Patrick Kubuya - Nakupenda (Live Recording)

  Рет қаралды 272,194

Patrick Kubuya

Patrick Kubuya

5 ай бұрын

Yesu wangu nampenda kwajili yeye ni yote kwangu

Пікірлер: 290
@judithmueni8626
@judithmueni8626 3 күн бұрын
Huu si wimbo tu,ni zaidi, ni kukiri kwamba hata kwa kujua yote ninayo yajua na kuona mengi, ni YESU ndiye nimeamua kuchagua.Ni rafiki wa karibu,alinipenda hata wakati sikustahili.Akafa kwa ajili yangu yeye ambaye hakujua dhambi ili mimi niwe huru.Nimekuchagua wewe tu YESU❤
@ElijahOchieng-tq4uy
@ElijahOchieng-tq4uy Ай бұрын
wonderful song... God is so much pleased when we worship Him🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rehemasimfukwe
@rehemasimfukwe 4 ай бұрын
My brother 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 you are a blessing🙌🏾🙌🏾🙌🏾 thank you for obeying the call
@patrickkubuya
@patrickkubuya 4 ай бұрын
Amen amen
@johndemunga2903
@johndemunga2903 Ай бұрын
​@@patrickkubuyabrodaa barikiwa Mtumishi kwa nyimbo zako ewe yesu mi NAKUPENDA UWE wangu milele❤❤
@rosemwiti6295
@rosemwiti6295 4 ай бұрын
Without you Lord I am nothing ... ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪thank you Lord for loving me... Be mine forever
@benjaminmaweu9125
@benjaminmaweu9125 4 ай бұрын
Amen 🔥🔥🔥
@purityngima7455
@purityngima7455 4 ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪 forever worship our father who at heaven
@benjaminmaweu9125
@benjaminmaweu9125 4 ай бұрын
Amen 🔥🔥🔥
@josia8501
@josia8501 4 ай бұрын
I really testify is most talented song wrighter and performing artist show some love Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@benjaminmaweu9125
@benjaminmaweu9125 4 ай бұрын
❤❤❤🇰🇪
@hanskidd2290
@hanskidd2290 4 ай бұрын
Maisha yangu bila yesu bure.......this is classic one ❤❤❤❤❤ from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-vd7ht3cr5o
@user-vd7ht3cr5o 4 ай бұрын
Powerful song NAKUPENDA SANA YESU Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nyamburaphoebe3089
@nyamburaphoebe3089 Ай бұрын
I can only imagine Jesus' face while listening to this. Jesus we love you, we can never pay you. Thankyou for paying such a high price . We love You Jesuuuuuuus. Maranatha
@jamesrukwaro9876
@jamesrukwaro9876 4 ай бұрын
From KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪♥️♥️💕♥️♥️♥️ much love 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dennisngalunga192
@dennisngalunga192 4 ай бұрын
Sisi twapenda kwa maana yeye alitupenda sisi kwanza.... 1 Yohana 4:19 Yesu nakupenda kwa kuwa Wewe ulinipenda kwanza, twende kwa nani Bwana kwako kuna maneno ya uzima. Mbarikiwe sana wapendwa, kuna nguvu ya Mungu katika huu wimbo. Nabarikiwa kutoka Tanzania 🇹🇿🇨🇩
@sheilahmasilwa4643
@sheilahmasilwa4643 3 ай бұрын
Amen...Yesu niwewe nakupenda.......🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@ibrahimbaruch2743
@ibrahimbaruch2743 4 ай бұрын
Ninachoona kwa kiongozi na kikundi kizima ni unyenyekevu. Nyimbo zenu zimejaa upako. Barikiweni na muinuliwe viwango vya juu.
@user-mt9zy1sk2h
@user-mt9zy1sk2h 2 ай бұрын
Hakuna maisha mema inje ya Yesu. Mungu akubaribi sana !
@moisemusanestor1570
@moisemusanestor1570 7 күн бұрын
Nakupenda yesu ,nime ku chagua kuamziya sasa. 🇨🇩 Goma
@mypresident.kimani1891
@mypresident.kimani1891 4 ай бұрын
High higher than expected. African rising in jesus name. from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Love love
@benjaminmaweu9125
@benjaminmaweu9125 4 ай бұрын
Amen 🔥🔥🔥
@duncanmaina6407
@duncanmaina6407 4 ай бұрын
Asante Yesu kwa kunipigania na kuniponya kutoka kwa vita vya kiroho. Adui alitaka niwe written off lakini kwa upendo wako nipo na ninazidi kuendelea. NAKUPENDA YESU.
