Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan on Monday morning arrived in the country on Monday, August 2 to start a two-day State visit.
Пікірлер: 50
@mursallusinde91892 жыл бұрын
Tunaomba na rais kagame aje atutembeleee mzee wetu hatuja muona bongo kitambo sna 🇷🇼+🇹🇿 sisi ni majirani wema
@allykeita7042 жыл бұрын
Love Rwanda and Tanzania
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Chapa kazi mama sikiliza ya wote fanya lako
@nisetameena92762 жыл бұрын
NAIPIGA KWA MOTO WA ROHO MTAKATIFU KWA JINA LA YESU KILA AINA YA UHALIFU UNAOFANYIKA KWA UWAZI NA KWA SIRI KWA KUJUA NA KUTOKUJUA, NATEKETEZA KILA AINA YA ROHO CHAFU KWA JIANA LA YESU AMEN.
Paul kagame the Rwandan president I think he is a mong the top 5 ,Africa's best performing president, and among g the top 50,in the world.
@patrickmakerere49172 жыл бұрын
Welcome to Rwanda mama Samiya Suruhu Hassan Thank you so much be blessed at all as banyarwanda we love you so much ✌✌✌✌
@lobinahnakate55212 жыл бұрын
Wow
@samoramachelsms37982 жыл бұрын
Turabubona Ubutwari Intwari zu Rwanda zagize muri mwebwe Afande 🙏🇷🇼
@petershedrack46682 жыл бұрын
Kutembea kwa majirani sio mbaya
@nk-ne2hh2 жыл бұрын
Mbega aba jepe ba samia ngo barajagarara !uziko barikujya kugongana
@mamitomamita62842 жыл бұрын
MASHAALLAH MAMA SAMIA AMELOOSE VIZURI SANA MASHAALLAH
@samoramachelsms37982 жыл бұрын
Turabubona bwa butwari Intwari zuRwanda zagize muri mwebwe Nyakubahwa Presdent Paul KAGAME Presdent of Rwanda kuko kuva mubohoye Igihugu URwanda rurayoboye kwisi mwisuku numutekano no kurwanya Covid19 🙏🇷🇼
@saidnaweka71452 жыл бұрын
Pigakazi mama wataelewatuuu
@martinafredrick1992 жыл бұрын
Muone barakoa ka mgeni wa bundi
@lizyhenry3702 жыл бұрын
Nivile tu unaenda kuzima Moto kwa jirani wakati kwako kunaungua
@happymrema67282 жыл бұрын
Duuu ziar zako ninyingi
@jamesmartin70262 жыл бұрын
Piga kazi mama ulete wawekezaji na kufungua milango ya biashara. Nyie mnaongea ongeeni tu, sisi wenzenu tunachangamkia fursa! 😇
@allyhassan21362 жыл бұрын
Kazi ya kusafiri sio? Umeme unakatakika huku,maji yanakatika na ofisi zawaka Moto.
@nardhismhagama62662 жыл бұрын
Rwanda wanakuja kuwekeza bandarinj?
@frankdaniel35062 жыл бұрын
Kikwete number Two....na corona lakini anazururua why dont you use zoom conference meeting?balozi anafanya nini angesign kama JPM alivyokuwa anafanya.Corona ikiisha huyu mama atakuwa New York London na Paris...subirini
@OyugiErnest2 жыл бұрын
Resemblance to Westpoint cadets
@devjeremierpool40302 жыл бұрын
Kwa ziara mama hujambo wakati huo unazurura watu wanakufa huku du
@rukiayusuf9872 жыл бұрын
Kufa kwani hujitambui .jinga weee
@kipe69182 жыл бұрын
Kwani yeye ndiyo Kinga ya corona
@minmaxc4852 жыл бұрын
@@kipe6918 we nyumbu akili matako Kwan kasema wanakufa kwa sababu gani
@happymrema67282 жыл бұрын
Mda wa Kaz hakuna nikuzurur tu
@ezekieljacob57952 жыл бұрын
Kufa ni wajibu. Wabongo nyie shida, hivi mnajisahau kwamba anytime utaondoka......tunakumbushwa kila mara. We are here only temporary. Tufanye mema tu .
@minmaxc4852 жыл бұрын
Duh ila mama unazurura sana mama kaa dodoma huku wanapiga kikwete aliamini watu akasafiri wakapiga mama kaa home
@barutiabuu94922 жыл бұрын
Wenzako wao haji kwako
@martinafredrick1992 жыл бұрын
Unalala na barakoa kitandani ??
@martinafredrick1992 жыл бұрын
Hatukupendiiiiiii 🤫🤫 kwani hatukuchagua' huna uchungu na wananchi kwasababu hawakukuchagua unafanya nn sasa????; Unaongozwa na kikwete kisa mapenzi??? Loooo umezidi ww' Bibi watoto unazini 😄😄😄
@pendael022 жыл бұрын
Dar hawatoki hawa
@martinafredrick1992 жыл бұрын
Ulijifanya kuwa na magufuli kumbe ulikuwa humpendi ulikuwa kimvuli tu upigwe kwa jina la yesu
@ahmedzahor29752 жыл бұрын
Kamfufue basi weye unae mpenda
@mohamedasaid79102 жыл бұрын
Mkabila hasidi
@mohamedasaid79102 жыл бұрын
Little knowledge dangerous.Talking like a fool thinking yourself smart
@penfordabissai99412 жыл бұрын
Duu hakuna mwanajeshi mwenye kitambi wapo shapu balaa utafikiri chui au paka!
@peterremy80132 жыл бұрын
Barakoa ya nini xx na umechanjwa??
@jeniphachabili45172 жыл бұрын
S ndo hapo,,🤣🤣
@khadijanzeyimana56222 жыл бұрын
wanaosema anazurura hamna akili, sbb kwa sasa dunia inapoenda ni kushirikiana laa sivyo wenyewe watakuuwa tu, tusidanganyane afrika au hata aina kiongozi yoyote wazungu ukiwapinga tu itakula kwako , mzee Magufuli aliwapinga sana ila kifo chake sisiote tunaua kinamashaka na hakuna anaelaumiwa nando wazungu hao,KAadafi ilkua hivo na yeye,so mwacheni mama afanye kazi na muhimu si kwa faida ya familia yake bali ni kwafaida ya watanzania
@kiatu2 жыл бұрын
Jamani nyakati mbaya hizi - tuonane kwa zoom tu.
@martinafredrick1992 жыл бұрын
Ungelitambua uache ata kuutubia kwani wananchi hatukupendi unaongozwa na zilipendwa umekuwa kipofu ww wachawi wakubwa nyie
@mohamedasaid79102 жыл бұрын
Hasidi hana makao
@mohamedasaid79102 жыл бұрын
Ukiitwa polisi ujieleze utaanza kunya surualini
@gashumbaariella53622 жыл бұрын
Abantu bishimiye ibibirori bampe like
@mamawinnie9263 ай бұрын
Ntabirori turimo turibuka abacu
@succesmedia34592 жыл бұрын
Yan huyu mama toka kuapishwa ni kuzurula tyu mbona wenzio hawaji kwako
@amininsabimana4102 жыл бұрын
Komagome kokontawuhari siwr wakira under mu president???