Mie ni pilau tu la malkia food🥳nimeweza pika pilau zuri sababu ya video zako🥳we love you moma 🥳
@malkiafoods11 ай бұрын
Awwwh. Barikiwa sana love ❤
@cookingwithmimmo11 ай бұрын
Imeandaliwa vizuri sana, napenda
@emmyjohn471911 ай бұрын
Woooow
@ShakilaNice-mc4cw11 ай бұрын
Yummy
@dakshernarendra569611 ай бұрын
Nzuri sana, j.oil ntapika hivyo🥰 asante sana ila umesahau kutuwekea ulivyo marinate kuku🫣
@user-hk6st7qu3t7 ай бұрын
Kugeuza pilau ni umbea😅😅😅😅😅
@deboradavid783311 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@dizcommunity420811 ай бұрын
Dada malkia mimi ni mwanafunzi wa chuo, nataka kwenda kupanga naomba list ya vyombo simple & modern vya kununua (like cookers, etc) vitakavyo nirahsishia kupka na ambavyo ni economical
@emmyjohn471911 ай бұрын
Me ninapenda vyombo vyako sana huna ulivyovichoka?
@MalobyaOdelo-hy6qz6 ай бұрын
Mbona unatumia mkono wa kushoto
@svt3Ай бұрын
Kama ndio mkono una nguvu afanyeje? Mbona watu wengi wanautumia kwa kula,kuandika, na ndio unanguvu kufanya kazi na ni hivyo wameumbwa toka tumboni mwa mama zao