Ni wakati wake Paula mrembo na Ana nyota❤️❤️❤️❤️❤️
@muntueric-oy1ty Жыл бұрын
Acheni Marioo awape raha Paula na Kajala.....Harmonize aliwapa machozi hadi kidogo Paula ajiue.....Harmonize laana itamuua😂😂😂
@nurumohammed13108 ай бұрын
Paula mrembo jmn kapendeza hatari mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
@Mr_moneyu Жыл бұрын
I love Paula and marioo
@Mr_moneyu Жыл бұрын
I love Paula and marioo to come my mom
@Mr_moneyu Жыл бұрын
Marrio and paula I like to look to see the to see you see romorr
@audreyirakoze7807 Жыл бұрын
Mwijaku leo umeongeya point👌🤣🤣🇧🇮
@ElizaChacha-ww5lq Жыл бұрын
So cute jmn paul
@joyRozy-xb9qj6 ай бұрын
So beautiful girl
@saislassbirhas Жыл бұрын
Hili DC linafki hili🤣🤣😍
@Noah-zt5zf Жыл бұрын
Mwijaku anaongea akimeza nyongo😂😂😂😂Nilingoja amuulize kama alimaliza powercef
@user-ch5fl9th5h7 ай бұрын
Paula we ni mzuri Kam mpenz wako alivyokusifia
@joyRozy-xb9qj6 ай бұрын
Inger paula
@zamilahemed7037 Жыл бұрын
Mtabaki kuongopewa hivohvo kila siku Paula katembea na huyu mara huyu wenzenu wako kibiashara zaid
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Kabisaa, tukigusa tuu wamelipwa
@AnisiaKamala-nq1yk Жыл бұрын
Akuna chanyota niujinga not watu wanaitumia vizur mbona yeye anaitumia vibaya
@angelinndinda254 Жыл бұрын
😂😂😂mwijaku naye mmbea kweli
@pillyomaryhemedi6577 Жыл бұрын
Mwinjaja ataolewa mwisho wake😅😅😅😅
@user-qq6mv6vh3e Жыл бұрын
Wamuache mtoto wawatu paulla
@annageorge43 Жыл бұрын
Zilipendwa tayari. Hakuna jipya
@user-uq9qb6ny6z Жыл бұрын
Jamn mwijaku ACH hizo bhan
@swariotibi6134 Жыл бұрын
Jamani mwejako 😢😢
@wahidaabeid5712 Жыл бұрын
Sasa unataka kujipendekeza kwa Mario na kajala na Paula si uliwavuruga Sasa unaona Mario anakuja juu unataka kumvaa acha hizo mtu mzima punguza hizo acha tamaa za uzeeni
@alouisejohn7752 Жыл бұрын
Paula na kajala noma sana hawana lolote
@estatekisombola9251 Жыл бұрын
Mwijaku mnafki sana
@arafaseifu2152 Жыл бұрын
Kabisa mnafki😏
@rahmanamani3422 Жыл бұрын
Mujaku mnafiq mkubwa eti kagistiri paula ivo ndio kajistiri astaghfirullah
@munimuni3365 Жыл бұрын
Mwinjaku mnafiki sana🤣
@saidatniyonkuru9910 Жыл бұрын
Mmmh mwijaku itaku Allah 😂😅
@hasinaaljabri1502 Жыл бұрын
Kajala uko uche kwanini😮
@mejumaabaraza3989 Жыл бұрын
Kwani uyu c aliolewa juzi tu mbona bongo shikamoo
@Shamilaempress-ux4mv Жыл бұрын
Ifike Mahali msipende kufatilia Maisha ya Watu Kwan Hamna kazi za kufanya, ucjal Mwaya Kama unasemwa jua wanakukubali, af pia we ni star, ndo maana wanakufatilia💔💘👐
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Acha uongo kajala aliachwa na hamo
@mercymwabonje9953 Жыл бұрын
Mwijakuuu😅
@nurually5993 Жыл бұрын
Mwijaku mnafki sana mbwa huyo
@user-hl9lo6gk2b Жыл бұрын
We mwijaku watakuoa usipo jiangalia
@FatmaHassan-dn7wk10 ай бұрын
We nae uchawa umekuzidi kajistir kitu Gani hap
@ashaamour1537 Жыл бұрын
Kwenda uko miwani kobe ati kalelewa kimadili mwenye kulelewa kimadili anavaa Uchi kama hivo
@mishimwarabu1824 Жыл бұрын
Mwijaku ww😂
@user-nr5lj6rw8s Жыл бұрын
❤❤❤❤
@ChambiliNguti-yk4tv6 ай бұрын
Emuri
@user-yj2qc6cw3q Жыл бұрын
uyo mwijaku mnafi
@mwanjinzara8009 Жыл бұрын
Mwijaku mbona hamjiheshimu lkn Paula eti mdogo wako so kajala ni mama yako msijizimage data kwani ungesema.anko ungepungukiwa nn Paula ni mtoto wenu mwenzenu ni kajala sijui kwa nn mnajionaga watoto hata miliam aliwah sema eti Paula mdogo wake jiheshimuni basi Paula nyinyi ni mtoto wenu
@speciosermusika2009 Жыл бұрын
Njaaa mbaya Yaani Mwijaku bwana.
@user-yp5ud2xv1i Жыл бұрын
Kwanini wameachana jamani hii ni huzuni sana tena kubwa 🤔
@lee-pi8je Жыл бұрын
Ila mwijaku 🤣🤣🤣🤣
@sabraomar6604 Жыл бұрын
Paula kapendeza
@SalmaAhmada-hw9sc Жыл бұрын
Achenicomment za kijinga watu tunaishi kimaesabu mjin apa kila nyumba ina namba kajala usijali maneno ya wakoswaji
@victormbugobola802 Жыл бұрын
Bongo Ni kuishi kwa Akili 😂😂tu wanawake ishini kwa akili Kama kajala na Paul na wema septu nivgum kunielewa lkn nd hvyo..... kajala na Paul wanatembelea nyota za watu😂😂