No video

PART 2: CHANUO APIGIWA SIMU LIVE, AMUWAKIA MADEBE, WAJIBIZANA LIVE

  Рет қаралды 154,097

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

PART 2: CHANUO APIGIWA SIMU LIVE, AMUWAKIA MADEBE, WAJIBIZANA LIVE
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 200
@gemstoken1515
@gemstoken1515 7 ай бұрын
Ukimsikiliza Madebe,anatafuta udhaifu wa mwanamke badala ya kujibu tuhuma za Mwanamke.Anasemaje anapenda watoto na hajali kuhusu shule?Mtoto anaumwa hajaenda muona?Anajibu kisanii sana.Bro Madebe,tunza familia.
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 7 ай бұрын
Exactly anatumia udhaifu
@user-dy9qw6or9e
@user-dy9qw6or9e 7 ай бұрын
Asha jibu sema we hujaelewa kwasababu tayari umeamini ulicho aminishwa.
@AminaMsimbe
@AminaMsimbe 7 ай бұрын
Huyo anaonyesha mshamba sana hajui kuhusu kusoma nadhani hata yeye hakusoma hivyo hivyo hajui maana ya elimu
@NeemaJoseph-uo2gw
@NeemaJoseph-uo2gw 7 ай бұрын
Kweli kabsaaa
@godfreymabula6858
@godfreymabula6858 7 ай бұрын
Huyu bro anazingua Sana facial expression inatoa majibu anakera sana
@user-ie5xs4nm4m
@user-ie5xs4nm4m 7 ай бұрын
Madebe nimetokea kukuchukia sana sio vizuri unavyo Fanya
@saddamommie5075
@saddamommie5075 6 ай бұрын
Unamchukia mtu ambae hakujui kwel
@SantiaQwer-ij1ws
@SantiaQwer-ij1ws 6 ай бұрын
​@@saddamommie5075kwani lazima awe ywamjua wee wachekesha ,kamchukia kwa tabia zake mbaya
@SantiaQwer-ij1ws
@SantiaQwer-ij1ws 6 ай бұрын
Hata huezi amini kama niyeye anayefanya huo ujinga,mwenye ywaelewa hii Hali niyule yalie mfika
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 6 ай бұрын
​@@SantiaQwer-ij1wsmadebe yupo saw sema mlio wengi hamjafuatilia vizur, huyu mwanamke ni shetani kabisa hakuna mwanaume anaweza kukubali kua na familia alio haribia mwanamke mlevi promota wa mashoga hapo lazima uwe na familia ya watoto mashoga kubali kataa
@user-wd2uk9qh7f
@user-wd2uk9qh7f 25 күн бұрын
Madebe nimechukia tena nimechukia zaidi ya sana ulicho kifanya sijabkipenda kwa mwanamke mwenzangu, yaani madebe kwa chozi la uyo dada mungu ata kilaani.
@edinaelikana1057
@edinaelikana1057 6 ай бұрын
Madebe ungeondoka na Makeo na watoto kwenda kutengeneza vyeti vya watoto wewe ndio mzee mwenye nyumba. AIBU SANA UNAPOSEMA WATOTO HAWANA VYETI VYAKUZALIWA
@user-lq6ec2cg3o
@user-lq6ec2cg3o 6 ай бұрын
Nilichogundua uyu dada anaongea point sana madebe ata aibu aoni ilo jamaa zaifu
@GeorgeOkonji
@GeorgeOkonji 6 ай бұрын
hujuwi unachokiongea
@user-wd2uk9qh7f
@user-wd2uk9qh7f 25 күн бұрын
Pumbavu zake hilo libaba
@neymaally3246
@neymaally3246 6 ай бұрын
Mswahili sana huyu mwanaume tunza familia yako wee kaka acha ujanja wa mdomoni
@saudamuro
@saudamuro 6 ай бұрын
dida nakupenda sana kwa maswali unaempachika huyo baba asiejali watoto
@misschagga8042
@misschagga8042 6 ай бұрын
Mungu huyu baba naomba umpige tukio ili udhihirishe ukweli na uwepo wako.wanaume wa namna hii ni wengi tena wanatokea njia hiyo hiyo ya rufiji ruangwa masasi yani wana watoto kila kona hawadumu kwenye ndoa malaya wake kwa waume wote malaya wake wanne wanne.
