No video

PUTIN na KIM JONG UN wakubaliana kuungana kupambana na UBABE wa MAREKANI

  Рет қаралды 35,974

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 179
@Dellylubunga
@Dellylubunga Ай бұрын
Wa kwanza ku toka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ni mimi naombeni like zangu
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 Ай бұрын
Omba hela siku nyingine 😅
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 Ай бұрын
Wakongo nyie mbona washamba sana wa kwanza nd nn
@Kujason12
@Kujason12 Ай бұрын
Tupo pamoja ndugu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Kuna watu humu wanatowa ajira mara nyingine omba vitu vya maana humu
@MursalLusinde
@MursalLusinde Ай бұрын
Hakuna mkongo mwenye muda wa kuja kukoment ktk media za bongo hta ukisoma coment zao ktk media za huko hua hawaombi like 😂😂 😂😂 😂😂😂
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm Ай бұрын
Mwenyezi mungu azidi kuwapa nguvu na ushindi zipi ya wamarekani na washilika waoo
@CheloDangote
@CheloDangote Ай бұрын
Wa Kwanza from DRC 🇨🇩🇨🇩
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
Hawa mbona Wana Afya mzuri nchi nzuri Safi vikwazo Na wanaishi vizuri😊
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
wanapewa chakula na Russia
@barakashaban9698
@barakashaban9698 Ай бұрын
​@@kwisa4899acha uongo
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli Ай бұрын
@@kwisa4899 Kakudanganya nani?
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Tunapewaga taarifa tofauti na BBC dunia ipo uchi sasaivi viungo vyote vinaonekana
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
​@@shukurumsebalolikalia hayohayo na viongozi wako wakoma
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Ай бұрын
❤❤❤noma sns Hawa ndo watu sahihi achana na mashoga wengne Hawa ni wanaume kweli 🎉
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Ай бұрын
😂😂😂😂😂 Karibu Putin hawa jamaa ni noma sana Nawapenda sana
@MirajiWaziri-hl2hc
@MirajiWaziri-hl2hc Ай бұрын
Mungu awape nguvu muwamalize mangaribi inshalah
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 Ай бұрын
Acha uchoko wewe Vita Kama Ni nzuri nenda ukapigane..
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv Ай бұрын
Go go go brothers MASHOGA tumewachoka
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Kabisa
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Ай бұрын
Safi sana magangwe
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 Ай бұрын
Nimegundua kwa DRC wanaipenda sana SnS ❤❤🎉
@Chida
@Chida Ай бұрын
Congratulations to you guys. It's a great job gooooooooooo
@jayomarion8183
@jayomarion8183 Ай бұрын
Sasa Kuna jitu jeusi lililopigiwa kura na wananchi maskini linalosapoti wamarekani..
@EmanuelMkongwi
@EmanuelMkongwi Ай бұрын
Na sisi tunasema kalibu 🇹🇿 Tanzanian 🇹🇿
@edchrisbeatz8976
@edchrisbeatz8976 Ай бұрын
😂😂😂 tatizo letu hatunaga msimamo hilo ndo linatuponzaga always
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
😀😀 Nyie mnaushirikiano wa kisiri siri na kiduku
@HenryNuhu
@HenryNuhu Ай бұрын
daaah Umenfrahisha sana aseeh
@geoufo2858
@geoufo2858 Ай бұрын
Nimefray kwakweli.🔥🔥🔥🔥
@rashidsaid6015
@rashidsaid6015 Ай бұрын
Hawa jamaa kwel wagumu mimi naamini kabisa wote English wanajua ila wanazungumza kupitia wakalimani hawatak kbs kumtukuza mzungu na upuuzi wake
@saidyramadhani9874
@saidyramadhani9874 Ай бұрын
Wamesoma marekani wote hao
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x Ай бұрын
Viongozi waadilifu allah awaongoze mshinde aamiin
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 Ай бұрын
Wababe wa dunia viva Putin 💪
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 Ай бұрын
❤❤❤Pongenzi kwa miambA hawa khakika Dunia wana ishepu vinzuri.🎉
@SAYMOEKARIM
@SAYMOEKARIM Ай бұрын
hii Ndo Korea tulioambia masikini duh Marekani na ulaya bwana 😅😅😅😅😅😅 duh
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 Ай бұрын
Wapotevu sana
@kaayakitomary1233
@kaayakitomary1233 Ай бұрын
Imeenda iko vizur sana
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Ай бұрын
More blessings
@Gulfnas1
@Gulfnas1 Ай бұрын
Karibu Dar pia mwamba!!
