No video

PENZI LA MTOTO WA BOSS 💕 NA DADA WA KAZI PART 3-4 | PENZI LA MTOTO WA BOSS PART 3 | FINAL REVIEW

  Рет қаралды 47,409

Kibox Media

Kibox Media

Күн бұрын

WhatsApp For More Update link 👇
whatsapp.com/c...
Explanation About The Video..
Kwenye Video Hii Utapata Prediction review 3 ya Penzi la Mtoto wa Boss na Dada wa kazi series ( Ep 3 ) bila kusahau utajuzwa kuhusu mambo ambayo Nimeyapenda na Yale ambayo sijayapenda
Kama Hujaangalia Full Video za Penzi la Mtoto wa Boss na Dada wa kazi Series Full Video Zinapatikana Kwa DONTA TV Mjini KZfaq.
Important: This Videos are very Special For Review , Commenting & Predicting the Upcoming Scene According to What Is Going on to the Current Series, As well as Introducing or Telling You where the Videos are Found in Specific Channel.
If you see Bad use of This Video or Picture please contact with us Via Email www.kiboxmedia@gmail.com
NB: Video Hizi ni Maalumu Kwa kukosoa & Kubashiri / Prediction ya KAZI ya Sanaa Kwa lengo la Kuboresha au Kutabiri Yajayo | Kama Utaona Kuna Matumizi Mabaya ya Video Hii au Picha Hasa Kwa Mmiliki/ waigizaji Tafadhali Wasiliana Nami Kwa Email www.kiboxmedia@gmail.com
Copyright Disclaimer | Under Section 107 of The Copyright Act 1976, Allowance is Made for Fair use For Purpose Such as Criticism, Commenting, News, Reporting, Teaching, Scholarship, and Research..
Other Search Keywords.
penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi part 3, penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi Ep 3, penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi part 4, donta tv penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi part 3, penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi episode 2, penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi part 4
#kiboxmedia #moviereview#dontatv