@florencemengo7395
@florencemengo7395 7 ай бұрын
Duuh yaani ndoa za siku hizi ni hatar Mungu aingilie kati vinginevyo hatutoboi na tuwe na hofu ya Mungu ❤
@TheSalma1999
@TheSalma1999 7 ай бұрын
Basi basi chanuo imetosha unatutoa machozi wewe futa machozi pambana Yani nimeumia kweli kama mwanamke mwenzio dah pole sana umeniumiza uliposema unaenda kuchuma tembele kwa jirani dah wanaume hawa ni mitihani pole sana my sister chanuo
@janechaula2870
@janechaula2870 6 ай бұрын
inaumaaa sanaaa
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 6 ай бұрын
Huyu baba sio 😢
@user-ph8vd7ec1z
@user-ph8vd7ec1z 6 ай бұрын
Madebe anaigiza, hata akiwa kwake nyumbani. Madebe naomba utofautishe ukiwa katika miigizo na maisha halisi ya familia yako. Wacha mchezo nabii Mswahili.
@user-ve1ot5we5o
@user-ve1ot5we5o 7 ай бұрын
Mpumbafu sana uyo mwanaume da dida na wanaume wa ivi ni wengi sana uyu madebe siyo wakumusikiliza na ukiona mwanamke analia ujue kachoka sana huyu anatafuta kujisafisha tu na mungu atamlipa
@hassaniddrismwamba
@hassaniddrismwamba 7 ай бұрын
Madebe mwamba umeniangusha mwanamke hajibiwi. Hapa umejidhalilisha Sana
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 7 ай бұрын
Madebe acha huuni ndugu yangu kweli ndoa nimitihani sana lakini kaka yangu madebe nakuomba uache tamaa zakimapenzi mrudiye mkeo Dunia tunapita kaka duuhh
@tabiangonyani3526
@tabiangonyani3526 7 ай бұрын
Lakini kabla ya chanuo alikuwa na mke wake mwingine wa ndoa uyu madebe inaonekana amekubuu Sana kila K anaiyona mpaya😅
@user-lc3rn7ow6g
@user-lc3rn7ow6g 7 ай бұрын
Aeleweki kabisaaa anabishia uzoefu uyo apelekwe mahakamani Moja Kwa Moja
@pallangyojames6870
@pallangyojames6870 6 ай бұрын
Madebe ww ni mshenzi sio utani ww ni mshenzi sana mungu atakuja kukulipa siku moja kwa kunyanyaa wanawake
@janechaula2870
@janechaula2870 6 ай бұрын
Kabisaaa
@SantiaQwer-ij1ws
@SantiaQwer-ij1ws 6 ай бұрын
Malipo nihapa hapa duniani
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 6 ай бұрын
Siku zote Namuomba Sana Mungu aje aniwezeshe na aniepushe na hizi kesi ata ukija kutokea nimeachana na mwanaume wangu naomba nisije thubutu kugandana nae kama hivi kisa watoto Namuomba tu aje aniwezeshe Kazi nikae kuhudumia watoto wangu tu mwenyewe Abar ya kupigizana kelele hivi inakuwa to much Nashaur tu chanuo aache hii mambo ya brand na akae afanye Kazi atunze watoto wake tu inshallah ALLAH atamsaidia
@abdallahamadi9380
@abdallahamadi9380 6 ай бұрын
Rahma
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 7 ай бұрын
Huyu dada amburuze mahakamani vinginevyo huyu Madebe ni muongo na mpangaji wa maneno Kweli wtt wa mtaani watapungua kukiwa na wanaume wa hivi, mimi naona na shule inachangia yuko mswahili sana busara huna hunyooshi maelezo. Mngemfukuza hapo Wasafi
@eusebiamapunda2659
@eusebiamapunda2659 7 ай бұрын
Kabisaaaaaa
@SmilingCaterpillar-yy3jc
@SmilingCaterpillar-yy3jc 7 ай бұрын
Madebe Yuko sawa
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 6 ай бұрын
Wadada wa siku hizi wako kimasirahi zaidibdî.
