya kimaskini mnoo
@salamSalehhhhh
@salamSalehhhhh 23 күн бұрын
Yan choko Sana huyu dogo
@user-ot5nk7lw4r
@user-ot5nk7lw4r 21 күн бұрын
Usitegemee simba kuja kuchukua kombe labda yanga waamue kuachia ubingwa
@rasakakaombwe
@rasakakaombwe 23 күн бұрын
Sema watu waumie
@justuswaziri3093
@justuswaziri3093 20 күн бұрын
Juma ayo asiongoze tena kipindi
@ezekielmtanda9495
@ezekielmtanda9495 20 күн бұрын
Juma Ayo hana weledi, amepanic kinazi
@Mrdigital.
@Mrdigital. 20 күн бұрын
Simba shirikisho tunachukua
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 19 күн бұрын
Kwan Baleke n mchezaj wa simba?? Baleke ni mchezaji wa mazembe
@Busagotz
@Busagotz 20 күн бұрын
Sasa wewe Ally komwe 😅😅😅😅 unapataje ujasili wa kuiongea simba haikuhus subli lig Debora hakuhus komwe wewe kweli
@CastonJohn
@CastonJohn 4 күн бұрын
Waambie hao
@Hope-ok9dy
@Hope-ok9dy 21 күн бұрын
Ili lichambuzi vip unalazimisha mtu asemee klab nyingine
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 22 күн бұрын
Hatuu hatuu hatuu hatuuu hatuuuuuuu
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Wewe unachukua wachezaji wote uliochukua yupi kavusha timu yake nusu halafu unajisifu
@mosescalvinnyoha120
@mosescalvinnyoha120 23 күн бұрын
😅😅😅
@bizmaterial594
@bizmaterial594 22 күн бұрын
Sasa huyu msemaji alivyoulizwa timu kubwa ambazo ni wapinzani amemtaja wydad, wakati huo wydad hayupo champions league. Hivi mnamwelewa kweli?
@wiyz_ta
@wiyz_ta 22 күн бұрын
Mbona kapanic vp si umeulizwa kawada2 mzee sasa unapanic nini spo 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@user-sh8ug3lh4y
@user-sh8ug3lh4y 4 күн бұрын
Wachawi nyie kila kitu kinamwisho
@malickomary5687
@malickomary5687 22 күн бұрын
Mbona kama anapaniki msemaji?
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 22 күн бұрын
Anataka makolo wakasirike bila d mbili uwezi elewa 😂 jokes
@dalalfundikila507
@dalalfundikila507 23 күн бұрын
Usajili wa kausha Dam kamwe acha uwongo
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 21 күн бұрын
Unawazema azam kwani wewe Madeley huweezi kukutana naye
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 22 күн бұрын
Debola🤣🤣🤣🤣🤣
@CornenciaFaustine-pd2rc
@CornenciaFaustine-pd2rc 21 күн бұрын
Ongelea club yako na walugaluga wenzako simba inakuhusu nini.
@wasemavyotv7736
@wasemavyotv7736 22 күн бұрын
Huyu dogo anafoce ukubwa Hana lolote buana Stephani kama kulkuwa na offer bas ataishia hapo
@MysarahMohamed
@MysarahMohamed 23 күн бұрын
Leo makolo yaliniroga kutoangalia kipindi live😂😂😂
@HappyDominoes-jf1ji
@HappyDominoes-jf1ji 23 күн бұрын
Sema leo nilikosa ela ya bando nan akuloge ww 😂😂
@mwanangusana
@mwanangusana 22 күн бұрын
​@@HappyDominoes-jf1jihabari za Cairo .... Umezipata 😂😂 ??
@ElishaOisso
@ElishaOisso 23 күн бұрын
Kelele za nini tukutane kwa show brother
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 23 күн бұрын
Utazimiyatena
@richardpeter5817
@richardpeter5817 22 күн бұрын
Mhhh huyu Ali kamwe kama mwehu vile
@Dullah9
@Dullah9 22 күн бұрын
Muuliza maswali mwenye upala Una maswali mazuri Sana sema ally kamwe anakwepa swali anapinda hawe muaz kuwa Simba ina wachezaji wazuri na ndo maana wanachukua waliotemwa na mwana runyasi
@OmariBwagizo
@OmariBwagizo 23 күн бұрын
Kaka wewe tulia na timu yako
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 22 күн бұрын
Naomba kutunza hii Interview
@user-lr2og8dj1r
@user-lr2og8dj1r 22 күн бұрын
Ni Bure tunza tu😂😂😂
@mwanangusana
@mwanangusana 22 күн бұрын
😂😂😂 tunza na za ubuntuuu
@user-sh8ug3lh4y
@user-sh8ug3lh4y 4 күн бұрын
Kalamba goli nne
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 22 күн бұрын
Paulinkai uko na haraka sana au muda ni ndogo sana
@munirathomas4585
@munirathomas4585 22 күн бұрын
Huyu ally kamwe mbona kama mchicha mwiba
@MaikoKapelo
@MaikoKapelo 21 күн бұрын
Yanga.tamu.wape.saramu.kamwe
@peterminyenya6847
@peterminyenya6847 23 күн бұрын
Huyo simba kabsa hana hanachojua kwny mpira(juma Ayo) hajui kuchambua kbs
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 22 күн бұрын
Ayo ni UTOPOLO
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 191 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
KIKOSI CHA MAANGAMIZI TAREHE 08 ,SIMBA&YANGA NANI KATISHA
2:23
Suda yanga
Рет қаралды 39 М.
Paddy Pimblett vs King Green delivered! #UFC304
0:37
UFC India
Рет қаралды 3,6 МЛН
100% Funny Reactions 😂
0:30
L7 Football
Рет қаралды 10 МЛН