RADDI KWA MAZINGE, DR SULLE NA KISHKI

  Рет қаралды 17,601

منهج الأنبياء

منهج الأنبياء

2 жыл бұрын

Sheikh Abuu Halima Arafaat Allah amuhifadhi

Пікірлер: 169
@abdallahamir9234
@abdallahamir9234 Жыл бұрын
Dawaah Salafiya imenitoa gizani. Allah atuongoze.
@ibrahimabadi6498
@ibrahimabadi6498 Жыл бұрын
Salafi ni magaidi
@saidhassansaid5140
@saidhassansaid5140 10 ай бұрын
​@@ibrahimabadi6498unaelewa maana ya neno gaidi!!?
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 7 ай бұрын
Vibaraka wa mayahudi hawa
@nassorkhamis6233
@nassorkhamis6233 7 ай бұрын
Usalafi alikua nao sheikh ilungu n.k...
@ahmedjuma2674
@ahmedjuma2674 2 жыл бұрын
Na tumeelwa vizuri Allah alinde na pia awalinde masheikh wa hii dawaah
@salummohammed3075
@salummohammed3075 2 жыл бұрын
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته
@user-bj6yz7gy1v
@user-bj6yz7gy1v 2 ай бұрын
dkta sule kasema inafaa kufuga majini kafanya kazi kubwa mfateni na ujinga wenu
@user-yb3gg2gt7o
@user-yb3gg2gt7o 2 ай бұрын
sawa wew shekhe umesilimisha watu wangapiii
@Abuyusuf134
@Abuyusuf134 Жыл бұрын
Kweli Shekhe. Mazinge aliongea hivyo. Alifanya makosa mazinge kuongea hivyo. Ni kukejeli Aya ya Quran. Katika suratul Jumuaa
@saidizidadukanyida8875
@saidizidadukanyida8875 2 жыл бұрын
Ni mwendo wa raaaadiii mbaka matago poli yajulikane
@MidoEast
@MidoEast 3 ай бұрын
Wewe n sheikh lakin allh ajakupa ufahamu muombe mungu akupe fahamu na elimu
@YussufmohdHamad
@YussufmohdHamad 3 ай бұрын
Usisahau kumuomba Allah na ww akupe akili ili uanze kusoma
@allylassuh4947
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Dah kila ukisoma naona ndo unazidi kua mpungufu wa elimu shekh ALLAH akuongoze yani kazi aloifanya mazinge hata akifa leo ukae tena miaka 50 ww huwez hata kuonesha mfano wake hehehehehe yani dah wote ni wivu huu inamaana hutaki watu wasilimishwe sio unataka waachwe na ukafiri wao dah innaalillaah
@omarbawazir3705
@omarbawazir3705 Жыл бұрын
Ukiona mtu anajiona yupo sawa kuliko yoyote mpumbavu huyooo MBWAAAA
@momadeali-bn5cf
@momadeali-bn5cf 9 ай бұрын
wewe unaonekana ni mtu ambaye ukuka darasani
@kessylukombe1811
@kessylukombe1811 2 жыл бұрын
Mashekhe nyie kila siku kazi yenu kuraddi wenzenu tu makafiri wakimtukana mtume hamsemi pumbavu kabisa
@fadhiljuma-du4et
@fadhiljuma-du4et Жыл бұрын
Soma kaka ,ukisoma ndo utakuja kujua haki na batwili hufanana? Bado upo matopeni na ktk usingizi mzigo na ujahili wako
@AMINISINGANO-rc5xf
@AMINISINGANO-rc5xf Жыл бұрын
Kijana kuwa Na adabu
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
Duh muombe allah msamaha n nenda kasome nn maana radd ktk dini
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
Usifwate mkumbo w watu
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 6 ай бұрын
​@@allyhassan9318Hajakufuru Wala hajatukana na ujahil wako huo
@abuuzwiin1876
@abuuzwiin1876 2 жыл бұрын
we mzushi
@user-lx2wg4je3t
@user-lx2wg4je3t 3 ай бұрын
Mtu kama kakisea bora umfate umwambie sio kumuongelea kwwnye mitandao hii sio mzur kwa waislaam tatizo letu waislaamu tunawaiga wasio waislaamu sisi mashehe wote tunawapenda na tubawasikiliza kama umeona sheh mwenzako kakosea mfuate umuelimishe
@user-bj6yz7gy1v
@user-bj6yz7gy1v 2 ай бұрын
dalili ya haki kuona watu wengi wanaipinga
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