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 6 ай бұрын
Madebe uko sahihi kabisa,chukua watoto wako ukae nao baba.
@LAZORANAILS
@LAZORANAILS 6 ай бұрын
Adebe yuko sahihi
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 7 ай бұрын
Aan mijanaume ya ovyo hivi kwel mtihan aan na wakishakuona ukishamove on sasa wanaanza kujipanikisha aan Mungu atuepushe na mijaume mitapel kama hii
@baloz858
@baloz858 5 ай бұрын
Hata nyie matapel wapo
@user-lq4gz1yd7g
@user-lq4gz1yd7g 7 ай бұрын
Kwanini asiende yeye lazima alie anauchungu sana mshenzi tu madebe anaonesha huyu so mwanaume wakujali familia ati kategewa kitu mbona mume wangu mimi anaenda mwenyewe kufata cheti
@rayouaabdallah1394
@rayouaabdallah1394 7 ай бұрын
Madebe ni mbabaifu sana kisha anakejeli na dharau kisha mshirikina
@user-yv6bi8rj5z
@user-yv6bi8rj5z 6 ай бұрын
Una uthbitisho nahlo au unabwatuka
@husseinmgandi-ej5kp
@husseinmgandi-ej5kp 7 ай бұрын
Tanzania Mwehu n Madebe pkeake...Fala madebe😮
@joannanaliaka515
@joannanaliaka515 6 ай бұрын
😂😂😂 tulikuwa tunapenda move sake huku Kenya ak 😂😂😂🇰🇪
@philipolaurent7537
@philipolaurent7537 7 ай бұрын
YANI HUYU MADEBE ANA MOVIE ZA KUELIMISHA JAMII LAKIN YEYE KWENYE FAMILIA YAKE ANA ANACHOKIFANYA HUU USUPAR STAR NI WA OVYO SANA YANI MKE WAKE NI ANAONGEA UKWELI KABISA. SIS WANAUME TUNAELEWA MWANAMKE AKILALAMIK IVYO UJUE NI UKWEL TU.
@Omosh003
@Omosh003 6 ай бұрын
Padre hafungi ndoa, anafungisha
@gaudencekanut902
@gaudencekanut902 7 ай бұрын
madebe anazingua movie zake siangaliii tenaaaaa
@hamzaqaacm1869
@hamzaqaacm1869 7 ай бұрын
Unajipa shida tu icyo na manufaaa
@allahisone6386
@allahisone6386 7 ай бұрын
​ Ndiooo_🤦🏿‍♀️
@wigoramso5436
@wigoramso5436 7 ай бұрын
Acha usiangalie kaangalie za uyo malaya chanuo
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 6 ай бұрын
Watu mnajichosha mambo ya mke na mme chanuo anaongea kama nfo anaongea ndani hakutakuwa na oelewano
@lukasielibariki3181
@lukasielibariki3181 6 ай бұрын
Maisha yaka yanausiana nini na wewr
@n.dvillagirl3272
@n.dvillagirl3272 7 ай бұрын
Mbona Madebe kawa mpole sana Shabiki zako tunakupenda ila itapendeza ukimtenda wema mkeo msaidie kuleo watoto wenu
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 7 ай бұрын
misess mambo yandoa yanamambo mengi sana !!! sasa hv ndoa zinaamia kwenye mtandao kweli dunia imeisha kabisa
@FRANKKALANDA
@FRANKKALANDA 6 ай бұрын
Huyo kenge tu kawa malaya kwa sababu ya umaarufu.
