RANGA CHIVAVIRO ATOA YA MOYONI KUHUSU SKUDU/VIONGOZI WA KAIZER WATOA AHADI KWA WANANCHI/TAZAMA HAPA.

  Рет қаралды 100,740

Yanga TV

Yanga TV

Жыл бұрын

#daimambelenyumamwiko #timuyawananchi

Пікірлер: 81
@dansonchristian8874
@dansonchristian8874 Жыл бұрын
Sasa likes zimiminike hapa wazee 👍
@osimtawa5392
@osimtawa5392 Жыл бұрын
Ranga ana balaaa like zangu wananchi
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Yanga Day! Ni tukio kubwa katika kalenda ya football nchini. Yanga Ina rekodi ya kuujaza uwanja wa Mkapa, safari hii ni kuvuna rekodi!
@user-nn5sq8ol4g
@user-nn5sq8ol4g Жыл бұрын
Had rahaaa atwarr
@jamesgasper6764
@jamesgasper6764 Жыл бұрын
Jamani Kama skudu ana umli wa miaka 33 vipi huyu team captain wa kaizer chief 😮
@francepaul7711
@francepaul7711 Жыл бұрын
😂😂😂
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr Жыл бұрын
Nimempenda Abdul..kingereza chake pia kimekua sana kuliko alivyoanza yanga TV.alikuwa vizuri zaidi French ila now kingereza kinaflow saaafi🎉🎉🎉🎉
@sheggybondo6643
@sheggybondo6643 Жыл бұрын
french bado mzee
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr Жыл бұрын
@@sheggybondo6643 anaongea afadhali kuliko English..kamsikilize kwenye maongezi na Bangala last season,kamsikilize na Max baada ya game ya jana
@user-oq2et1ok1q
@user-oq2et1ok1q Жыл бұрын
Huy abdulaziz Yuko vizur kwa kimombo jaman Kama anakunya maj
@simonmnyele9380
@simonmnyele9380 Жыл бұрын
kazi nzuri mtalamu
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 Жыл бұрын
Asante Abdul Azizi kutuhabarisha good job .Daimambele nyuma mwiko💚💚💚🙏tukutane kwamkapa.22.7.203
@jr_mkumbojr
@jr_mkumbojr Жыл бұрын
Nimempenda Abdul..kingereza chake pia kimekua sana kuliko alivyoanza yanga TV.alikuwa vizuri zaidi French ila now kingereza kinaflow saaafi🎉🎉🎉🎉
@rehemanmkumbo5631
@rehemanmkumbo5631 Жыл бұрын
Huyu ni zaidi ya mtangazaji 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
@katushabedotto2883
@katushabedotto2883 Жыл бұрын
Jamani viongozi wetu iyo chuma musimuache mlete kwetu yanga tunamtaka Sana uyo
@marianamontoedi1318
@marianamontoedi1318 Жыл бұрын
Dirisha dogo hilo jitu jemen 😮😮😮😮😮
@gooleserviceyoutubescandar3450
@gooleserviceyoutubescandar3450 Жыл бұрын
Kazi Nzuri Ni Furaha Tena.
@shakurusaid5301
@shakurusaid5301 Жыл бұрын
Like kwangu
@globalpeacesummitstv8825
@globalpeacesummitstv8825 Жыл бұрын
Great and firely.
@devis22
@devis22 Жыл бұрын
Yanga day🔥
@mwelimazozo9691
@mwelimazozo9691 Жыл бұрын
Mwananchi moto
@iddybakar1946
@iddybakar1946 Жыл бұрын
uyoo black tolu atakua ajasoma.kayumba nimsauzi lakini anakitema kiyai kama mtu wa kule uingereza😆😄😄😂
@francepaul7711
@francepaul7711 Жыл бұрын
Kabisaa an
@bennyteve3871
@bennyteve3871 Жыл бұрын
Hii imeendaa
@kadegeolesaita6515
@kadegeolesaita6515 Жыл бұрын
Alitakiwa ajeeh yangaa huyu anafuraha kuwa yangaa
@RahimuHogola-gd9xu
@RahimuHogola-gd9xu Жыл бұрын
Good talent abduraziiz
@ereneusalexanderisaya5432
@ereneusalexanderisaya5432 Жыл бұрын
Jamani kama Huna kadi ya yanga unakosa rahaaa
@user-qe9ig8fz2k
@user-qe9ig8fz2k Жыл бұрын
Young African 🇹🇿
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 Жыл бұрын
Skudu makudubela
@user-un7eo3uw7i
@user-un7eo3uw7i Жыл бұрын
Kuna yanga thn kuna wengine
@shaibusaady2420
@shaibusaady2420 Жыл бұрын
Allaah Akbar
@danielimalaki
@danielimalaki Жыл бұрын
Wakawaida sana hao😂😂😂
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 Жыл бұрын
KOLO
@emanuelijabu
@emanuelijabu Жыл бұрын
Hii imeenda kabx😂😂
@Evarist001_
@Evarist001_ Жыл бұрын
Yanga kubwa lao NaNi Kama yanga Tukutane kwa mkapa.......
@aminangano3635
@aminangano3635 Жыл бұрын
Kamwe jamani eti kupanda Mlima!!! upi wa Uluguruni ama Usambaani😅
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp Жыл бұрын
Laah,Kama wananchii!!? ni njano na weusi.
@safinyembazi