@benjaminmaweu9125
@benjaminmaweu9125 4 ай бұрын
Amen ♥️♥️♥️
@edwinmbwiri7806
@edwinmbwiri7806 4 ай бұрын
@peterondieki3652
@peterondieki3652 4 ай бұрын
Bro this one is another big hit ,Jesus loved us first so need to reciprocate His love for us kudos man of God and your entire crew for nice work may God use u more and more to touch many hearts.
@shalinemusimbi230
@shalinemusimbi230 4 ай бұрын
@user-nz5sg4iv2c
@user-nz5sg4iv2c 4 ай бұрын
Hakika bila Yesu mimi sii kitu,Mungu aendelee kukutumia nyimbo zako zina uwepo wa Mungu tunabarikiwa sana.Mungu akubariki.
@julienbamupende3940
@julienbamupende3940 4 ай бұрын
Gloire à Dieu pour le boulot
@sarahkatile1524
@sarahkatile1524 2 ай бұрын
"Dunia ineniosha wengi lakini nimekuchangua wewe Yesu":the truth is that this world has so many gods and soo many majesus that i could opted for but i have chosen JESUS in this life and for the life to come,ooooooooooh,what a abling nd lovevly worship for our God the creator and JESUS our saviour
@jenifamuia2286
@jenifamuia2286 4 ай бұрын
NAKUPENDA YESU KWA MOYO WANGU WOTE🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Lusekelo98
@Lusekelo98 4 ай бұрын
Utukufu mpaka utukufu Let songs be our prayer sound when we can't have a chance to talk any word, and in circumstances when tears overwhelm words.
@wanzamwanthi4384
@wanzamwanthi4384 4 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 we love your ministration ❤❤❤
@pienciafortidas248
@pienciafortidas248 25 күн бұрын
Yesuuu wewe ni uhai wangu wewe ni maisha yangu wew ni yote ndani ya yoteee Oooh I love you uuuuu
@Graclyna12
@Graclyna12 4 ай бұрын
Kenyans 🇰🇪love you❤ minister kubuya
@yustalinganda
@yustalinganda 27 күн бұрын
Kati ya wengi nimekuchagua wewe Yesu, haleluyaaaa tunakupenda Yesu. More blesses for you nawapenda
@venerandamangore1384
@venerandamangore1384 4 ай бұрын
Asante kaka Patrick Huu umekuja kuwa wimbo wangu pendwa Awali ilikua ‘TENDA’ na sasa huu wimbo unanibariki mno mno mbarikiwe sana ❤️🙏🙏
@visionmartin
@visionmartin 4 ай бұрын
Nakupenda🥰💗💓💗Bwana yesu nakupenda,,,yote ya thamani kwangu ni wewe Yesu Bwana Yesu nakupenda❤ I am nothing without you my Lord
@visionmartin
@visionmartin 4 ай бұрын
Much love from Kenya🇰🇪 💗
@33gamer-te9el
@33gamer-te9el 4 ай бұрын
if humans can sound this good think of what heaven will be 🤔🤔🤔🤔
@pascalndondji8815
@pascalndondji8815 2 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@nyamburaphoebe3089
@nyamburaphoebe3089 Ай бұрын
His rhythms sound so much like what we will sing in heaven. Such a heart of worship
@jamesshammah1454
@jamesshammah1454 4 ай бұрын
Hallelujah 🙌🙌....Baraka Mtumishi.....Huu Ni Zaidi ya WIMBO😭😭🙏🙏.... Powerful 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 MUNGU awazidishiye NEEMA Yake🙏🙏.