@herimornchriston6083
@herimornchriston6083 6 ай бұрын
hahaha !!! wewe unauhakika gan kama shutuma alizopewa madebe n zakweli ? j
@tukuyufm
@tukuyufm 6 ай бұрын
asante kwa neno jema
@mohamedally121
@mohamedally121 7 ай бұрын
Huyu jamaa kumbe ni mpuuzi mmoja hivi
@Lily-rn6xc
@Lily-rn6xc 6 ай бұрын
Mshenz kabs
@user-tf9ls9jn9c
@user-tf9ls9jn9c 6 ай бұрын
Yan apa namuona mzazi mwenzangu kabisa yan maisha aya mwanaume ovyo uyu nawachukia wanaume wa iv
@beniardajuna2580
@beniardajuna2580 7 ай бұрын
Mashamsham mfanye mpango muwe na kipindi Cha kusuruhisha ndoa mnafanya vema mmatafuta haki sehem zote achana na diva analemba Sana 🎉
@miruhongin
@miruhongin 7 ай бұрын
Kaka madebe muhogope mungu acha kucheza wa na danu wa mungu
@SaidHassan-wz1px
@SaidHassan-wz1px 7 ай бұрын
Madebe ni Mshenzi Sana tena Sana
@eliasmembe7441
@eliasmembe7441 7 ай бұрын
Wewe nani sasa kam yey mpuuzi
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw 6 ай бұрын
Sana
@abdulsimbarakiye4145
@abdulsimbarakiye4145 7 ай бұрын
Bwana. Madebe ndugu yangu wewe ni baba watengelezee vieti vya kuzaliwa pili wa saidie watoto tena Acha kuowaowa sio vizuri be man ok
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 6 ай бұрын
Wah...Nabii mswahili taf jarbu usipata laana ya watto mzee sio vzuri hta mungu hapendi mzee rekebisha bas....
@khalidsalum1740
@khalidsalum1740 6 ай бұрын
Ukweli ndoa zinasiri nyingi sanaaa ivyo sauti ya kunyamaza inatosha kubwaaa Allah awape maelewanoooo
@tukuyufm
@tukuyufm 6 ай бұрын
asante sana shekh. mungu akubariki kwa hekima uliyoiandika hapa
@user-sw6fv8ed8v
@user-sw6fv8ed8v 6 ай бұрын
Madebe hatuwezi kukuelewa mashabiki zako,,,kuanzia Leo sitoangalia movie zako
@iddidope7376
@iddidope7376 6 ай бұрын
We madebe kumbe mzeenge sana, we ulikua ukijifaya sana mjuaji kumbe bure kabisa mshamba ww mlumbukeni wa maisha
@user-yv6bi8rj5z
@user-yv6bi8rj5z 6 ай бұрын
Kumbe wnaume wpumbv mpo wengi eeh, hv mpk leo hujui km wnawke niwhuni? ushaambiw mpk mwilin anatatoo ya marfki zke mashoga hilo umeona sw eh, afu hasapot wtoto alowkuta hilo pia sw? acha ushamba
@mubuyafrancis3979
@mubuyafrancis3979 6 ай бұрын
Kwakujiliza ninyi wanawake Mungu anawaona.Ila Mungu2 pekee ndoatakae wahujum ninyi ila kwahapa Duniani uwezo hatuna wakushinda mbeleyenu Asante jamani ninyi wanawake wote
@blandinamahela6223
@blandinamahela6223 7 ай бұрын
Madebe Ni mseeeeeeeeeeeee Sana nimekuchukia
@SaidHassan-wz1px
@SaidHassan-wz1px 7 ай бұрын
Madebe ni Mshenzi Sana
@user-lz4fe1ob3l
@user-lz4fe1ob3l 5 ай бұрын
Huyu mbaba nkama anajitetea tu lkn ana makosa ila wanaume ndivo walivo ni haya limemushika lkn dada pole sana dada chanuo mungu akusaidie sana nakuombea kama mwanamke mwenzangu inaniuma sana
@user-wd2uk9qh7f
@user-wd2uk9qh7f 25 күн бұрын
Madebe hakuna kitu kichwani
@frenkfarm1139
@frenkfarm1139 7 ай бұрын
madebe ya mkuta 😢😢Duuuuuuuuuu akutana namtoto wa mnjini
@user-iq6lv5sp3r
@user-iq6lv5sp3r 6 ай бұрын
Lakini vyeti vya watoto vya kuzaliwa siyo lazima atafute mama ata madebe angeweza kutafuta pia kwa ajili ya watoto wake.