@bacarcasanova5705
@bacarcasanova5705 Ай бұрын
The powerful leaders in the world✊✊✊
@selemancokker4994
@selemancokker4994 Ай бұрын
M/mungu azidi kuwacmamia viongozi hawa
@danielamosi6871
@danielamosi6871 Ай бұрын
Safi sana
@Valencechachalyrics
@Valencechachalyrics Ай бұрын
Safi sana hii 💪🏾
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Ай бұрын
Nice story big up
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 Ай бұрын
Nawakubari sana wakubwa
@MS.independent8934
@MS.independent8934 Ай бұрын
Nimependa sn mapokezi yake🎉🎉
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 Ай бұрын
Marekan ana miaka 5 ya kujipanga tofauti na hapo amekwisha
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx Ай бұрын
Dj sma huko wapi sauti hatusikki mkuu
@musaakida9951
@musaakida9951 Ай бұрын
Hawa ndio wanaume
@user-rt9qr3ie9g
@user-rt9qr3ie9g Ай бұрын
SAFIII
@FaustineLuanda
@FaustineLuanda Ай бұрын
Nimefurai sana
@user-ql6hg7fy9p
@user-ql6hg7fy9p Ай бұрын
Ziara ya kamanda wa ulimwengu Rais Vladimir Putin Korea kasikazini ni ya kuiangamiza Nato ikiongozwa na Marekani, Mungu ambariki Putin na wananchi wa Urusi na Mungu ambariki Kim na wananchi wa Korea Kasikazini.
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana Ай бұрын
Nice story
@user-xl9so6jg1e
@user-xl9so6jg1e Ай бұрын
Kichekesho chako kizur sana
@nizarrama225
@nizarrama225 Ай бұрын
​wewe huna akili unadanganywa na Hollywood movie😂😂, huyo mmarekani wako anawashindwa Houthis😂😂😂​@@user-xl9so6jg1e
@selemancokker4994
@selemancokker4994 Ай бұрын
Amini kiongozi magharibu wana2nyanyasa sana
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Ай бұрын
@@selemancokker4994 UMEWAHIKUSIKIA WAKIMBIZI WA KIVITA, NJAA AU SHIDA YOYOTE WANAKIMBILIA NA KUHIFADHIWA NA URUSI AU KOREA kASKAZINI?
@samwelynzaly1175
@samwelynzaly1175 Ай бұрын
Nice 🎉
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Nawapenda Sanaa hawa watu 🙏🙏🙏🙏💥🔥
@user-by3di4jb3k
@user-by3di4jb3k Ай бұрын
@mohamedabdulkadir7996
@mohamedabdulkadir7996 Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@joshuason557
@joshuason557 Ай бұрын
Watu wa maana sana 🫡
@johnmike6059
@johnmike6059 Ай бұрын
Good moment ...Putin.x.kim
@Bama959
@Bama959 Ай бұрын
Alipo putin Kuna Amani
@JeanvierLuwela
@JeanvierLuwela Ай бұрын
❤❤
@elidiustudoy2640
@elidiustudoy2640 Ай бұрын
😂😂😂 izi nchi naona zinaogopeka dunian kote ivi sasa kama unamini kam mm gonga like apa✍️✍️
@eddechriss2664
@eddechriss2664 Ай бұрын
Hii ndio timu ya ushindi bhana
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Ай бұрын
Bado sana!
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 Ай бұрын
miamba hiyo hatari sana
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 Ай бұрын
Hapa nilipo ninatabasamu tu kwa ajili ya miamba hawa.😊
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Ай бұрын
Haya mambo naonaga kwenye movie tuuuu saivi dunia ndio tunayo yaishi😂❤
@stevkaliona4107
@stevkaliona4107 Ай бұрын
Kimenuka jamaniiiiiii uwiiiiiiiiiii Leo n leo😂😂😂😂 like zenu wa kwanza kulike❤
@GeorgeMpweto
@GeorgeMpweto Ай бұрын
Mimi natokeya USA 🇺🇲🇺🇲🇺🇲 mungu atu saidiya sisi wajawake na awa samehe makosa yawo
@suleimanali5681
@suleimanali5681 Ай бұрын
Kwn ile gari ambayo kapewa or ilitanguliza kwajili ya usafiri wk?
