🔴#LIVE - MDAHALO WA KIELIMU / DR. SULE NA PASTOR NDACHA / MBEZI MKONDE

  Рет қаралды 12,579

DARSA TV

Ай бұрын

🔴#LIVE - MDAHALO WA KIELIMU / DR. SULE NA PASTOR NDACHA / MBEZI MKONDE
Mashaa Allah DR. SULE akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya🔴#LIVE - MDAHALO WA KIELIMU / DR. SULE NA PASTOR NDACHA / MBEZI MKONDE
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE:kzfaq.info/get/bejne/a7-JnK-AypvZo6M.html​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: darsatv​
► LIKE DARSA TV on Facebook: DARSATV/​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZfaq @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZfaq @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 92
@robertotieno5443
@robertotieno5443 Ай бұрын
May the Lord Jesus Christ bless you more evangelist Ndacha Francis. you're a warrior of Christ 2024.
@kinglastbornmedia1474
@kinglastbornmedia1474 18 күн бұрын
Hii ngoma ya Imani nikumuachia mungu ndio atupe uongofu
@augustinemagesa5743
@augustinemagesa5743 Ай бұрын
Daah m naona waisilamu kuna kitu wanakikosa kwenye maisha ya KIROHO. Yani wapo mwilini sana
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 24 күн бұрын
Hawana roho wa Mungu ila Yesu atakuja ipo siku sule atashangaa sana
@tubanefrancine
@tubanefrancine 14 күн бұрын
mimi ni muisilamu swari ndogo Yesu kafa amamungu au. kafa mutu Jibu kwa Roho soma 1timoteo 6.16 AllAH hawezi kufa mupe eshima naumuogope
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 13 күн бұрын
Huu ndiyo ukweli
@elkairosway1895
@elkairosway1895 15 күн бұрын
Ndugu Waislam, someni Biblia kwa kujua Mungu, sio kumpinga Yeye!
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 20 күн бұрын
Waislamu sijui huelewaje maandiko
@benjaminwekesawamalwa2854
@benjaminwekesawamalwa2854 29 күн бұрын
Kwa maandiko yesu ni Mungu kwa akili za waislamu ni mtume hilo halina shida
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj Ай бұрын
Ndacha ubarikiwe kwa kusema kwe waislam wamezidiwa tena kwa kiwango kikubwa sana, injili na isonge mbele
@johnkisubi8974
@johnkisubi8974 29 күн бұрын
Ndacha wow barikiwa
@ahmadbelier3160
@ahmadbelier3160 Ай бұрын
Dr Sule Mungu akupe maisha marefu tena mazuri na akupe mwisho mwema 🤲
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 Ай бұрын
Mashallah sheikh Dr Sule waoneshe haki waace kufuru wajuwe mungu afanani nacocote azayi awo azariwi afanani nacocote uwislam nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 Ай бұрын
Sule hajagusa hata hoja moja hapo amekwama
@tubanefrancine
@tubanefrancine 14 күн бұрын
A.S.W.W mimi ni mutu wa Rwanda nataka niurize Pastor Ndaca anakubari waungu wangapi Sababu mungu akizaa niweri anazaa mungu ndomana AllAH Azar YOHANA 20.17 yesu kasema baba yangu ndie baba yenu Ndaca nikurize mbone yesu kishasema nasisi niwatoto wamungu kamayeye nawewe nimungu ?
@SACCHARUM-t3q
@SACCHARUM-t3q 12 күн бұрын
Kwa YESU kuna shuhuda mbili [ushuhuda wa mbinguni, Baba Neno na Roho (YESU huyo mmoja hao wa 3,wanashuhudia Uungu wake) , ushuhuda wa duniani,Roho damu na maji (hayo matatu pia yanashuhudia Utu wake)1yoh5:6-9 {Yote ni ndani ya YESU MUNGU mukubwa Tito 2:13
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
Mambo ya Yesu Kristo hakuna mtu anaweza kuelewa mpaka Mungu mwenyewe akujalie
@sadiqkivunjor5698
@sadiqkivunjor5698 Ай бұрын
Yesu ni mtu acha kudanganya watu ,ukristo ni ukafiri
@tubanefrancine
@tubanefrancine 14 күн бұрын
Kwanini huwezi kuerewa mambo ya yesu MATAYO 6.9-13 soma yakwake mazuri sana kwa wanao sari amayeye siwengine waisilamu maashallah
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 14 күн бұрын
@@sadiqkivunjor5698 Siko hapa kumtete Yesu Kristo Bali yeye anajitetea mwenyewe kila aliyemwamini na kumkubali katika Roho na kweli Ana uhakika wa kuishinda dhambi ya Ufiraji, ulawiti, usagaji, uasherati, uzinzi, choyo, uchawi, ushirikina, matukano,wizi, ubinafsi na mengine yanayofanana na hayo. Nakuuliza swali wewe hujawahi kumfira mwanamke ?