@Monicapaul-of9ze
@Monicapaul-of9ze 2 ай бұрын
Nje yako Yesu hakuna uzima,nje yako Yesu hakuna utajiri, nje yako Yesu hakuna aman❤️❤️ nakupenda
@amanikahathi6608
@amanikahathi6608 4 ай бұрын
Aki nyimbo zako zanibariki♥️ sana, Mungu azidi kukinua kihuduma🙏
@gloriaotieno9581
@gloriaotieno9581 4 ай бұрын
I love you Jesus i have chosen you to be mine forever ❤🙏 amaizing and wonderful song thank you@patrick kubuya for the ministration
@patriciaphely2956
@patriciaphely2956 Ай бұрын
Huu wimbo nausikiza kila siku usiku ninapoenda kulala🙏🙏
@lydiamuricho5284
@lydiamuricho5284 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Nakupenda yesu
@virginiamwihaki1408
@virginiamwihaki1408 4 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪and East Africa 🇸🇸🇸🇸
@carol1_kimani
@carol1_kimani 4 ай бұрын
Kenyans working in Gulf❤❤ Love from Saudi Arabia
@anthonywambua1708
@anthonywambua1708 4 ай бұрын
This one.....Kati ya wengi...niwewe moyo umependa..... Hallelujah
@jacklinesharif7781
@jacklinesharif7781 4 ай бұрын
Nakupenda Yesu sina thamani maishan mwangu bila wewe Yesu❤
@kishie5416
@kishie5416 4 ай бұрын
Always longing for master pieces from you man of God Actually the lord is using you to uplift us through your music We love you jesus
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 4 ай бұрын
My life without Jesus is nothing
@user-vd5td7sx1t
@user-vd5td7sx1t 4 ай бұрын
jesus merci infiniment pour t'être donné à ma place, te faisant pauvre infin que je sois riche, te privant de tout pour que ma vie soit meilleure, ma vie est le fruit de ton amour enfin bref j'ai tellement à dire mais permet moi de bénir le frère Patrick Kubuya pour tout jesus ça vie est un témoignage en fait je me rappel un jour j'avais assisté à une de ses célebrations dans la ville de Goma où il donné son témoignage et je me dis que Jesus tu es le chemin, la vérité et la vie. En toi je suis quelqu'un Jean 3:16
@user-in7rc1mf4s
@user-in7rc1mf4s 4 ай бұрын
Maisha yangu ni bure bila wewe Yesu Kristo.❤ yote y'a samani kwangu ni wewe Yesu❤ Hakika WAM mubarikiwe na Mungu katika huduma. Katika nyimbo nasikiya uwepo wa Mungu.
@DianaNakhabi
@DianaNakhabi 3 ай бұрын
Merci équipe! Cette chanson est sortie pour me parler. Hors de Jésus c'est de la mort. Merci beaucoup.
@pristinefulgence1410
@pristinefulgence1410 2 ай бұрын
May the Holy Spirit be with you as He keeps guiding you in your composition of songs. This song blesses me everyday. I wake up with this song, i work with this song, i end my day with this song. It has been on repeat ever since i found it. I love God.. This song makes me love Him more. Thank you for helping us express how much God loves us in this song. You are a blessing in disguise. The Holy Spirit is within you Man of God 🙌🏼🕊️
@nkathapamela5703
@nkathapamela5703 4 ай бұрын
❤❤❤❤wooow,,such a powerful song,,much love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@estermathias8354
@estermathias8354 4 ай бұрын
Tujuane ambao maisha yetu bila YESU ni kifo😢 YESU usiniache
@dorislibabu7252
@dorislibabu7252 4 ай бұрын
Jesus is my everything to me ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@user-lh4lm4hs1s
@user-lh4lm4hs1s 2 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲 ainuliwe yesu kwa viwango vya juu anasahilo🙏🙏
@user-fj8rk1mo7v
@user-fj8rk1mo7v 4 ай бұрын
Kenyan watching from Doha Qatar i feel the vibe moved inspired big fun of kubuya band improvement in the team good job🙏
@kenkibathi2080
@kenkibathi2080 4 ай бұрын
What a powerful song.. I wish everyone could just listen to it. maisha yangu ni bure bila wewe, indeed
@tukuyufm
@tukuyufm 4 ай бұрын
Tanzania tunakupenda sana @patrickkubuya mungu aikuze huduma yako. ni shauku yangu one day we will be together in @tukuyufmtz . God bless
@cedrickmugishobakenga638
@cedrickmugishobakenga638 3 ай бұрын
Yesuuu nakupenda wewe ndiwe wangu 😭😭🙌🙌♥️♥️...
@giselendona8971
@giselendona8971 4 ай бұрын
Le chant de ma destinée...qui a tout déclencher et réveillée ma conscience...Mon temoignage
@thecareerschannel1523
@thecareerschannel1523 4 ай бұрын
Patrick, you never disappoint. Authentic Worship for real. I thought Tenda was the best song for me in 2024 but hey it is being challenged already. PLEASE SHARE THE FULL LYRICS
@ArnoldMUNYANGE1992
@ArnoldMUNYANGE1992 4 ай бұрын
Burundi tunakupenda Yesu. Mungu akupe mwisho mzuri 🙏🏾😭
@patrickkubuya
@patrickkubuya 4 ай бұрын
Amen amen
@agnesshequey3719
@agnesshequey3719 4 ай бұрын
Nakupenda YESU 🇰🇪
@graceblessing1591
@graceblessing1591 4 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah, All Glory, Praise and Honour belongs to You Lord Jesus, My brother Kubuya stay blessed with your Ministry 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 You bless us beyond all the imaginations 🔥🔥 UK 🇬🇧 🇬🇧Love U guys 👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾
@getruderasi
@getruderasi 4 ай бұрын
Mungu awabariki kwa kufanya jina la yesu kuinuliwa na watu wote .