@billskeez92
@billskeez92 Ай бұрын
Shabiki kindaki @Billskeez to pande za🇧🇮 tuna GPS kuhusu huyo msafara
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 Ай бұрын
Mbabe wa kivita
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Ай бұрын
Kaz hipo miaka hiii
@Nyanda506
@Nyanda506 Ай бұрын
Huwa wanasema eti korea kuna maisha magumu ..Ni uongo tu na propaganda
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k Ай бұрын
Nenda ukaishi ili ujihakikishie zaidi 😅
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 Ай бұрын
Bora waungane.
@nellymtambo8432
@nellymtambo8432 Ай бұрын
Mmarecan kapata maaadui yajayo yanafurahisha😂❤
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 Ай бұрын
Vyuma hivyo
@Moviesclip6action
@Moviesclip6action Ай бұрын
natamani kuona vita za nyuklia
@jassonnelly3445
@jassonnelly3445 Ай бұрын
Marekani kayatimba
@nathanasige806
@nathanasige806 Ай бұрын
May God protect Putin as he goes back to moscow
@gynae8407
@gynae8407 Ай бұрын
Oioioioiiiii..... hawa ndomiamba imesalia duniani nimefurahi kinyama wangerusha hata bomu Moja kwanza Leo US
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Ай бұрын
Hawana Jeuri hiyo😀
@josepheriah5977
@josepheriah5977 Ай бұрын
Wote maskin
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Vidume 2 kudadadeki waze wa kazi.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
Keta mapinduzi makubwa ndani ya hii dunia, bila kuisahau africa hatujaona mabadiliko toka tutawaliwe na magharibi tofaut na ushoga na kuchuma lasilimali zetu
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 Ай бұрын
Kwa akili Yako unadhani Russia akiikamata dunia atakupa uhuru?😅 Hapo ndo tunapokesea Sana, hakuna mtu mweupe anaependa Africa weka akilini mwako hiyo
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Ай бұрын
@@Oldskulgemini9991 sawa wacha nisibishane
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
🇷🇺🇷🇺🇰🇵🇰🇵🇹🇿🇹🇿👏
@catherinejohon1282
@catherinejohon1282 Ай бұрын
Hiii ni shoo ya kibabe kabisaa🎉🎉🎉🎉
@user-qk7bn8dj4z
@user-qk7bn8dj4z Ай бұрын
Kwanza wanaafya
@zuricakes6817
@zuricakes6817 Ай бұрын
Sky inaonekana hili umefuraishwa nalo sana. Unatangaza kwa raha sana hii news!😀 Una ndoto za kuhamia Urusi nini? Utakuwa kw kwanza Bongo mwenye ndoto hizi.
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Wanaume wawili wa shoka .
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Ай бұрын
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸
@user-fl1xz3ln3c
@user-fl1xz3ln3c Ай бұрын
Wanaume wenye misimamo hao
@davidndaha9607
@davidndaha9607 Ай бұрын
Mimi sijaona Raisi wa Korea anacheka ila akikutana na Putin hata meno yote unayaona kweli urafiki mzuri ni raha.
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 Ай бұрын
Putin ndani ya mjamaa halisi
@Papi.Al.Pacino
@Papi.Al.Pacino Ай бұрын
Kweli DRC wanaipenda sana SNS kulko hata wabongo😂🙌
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Ай бұрын
Tutaheshimiana tuu
@RashidShinza
@RashidShinza Ай бұрын
Jpm
@khamisikhamisi7225
@khamisikhamisi7225 Ай бұрын
Wababe ulmwengne!!??
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 Ай бұрын
THE WEST EMPIRE IS COMING.
@user-hb7mq8lg9e
@user-hb7mq8lg9e Ай бұрын
WEST,EAST?..
@radjabusuleiman6486
@radjabusuleiman6486 Ай бұрын
@@user-hb7mq8lg9e wanapigana na west apo nimemaanisha west wanarudi vitani tena maana myaka mingi hawajapigana vita na wababe wenye kulingana nguvu.
