No video

PART 2 ZAIYLISSA AFUNGUKA KUVUNJIKA KWA NDOA YAKE NA DULLAH MAKABILA MIEZI MIWILI NA WIKI MBILI

  Рет қаралды 85,451

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Zaiylissah muigizaji anayefanya vizuri katika tamthilia ya Jua Kali kwa mara ya kwanza ameongea kila kitu kilichotoka katika Ndoa yake na Msanii Dullah Makabila mpaka kufikia kuvunjika!
Tazama Part 2 hapa, Part 1 na 3 zipo hapa
SUBSCRIBE, LIKE, SHARE

Пікірлер: 160
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 9 ай бұрын
Inaonyesha dula anaongozwa Sana na hisia Yan anaongozwa na mihemko,,,inabidi dula akatibiwe na mambo yake yakihasira..inaonekana dula akipenda anapenda sanaaaa kwaiyo anakuwa na wivu na anaendeshwa na hisia kwaiyo anashindwa kujizuia
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 7 ай бұрын
Dula kama mimi
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 7 ай бұрын
Umeongea ukweli
@judyngowi391
@judyngowi391 10 ай бұрын
Sijui kwanini watu wengi hawaoni huyu dada ni mkweli
@Official83640
@Official83640 10 ай бұрын
Mkweli lkn apunguze pupa za mahusiano we huwezi kuachana na mwanaume ghafla ukaanze na mwanaume mwengine na unaona kabisa km huyu Dullah hakumtaka amuoe na ndy kalazimishwa kupost na kucomment maana yupo na Dullah bado anawasiliana na Mingo na ndy 7bu Mingo alitoa ile nyimbo alishajua km ndoa hakuna itavunjika muda c mrefu huyu anapenda mateso mwenyewe haiwezekani kila mwanaume ampige
@lillylaurent7449
@lillylaurent7449 7 ай бұрын
😂😂
@clouartmichael7296
@clouartmichael7296 7 ай бұрын
Hawa wanawake wamechagua maisha yakutembea na wanaume tofauti tofauti ,hawamjui ni hatari ktk ulimwengu wa roho ,kwa tamaa za umaarufu wa kidunia
@InnocentCherryDumplings-rg1tj
@InnocentCherryDumplings-rg1tj 7 ай бұрын
Nampenda uyu dada
@user-kw3xw3kv8f
@user-kw3xw3kv8f 7 ай бұрын
Pole sanaaa hayo ulopitiya Mimi piya niliishi ivo kwaaliyekuwa mume wangu umeniacha nikumbuke mnoooooo
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v 7 ай бұрын
Huyu dada ni muungwana sana hawezi wanaume wasio waungwana.Ukitaka kumchukua kisela ndio ushamshindwa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Huyu mrembo ana hekma sana,na ni mpole sana!!!
@Abbaskhashiat
@Abbaskhashiat 5 ай бұрын
Mashallah mungu akujalie
@maidamwaipopo9603
@maidamwaipopo9603 10 ай бұрын
Chini peps juu fanta
@user-eg8ri1fy4h
@user-eg8ri1fy4h 7 ай бұрын
😂😂😂😂😅😅😅😅cjui umewaza nini 😁😁😁😅😅😅
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 9 ай бұрын
Najivunia kuzaliwa tanga hivyo tuuuu❤❤❤❤
@fridakaria9904
@fridakaria9904 10 ай бұрын
Bila makapu unapendeza zaidi
@Prisca-sn3zd
@Prisca-sn3zd 10 ай бұрын
Jaman mwanaume anayepiga hashaurik hata kidogo nina muunga mkono kabisaa huyu dada
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 8 ай бұрын
Na pia tabia mbaya sana kwa mwanamme kuwa mpigaji wa wanawake. Dula bado mshamba sana.