MWAKA HUU RADI NYINGI KWELI BILA MVUA MINAZI YOTE IMEKAUKA UKAME UMEZIDI NA BALAA HILI 😂
@moddyhh
@moddyhh 2 жыл бұрын
😂🤣😂
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
N akili haifanyi kazi au had unaleta istihzaa kweny dini y allah
@mohamedhillow2523
@mohamedhillow2523 Жыл бұрын
هداكم الله إلى الطريق الحق
@harounmohammed5672
@harounmohammed5672 3 ай бұрын
Yaani waislam tunapigana vita wenyewe kwa wenyewe innalillah wainna ilayhi raajiun
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 ай бұрын
Kwaani wale wanaovaa mabomu na kujilipua si ndugu zenu
@rashidmwaita5163
@rashidmwaita5163 2 жыл бұрын
Mazinge akiwacha hio shuhuli nyinyi hamuezi hata mmoja wenu.mbwa nyinyi..
@fadhiljuma-du4et
@fadhiljuma-du4et Жыл бұрын
ALLAH AKBAR, ALLAH akuongoze ktk kher akhy Rashid, mashekh wa haki na wakweli unawaita Mbwa, SUBHANALLAH,Mche ALLAH,hivi huogopi warith wa mitume kuwaita Mbwa,ww jahil akhy,
@sadarashid
@sadarashid Жыл бұрын
Kijn huna mipaka
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 Жыл бұрын
Tatizo chuki na husda nenda kafanye kwa hiyo njia unayoiona ni sahihi
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
Eeh wew sindio wale ambao akili zimetekwa hujui lolot khs uyo mzinge alaf mwombe allah msamaha kuwatusi waislam makosa
@zanlec7357
@zanlec7357 Жыл бұрын
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Allah akusamehe san kiijan utaangmia ww. Usitoe matus dhidi ya Maheikh
@kandindimkuranga879
@kandindimkuranga879 2 жыл бұрын
Ifike steji muwe na heshimu basi hivi munajua kazi yamazinge nikubwa kuliko we mpuuzi unae ongea humu kwakutaka kiki mazinge anakaanawatu anawasilinisha we mpuuzi umeshasilimisha wangapi kwamaneno Yako haya
@saidhassansaid5140
@saidhassansaid5140 10 ай бұрын
Huelewi kilichozungumzwa nakuuliza ko wafurahi mola wako au Quran kuchezewa!!!?
@user-il5te5xd5y
@user-il5te5xd5y 25 күн бұрын
aaaah shekhe ubwabwa chagua mada za kuzungumza bwana unaongea majungu tu
@abuuintisaar2104
@abuuintisaar2104 Жыл бұрын
Me nilisema haw wametumw kuj kufarakanish watu
@kombomakame9541
@kombomakame9541 9 ай бұрын
Wewe Makafiri wawajua au wawasikia TU. Makafiri wanamaswali ya kijijnga wewe huwezi kujibu Hata siku Moja utaishia kutukana TU.
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Mazinge na Mwaipopo! Wafukuzeni ndo chanzo cha ugomvi wenu! Kila cku kuwasema Wakristo,hawana cha kuhubiri,Wakristo Wakristo.
@khalidmuhidin2795
@khalidmuhidin2795 Жыл бұрын
hatuwafukuzi utakufa kwa chuki zako
@Abuusaad-uy5cx
@Abuusaad-uy5cx 6 ай бұрын
😏😏😏
@saidibuye8859
@saidibuye8859 2 жыл бұрын
Kwani hakuna masomo ya kufundisha mpaka uwangalie alichokosea mwenzio ndio uje ukifindishe
@mohamedabshir6142
@mohamedabshir6142 2 жыл бұрын
Sasa kama anafundisha upotoshaji asiambiwe
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 2 жыл бұрын
@@mohamedabshir6142 Hakunaga dini km hyo
@abdalhasaid8408
@abdalhasaid8408 2 жыл бұрын
Linganieni makafiri Muna choyo kwa sababu elimuyenu ndogo mpaka baadhi ya mashekhe wameshakufa mnao et salafi salafi sio nyinyi nihao walopita na walopita ndio tunao wafata sote msijidai hamna lolote zaidi wivu na sikuhizi ndio mmezidi muogoeni mungu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
WANAO ELIMU YA KUJUA MUNGU WAO ANA MIGUU NA MIKONO YESU KRISTO WA TAWHEED TATU, MUNGU BABA, MUNGU MAMA NA ROHO MTAKATIFU. 😂😂😂.