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Ай бұрын
Weeee wa gangi hao umoja ni nguvu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Kaka sky gps news iko wap...lusha basi tutazame nawasubilia kwa hamu kwajili yakuwasikiliza
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti Ай бұрын
GPS mpya ni hadi Jumatatu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
@@SimuliziNaSauti sawa kaka sky mim nishabiki yako mkubwa Sana sijawahi kupitwa nakipindi chako nahabar zenu za sns or gps hata mala moja..siku yake namim unipe sharauti kwamana ni shabiki yenu namba moja kabisa kabisa sijawahi pitwa na habar zenu..nasiachi kukoment..nakipenda Sana gps na timu yako yote
@BillySmart-tk1wu
@BillySmart-tk1wu Ай бұрын
The western people are so jealous bcoz of this is happening in #northkorea... Napenda Sanaa hayo mapenzi itawale DUNIANI #africa #diaspora #carribean .. AFRICA government muko wapi na KUJIPENDEKEZA kwa watu wa magharibi wasio tupenda nakutuletea ushoga....... 😢😢😢
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 Ай бұрын
Africa ni winafsi sana wanajali matumbo yao na wala sio raia na future ya generations zao.
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
KOSA kubwa la mmarekani ni kurusu hawa jamaa kuungana
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Asiwe anatangaza safari zake wasije wakamtungua😢
@happymrema7487
@happymrema7487 Ай бұрын
Ulinz wake ni hatar Sana Yana kweny anga kunakuwa na ulinz wa hatar ni ngum wanajua kwamba anawez kufunguliwa lakin wajipange Sana
@daprince7545
@daprince7545 Ай бұрын
Viongozi wawili wanao kosesha usingizi muungano wa NATO kwa mda huu. Intelligence ya NATO iko mbioni kujua ziara ya mwamba putin ndani ya korea.
@saidyramadhani9874
@saidyramadhani9874 Ай бұрын
Soviet la familia
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Ай бұрын
Viva Putin vs kiduku🎉🎉
@Abuqayyim157
@Abuqayyim157 Ай бұрын
Vichwaa vya bangi vimekutana
@salummohamedi5562
@salummohamedi5562 Ай бұрын
alicho kisema huyu jamaa kua atazipa siraha nchi hasimu na marekani naona Sasa anakitekeleza naiona Vita 3 ya dunia ipo usoni
@TheBossOdhis
@TheBossOdhis Ай бұрын
Long live Putin
@isaacklazaro3780
@isaacklazaro3780 Ай бұрын
Viva Putin
@MagabiMwikwabe
@MagabiMwikwabe Ай бұрын
Saf putin
@KizitoAnthony-tv3fl
@KizitoAnthony-tv3fl Ай бұрын
kumbe MAREKAN mbabe 😂😂😂
@RehaniKharidi-st4oe
@RehaniKharidi-st4oe Ай бұрын
Si walisemaga hasafiri putin sasa si huyo 😂😂😂😂
@RuttaJames-kh5jx
@RuttaJames-kh5jx Ай бұрын
Putin tuna kuombea
@missp1814
@missp1814 Ай бұрын
hata mie ningekuwa Korea mfano,ningekuwa hapo kushangilia mpaka sauti ingekauka😂😂😂M.mungu awalinde hawa viongozi maana hao ndo wameamua kusimama kupambana wengine wapo kujikomba kwa marekani akati wanakandamizwa wao wanajichekesha kwakupewa vitu vidogo wanaona wanapendwa
@chancesholdan342
@chancesholdan342 Ай бұрын
Dunia imekutana North Korea.... HIzi Pumbavu kina NATO wajipange mamae zao
@korossocharles419
@korossocharles419 Ай бұрын
Russia nikubwa sisi wa Africa ilitakiwa tuwaunge Russia
@yohanalembuguni3171
@yohanalembuguni3171 Ай бұрын
Father Putin fanya kutest mitambo kidogo tz maana wamezidi maneno insta
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 Ай бұрын
Chanel thabiti kwa habari za uhakika na ukweli
Russian President Putin in North Korea
3:02
Haber Lütfen
Рет қаралды 1,6 МЛН
Putin receives lavish welcome in North Korea
2:25
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 589 М.
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН
Это реально работает?!
00:33
БРУНО
Рет қаралды 4,2 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 24 МЛН
Kim Jong un drives Putin during state visit to North Korea
1:39
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 6 МЛН
Kumekucha DUDU BAYA ACHARUKA BINTI KUBAKWA POLISI BADILIKENI
11:41
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 2,9 М.
Kim Jong Un welcomes Putin with mighty military parade in North Korea
2:36
ALI KAMWE AMPA ONYO KALI MWIJAKU "WEWE NI MWEHU, NINGECHUKUA MKEO"
6:57
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 11 МЛН