@eliachaula6542
@eliachaula6542 4 ай бұрын
Kumbe poleeeeee mwaya
@BabaBalingasi-hp6gd
@BabaBalingasi-hp6gd 9 ай бұрын
Zaylisaa ni mzurii aisee
@user-cj4cv3jo6p
@user-cj4cv3jo6p 7 ай бұрын
Hapo hujapendeza bana Bora ukiwa hujapaka nekap unapendeza sana❤
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 7 ай бұрын
Kama paka shume
@upendomsuya8961
@upendomsuya8961 10 ай бұрын
Hapo kwenye RJ tutakaa 🤣🤣🤣🤣
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 7 ай бұрын
Kumbe ndoa y mtandao demu alitaka umarufu tu ili atoke na ndio maana manara ana ndoa nyingi sababu wanataka wajulikane mitandaoni haibu
@wardaridhwankassim4774
@wardaridhwankassim4774 10 ай бұрын
Alvyotajw Rj 🤣 hyo blushing ya huyo dada ss🥹❤️
@josephmaka925
@josephmaka925 7 ай бұрын
Zay akuwa really akumpenda dullard kbs
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 8 күн бұрын
Ndoa zawa zinzinzi huwa azidumu kamwa ila chache sana
@katieabraham2013
@katieabraham2013 10 ай бұрын
she is super cute
@NasraNasa-mp7mf
@NasraNasa-mp7mf 7 ай бұрын
Mswahili sana dullah
@EvelineMasubo
@EvelineMasubo 10 ай бұрын
Bado miaka30😂😂
@ebanosafarikenya7390
@ebanosafarikenya7390 10 ай бұрын
The way she answered about RJTHE DJ MEANS EVERYTHING 😂😂😂
@treshazchismo1764
@treshazchismo1764 9 ай бұрын
Walisha date kabla ya kuolewa na dullah akakuta mesej za zaman
@hamisijumanne4137
@hamisijumanne4137 7 ай бұрын
Nimeipenda sana Ii intaviu
@lisamandela9987
@lisamandela9987 7 ай бұрын
Huyu dada n mstaarabu sana
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 10 ай бұрын
Wamiaka 24 mbona uso umechoka kama wa miaka 50 au ndo make up next time usipake mimi nakuona rangi ya uso na wig zimefanana aliekupodoa atafika mbinguni akiwa amechoka😂😂
@neemanyove9130
@neemanyove9130 9 ай бұрын
Mdogo huyu😊
@kemmypius2035
@kemmypius2035 8 ай бұрын
Acha wivu😅
@lillylaurent7449
@lillylaurent7449 7 ай бұрын
Jmn😅😅
@user-mn8dw5of8l
@user-mn8dw5of8l 7 ай бұрын
amekomaa sana kweli uchaw upo😂😂
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 10 ай бұрын
Napenda mwanamke nature by looks,,na sio mwanamke Atficial by looks!
@JacklineNamundengozi
@JacklineNamundengozi 10 ай бұрын
What do you mean? You are contradicting your self just use just use your local language Swahili.
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 10 ай бұрын
@@queenandchill91 kimewachoma Eeh,,,wanye mikorogo..Mijuso imekua mizito kama mibumunda vile nyooo!