@ezymkal7134
@ezymkal7134 17 күн бұрын
DR SULE MUNGU AKUPE LONG LIFE 👋
@user-vk8oe8cs5s
@user-vk8oe8cs5s 28 күн бұрын
Kama na Yesu pia ni Mungu kwa kuwa ni Mwana wa Mungu basi Mungu watakuwa ni wangapi?
@bmtv111
@bmtv111 21 күн бұрын
Before Abraham was I'm MAANA YAKE "Kabla ya ibrahimu kulikuwako na mungu" maana I'm lilikua ni jina la mungu. Mbona wakristo mnadanganyana sana
@HellenLemilya
@HellenLemilya Ай бұрын
Sio upendeleo ila Ndacha nikuelewa unasema kweli ya Mungu
@vincentnyabuto5647
@vincentnyabuto5647 27 күн бұрын
Spiritual matters don't ask Muslims. Ask them juu ya ndevu
@abasmwika3432
@abasmwika3432 Ай бұрын
Ndacha ana maslahi mapana sana na Ukristo hatokuja kuslimu kamwe, kuslimu kwake kutauangusha pakubwa sana Ukristo. Ndiomaana anacheza na vipengele vya ujanja ujanja kuuweka Ukristo kwenye ramani. Lakini moyoni mwake anaujua ukweli
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Aache njia ya kwelii aende kwenye majinii😂😂
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 Ай бұрын
Ndacha ni mwalimu mzuri sana
@user-vk8oe8cs5s
@user-vk8oe8cs5s 28 күн бұрын
Hakuna uhusiano wowote baina ya Muislamu na Majini,mwenye anasema Majini ni kwa ajili yake mwenyewe na maslahi yake ya kidunia, soma Quran 6:128
@richardchimba3800
@richardchimba3800 22 күн бұрын
😢
@muqbulmuqbul7589
@muqbulmuqbul7589 Ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@nikusekelakajumba7697
@nikusekelakajumba7697 16 күн бұрын
Mch, Munguakubariki sana
@JOMBA111
@JOMBA111 6 күн бұрын
Mnazidi kutuchanganya, kwanza ni aibu kubishana uungu wa yesu
@nominetjacob8137
@nominetjacob8137 18 күн бұрын
Hiyo ilikuwa miujiza ya MUNGU tofautisha miujiza na kuumba
@user-os3tg5bo6v
@user-os3tg5bo6v 24 күн бұрын
Kila kitu Kiko sawa ktk maandiko ya BIBLIA ,tatizo la kwanza ,kutokuokoka( kuzaliwa mara ya pili),jambo la pili BIBLIA (Neno ni Roho),waabuduo ni ktk Roho na kweli,huwezi kuelewa ni budi ujazwe Roho, kuyajua mambo ya Roho yatafasiriwa Kwa jinsi ya roho na mtu wa rohoni hutambua yote Wala yeye hatambuliwi,tangu midahalo hayupo anayetubu ila kufanya mioyo kuwa migumu,hatima ya mdahalo (lnjili ihubiriwe) mtaona matokeo .Amen
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 24 күн бұрын
Yesu ni Mungu.ndio njia ya kweli na uzima
@tubanefrancine
@tubanefrancine 14 күн бұрын
matendo yamitume 7.55 yesu anasimama mbinguni ushoto kwake na AllAH wewe huwoni kamakuna mungu na yesu kweri dadayangu eshimu allah
@AlHassan-en6gl
@AlHassan-en6gl Ай бұрын
You will never get away from it unless you open your inner ears and heart to understand. Perhaps it doesn't make sense that Jesus is God
@issackmakanga5603
@issackmakanga5603 Ай бұрын
Dr Sule ameshindwa na mada, mada ni ngumu kwake,anajirudia kila apandapo jukwaani,aachwe aende aisomee kwanza halafu akirudi ni upatizo tu.
