No video

RAIS SAMIA AMJIBU ASKOFU NIWEMUGIZI "HIYO SI TABIA YANGU,NAJITAHIDI KUJISHUSHA"

  Рет қаралды 36,084

Millard Ayo

Millard Ayo

2 жыл бұрын

Пікірлер: 36
@emmanuelbugingo5077
@emmanuelbugingo5077 2 жыл бұрын
Hongera Mh Raisi Mungu azidi kukupa Hekima zaidi
@baltazaryjohn1968
@baltazaryjohn1968 2 жыл бұрын
Mmh hongera Sana mh rais wetu kweli tupende wote usitubague nimefurah Sanaa mh rais
@f.a6043
@f.a6043 2 жыл бұрын
Mh.Rais well spoken 👏🏽👏🏽👏🏽🤝🏼🤝🏼🤝🏼
@rockzenamtui6296
@rockzenamtui6296 2 жыл бұрын
Hongera sana Rais Wetu rudisha matumaini kwetu wananchi haki itendeke na demokrasia iangaliwe
@franklinassey6600
@franklinassey6600 2 жыл бұрын
Tanzania yetu raha sana
@stefanokileo1294
@stefanokileo1294 2 жыл бұрын
Kweli kbs kutukuzwa sio maisha
@magdarlynmutheumusembi774
@magdarlynmutheumusembi774 2 жыл бұрын
Mama yetu you are so humble. Hongera sana
@happynessbakuju9412
@happynessbakuju9412 2 жыл бұрын
Sijasikia Salam Leo sijui kasalimiaje anatusalimia kwa kwa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na kazi iendelee kazi aiwezi kuendelea bila kuanza na Mungu
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 2 жыл бұрын
Hongera raisi
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
"Kutunza amani ya nyoyo za wengi" maneno ya hekima.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
Watoa comments wengi gapa wanampongeza Mh. Rais kwa hekima na busara zake, upendo na heshima kwa raia. Ukweli ni kwamba pamoja na maneno take mazuri bado anatesa watesi wake wa kisiasa waliojaa magerezani kwa kesi za uongo na kubambikiziwa ilimradi wakae ndani kuwafunga midomo. Huu si upendo bali ni unyama na dhulma. Ushuri wangu mama ubadilike, kuwa mstaarabu na muadilifu
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 2 жыл бұрын
Mmmmh Aya bhana
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Mama... Tatizo Ni wasaka tonge... Huwatukuza Marais kwa cheo na kuwapamba kwa sifa kede kede wasizokuwa nazo na nyingine zilizo pekee na Mola Mwenyezi Mungu MUUMBAJI TU..... Ukiwasikia wazuie... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@boscomfundo7953
@boscomfundo7953 2 жыл бұрын
Aache kusingizia kesi, Kesi ya Mbowe n aibu kwake
@imeldasamwel539
@imeldasamwel539 2 жыл бұрын
Na unatukuzwa kwer kwer hata Mambo ya ajab ww ni kupoñgezwa askof yupo sahihi
@rejobu9723
@rejobu9723 2 жыл бұрын
Umeona Kaka yaana Kuna mitanzania utazani ni mizwazwa yaani hata kwenye jambo baya siku hizi wanapiga makofi yaani 😴😴
@kimambobaraka9284
@kimambobaraka9284 2 жыл бұрын
Good
@mamulucas9169
@mamulucas9169 2 жыл бұрын
Huyu rais mmmmmh
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Mchambe hasaa tena kizenji vidole juu atuliye
@ahz6907
@ahz6907 2 жыл бұрын
Tena akome kama alivyokoma ziwa la mamae.
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 жыл бұрын
Umemjibu vema kabisa.inawezekana mtu hapendi.lakini anatokea mtu kwa sababu zake anakupa sifa zisizostahili .
@kassimfatak5301
@kassimfatak5301 2 жыл бұрын
11
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 2 жыл бұрын
Kwa hekima kidogo ww unastarabu kuliko yule mwingine
@fredykitaly8010
@fredykitaly8010 2 жыл бұрын
Mwachie mbowe so gaidi
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 2 жыл бұрын
Uwe na sikio la kusikia yanayo semwa na wengine lakini naomba uwe makini na yanayo semwa na makamba j na wengine watu wa aina yake ,ila mikopo punguza mama
@emmanuelyjohn6087
@emmanuelyjohn6087 2 жыл бұрын
We nn mmemuua mzee nyie mtanue haina shida mungu anawaona
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 2 жыл бұрын
Tusizungumze mambo bila kuwa na uhakika ukitafutwa unaweza kutoa ushahidi anayosema kifo kila mtu amepangiwa siku yake kwani wewe unatakakuishi miaka mingapi duniani
@AzainTv
@AzainTv 2 жыл бұрын
@@stevenmwenda3005 kweli kabisa bro kuna watu wanachukua mambo juu juu bila kuchunguza
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Una ushahidi?
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 жыл бұрын
Magufuli ameuliwa na wazungu siyo watu wa z africa hapa
@issahgweme8933
@issahgweme8933 2 жыл бұрын
kwahyoo ulitaka aishii milele au mbona watu wengine wanakufanya usemi kituuh kufa anakopanga munguu
@Bayothomusic
@Bayothomusic 2 жыл бұрын
Angalia hii. Its a new gospel. Subscribe, like, comment na share tafadhali. Bonyeza hapa 👇 kzfaq.info/get/bejne/arR6n9yA0q_Qm2g.html
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 61 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,8 МЛН
FULL SPEECH: Donald Trump speaks before the NABJ in Chicago
36:28
FOX 32 Chicago
Рет қаралды 393 М.