@queenandchill91
@queenandchill91 10 ай бұрын
@@iddykwangaya2794 Nimekurekebisha SPELLING ujifunze uandishi sahihi wa ya maneno ya (kiingereza) uliyotumia kuwasilisha ujumbe wako. Utayari wa kuedit au kupuuza ujifunzaji ni maamuzi yako. Hayo mengine unayosema ni FIKRA zako. Na jinsi ulivyopokea na kureply hoja isiyo ya msingi unaonyesha jinsi gani ulivyo MPUMBAVU NA MJINGA. Na uandishi wako inaonekana sio MWANAUME ni SHOGA mzoefu asiyejitambua. KEEP IT UP
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 10 ай бұрын
​@@iddykwangaya2794😂kimewaramba wenye rangi za kubuni
@iddykwangaya2794
@iddykwangaya2794 10 ай бұрын
@@halimahbwelele694 yani wanatutia kinyaa sisi wanaume, ila basi tu
@jovinlawi2999
@jovinlawi2999 9 ай бұрын
Mekap. Imekupanya umekuwa mbaya
@Prisca-sn3zd
@Prisca-sn3zd 10 ай бұрын
Sikushaur dada angu mwanaume anayepiga hata usimsamehe
@kisakageorge7706
@kisakageorge7706 10 ай бұрын
Huyu dada hakumpenda yule kaka
@rachelmnyimwa4192
@rachelmnyimwa4192 9 ай бұрын
slitka umaarufu kupitia dulla
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 9 ай бұрын
Mbona wali sex
@mwanaelmwinbe-pb5qv
@mwanaelmwinbe-pb5qv 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 dullah alifos mapenziii
@zena6203
@zena6203 10 ай бұрын
😅😅😂😅😅😅😅😅😅😅
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂wanawake walefu wembamba sijui wanatatizo gani
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 10 ай бұрын
Jaman tupumzishe wanawake wRefu ongerea mtu mwenyew
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 10 ай бұрын
@@deborahcharles4916 mbona unaonekana mfupi
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 10 ай бұрын
😂 wanaringa
@deborahcharles4916
@deborahcharles4916 10 ай бұрын
@@wozanawewoz979 kulinga ni mtu mwenyew tu faivany mke wa raivanny ni mfupi na analinga
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 9 ай бұрын
Wechiz kwl😂😂😂😂😂kwaiyo umeona nn mpk useme ivo
@shamsamohad4887
@shamsamohad4887 7 ай бұрын
Dada angu mrudiane bs❤❤
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 7 ай бұрын
Weeeeeeee
@abdulabdallh9506
@abdulabdallh9506 10 ай бұрын
Uyu dem ni malaya saana
@MsAggie5
@MsAggie5 10 ай бұрын
Umesha lala nae?
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 10 ай бұрын
​@@MsAggie5😂😂😂
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 7 ай бұрын
​@@MsAggie5mwambie
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 9 ай бұрын
Kwahyo nikama alilazimishwa au ,,mbona wadada wamjini mnajikuta Sana ,,yaani mnajipa thaman Sana mpka mnapitiliza ,,,,😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mbona wakawaida sana
@nshaijatedy5512
@nshaijatedy5512 7 ай бұрын
Asubil miaka 40 ataelewa faida ya nyodo izo
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@joycekalago532
@joycekalago532 7 ай бұрын
Hata mimi siwez kuish na manara kwa mdomo wake ule
@zena6203
@zena6203 10 ай бұрын
Mmmjjjh sura nyeupeeee migummmhhhhhh
@mwajumalubunga1534
@mwajumalubunga1534 10 ай бұрын
Apo sasa 😅😅😂
@januarykasongo9298
@januarykasongo9298 10 ай бұрын
Jmn camera2 hiyo
@neemaseiler1122
@neemaseiler1122 7 ай бұрын
Mwanga uko juu zaidi
@NextoEmanuel-hw7jq
@NextoEmanuel-hw7jq 10 ай бұрын
Hv mahari huwa inarudishwa😂😂😂😂
@zena6203
@zena6203 10 ай бұрын
Yes kamaa Mimi tu nilimchoka mumewanguuuu akakata kunipa talaka nikampa mahari yake tukamalizanaaa imeisha iyo
@bimkubwaali5951
@bimkubwaali5951 10 ай бұрын
Hii inaitwa nipunguzie adhabu naijua iyo nilimpa nikapata amani ya roho yangu
@hajially4527
@hajially4527 7 ай бұрын
Sasa wew mguu na uso toka lini vikafanana acha wivu
@user-gr7ty6nz1l
@user-gr7ty6nz1l 7 ай бұрын
Ayo macho ya wote
@marthageorge5043
@marthageorge5043 10 ай бұрын
🔥🔥🔥
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 10 ай бұрын
Acha kupapalikia ndoa tulia kwanza
@user-gl2mr6uy7v
@user-gl2mr6uy7v 10 ай бұрын
Kipindi kijacho tunaomba utuleteye chino kid
@edinamathews7717
@edinamathews7717 10 ай бұрын
Mbona miguu myeusi uso mweupe?