@ibn_mohamed.s5603
@ibn_mohamed.s5603 6 ай бұрын
VAR Check ...inaonekana Goal la Madebe limekataliwa...Mchezo unaendelea dkk ya 73' Chanuo 3-0 Madebe.
@camilluspeter5113
@camilluspeter5113 6 ай бұрын
😂😂😂
@angelathanas5993
@angelathanas5993 6 ай бұрын
😂😂😂
@user-qv8pp9xb1x
@user-qv8pp9xb1x 6 ай бұрын
😅😅😅😅
@ngoniboy1039
@ngoniboy1039 6 ай бұрын
😂😂😂 jamaa msenge sana
@OthmanHamis-ec3wo
@OthmanHamis-ec3wo 6 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@user-mg1dt9zp3z
@user-mg1dt9zp3z 2 ай бұрын
MADEBE Nimwogo badilika mwonekano wako na matendo yako tofaut
@marthadanielgethro6216
@marthadanielgethro6216 7 ай бұрын
Mwanaume wa ovyo kweli kweli😢 kwanini wewe baba usiende kufuatilia vyeti vya watoto Kama mkeo alikuwa hataki kwenda? Au cheti wa kufuatilia ni mama tu? Ninacho kiona hapo mnawaumiza tu watoto 😢
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 7 ай бұрын
Kabisa
@roiyajuma9709
@roiyajuma9709 7 ай бұрын
Naam kwanini yeye kama bab asiwatafutie wanae vyeti???
@user-vv5pf4rj9w
@user-vv5pf4rj9w 7 ай бұрын
Dadaa nakuelewaaaaaa
@user-hf5wr4hr2t
@user-hf5wr4hr2t 7 ай бұрын
Madebe mungu akupe azabu
@user-wn2yt6os5h
@user-wn2yt6os5h 7 ай бұрын
Madebe wewe ni mpuuzi sana nimekushusha thamani sana
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 7 ай бұрын
Ww2 nawara hakujuii.k.mmoja
@user-qz2sk3is9c
@user-qz2sk3is9c 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Madebe anazingua
@dudiathba2320
@dudiathba2320 6 ай бұрын
Chanuo jitokeza adharani omba msaada peana nambari yako ya simu tupo wengi tumekuhurumia pamoja na watoto tutakusaidia inshaalah Allah akufanyie wepesi dada .
@habarikiswahili1593
@habarikiswahili1593 7 ай бұрын
Huyu jamaa mavi kweli yaan kudadadek daah
@JenivaJames-jo5rk
@JenivaJames-jo5rk 7 ай бұрын
Kheeeeeee siamin Kama ni wwweeeee jamanii 😭😭😭😭😭😊
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz 6 ай бұрын
Chanuo yupo sahihi kabisa uyo madebe anazinguq
@user-kg5mz3vp3p
@user-kg5mz3vp3p 6 ай бұрын
Dada pole sana.tafuta jinsi ya kulea wtt wako na ukae kimya. Wanawake wengi tumepitia hizo changamoto wanaume baadh ndiyo walivyo. Na tamaa ya kila mwanamke.na kusahau walipoanzia.