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 pepp mchafu wewe majini ndugu zenu waislamu sisi wakristo sio dungu zenu majini tunafukuza
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 2 жыл бұрын
Izo raddi zk weka sura yk unaogop nn sasa
@saidhassansaid5140
@saidhassansaid5140 10 ай бұрын
Unatak rad au sura😂😂we si umesikia dawa kak
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
Masalafy mnipe jibu kama kweli mnafanya haqqi. Je ninyi kwa ninyi hamtakiwi kupigana raddi? Sijawah sikia raddi ikitoka kwa salafy kwenda kwa salafy.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
Wao Mtume wao mmoja Muhammad ibn Abdul wahabi 😂😂😂
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Na Qassim Mafuta hehehe.. mana huyo bhana ndo mkuu wao kwa Tanzania.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@isiakamfugale3621 😂ehee kama ulikuwepo. Ni kama ugomvi wa kaka na Dada tu huo. Lkn wanajuana. Kwasababu mawahabi hawana adabu Sasa ni kawaida kwao akiota mbawa ni kutukana yoyote hata Mwalimu wake😂
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 2 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Sure Allah atuongoze
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@isiakamfugale3621 Aamin🤲
@user-sj9ko9xn7j
@user-sj9ko9xn7j 10 ай бұрын
Sw nyinyi ndo wasomi lkn uwo wenu ujinga maaan maswahab waku pingana
@abdallaomari6095
@abdallaomari6095 Жыл бұрын
Hakuna salafi atakae toa mkiristo Kwa dini take akaingia Kwa uwislaamu.wao KAZI yao ni kukosoa waislaamu wenzao
@shafikakrabi8490
@shafikakrabi8490 2 жыл бұрын
Shekhe mazinge ni bora kuliko wewe mnafik. Umesilimisha watu wangapi hadi sasahivi.
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 10 ай бұрын
Kwani kusilimu ndio nini? Ulisilimu kwa nia ipi? Ulisilimu kwa ajili ya Allah au dunia? Kwa sabab ukisilimu kwa ajil ya mke, utalipwa mfano wake au ukisilim kwa lengo la kupata radhi ya waislam uliowakuta mahala ulipofikia yaan pengne uridhiwe na hao watu wa bidaa, ktk bidaa zao za kushiriki maulid, matanga na mfano wake, haya huyu atakuwa amesilimu kwa ajil ya Allah na mtume wake? Hivyo, msilimishe mtu na mlinganie ktk haki na mwenendo sahihi wa mtume s.a.w. Au ukisilim ukawa hujui chochote ktk dini hii, yaan ukawa unayafanya yaleyale mfano Ukawa mshirikina wa kumshirikisha Allah, Ukawa mzinifu, Mla riba, Mcheza kamari, Ukawa mchawi, Ukawa mlevi na mfano wake Je, Kusilimu kwako kutakufaa kitu? Au muislam mshirikina na Kafiri wakifa na hali hizo watatofautiana daraja ya moto wa jahannam sio! Kwa hiyo lengo si kusilimu tu
@saidhassansaid5140
@saidhassansaid5140 10 ай бұрын
😂mtu anaechezea quran ni Bora subhallah😢 watarakuka qaima na wew unasem ni mtu Bora
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Na ww pia huko katika suna ya mtume s a w mtu akikosea yuwamfuata na kumueleza ww iweje watoa mskosa ya mtu hadharani ulipata wapi hayo na mtume s a w alisema kutakuja watu wakiwatusi wanazuoni wake wakijiona wao wanailimu kumbe mwapotosha moja ni ww wale wanao msifu mtume s a w hata quran huwawezi
@zahirmahir6965
@zahirmahir6965 2 жыл бұрын
salafi ni wanafiki wakubwa na ni ugonjwa ulowakumba uisilamu ukiwaona unasema waislamu lkn vitendo vyao bora makafirii
@hamid6656
@hamid6656 2 жыл бұрын
Salafy ndo daawa ya haq
@ibrahimabadi6498
@ibrahimabadi6498 Жыл бұрын
@@hamid6656 masalafi ni magaidi tu
@hassanmohdally5217
@hassanmohdally5217 5 ай бұрын
Unajuwaa lazimaaq muelewwe kitu kimojaa watu huwaa wanajibu hojaaa kulinganaaa na sehemu waliopo sio mnalaumu tu nakuwaonaa watu wapumbavu anakujaa mtu anaulizaa mtume katumaa simu mbonaa wewwe unatumiaa huyuu uramjibu nn kamaa hukutumiaa kiasi kwq mudaa huo sio mnakurupukaa tu kuwalaaumu watu inategemea na sehemu alipo na watu anaongea nao kazi ya mazinge wewe hufanyi hataa nusu na umemzungumziaa marehemu omary basheer huyoo mtu nikatikaa mashekhe wakubwaa sanaq
@aishathabit3732
@aishathabit3732 2 жыл бұрын
Kwahiyo wewe si mjinga? Na kinyume cha mjinga3 ni Aalim kwahiyo wewe ni Aalimu? Sasa Yusuf Abdi alipo Jintao Aaalimu na mkamkosoa ndio nini?
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 2 ай бұрын
Nyie ndio mnachanganya watu. Afadhali wao wanasilimisha mamia ya watu wewe una nini?? Unatia fitna wewe. Mvunjifu. Kama unagata kweli dini hungrwaaibisha wenzako
@user-yb3gg2gt7o
@user-yb3gg2gt7o 2 ай бұрын
unalingania watu una wasema watu wafuate walipo acha porojo
@rashidihemed5487
@rashidihemed5487 2 жыл бұрын
Hawana hoja Hawa kazi zao mitandao na kukosa hoja wanaishi kwenye mitandao tu wao Ivi nikuulize kabla nyie hamupo watu walikula wanaswali kablia na baadaia na wanafunga SIta na wanafunga jumatatu na Alhamisi na dhukha na vitu vingi vya Sunna sasa ni nini mulifundisha wakati vyote tulikua tunavifanya
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
Wamekuja kuwa punguzia ibada😂. Kila ufanyalo saivi wao wanasema usifanye😂. Wameleta dini mtelezo
@rashidihemed5487
@rashidihemed5487 2 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 sasa mpaka chooni ruksa kutia udhu na mikojo huko chooni kibao
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@rashidihemed5487 hio unasema weye. Kwani Hilo hukufunzwa mpaka walipokuja hawa mawahabi au?
@rashidihemed5487
@rashidihemed5487 2 жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 ndio nashangaa sisi watu wa Sunna Kila kitu kwao bidaa mpaka nguzo za misikitini hazifai sasa mtihani huu
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@rashidihemed5487 nguo za msikitini ukikaa na mawahabi basi iwe kwenye magoti ili ukisujudu nanhilia ionekane😂😂😂. Mtihani uwahabia, Allah sw atusitiri na vuzazi vyetu
@kautharsalim5025
@kautharsalim5025 Жыл бұрын
Masalafy kazi yenu kukosoa wenzenu siku zote hamuna mapungufu nyie mpo kamil wenzenu ndyo wakosefu ndoa zenu ni moto ndani hamna lolote pumbav zenu
@hamzayusuf1894
@hamzayusuf1894 Жыл бұрын
Dawa salafiya ni kuvuta bangi tu hamna lingine
@kautharsalim5025
@kautharsalim5025 Жыл бұрын
Kuna masalafy tunao huku wasomi wazur lakin adabu hawana wala khof za mola wao kukaa na wake kwa wema hawajui ujinga tu mlionao mnajua kumtaja tu muhammad lakn siyo kumfuata
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 10 ай бұрын
Wewe ni muongoo,,, mpumbaavu
@kombomakame9541
@kombomakame9541 9 ай бұрын
Sasa kama KAFIRI kawambia umuoneshe Mr. Luka ktk Qurani ilionekane haikuacha kitu, utamjibu vipi?. Wacheni Ubwege.
@mohdkharousy704
@mohdkharousy704 10 ай бұрын
Alykum salafi tatizo lao ni aqidaa yao mbovu ndomana wana kua ivo na ukiwambia,ukweli wana pandisha matempa
@fikafikan8484
@fikafikan8484 11 ай бұрын
Nyinyi mahasidi na wawaonea wivu wenzenu
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 2 ай бұрын
Hamna lolote nyie nendeni huko
@kombomakame9541
@kombomakame9541 9 ай бұрын
Sasa hivyo unavyo zungumzia ndio utamwambia KAFIRI akuelewe.
@kombomakame9541
@kombomakame9541 9 ай бұрын
Mabwege. Sasa kama wewe swali aliloulizwa mazinge ungalijibu vipi? Basi Mazinge hatolingania tena atakuachia wewe ukahubirie hao Makafiri.
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 2 жыл бұрын
Salaf salaf salaf? Nimewaita ?Mara3 hiv hata km omar bashir alikosea ndio anapigwa rad akiwa kaburini?? Kwel ndio usalaf huo??? Na hadith ya mtume alipo sema udhkur mahaasina mautaakum?? Jamani hii dini tunaipeleka wap???
@brmtvtibaasili8289
@brmtvtibaasili8289 2 жыл бұрын
Ikiwa mtu amefanya da'wa ya upotofu na watu waka mfata anapigwa rad mbaka watu waache kupotoka kupia mtu huyo na hiyo ndio din rad nikatika dini
@ramadhanirama6636
@ramadhanirama6636 2 жыл бұрын
@@brmtvtibaasili8289 Mfate mtume usiwafate mashekh! Mtume Muhammad kakataza kutaja aibu za watu halaf wew unakurupuka tu kwan mashekh wakisalafi ndio wameiijua sana dini kuliko mtume wamungu??? Hzo itikad zitawafikisha wap??
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 6 ай бұрын
​@@brmtvtibaasili8289una Aya au hadithi raddi ni katika dini
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
USIKU WAKE SAWA NA MCHANA WAKE ☝️NI AYA GANI HIOO?.
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
Hadith ya mtume. sio ayaa
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@Abuuabdillah259 LINI MTUME SAW ALISEMA TUFUNZANE DAAWA SALAFIYA?
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 2 жыл бұрын
Neno salaf katika upande wa kilugha huwa inamaana ya wale waliomtangulia mtu katika jambo fulani Kwa mfano salaf wa mtu huwa ni wazazi wake, au Babu zake, au mfano wa hao katika watu walio mtangulia mtu katika jambo fulani yaani maana ya salaf kilugha ni watangulizi. Ukija katika upande wa kisheria huwa inamaana ya maswahaba wa mtume swalallahu alaih wasalam na katika istilahi hii wanaingia na tabiin wanafunzi wa maswahaba na pia wanaingia na at bau tabiin wanafunzi wa wa hao tabiin, kwahiyo inapozungumzwa salaf katika upande wa kisheria ya kiislamu huwa inamaana ya wale waliokuwa katika Karne 3 bora ambao mtume swalallahu alaih wasalam amewashuhudia ubora. pale aliposema mtume swalallahu alaih wasalam katika Hadith ya abdillah ibn masuod خير نس قرن ثم لذن يلعون هم ثم لذن يلعون هم maana yake watu walio bora ni watu wa Karne yangu, akimaanisha Karne yake yeye na maswaba Kisha wale walio wafuatia akimaanisha tabiin. Kisha wale waliowafuatia akimaanisha at bau tabiin. Kwa ufupi utakuwa umenielewa inshaa'allah. Sasa niwajibu kuwafuata wao maswahaba katika mambo yote ya dini kwasababu wao wameichukua dini kutoka Kwa mtume swalallahu alaih wasalam aliyakuwa ikiwa dini safi haina kuflu yoyote wa bidaa. Ndio mtume kasema tujifunze na tufuate usalaf Kwa sababu yy ndio salaf Alie mbora wa umma huu. Pale aliposema mtume swalallahu alaih wasalam تلقتم عل مهخت البعضاي لا ءله منها ل يزغ أنه ال غلق maana yake nimekuacheni katika viwanja vyeupe usiku wake nikamavile mchana wake atopotea miongoni mwenu isipokuwa ataangamia. Mtume swalallahu alaih wasalam alikuwa anamaanisha katika Hadith hii tushikamane na mafunzo Yale aliokujanayo yeye ambae ndio salaf wa umma huu. Asalam aleykum warhmatullah wabarakat.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@Abuuabdillah259 BADO ULIVYOJIBU SIO SUALI NILILOULIZA. SUALI LIPO HIVI. LINI MTUME SAW ALISEMA TUFUATE DAAWA SALAFIYA?. kama hujafahamu suali Sema nitauliza Tena kuliko kuleta porojo lako. Nataka hadithi ya Mtume saw na sio porojo lako. Dini ipo wazi na mchana kama usiku wake kweupeeee. Sasa hadithi nyeupe nahitaji, wapi Mtume saw aliposema tufanye daawa SALAFIYA?. MIMI PIA NAYO SHEREHE YA SALAFIYA ILA PIA TOFAUTI NA YAKO. SALAF ni waliotutangulia ikiwa kafiri au muislamu waliotutangulia wote ni SALAF. SALAF SWALEH NI WALE WANACHUONI WA MWANZO MWANZO BAADA YA KUONDOKA MASWAHABA YAANI WANACHUONI KATIKA TABIINA NA TABII TABIINA. AMA MTUME SAW BASI ANATAMBULIKA NI MTUME KAMA ALIVYOTAJWA KWENYE QURAN NA MASWAHABA HUTAMBULIKA NI MASWAHABA KAMA ALIVYOTUTAMBULISHA MTUME SAW. NA MASWAHABA HAWAITWI SALAF SWALEH KWASABABU PIA KUNA MASWAHABA WANAFIKI NA WEMA KWAIO UMESEMA UONGO KATIKA MAELEZO YAKO. WALA HAKUNA AYA WALA HADITHI INAYOSEMA KUWA MTUME SAW NI SALAF SWALEH. HIZO PROPAGANDA ZENU ZA KIWAHABIA PELEKENI UYAHUDI KWENU. USIWADANGANYE WATU MJINGA WEWE.
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 жыл бұрын
@@Abuuabdillah259 kwa kuku engeza Ata abuu jehel ni salafy kwako. JEE WAPI MTUME SAW AMESEMA TUFANYE DAAWA SALAFIYA?. AMESEMA MTUME SAW "KULLU BIDAA TU DHWALALA WAKULLU DHWALALATU FINNAR" KILA BIDAA NI UPOTEVU NA KILA UPOTEVU NI MOTONI. WAPI MTUME SAW AMEWEKA HIKI KIKUNDI CHA SALAFIYA KIFANYE DAAWA YA SALAFIYA?
@nabahanishela7447
@nabahanishela7447 Жыл бұрын
Hiyo yoote ni husdastu hamna loloote nyie mnaojiita salaf ni Ujinga upumbavu umewajaa ktk nafsi zenu
@husseinihassani3541
@husseinihassani3541 Жыл бұрын
Mtu anasilimisha makafiri wewe umeshiba dona lako na uono et amepotea wewe ulieongoka haya kawasilimishe kwakukosa hekima kama hujakufa kabla ya muda wako
@sulekun7245
@sulekun7245 2 жыл бұрын
Ww sheikh acha upuuzi wako, Huwezi fanya makubwa umfikie mazinge, bwege we.
@SmadMohamed-fc5fn
@SmadMohamed-fc5fn 9 ай бұрын
Nyinyi Mashekh,hasa munachokitafuta ni nini? Mbona amueleweki, kutiana kosoro kila kukicha ili iweje? Basi kama kweli ni mwana suna mfate umuambie ukweli. Wajinga wakubwa nyinyi,.
@karimdaud3993
@karimdaud3993 Жыл бұрын
Wewe kwa nini usiwaite ukawakanya mpaka useme kwa mitamdao na kuleta fitna kwa waisalam wewe si mkamikifu. Kuana busara za kuongea
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
Sawa sawa hao ni machokolaa wa kisilam heti dokita sule heti mazinge professor wajinga sana waongo kuliko ibilisi
@fazirachafimamisse9079
@fazirachafimamisse9079 2 жыл бұрын
Wewe unavyoonekana si mwislamu na inaonyesha kwamba una chuki tangu zamani
@saidibuye8859
@saidibuye8859 2 жыл бұрын
Hao wachungaji zako wanashindwa jibu hoja za hao watu uliowataja hapo, yaani nyie mnaojiita wakristo, cjui hamnaga masikio ya kusikia au macho yakuona maandiko
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@saidibuye8859 unatusema atuoni maandiko wakati nyie Quruan yenu inasema aliyetelemsha Quruan kwa Muhammad ni adui wa jibiri na mashetani au majini ni ndugu zenu wakati sisi wakristo tunaamini shetani na majini watatupwa jehanamu ya moto na wanaofata wanaoamini ni majini kuwa ni wezao Kama nyie waislamu njoo Kwa Yesu uko ni kubaya yakimbie majini ni mapepo wachafu
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@saidibuye8859 wachungaji awaluisiwi kujibizana na majini au mapepo atunaushirika nayo makanisa nyie majini misikitni ni kwao funguka akili Yako jehanamu hipo
@prochesernest5439
@prochesernest5439 2 жыл бұрын
@@fazirachafimamisse9079 chuki wapi bwana kaelewa Yesu kristo ni mwokozi Muhammad ni janjanjanja nawe Toka huko njoo Kwa Yesu upone jehanamu hipo
@bacteria5184
@bacteria5184 2 жыл бұрын
Wakina mazinge wamefanya kazi kubwa na kama wakikosea mfuate mwambie.wwe sema unaleta roho mbaya ya kisalafi
@hamid6656
@hamid6656 2 жыл бұрын
Huelewi kitu ww shik kitabu na usome
@bacteria5184
@bacteria5184 2 жыл бұрын
@@hamid6656 maslafy wenyewe hata nahwi cha rawdha hamjui alaf mnaiga sauti ya mesheikh mkidhan mnaelimu.kwanza kasomeni na mwache sifa na kibri
@makacharatv4257
@makacharatv4257 2 жыл бұрын
Salafi wanafiki hao motoni ao Mtume wao kasim mafuta... usalama wa taifa.
@mimishaidu5812
@mimishaidu5812 2 жыл бұрын
Kwa hiyo wewe ni mtakatifu sana,,acha ukinga bwana ivi unajua maana halis ya mnafiki
@husnamohamed9448
@husnamohamed9448 2 жыл бұрын
Bado masomo kidogo tu amalize apawe utume huyu kassim mafuta
@habilumussa2599
@habilumussa2599 2 жыл бұрын
Njaa hizo tu shekh mazinge anaongea hadharan mbn ww unatumia audio toa ya kwako daawa tukusikilize acha kiki
@awadhmchaki6567
@awadhmchaki6567 Жыл бұрын
Mche ALLAH ww utaenda ulizwa mbele ya Allah
MASUFI WAPEANA DOZI WAO KWA WAO | Raddi sufi kwa sufi
7:39
ISLAMIC GUARDIAN CHANNEL
Рет қаралды 25 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
RADDI KWA REDIO IMANI NA TV IMANI
7:45
منهج الأنبياء
Рет қаралды 3 М.
UKWELI KUHUSU ABOUD ROGO
11:39
منهج الأنبياء
Рет қаралды 23 М.
Je! Sheikh Kishki ni Salafy? | Sheikh Salim Barahiyan
7:56
IHSAAN TV
Рет қаралды 31 М.
NINI HUKUMU YA MTU ANAEISHI NA KIMADA
8:47
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 22 М.
RADDI KWA AL-HAAD MUSA KWA KUTANGAZA USHIRIKINA WAKE HADHARANI
6:13
منهج الأنبياء
Рет қаралды 4,2 М.
Raddi kwa Dr. Sule | Uislamu haufugi Majini huo ni Uchawi
2:54
Manhaj Online TV
Рет қаралды 3,8 М.
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42