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 13 күн бұрын
Waisilam wako ki mwili zaidi
@harithkheri
@harithkheri Ай бұрын
mashallah doctor sule
@elkairosway1895
@elkairosway1895 15 күн бұрын
Isaiah 7:14
@dantodebrown7525
@dantodebrown7525 Ай бұрын
mm ni mkristu lkn mujibu wa bibilia yesu si mungu nmeshika bibilia apa ndacha unababaisha maneno hyu sule ni mwalimu
@benjaminwekesawamalwa2854
@benjaminwekesawamalwa2854 29 күн бұрын
Wewe ni mnafiki
@dantodebrown7525
@dantodebrown7525 29 күн бұрын
@@benjaminwekesawamalwa2854 endelea kuwa na dogma za mababa wa kanisa soma bibilia
@ibrahimgwasma235
@ibrahimgwasma235 Ай бұрын
Hamtaelewana mpaka kiama nyie
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 24 күн бұрын
Yesu ndio njia ya kweli tu
@tubanefrancine
@tubanefrancine 14 күн бұрын
YOHANA 17.3 ukitaka uzima wa mirere kubari yesu ariye kwambieni usimuone kama AllAH arikukataza
@elkairosway1895
@elkairosway1895 15 күн бұрын
John 1:1
@SACCHARUM-t3q
@SACCHARUM-t3q 12 күн бұрын
Injili ya mwalimu Ndacha ni ushuhuda mukubwa,wale watakao potea ni kwa kutaka kwao wenyewe
@damarisnjerichege100
@damarisnjerichege100 24 күн бұрын
Kimeramba Dr sule 😅😅Yesu ni Mungu
@jacksonkathanzu9983
@jacksonkathanzu9983 18 күн бұрын
Mjadala kali kweli😂
@richardchimba3800
@richardchimba3800 Ай бұрын
Sule ameshindwa kwenye hii debate
@user-tc9vi3ow3n
@user-tc9vi3ow3n Ай бұрын
Ndacha anaongeza maneno yake yeye,sule anacheza na mahandiko ndio utifauti mnao uwona hapo
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Huyo NENO AMBAE ALIKUWA MUNGU AMBAE ALIFANYIKAA MWILI NI NANII??
@danielmako2493
@danielmako2493 Ай бұрын
Tafathali Ndacha hawo ni kubishana tu
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 Ай бұрын
Kufuru zenu naporojo kusema yesu nimungu
@jamalmanishi7282
@jamalmanishi7282 25 күн бұрын
Hapo hakuna mdahalo wakielimu ndacha kashinda bira usumbufu wowote
@MubebajiTsataspala
@MubebajiTsataspala 17 күн бұрын
Ndacha hana hoja huyo,huyu ni mbabaishaji tu
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 Ай бұрын
Ndacha yupo juu bhana huyu Sule mbona havunji hoja?
@damsonmgalula
@damsonmgalula Ай бұрын
Kwenye hii mada Sule kashindwa
@aliyzakaria6437
@aliyzakaria6437 29 күн бұрын
mpe vidonge uyo ndacha
@issackmakanga5603
@issackmakanga5603 Ай бұрын
Ndacha uko na kibarua kabla mwalimu yeyote wa kiislamu akubali ukweli.nikama kumwonyesha kipofu fwata ile njia.
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 24 күн бұрын
😂😂🤣🤣🤣 sule acha hizo Yesu kristo atakuja kuhukumu walio hai na waliokufa atakuja na kila jicho litamuona,
@WestonMbuba-ff4jk
@WestonMbuba-ff4jk 20 күн бұрын
Zaburi 90 iko wazi ila ufafanuzi wa Sule ni ovyo kabisa. Sijawahi sikia
@ezymkal7134
@ezymkal7134 17 күн бұрын
MANENO YA MUNGU HAYANA UPANDE WA PILI AU OPTION WAKRISTO MNATAKA KULETA UPANDE WA PILI MUNGU AMBAE NI ALLAH ATABAKI KUWA MMOJA NA MAJIBU YANAVOSEMEKANA KWA UAPANDE WA WAKRISTO KUWA KUNA BABA ALIYE MBINGUNI NA YESU AKAKETI UPANDE WA KUSHOTO MANAAKE MUNGU WAPO WAWILI AU MUNGU KAMPA MADARAKA YESU YEYE KACHOKA? .MUNGU GAN ANACHOKA KAMA YEYE NDO MWANZO NA MWASHO?
@YusrayYunus-rr1kq
@YusrayYunus-rr1kq Ай бұрын
tunahitaj CD
@nourdinpro
@nourdinpro Ай бұрын
Wakristo ukweli ni makafiri.
@maulidkhamis4442
@maulidkhamis4442 Ай бұрын
Hao wakristo wa leo wapo kimaslahi na sio kutafuta ukweli. Wameshaangamia hao na sote hatutoingia peponi wache waendelee kupotea tu
@hashim.22kamal27
@hashim.22kamal27 Ай бұрын
Ndacha.subhanallah.😂😂😂😂
@joshuajohn8533
@joshuajohn8533 Ай бұрын
Juzi tumefanya mkutano wa injili waislamu wangu pepo wachafu zimewatoka na wameokoka na tumetumia Jina la Yesu kukemea pepo wachafu wakapiga kelele wakawatoka watu
@sadiqkivunjor5698
@sadiqkivunjor5698 Ай бұрын
Acha kuwaongopea watu wakati mkristo wa kwanza ni shetani
@bmtv111
@bmtv111 21 күн бұрын
Ndacha ni kigeugeu sana huyu... alikuwaga haamini mambo ya utatu mtakatifu lakini sasa ivi naona anatoa hoja za kuamini utatu mtakatifu😂😂😂😂😂 na ukitafakari kwa kina hoja zake hazina mashiko wala hazina mantiki kabisa kwa hisia ni nyingi kuliko maandiko
@dantodebrown7525
@dantodebrown7525 Ай бұрын
tusishabikie sikiliza nasoma bibilia yako wanachosema ni sahh sule ni mwalimu
@DarsaTV.