Пікірлер: 56
@priscarpriscar4870
@priscarpriscar4870 Ай бұрын
Kelvin asikubali kuishi na mwanamke katili kiasi hicho,,,mke mtarajia anaroho mbaya tena nikatili sana so kelvin nakushauri uoe to lovenes❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉,,,hilo jike unaletewa nijambazi kakangu so usikubali😢😢😢😢😢
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🙏❤️✌️
@SakayoDaudi
@SakayoDaudi Ай бұрын
Vip ❤❤❤❤
@SumaiyaHassan-k1o
@SumaiyaHassan-k1o Ай бұрын
Ila acha yote jmn uyo kelvin mzury jmn 😅😅😅namsapotti amina 🤣🤣🤣ila nmependa vile alivyojishauwa kwenye gari la watu umeweza kuwapresent 🤣🤣🤣wanawake wa aina hioo 💯💯💯💯
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😁😁😁😂😂🙌🙌❤️✌️
@SumaiyaHassan-k1o
@SumaiyaHassan-k1o Ай бұрын
Itatoka lini jmn 😢nachoka kuingia nakutoka kuujua kama ushatoka au bado😭😭nmeupenda sana😂❤plzzzz*zzzzzzz fanyeni muutoe jmn.... I learned many things in previous episodes😊😊😊
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
I think by tomorrow or a day after tomorrow it will be out 💪✌️❤️🙏
@user-id8tw9cn6m
@user-id8tw9cn6m Ай бұрын
Kev achague mwenyewe na sio wazazi pia mpenz mtarajiwa mm naona sio mke na yule alie sema kuachana asahau pia sio mke lavu kwakua ni mvumilivull💝😂💕
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😆😆😆🙌🙌😂✊🙏❤️✌️
@YusraSaidy-q2o
@YusraSaidy-q2o Ай бұрын
Nawapenda sana jamani kaz yen ni nzuri ila love pole sana jamniii
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🙏❤️✌️
@sofiakinyia2734
@sofiakinyia2734 Ай бұрын
Mim najua lovenes ataolewa na kelvn🎉
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🙏❤️✌️
@user-ix9pg3pr5m
@user-ix9pg3pr5m Ай бұрын
Hata mm ningekuwa mwanaume singekubari kuchaguliwa mke
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😂😂🙏❤️✌️✊🙌
@EvaKitwange
@EvaKitwange Ай бұрын
Kazi yenu ni nzuri Sana lovenes pole na nipopamoja Hadi tamati
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🙏❤️✌️
@AlesiaKayoka
@AlesiaKayoka Ай бұрын
Huyu na mikope yake anatuumizia lovenes wetu huku tuandamane
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😆😆😂😂🙌🙏❤️✌️
@AlesiaKayoka
@AlesiaKayoka Ай бұрын
@@KiboxMedia 🤣🤣🤣
@rozinacleofas1552
@rozinacleofas1552 Ай бұрын
Et A. K. A mama makofi🤣🤣🤣🤣🤣
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😁😁🙏❤️✌️
@NoorEesa
@NoorEesa Ай бұрын
Kazi nzuri sana kelvin amwambie tu mamake kua anampenda loveness
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🙏❤️✌️
@FurahaJudith-c6s
@FurahaJudith-c6s Ай бұрын
Huyo mtarajiwa ni mbaya sana hata mimi simpendi
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
@@FurahaJudith-c6s 😂🙏❤️✌️
@FatmaMadeni
@FatmaMadeni Ай бұрын
Huyo mkwe mtarajiwa pia hana tabia nzuri kelvin akatae kumuoa na aseme kwelii km anampenda loveness
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
👍🙏❤️✌️ Yah hapo Itakuwa safi
@umfahad2609
@umfahad2609 Ай бұрын
Kofi alopigwa Loveness nimeckia machungu. Nimejikuta nimeshtuka kwa nguvu, bila ya kujijua jamani.💔💔
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🥲🥲 😌🙏❤️✌️
@FurahaJudith-c6s
@FurahaJudith-c6s Ай бұрын
Huyo mtarajiwa ni mbaya sana hata mimi simpendi
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😂🙏❤️✌️
@RahmaAlly91
@RahmaAlly91 Ай бұрын
Mbona kutafsiliwa tena jmn 😅😅😅mm sielewi
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😂😂😂 huwezi kuelewa kama Hujawahi jiunga na familia ya kibox Media hapa ni Full Analysis,, ukiona Huelewi ni wewe tu hujaamua
@SakayoDaudi
@SakayoDaudi Ай бұрын
Kwani pati 03 bado
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Imeshatoka
@umfahad2609
@umfahad2609 Ай бұрын
Jamani umaskini mbaya usiombe…. Yani unanyanyacka na huwezi jitetea😭😭💔💔
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Ni kweli Dah! 😌
@AristoteMwengeAlain
@AristoteMwengeAlain Ай бұрын
Kelvin asimuowe mke asiye mupenda ndaoa siyo Ku shurutiswa mbali ni uamuzi wa kipekee. Awe tajiri Ama maskini. Amuowe lavununisi kwani anamupenda nanimutaratibu.
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
🙏❤️✌️
@Lucy001-j2g
@Lucy001-j2g Ай бұрын
Mama makofi
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😁😁🙌🙏❤️✌️
@MohamedKitulile
@MohamedKitulile Ай бұрын
Episode 3 bado haijatoka?
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Bado Inakuja ✌️
@user-sy9cu5ef5q
@user-sy9cu5ef5q Ай бұрын
😅😅😅eti meno yame nyofoka😅😅 aki wewe Timothy utakuja kunivunja mbavu nakicheko ila huyu mke mtarajiwa wa Kelvin A.K.A Tina anaroho mbaya
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
😂😂😆😆🙏❤️✌️🤪🤪
@umfahad2609
@umfahad2609 Ай бұрын
Ht mimi nililiona hili. Mama Kelvin anamsema bint yake. Je mchumba mtarajiwa amevaa vizuri???
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Yaani Ni Maajabu jamani
@fatmahassan4829
@fatmahassan4829 Ай бұрын
Nahisi Kelvin hawezi kuishi na mtu ambaye hana hisia nae hisia zake ziko kwa lovenes
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Yes hapo safi 👍🙏❤️✌️
@fatmasalim8869
@fatmasalim8869 Ай бұрын
Na yule ambae anaishi na Kelvin ninani
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Ni mpenzi wake ambae anataka kutolewa Mahari Kisha kuolewa ikiwa kelvin hampendi
@ArafatKhamis-y7o
@ArafatKhamis-y7o Ай бұрын
Mbna haijatoka mpy why
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
Ikikaribia kutoka nitawajuza ✌️
@user-eo8wi2is7t
@user-eo8wi2is7t Ай бұрын
Nibala itupeyeni basi
@KiboxMedia
@KiboxMedia Ай бұрын
👍
HOUSE GIRL EP 39 | S2 | love story💞💕
20:46
BUSATI TV
Рет қаралды 54 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 557 М.
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 103 МЛН
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 87 МЛН
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 19 МЛН
JENIFFER ALINIKATAA NIWE MPENZI WAKE - PATRICK KANUMBA
3:13
Wasafi Media
Рет қаралды 198 М.
Rachel aomba talaka- Kapuni | Maisha Magic Bongo
3:52
Maisha Magic Bongo
Рет қаралды 1,3 МЛН
SIKU MOJA KABLA YA NDOA YANGU PART 01 💞 Love Story | DONTA TV
22:40
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 331 М.
NILIKUWA NA MAHUSIANO NA RAY/ MTOTO SIO WAKE  - JOHARI
2:34
Wasafi Media
Рет қаралды 148 М.
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 557 М.