@christinafrimin5615
@christinafrimin5615 10 ай бұрын
Kweli huyu dada ni mkweli hadanganyi
@magrethgeorge1368
@magrethgeorge1368 10 ай бұрын
😍 mambo ni moto
@dorahy1579
@dorahy1579 7 ай бұрын
Hivi macho yangu? Miguu mieusi, USO mweupe no mtu mmoja huyo huyo au two in one.
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 7 ай бұрын
Wanadamu wana haraka ya kusema bila kuchunguza pande zote
@MimyLenge-gp2xe
@MimyLenge-gp2xe 10 ай бұрын
Iyo mecap apana dada
@zenajustus5731
@zenajustus5731 10 ай бұрын
Makeup imemzeesha😊
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 10 ай бұрын
​@@zenajustus5731Bila makeup anapendeza zaidi
@emeldanicholaus6944
@emeldanicholaus6944 10 ай бұрын
She is a wife material kabisaa jaman
@footballmagichighlights
@footballmagichighlights 9 ай бұрын
LilOmmy Bro, Heshima yako. ''sipendi niongelee sana'' umemfungua hadi kafungua code zote 🤣🤣
@JacintaLyuki-ph6jf
@JacintaLyuki-ph6jf 8 ай бұрын
😊😊
@salha6596
@salha6596 10 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄
@salmasudi8901
@salmasudi8901 10 ай бұрын
Naira anacho igiza kinafanan na maisha yake halisi kule ghost huku dulla yan maamuzi ya fasta 😂😂😂
@user-nd6yp2gt1g
@user-nd6yp2gt1g 10 ай бұрын
😂😂 ghost tenaa jua kalii hyoo hahah
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 10 ай бұрын
Hahaa mambo ya mjini bana
@mwanamkuumohamed7344
@mwanamkuumohamed7344 7 ай бұрын
But huyu dem yuakaa mpole
@eagleeyes4449
@eagleeyes4449 7 ай бұрын
Hili jamaa sio handishi bali ni dedective.
@Neema-lh8pi
@Neema-lh8pi 9 ай бұрын
Huo mdomo umekua mbaya
@mariamibrahim6738
@mariamibrahim6738 10 ай бұрын
Dada mrefu kweli
@Zainab_salat
@Zainab_salat 10 ай бұрын
Kama mm😂😂😂 wajina
@MsAggie5
@MsAggie5 10 ай бұрын
Anapendeza kuwa model
@khajisokoni3790
@khajisokoni3790 7 ай бұрын
Shida yako moja zai lisaa we ni muuzaji kwa nini ulie kwa kupostiwa na mumeo
@user-cj4cv3jo6p
@user-cj4cv3jo6p 7 ай бұрын
Naira achana na mecap haijakupendeza kabisa umekua mbayaa
@jamohbabayaofamily4879
@jamohbabayaofamily4879 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu anataka kuuza albino kizee
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 10 ай бұрын
Huyu demu jinsi anavyo ongea ni muongo nani gold digger
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂Jamaniiii
@minzamariamcasmir189
@minzamariamcasmir189 10 ай бұрын
Always the mem with no gold….smh🤦‍♀️
@user-bm2qw9yb5x
@user-bm2qw9yb5x 9 ай бұрын
Yuko kwenyekameraa tunamjua Sana jilani yetu Ila anahaiba yaupore
@ashaali7154
@ashaali7154 7 ай бұрын
Eti gold digger hiyo gold iko wapi hapo hata shaba hakuna labda chuma tu. Dulla ni mshamba tu na ataendelea kuwa mshamba maisha yake yote.
@jumasungula8510
@jumasungula8510 10 ай бұрын
Yani kutajwa jina la mnyamwezi rj the dj macho kichwa vyote vimeongea
@upendomsuya8961
@upendomsuya8961 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@FatmaAbdala-bu9zl
@FatmaAbdala-bu9zl 10 ай бұрын
Mrembo Sana😘❤
@Neema92
@Neema92 7 ай бұрын
Mwanaume mwenye mkono wa kupiga hafai kabisa.