@JumaZuber-nc4gn
@JumaZuber-nc4gn 7 ай бұрын
Mdebe lea watoto Acha kujitoa ufahamu mtu mzima wa Acha mambo hayo swala la vyeti mnahusika wote
@eliasmembe7441
@eliasmembe7441 7 ай бұрын
Wa kwako unawasomesha shule gani
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 6 ай бұрын
Nikweli usemacho
@sarahfisoo5689
@sarahfisoo5689 7 ай бұрын
😮madebe anadharau za kikuma
@user-ej6ov9tf5c
@user-ej6ov9tf5c 5 ай бұрын
Sana Yaani iri lijimaa lipumbavu sana
@HanifaShabani-dr3dq
@HanifaShabani-dr3dq 6 ай бұрын
Msanii sana madebe,badilika utakuja kumbuka shuka kumekucha
@wanatangawaja6397
@wanatangawaja6397 6 ай бұрын
Huyu madebe afai kusapotiwa katika kazi zake
@user-rf9vn7lz1n
@user-rf9vn7lz1n 6 ай бұрын
Dida wew tunakutegemea ukiw kam mwanamk mwezet mpig maswal mjing uyu mwanaum una adab ulizaliw na mwanamke kweli wew kwa nin mnamtesa mtot wawatu we subir utakuj kupat mwanamke wawat analia hivy 😢😢😢
@user-zl2ll4pq7o
@user-zl2ll4pq7o 7 ай бұрын
Mpaka Sasa chanuo 3 madebe 0 .... Madebe una feli jamaa 😢
@florakimaro-vw7qj
@florakimaro-vw7qj 6 ай бұрын
Wewe ni muongo sana yani kwa maelezo Yako madebe unaonekana ni muongo sana
@user-yy7lm4ux1p
@user-yy7lm4ux1p 6 ай бұрын
Madebe mbabaishaji kwa kuonekana tu anajjbu kiubabaishaji ila kuna maisha baaada ya hapo dingi na mungu anamuona
@hansbukuku762
@hansbukuku762 7 ай бұрын
“Ni rahisi kuwa baba mzazi., lakini kuwa baba ni kazi../ Inahitaji., muongozo safi, utashi na kukidhi mahitaji.” @fidq
@eliaspaschal6625
@eliaspaschal6625 6 ай бұрын
100%
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d 6 ай бұрын
💯💯
@MariamAthuman-jq2ce
@MariamAthuman-jq2ce 7 ай бұрын
Jaman majib ya madebe hayaeleweki kabisaa mpuuzi uyu
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 7 ай бұрын
Huyu ni mpuuzi sana
@user-zd9hy1yd7c
@user-zd9hy1yd7c 6 ай бұрын
Umeniangusha sana ticher wangu
@rahmasaeed6860
@rahmasaeed6860 7 ай бұрын
Wanaume wanajulikana kwa kujitetea, na siku zote hawana makosa ndio kawaida yao, na sitokaa nikawa na imani nao hawa watu, usanii mwingi tu hana lolote , yaani ananitia uchungu anavo jikosha hapo .
@anithasanga1909
@anithasanga1909 7 ай бұрын
Madebe muongo muongo sana
@user-vg9on3sb8o
@user-vg9on3sb8o 6 ай бұрын
Huyu jamaa Kama unajielewa unaezamtia kofi naumtukane wallah Mshamba sana mjinga huyu
@khamisimalaydzzo6931
@khamisimalaydzzo6931 6 ай бұрын
Kama wewe mwanamume ulie timia wachukuwe wanao wewe mwenyewe uwatafutie vyeti na bima ya afya Wacha kukwepa majukumu,utapata lana ya hao wakezo na mwisho wako utakuwa umbaya,hata sasa watu wengi hawakuheshimu kama hapo awali,mawaidha Yako kumbe kiki tu,na huo mchezo wako wakuowa na kuacha ndio chanzo cha kuharibikiwa,kuwa na msimamo madebe,naona waanza kutika sasa, Bado hujachelewa fanya mabadiliko na maamuzi ya busara,Mwenyezi Mungu akuafu insha'Allah Amin
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Acha nitulie na mke wangu mmoja
@PaulCecyl-jz4mr
@PaulCecyl-jz4mr 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣tuliya baba madebe yeuyu ana umbuka
@rehemawamwarami3854
@rehemawamwarami3854 7 ай бұрын
Madebe acha uwongo mungu apendi hudumia watoto wako mwanamke anaumia mnoo moyoni mwakee
@annakattoa7502
@annakattoa7502 6 ай бұрын
THIS GUY IS DANGEROUS
@user-fx4cu2yl7t
@user-fx4cu2yl7t 6 ай бұрын
Nilipokua nikiona filamu za huyu madebe..nilidhania ni mtu mstaarabu sana..kumbe matendo yake ya kindani i na filamu zake ...ni vitu viwili tofauti sana....medebe kua mwonekano Bora kwa kizazi Cha kesho
@Derevamkongwe6864
@Derevamkongwe6864 7 ай бұрын
Huyu mwmaba ni dhaifu sana, yani anaonekana mapenzi yanamsumbua sana. Hakuna kitu kibaya kama upate pesa japo kidogo na ukubwa yani lazima utafanya vitu vya kipumbavu tu
@florencengwavi6939
@florencengwavi6939 7 ай бұрын
Madebe jirekebishe maisha hayaendi hivyo daah!!!