@jacintamusembi4445
@jacintamusembi4445 4 ай бұрын
Maisha yangu bila Wewe. Ni bure. Nje yako Yesu ni kifo.......❤❤❤
@pris1232
@pris1232 4 ай бұрын
Love you baba God😢🙏🙌🏾
@joymumo6628
@joymumo6628 4 ай бұрын
Amen Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@victoriamoki8348
@victoriamoki8348 4 ай бұрын
Yesu nakupenda, furaha yangu ni wewe, eeeeh thamani yangu ni wewe, dunia imenionyesha kilio lakini wewe Yesu upendo wako wa ajabu, Yesu nakupenda... Yesu nakupenda ❤❤❤
@bentaokoo6680
@bentaokoo6680 4 ай бұрын
This song is deep 🇰🇪🇰🇪
@kamanapeter4751
@kamanapeter4751 4 ай бұрын
Nakupenda Yesu nimekuchaguan uwe wangu milele,,Kati ya wengi macho yangu yamekwona sitakii mwinginee nimekuchagua ,peke yako ndiye moyo niweka sitaki wengine nimekuchaguaaa.
@ndungujoy5571
@ndungujoy5571 4 ай бұрын
Powerful indeed ❤❤❤from Kenya
@fidelisnjoki1486
@fidelisnjoki1486 2 ай бұрын
Hallelujah maisha ndani ya Yesu ni matamu sana power message .
@ericamwabulambo4517
@ericamwabulambo4517 4 ай бұрын
OH WOW! Yesu wewe ndiwe wangu
@user-ek5fv7rw5r
@user-ek5fv7rw5r 4 ай бұрын
Be blessed patrick🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ibrahimmwadime17
@ibrahimmwadime17 4 ай бұрын
Kumpenda Yesu na kumchagua kabla ya yote jambo la heri kabisa, tulitafute kwa bidii zote, utukufu kwa Yesu milele yote🙌💕💕💕
@sekelaisrael7675
@sekelaisrael7675 4 ай бұрын
Maisha yangu bila Yesu ni bure ,nakupenda Yesu nimekuchagua uwe wangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Kelvin_Mutembei
@Kelvin_Mutembei 4 ай бұрын
Yote ya dhamani kwangu ni Wewe Nakupenda Bwana Yesu Umejaza moyo wangu na furaha Nakupenda Bwana Yesu Maisha yangu ni bure bila Wewe Nje yako ni kifo Ni Wewe Ndiwe uso ya uzima wangu Bila Wewe sifai Nakupenda Yesu Nimekuchagua Uwe wangu milele Ndani ya wengi Macho yangu yamekuona Sitaki mwengine Nimekuchagua Pekee Yako Ndiye moyo umependa Sitaki mwengine Nimekuchagua Yesu Yesu Yesu Wewe Ndiwe wangu
@user-gi5gr5wy9q
@user-gi5gr5wy9q 4 ай бұрын
Upendo wa moyo wangu ni wewe.yesu
@liliannamatsi6697
@liliannamatsi6697 4 ай бұрын
Forever Lord. ❤ Thank you
@joskyshams4758
@joskyshams4758 4 ай бұрын
Staki mwingine nimekujakuwa Yesu🙌
@karimkazibwe8430
@karimkazibwe8430 4 ай бұрын
Out of Christ i'm nothing. He is my all in all. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@pascalenock4532
@pascalenock4532 4 ай бұрын
❤❤❤God is good all the time
@naomymacharia8955
@naomymacharia8955 4 ай бұрын
Maisha yangu ni bure bila wewe..nje yako ni kifo. Nakupenda
@ruthmbugua9239
@ruthmbugua9239 4 ай бұрын
All about God.❤
@meshackmushagalusa2501
@meshackmushagalusa2501 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuku bariki abariki huduma yako, na jamaa yako
@mosesmuiruri1595
@mosesmuiruri1595 4 ай бұрын
Yesu NAKUPENDA 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
@cliffezeckiel2648
@cliffezeckiel2648 3 ай бұрын
Kweli kabisa kingozi wa kwaya ni mnyenye kevu Mungu awaongoze
@TinaJoel-xx9fu
@TinaJoel-xx9fu 4 ай бұрын
Yesu wewe ni kila kitu kwangu nakupenda Bwana Yesu
@elizabethmakau5702
@elizabethmakau5702 4 ай бұрын
❤ Asante Yesu ❤ Psalms 16
@jasonclaige8750
@jasonclaige8750 4 ай бұрын
What a powerful song wow amazing😊
@bellatilia0804