@DarsaTV. 29 күн бұрын
karibu mashaa Allah
@bmtv111
@bmtv111 21 күн бұрын
Hahahahha😂 YESU MWENYEWE AMESHASEMA YEYE SIO MUNGU JAMANI MSIHANGAIKE ANDIKO MOJA LINATOSHA SANA " Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee na yesu kristo uliemtuma"
@hashim.22kamal27
@hashim.22kamal27 Ай бұрын
Kumbe.ndacha.hana.ilimu😂😂😂
@user-ee8dr9iw4t
@user-ee8dr9iw4t 28 күн бұрын
Khama yesu quoran inatambuwa yesu kaponya ka fufua wafu. Kwa idhini ya Mungu. tena yeye ni alama ya kiama, bado mumesindwa kumfaamu yesu😮😮😮 ninawaomba jibu kama kuna mitume nyingine kwa quorani aliyepewa idhini ya kufufua na kuponya, nagojea jibu
@user-vk8oe8cs5s
@user-vk8oe8cs5s 28 күн бұрын
Kapewa idhini na nani? Kwani Mungu hupewa idhini anapotaka kufanya jambo?
@user-vk8oe8cs5s
@user-vk8oe8cs5s 28 күн бұрын
Soma Luka 18:18 Yesu anakataa kuitwa mwema kwa kuwa yeye sio Mungu
@damsonmgalula
@damsonmgalula Ай бұрын
Dr sule ungejibu unachoulizwa ...kabla ya dunia kuwepo Yesu alikuwa nani?na huyo neno ni nani?
@HusseniQuraishi-rz8sm
@HusseniQuraishi-rz8sm Ай бұрын
Huo ni uchache wa elimu yenu
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Alilala akiwambinguni nauungu au alilala duniani akijifanya mtu nakubaba madhaifu ya binadamu ....hapopanahitaji ufahamu wamaarifa mbonawewe wanakuita Dr niwanini? hichokitu mbonakinaelewekatu kwawatukamanyie??
@FarajaMtavangu
@FarajaMtavangu Ай бұрын
nyie waislam poleni sana sure mwenyewe ndo kituo Cha story za majini na Imani ya waislam inakubali uchawi huo pili mnanyanyasa wanawake mwanamke mmja tu Kwa adamu Bado tuliingizwa Kwa huyo mmiliki wa majini ambaye ni shetani Sasa wanne watatupeleka wapi na hakuna hicho kitu mtamfahamu vzur Yesu atakaporudi mara ya pili
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 Ай бұрын
Wewe ndacha mikelele mingi swali wapi yesu amesema yeye ni mungu Kwa kinywa chake utapuluputa hutaipata hiyo Aya utaendelea kupiga mikelele tu leta aya siyo mikelele
@Sharrif456
@Sharrif456 Ай бұрын
Hawa makafiri wanasifu dacha mi nawauliza kwa akili zao "ivi yesu ni Mungu?????
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Kwa maandiko ni MUNGU
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Ай бұрын
​@@0badiaMwasongwe-rt1wryohana 17:3
@user-ee8dr9iw4t
@user-ee8dr9iw4t 28 күн бұрын
Yesu ni mungu kiroo, na kimwili ni mwanadamu, kwa sababu akuna alie mwona mungu 1timotheo 6_13--16 kimwili ni yesu kiroo mungu,
@phabianamollo724
@phabianamollo724 9 күн бұрын
Unapotosha watu wewe. Kitabu cha zaburi 90 kinazumgumzia kipindi cha nyakati cha mwisho. Na kila binadamu atarudi mavumbini ndipo atafufuliwa kwa ajili ya uzima wa milele. Hiyo miaka elfu Moja nakuomba u some kitabu cha ufunuo wa yohana inazungumzia nini. Acha kupitisha watu wewe
@aliyzakaria6437
@aliyzakaria6437 29 күн бұрын
ndach hauna elimu ila unaweza kubabaisha tu
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 103 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 69 МЛН
버블티로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 104 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
0:16
LOL
Рет қаралды 11 МЛН
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
0:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
Just a joke 😂
0:11
ARGEN
Рет қаралды 2,6 МЛН