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 7 ай бұрын
Ujinga acha jitambue
@user-xh6zo2gi6r
@user-xh6zo2gi6r 6 ай бұрын
Daaaa madebe nilikukubali sana ila ufai kuwa baba boraa aisee😢
@user-wd2uk9qh7f
@user-wd2uk9qh7f 25 күн бұрын
Kweli kabisa
@ibrahimirove
@ibrahimirove 6 ай бұрын
Kubwa Zima Linatesa Familia Lione Kwanza Lilivyo Na M/Mungu Anakuona
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 7 ай бұрын
Madebe msenge sana
@LethisiaNjika
@LethisiaNjika 7 ай бұрын
Madebe muongo sana,hata macho yanaonekana tu
@rerisamba
@rerisamba 6 ай бұрын
Wasafi mlikosea mngemuita Chanuo pia
@frankyunia1809
@frankyunia1809 6 ай бұрын
Madebe anazingua sanaaa Mimi Kama baba wa familia vitambulisho vya wanangu nimefuatilia mwenyewe usipende Sana kutuma
@user-bk7zf1im7n
@user-bk7zf1im7n 7 ай бұрын
Mpumbavu sana we kaka nakuchukia sana
@sazanahussen6715
@sazanahussen6715 6 ай бұрын
Yanii huyu kaka wa hovyoo
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k 7 ай бұрын
Huyu madebe ni choko kama choko😏😏😏unakosa kumpa mtoto bima nyooo😢😢alaf unaigiza hadi interview senge ww acha kumliza huyo dada kwel huyo dada cyo bland mangapi tumeona huku chanika akiptia shenzi zako kubwa jinga nyoko😏😏😏
@happyfiverickaldo4662
@happyfiverickaldo4662 7 ай бұрын
Eeeeh makubwaa
@Kombo-sl7uj
@Kombo-sl7uj 6 ай бұрын
Bwege sana wejamaaa hovyo sanaaaaaaa
@user-mx6zc6tn9v
@user-mx6zc6tn9v 5 ай бұрын
Huyu Mapipa ni mkolono mambo Leo kabisa sura bayaa
@hashymharun9337
@hashymharun9337 7 ай бұрын
Mambo ya ndoa sasa yanawekwa hadharani .. Dunia imeisha!
@shabanikipundile8357
@shabanikipundile8357 7 ай бұрын
Katika maisha huwezi kuhudumia mtu anayekuchukia. Apo sio huduma, shida wivu tu
@cathe-wr7gb
@cathe-wr7gb 6 ай бұрын
Sio huduma ya mama huduma za matunda waliochuma
@user-on3kz2kq7k
@user-on3kz2kq7k 6 ай бұрын
Nimejikuta nakudharau madebe
@shabanipanya1033
@shabanipanya1033 7 ай бұрын
Kuishi na mwanamke yoyote mwanaume unatakiwa uvumilie sana maumivi ya dharau,matusi na unyanyasaji wa kijinsia sasa kwa kuepuka kwenda jela maisha au kijipeleka kaburini na yeye pia ni bora ukamuacha na kuishi peke yako
@user-vv5pf4rj9w
@user-vv5pf4rj9w 7 ай бұрын
Kesiii zinahusiana vip na mtoto bhaanaaa weeee
@StephanieHenry-kr9vz
@StephanieHenry-kr9vz 7 ай бұрын
ukitoka hapo kawaone watoto mbwa wew
@user-ej6ov9tf5c
@user-ej6ov9tf5c 5 ай бұрын
Tena mbwa mkubwa huyu kuanzia reo sihangarii movie zake
@AlfredChai-lv8zr
@AlfredChai-lv8zr 9 сағат бұрын
Madebe pumba kweli hauna jipya kwli unapunguza umaarufu broo unaboo kwli
@ASALABOY
@ASALABOY 6 ай бұрын
Madebe sio Mtu nyau kweli kweli Hafai Awa wanaodifanya wachamungu wanamaovu sana munaitumia Dini kama panzia tu
@danieltsaxara9199
@danieltsaxara9199 7 ай бұрын
madebe mbwa mwenzangu
@martinemaganga5253
@martinemaganga5253 7 ай бұрын
Madebe hawezi kushindana na huyo mwanamke kwani wanawake wanajuwa sana kupangilia points za uongo na kuzitetea, na pia jamii inawatetea sana wanawake.