@bellatilia0804 4 ай бұрын
Nakupenda YESU
@benjaminmaweu9125
@benjaminmaweu9125 4 ай бұрын
Continue with the good work in the mighty name of Jesus Christ.Amen🙏🙏🙏
@frgustavetshibangu3497
@frgustavetshibangu3497 4 ай бұрын
Merci Papa pour cette belle chanson sans Jésus Christ nous sommes de vaut rien
@JosphineWambui-wn6bt
@JosphineWambui-wn6bt 2 ай бұрын
Powerful....nyimbo zako za ninua zaidi
@user-kf4oh7lt8e
@user-kf4oh7lt8e Ай бұрын
❤❤❤ Que le Dieu des esprits de prophète vous bénisse abondamment pp
@emanuelavaleriani8646
@emanuelavaleriani8646 4 ай бұрын
Yesu amenipenda sana hata siwez kusema chochote
@Taberra125
@Taberra125 2 ай бұрын
Amen amen 🙏 ❤❤❤❤❤ Asante Yesu kristo kwa yote
@fridakennedy6476
@fridakennedy6476 4 ай бұрын
Mimi ni uchafu tu na takatak nikiwa Peke yang Mungu ni kila kitu kwang❤
@mishyomary8408
@mishyomary8408 4 ай бұрын
Wewe ndiwe wangu uzima wangu nimekuchagua Yesu ❤❤
@janetmativo1050
@janetmativo1050 3 ай бұрын
I you God,sitaki mwingine
@pastormwashambwa4075
@pastormwashambwa4075 2 ай бұрын
Glory to God
@lunalunes1281
@lunalunes1281 4 ай бұрын
Thank you for the name of Jesus.
@jeanpierredjeli8177
@jeanpierredjeli8177 4 ай бұрын
Félicitations Que la gloire revienne à Jésus-Christ
@bethuelnatembeya5342
@bethuelnatembeya5342 4 ай бұрын
Nakupenda yesu❤❤
@danielbahizire5819
@danielbahizire5819 4 ай бұрын
Aisee nimesikiliza huuu wimbo hadi nimetoka na machozi the song ina nguvu za Mungu kabisa my brother Patrick kubuya Barikiwa sana
@Njihia_W
@Njihia_W 2 ай бұрын
Oh how I love this whole band 🙌🙌🙌 May the Lord continue to use you guys ! Your service to the Lord He will sure reward !
@peninahlyona6110
@peninahlyona6110 4 ай бұрын
Hata mm nimekuchagua Yesu wangu ww pekeyako.
@mylesmutira4504
@mylesmutira4504 4 ай бұрын
Waa,true worship.Amazing
Patrick Kubuya - Tenda (Live Recording)
10:58
Patrick Kubuya
Рет қаралды 826 М.
Patrick Kubuya - Sitakuacha (Live Recording )
15:53
Patrick Kubuya
Рет қаралды 877 М.
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 35 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 8 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 210 МЛН
Nikurejeshee
12:42
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 232 М.
Dr. IPYANA  Suprise visit to Tuesday worship Moments
30:26
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 450 М.
MOYO WANGU USILIE TENA ( Yadah Experience )
7:12
Josper Brandon
Рет қаралды 3,5 М.
Patrick Kubuya - Umetenda Maajabu(Live Recording)
7:35
Patrick Kubuya
Рет қаралды 91 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 23 МЛН
Patrick Kubuya - Naamini (Live Recording)
11:05
Patrick Kubuya
Рет қаралды 1,7 МЛН
Umestahili Yesu  - Tafes Aru Praise & Worship |  Live Music Video
13:18
Tafes Aru official
Рет қаралды 3,1 МЛН
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 67 МЛН
Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)
12:44
Neema Gospel Choir
Рет қаралды 3,1 МЛН
Duman - мен болмасам кім? (Mood Video)
2:35
Duman Marat
Рет қаралды 177 М.
IL’HAN - Pai-pai (lyric video) 2024
3:24
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 839 М.
Aq Koilek
2:51
Algyt - Topic
Рет қаралды 141 М.
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25