Well done Mh TIBAIJUKA YOU HAVE DONE IT ✔ STAY BLESSED. I AM TAKING YOU ON BOARD. HAPPINESS IS THE BACK BONE OF MIND SET. HAPPINESS IS THE BRIGHT FUTURE. 🙏
@frankkaijage97263 жыл бұрын
Mama Anna. Nakusalimia sana.Mwanagu alifauli vizuri kwenye Shule yako ya Bukoba Khagus
@deboraruhinda67263 жыл бұрын
Nampenda sana Profesa TIBAIJUKA
@edgarmbehikya81503 жыл бұрын
Mama Ana Tibaijuka jamani! Ati bwana alitoa na akatwaa. Nimecheka sana 😆😆😅
@machaggechacha34223 жыл бұрын
Tibaijuka na Kikwete wote wezi matapeli na mafisadi. Kenge weusi hao.
@briansancedo93363 жыл бұрын
Hongera sana mama upo sawa sana, Hela za mbogamboga🙏🙏🏻🙏🏻😅😅😅😅
@shamirahkantengwa92453 жыл бұрын
Kazi zako nzuri sana @Gangana 💪💪💪💞💞💗🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@joycekingu15303 жыл бұрын
Una hekima Prof. Ninakubali kuwa mipango miji na ramani thabiti pamoja na elimu ya ardhi kwa wananchi ndio ufumbuzi mzima wa migogoro ya ardhi.
@amonchalah30923 жыл бұрын
Good
@TheLovejoyz3 жыл бұрын
Fantastic
@jumangoda74143 жыл бұрын
I wish nikutane na huyu mama, huyu kweli ni Professor, anazungumza vizuri sana
@nicodemussicilima833 жыл бұрын
Huyu Mama hazeeki. Akili yake kali kama alivyokuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Shahada ya Kwanza Kitivo cha Kilimo Morogoro
@hamasikatv77133 жыл бұрын
Saana aisee kila analo tamka ni madini tupu dah hatunae bungeni tena inauma ila basi Tena.
@geofreysenka70913 жыл бұрын
Hera za mbonga wapi vijicent
@kelvinpeter33723 жыл бұрын
Ila huyu professor nampenda bure😂😂
@annamwakibinga5273 жыл бұрын
Hongera sana dada Anna Mungu akulinde.
@simeonmutashobya39222 жыл бұрын
Mungu wa ajabu, kwenye tatu bora uteuzi wa mgombea urais awamu ya tano fisiem alishinda mwanamke, kapigwa kando kapewa ubarozi hasirud. But mwisho kawa rais mwanamke. Tuwatumie wanawake waTz wanamaana.
@musauyepaulo8023 жыл бұрын
uyu mtu sikumfaham nikamchukulia poa ila amenifundisha u-smart na matumizi halisi ya elimu.
@geofreysenka70913 жыл бұрын
Maprofesa wetu wezi tu wenzao huko magharibi maprofesa wabunifu was kutengeneza vitu vya kudumu engine za ndege na vinginevyo
@mashakankonoki25453 жыл бұрын
Hela za nyanyaaa..,...
@nelibaba3 жыл бұрын
"This is not the end of the world"
@yohanakihumi13563 жыл бұрын
Una akili sana
@petersimon21153 жыл бұрын
Anatema nondo sana mama
@gracemima52343 жыл бұрын
Ulifukuzwa Nairobi kwasababu gani? Kula fedha za kujenga nyumba za Wanyonge. Ukafukuzwe Nairobi. Tanzania ukala fedha. Mabilioni ukaziita pesa za mboga wakati Watanzania wengine hawana hata chakula.
@kazikazini10423 жыл бұрын
Mbona hii kali tena
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Siasa za kuchafuana zimezidi Tz,,,
@timothmwakakusyu45633 жыл бұрын
@@kazikazini1042 😂😂😂😂😂
@eshyndibalema15293 жыл бұрын
Acha wivu aliyekuzidi kakuzidi
@msonjosicario50043 жыл бұрын
YAANI kuna BINADAMU WASIO NA hata chembe ya AIBU.....
@lucaschisamalo28523 жыл бұрын
Mama mjanja huyu
@onesmomassawe62303 жыл бұрын
Mtangazaji unajichkeshaa nn ww
@cosmasmpwage25763 жыл бұрын
Mama wa hela ya mboga 😄
@mdimimdimi42823 жыл бұрын
Waandishi ninyi ni wajinga xn na wapuuz xn,kwanin mnapenda xn kuwahoji watu wapumbavu xn na matapeli?
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Wacha wee! Na kwanini unafuatilia mambo ya kipumbavu na utapeli?
@mdimimdimi42823 жыл бұрын
@@ganganainfochannel pumbav xn Kwan macho Yana mpaka? Mwehu xn
@ganganainfochannel3 жыл бұрын
Mpaka ukaclik kucoment nani pumbavu hapo?
@mdimimdimi42823 жыл бұрын
@@ganganainfochannel wew
@Chemba673 жыл бұрын
Hazina kubwa hii Tanzania
@yangaebiasal32373 жыл бұрын
uyo ndo muhaya wa mreba ndg zangu
@petermtey55083 жыл бұрын
Professor but -
@laprincevonkingpin77933 жыл бұрын
Siyo Kafara, kwann uliita fedha za wananchi hela ya mboga,,ungesema huhusiki na fedha siyo kuzarau pesa,wakati wengine wanaugulia umaskini mkuu...hahaha,,,mama wa "kadiri unavyopanua ndo wenzako wanatamaniii"
@uhurunyereremusa85923 жыл бұрын
MAMA TIBAIJUKA please stop re writing history ulipokea pesa za escrow shs 1 billion kwy acount yako ya shule halafu ukazitoa zilipokwenda unajua wewe offcourse ni mfukoni kwako that is the reason why you were fired. acha kudanganya watu kuwa ulitolewa kafara wakati ulichukua pesa
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Una uhakika, ndugu ? Daah ! Siasa hizi za kuchafuana...!