Рет қаралды 13,095
(KILO MOJA NA NUSU) KAROT 1.5
TUNGULE KUBWA(NYANYA)2
EMBE MBICHI IKIWA FRESH 2 kubwa.
Kama ya frozen nusu mfuko
Tomatoe puree kijiko kikubwa 1
Thomu chembe 7
Tangawizi kidogo
Kitungu maji kikubwa 1
Pili pili 6-8
Gili gilani kijiko 1 kikubwa
Bizari nzima (nyembamba) kijiko 1kikubwa
Paprika kijiko 1 na nusu kikubwa
Uwatu wa unga nusu kijiko cha chai
Pili pili kavu kijiko 1 kikubwa.
Chumvi .
Mafuta nusu kikombe (kikombe cha kawaida)
link kwa recipe tamu ya sambaro
• SAMBAARO /HOME MADE PI...