@skyleryung7555
@skyleryung7555 6 ай бұрын
Mmmh
@kimsigera3763
@kimsigera3763 6 ай бұрын
Haswaaa umenena
@mrmsofe5753
@mrmsofe5753 6 ай бұрын
Mm ni mwanaume lakin ngoja niwaambie kitu kama mtu unajua kusikiliza madebe anajibu kisanii madebe anasingizia mwanamke mwongo Ila ni mjinga Kwan yeye kama Baba hawez kufuatilia mambo ya watoto wake
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 6 ай бұрын
Hayo mambo yao ya ndoa mm hayanihusu,,madebe ww achia movie kali mm ni shabiki yako namba1.maana hata hao wakina sunil Shetty,amitha ,anold nao wana mambo yao pia kwenye ndoa zao..pia mpaka kufikia hapo Kuna tatizo ndan ya nyumba ambayo huletwa na wivu wa pande zote mbili.hayo ni maisha yao binafsi
@user-mn7pf8iv7e
@user-mn7pf8iv7e 6 ай бұрын
Wew madebe acha uswaili yaani nilikuwa nasikia husia wako Ila nimejikuta usiha wako wote umefutika kicwani wallah
@petroniesindarubaza2420
@petroniesindarubaza2420 7 ай бұрын
Madebe mjingàaa sanaa
@husseinomary3893
@husseinomary3893 7 ай бұрын
"...Sema mnajua hizi mambo ni kawaida saana Kila Kona kupishana kupo sema Hawa Wote Wanakuja kwetu kutafuta sympathy, Mwanamke hakupaswa kuja kwenye audience ili paswa wafate Upatanishi wa Mgogoro kwa wazee hususani wale wa Imani yao
@user-zr2sp7sb7h
@user-zr2sp7sb7h 7 ай бұрын
Huyo jamaa aliyekaa kwenye coach ananifurahisha sana yaan anacheka tu akienjoy vitimbwi
@AfricanaTaarabTv.
@AfricanaTaarabTv. 7 ай бұрын
Sanaa tuuuu😂😂😂😂
@Vee_money
@Vee_money 7 ай бұрын
Hili libaba linaonekana kabs ni liongo na linatumia ustadi wake wa kuongea kumnyanyasa mwanamke wa watu, mwogope Mungu wew Mzee. Alafu unajizalilisha loooh
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 7 ай бұрын
Kwn we madebe upaswi kufatilia vyeti.vya watoto
🔴LIVE: SPORTS ARENA NDANI YA WASAFI FM - 22/08/2024
Wasafi Media
Рет қаралды 623
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 7 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,1 МЛН
misemo ya madebe lidai
0:31
EDWIN WAMALWA GSU
Рет қаралды 19 М.
Inshallah Part 2 - Madebe Lidai & Havit Makoti (Official Bongo Movie)
55:03
KIMEUMANA: DOTTO MAGARI NA MZAZI MWENZA NUSU WAZICHAPE STUDIO
27:31
Wasafi Media
Рет қаралды 211 М.
EXCLUSIVE   ZUCHU AMNUNULIA GARI LA ZAIDI YA MIL 20 ANJELA
6:09
Wasafi Media
Рет қаралды 6 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН