Рет қаралды 1,388
Homilia ya Mhashamu Wolfgang Pisa OFMCap Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi na Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kutolewa kwa Daraja takatifu ya Ushemasi kwa Frateri Ayubu Muhapa na Silivery Nyanda wote wa Jimbo la Lindi na Daraja Takatifu ya Upadre kwa Shemasi Fransis Kafuru, Shemasi Fulko Kapinga na Respicious Byarugaba wote wa Jimbo la Lindi.
Adhimisho la Misa Takatifu lilikujia kutoka Parokia ya Mtakatifu Andrea Kaggwa-Kanisa kuu la Lindi siku ya Ijumaa ya tarehe 28/06/2024 .
Radio Maria Tanzania
S.L.P 34573,
Mikocheni Industrial Area plot no. 125,
Barua pepe: info.tan@radiomaria.org
Wavuti: www.radiomaria.co.tz
Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: Radio Maria Tanzania
Facebook Link: / radiomaria.tanzania
Instagram: Radio Maria Tanzania
Instagram Link: / radiomariatanzania
Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.