No video

Ramani za nyumba ndogo za kisasa, 2 Bedrooms House Plan 220707, 0679253640

  Рет қаралды 28,321

RAMANI TZ

RAMANI TZ

Күн бұрын

Ramani ya nyumba ndogo ya kisasa ikiwa na;
- 2 Bedrooms
- Living room
- Kitchen
- Public Toilet
- Front Verandah
- Kitchen Verandah
WhatsApp: wa.me/255679253640
Call: 0679253640

Пікірлер: 48
@jasminishafii5478
@jasminishafii5478 Жыл бұрын
Mashaallah yn nimeangalia zaidi y x3 nakuja watsap wallah nimepend
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Karibu sana wa.me/255679253640 🤝
@user-cx4eq1oq8l
@user-cx4eq1oq8l Ай бұрын
Hii inanifaa mimi
@hassanyaree1634
@hassanyaree1634 10 ай бұрын
Hii nimeipenda sasa naomba mchanganuo kuhusu gharama kuanzia msingi hapi finishing
@halimamvungi1
@halimamvungi1 Жыл бұрын
Yaani Kwa stail ya hii nyumba huwezi kufanya viumba vilubw
@user-ge1yp6fu9b
@user-ge1yp6fu9b 11 ай бұрын
Nyumba nzuri jamani
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu Жыл бұрын
Nzuri
@JazillaLukuman-j5c
@JazillaLukuman-j5c Ай бұрын
nimependa hiimbona wapi mna patikana
@husnasalim9614
@husnasalim9614 2 жыл бұрын
Maishallah nimeipenda sana
@RamaniTZ
@RamaniTZ 2 жыл бұрын
Mashaallaah karibu sana 🤝 wa.me/255679253640
@marrykajala1450
@marrykajala1450 3 ай бұрын
Naitaji nyumba ndogo kamaiyo nimechoka kuhama hama tuongee bas
@RamaniTZ
@RamaniTZ 3 ай бұрын
Karibu sana boss tunaweza kuwasiliana kwa wa.me/255679253640
@halimamvungi1
@halimamvungi1 Жыл бұрын
Kwanini unasema ni ya kuanzia Maisha ,?hazidumu ? Na Je haiwezi kufanya viumba vitatu,?
@amaningalla9420
@amaningalla9420 11 ай бұрын
Niwatafuteje
@RamaniTZ
@RamaniTZ 6 ай бұрын
0679253640
@nandothedon9921
@nandothedon9921 2 жыл бұрын
Inachukua bati ngap
@salehedilunga1564
@salehedilunga1564 Жыл бұрын
Nitaipataje kamanaitaji lamani hii
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Tunaweza kuwasiliana kupitia wa.me/255679253640
@ernoldmligo110
@ernoldmligo110 Жыл бұрын
Bei za ramani ni sh ngapi?
@hassanramadhani1122
@hassanramadhani1122 2 жыл бұрын
Kazi nzur San kiongozi
@RamaniTZ
@RamaniTZ 2 жыл бұрын
Karibu sana mkuu
@hassanramadhani1122
@hassanramadhani1122 2 жыл бұрын
Inachukua jumla tofal ngap?
@RamaniTZ
@RamaniTZ 2 жыл бұрын
Tofali 2300
@nandothedon9921
@nandothedon9921 2 жыл бұрын
Kaz nzur sana
@nandothedon9921
@nandothedon9921 2 жыл бұрын
@@RamaniTZ ni tofali za kuchoma au za broko
@rosebiseko4888
@rosebiseko4888 Жыл бұрын
Tafadhali naomba na tathimini ya mabati ya nyumba hiyo
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Karibu sana tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
@idabaasia7244
@idabaasia7244 2 жыл бұрын
Kiwanja changu kina sq mta 100 nataka Raman ya kuendana na kiwanja kidogo
@RamaniTZ
@RamaniTZ 2 жыл бұрын
Karibu sana tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640 au piga 0679253640
@mhelelagabriel194
@mhelelagabriel194 Жыл бұрын
Ramani yake naweza kuipata kwa sh.ngapi iliyokamilika.
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Tunaweza kuwasiliana kupitia wa.me/255679253640
@ErnestMoses-qs6ws
@ErnestMoses-qs6ws 6 ай бұрын
Mnapatikan wap mku
@RamaniTZ
@RamaniTZ 6 ай бұрын
Magomeni mapipa
@RamaniTZ
@RamaniTZ 6 ай бұрын
0679253640
@rosebiseko4888
@rosebiseko4888 Жыл бұрын
Naomba ramani ya vyumba viwili ambayo itatumia tofali za block 600 ambayo ni hidden roof
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
@halimamvungi1
@halimamvungi1 Жыл бұрын
Nyumba za aina hii hua haziwezi kuzodiwa Zika vuja mvua ikiwa nyingi
@kepherbwire6006
@kepherbwire6006 Жыл бұрын
What are the heights all round thehouse
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
3.2m
@lindakiwope9260
@lindakiwope9260 Жыл бұрын
Nimeipenda jamani naweza kupata ramani yake kwa sh? Kuijenga hiyo nyumba ikamilike nahitaji sh ngapi?
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Karibu sana unaweza kutupata kwa namba wa.me/255679253640
@lucymugo6023
@lucymugo6023 Жыл бұрын
Nice home nataka pia Niko Nairobi kenya
@RamaniTZ
@RamaniTZ Жыл бұрын
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
@hassanyaree1634
@hassanyaree1634 10 ай бұрын
Hii nimeipenda sasa naomba mchanganuo kuhusu gharama kuanzia msingi hapi finishing
@RamaniTZ
@RamaniTZ 4 ай бұрын
Tuwasiliane kupitia wa.me/255679253640
@JazillaLukuman-j5c
@JazillaLukuman-j5c Ай бұрын
nimependa hiimbona wapi mna patikana
@JazillaLukuman-j5c
@JazillaLukuman-j5c Ай бұрын
nimependa hiimbona wapi mna patikana
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 5 МЛН
MJENZI WA NYUMBA. Ramani ya Nyumba ya Rooms 3 ya gharama nafuu sana
6:38
MJENZI WA NYUMBA TZ
Рет қаралды 9 М.
RAMANI YA NYUMBA YA KISASA  GHARAMA NDOGO
8:40
T-ICT Academy & Architect
Рет қаралды 10 М.
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10