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 7 ай бұрын
Lakomaa uso
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 10 ай бұрын
Weeee uuuuu weeeeee
@jumasungula8510
@jumasungula8510 10 ай бұрын
We ulikuwa upendi
@lilybarongo8119
@lilybarongo8119 10 ай бұрын
Kfp huyu hakumpenda dulla
@veronicalufingo3513
@veronicalufingo3513 10 ай бұрын
Kwahyo alipigwa bila sababu
@MsAggie5
@MsAggie5 10 ай бұрын
Jamaa nakaa ana wivu Sana mwanamme WA hivi siwezi ishi nae hata wiki moja
@rehemaothman2475
@rehemaothman2475 10 ай бұрын
Nano neno hilo
@user-yu7uv6ws9h
@user-yu7uv6ws9h 10 ай бұрын
Duhh😂
@juliennefitina6529
@juliennefitina6529 10 ай бұрын
Apo uwongo njo mwingi sana
@user-my7oz7kw6p
@user-my7oz7kw6p 10 ай бұрын
Kiongoz tena ndiy mahan Unaenda dodoma
@user-yd3hz6hq6q
@user-yd3hz6hq6q 7 ай бұрын
ukifika mbinguni kinyama kishanyauka kwa kila ub*o kuingia kwenye k*m* yako
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 10 ай бұрын
Sasa ushaolewa ushaachwa ushazaa ushakua na mingo ushaachwa ushaolewa na dullah ushaachwa na bado una 24yrs😢
@zainabwage4658
@zainabwage4658 10 ай бұрын
Waongo hawa watu hawatak kuzeeka wakaitwa bibi
@yustersimon5104
@yustersimon5104 9 ай бұрын
Kwa mkoa anaotokea kwa huo umri ni kawaida mabinti zao wanaolewa utotoni darasa la 7 tu kwisha anaposwa😢
@gulfomanbb2119
@gulfomanbb2119 9 ай бұрын
Anatk mkoa gan
@cptnbazil6121
@cptnbazil6121 7 ай бұрын
Make up artist anafaa aache kazi maana kamtoa kituko
@bolelambunda6554
@bolelambunda6554 7 ай бұрын
Uso umemparama
@kiya0910
@kiya0910 9 ай бұрын
Ww dada acha kicheche tulia
@SwaumuMussa-xp1zo
@SwaumuMussa-xp1zo 10 ай бұрын
Jamani mmeona nilichoona au?? Mbn km miguu na uso tofaut?
@salmasudi8901
@salmasudi8901 10 ай бұрын
Macho yako tu huyo n mweupe peee kipenz sema make up hio haijampendeza
@user-uo6bo3ph6g
@user-uo6bo3ph6g 10 ай бұрын
Km mm😂😂😂😂😂😂 miguu meusi tyooo
@zenajustus5731
@zenajustus5731 10 ай бұрын
Coca-Cola fanta
@user-up1tb7sj2f
@user-up1tb7sj2f 10 ай бұрын
Jaman😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 10 ай бұрын
Make up
@mrsmumewangu4907
@mrsmumewangu4907 7 ай бұрын
Kichangu tu tumekutana ista pumbavu
@marygregory7566
@marygregory7566 7 ай бұрын
UKIACHWA TENA NA MANARA DADA UTAKUWA UNAJIHARIBIA CV
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 10 ай бұрын
acha kubicha weye ulikua na rj
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 8 ай бұрын
Yn linaonekana nijambaz kabis hili dada
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
@elizabethabdon2890
@elizabethabdon2890 7 ай бұрын
Kaperekwa veseti na zawadi
@mohamedhamsini9106
@mohamedhamsini9106 8 ай бұрын
HIVI DADA WEWE UNAMPENDA KWELI HAJJI? AU KUNAKITU UMESHAWISHIKA? KWANI ATA SIKUAMINI KAMA KWELI UÑAMPENDA WHITE
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,6 МЛН
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 37 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 17 МЛН
KESI YA SOKA, VILIO VYATAWALA MAHAKAMA KUU
6:22
JAMBO TV
Рет қаралды 1,4 М.
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,6 МЛН