@safinyembazi Жыл бұрын
hakika tuna kuwakaribisha sisi ni wa karimu sana wananchi tujitokeze kwa wingi kesho mapema san tukaujaze uwanja
@yusuphjilala846
@yusuphjilala846 Жыл бұрын
Wananchi wakotayariiiiiii😂😃😂😂😂😂
@alijuju8697
@alijuju8697 Жыл бұрын
Unajua kila kitu na mtuwe. Ni ngumu mno mtu kufanya kila kitu ispokuwa na mspenzi nacho Kutokana hilo ndio maana Abdul ameweza kuperform vyema, japokuwa alianza kwa taratibu kukabiliana na kazi hiyo. Ndio maana sisi kama watazamaji ndio tumeweza kujua.
@MudathiriMahr-df2wg
@MudathiriMahr-df2wg Жыл бұрын
Yanga inajaza Uwanja
@user-vn9sf5pm5s
@user-vn9sf5pm5s Жыл бұрын
Wazir wa raha❤❤❤
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanatia presha
@minihajimohamed-sz6sg
@minihajimohamed-sz6sg Жыл бұрын
Timu kubwa inaleta timu kubwa
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 Жыл бұрын
YANGA MIRAHA
@omaryamiri3175
@omaryamiri3175 Жыл бұрын
Watapigwa kama ngoma
@sevarinijrchitandachitanda138
@sevarinijrchitandachitanda138 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@mpelembwa1og808
@mpelembwa1og808 Жыл бұрын
Abdulaziz jitasimini kwenye uwekaji wa taarifa kwenye account yanga tv hapa mjini KZfaq maana adi saizi upo kmy na coach amefanya press muda tu na ww bado ujapost chochote kuhusu press
@mussamlowe9272
@mussamlowe9272 Жыл бұрын
Daah tulimkosa😂
@FaustineBukongolo-wp2fe
@FaustineBukongolo-wp2fe Жыл бұрын
Imeenda hiyo
@josephmwangita7041
@josephmwangita7041 Жыл бұрын
Welkom
@mathewdickson8891
@mathewdickson8891 Жыл бұрын
"you guys are so welcoming!"
@rashidmkwinda23
@rashidmkwinda23 Жыл бұрын
Tehetehetehete Wasaidie na hao wenye mic 🎤 zingine kutranslate walichoongea naona hawaulizi chochote
@josephmwangita7041
@josephmwangita7041 Жыл бұрын
Wakubwa wanaleta wakubwa wezao
@yohanekopilato-wn3lo
@yohanekopilato-wn3lo Жыл бұрын
Imebamba
@alisonmaiko2208
@alisonmaiko2208 Жыл бұрын
These guys seems to have seriousness in this game, please guys be very careful
@abuumtoa2336
@abuumtoa2336 Жыл бұрын
Whatever they are but still we play friendly match
@andrewzimba692
@andrewzimba692 Жыл бұрын
Hatuna hiyo mind set yako tupo kuchambua nakuinjoy😊
@ellyboy4165
@ellyboy4165 Жыл бұрын
❤❤❤
@ErastoShayo
@ErastoShayo Жыл бұрын
Jamani niwapongeze viongozi mmeleta timu kubwa na nzuri kwelikweli ila hapo Kaiza kuna MR. KAIZA. sasa naomba na hapo yanga tumpate mchezaji mmoja aibebe timu na tumpe eikei MR. YANGA
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Жыл бұрын
ila kaizer chief si Timu nzuri kwa jicho langu haina Makali kabisa
@pascalmayo7412
@pascalmayo7412 Жыл бұрын
Utabari yanga 2 kaiser 1😂
@muddymsuya9868
@muddymsuya9868 Жыл бұрын
No mayeleeee
@MohamedKimbwembwe
@MohamedKimbwembwe Жыл бұрын
Muwe munatafsiri sii wote wanajua kingereza mnafeli kuna wazee kuda lasaba na from two
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 Жыл бұрын
😂😂
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 Жыл бұрын
Wapo darasa la 7. Wanajua ngeli na wapo form 4. Awajui kabisa kimombo.
@andrewzimba692
@andrewzimba692 Жыл бұрын
Form sio from,,tuanze shule na wewe
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Жыл бұрын
Nasubiria siku moja Ahmed Ali avunje yai na yeye. PalebSimba wamejaa wavunja kokoto kuanzia viongozi wao hadi wanahari wao.😅😅😅
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 Жыл бұрын
Tamasha la yanga ila wangeni wenu wanaijuwa Simba kuwa nitimu kubwa na waitaja muda wote
@EmmaMakalwe
@EmmaMakalwe Жыл бұрын
@@rashidgogo5558 umeskia mchezaj ata mmoja ameongelea simba
@rashidgogo5558
@rashidgogo5558 Жыл бұрын
@@EmmaMakalwe mchezaji kama mbwa kama mwenye mbwa kasema wataka nn tena atawew unajuwa simba namba inambeba hata ije man cit Tanzania itangalia kumi bola Bado ataitaja simba kwahiyo mjifindishe kuzoe talatibu
@EmmaMakalwe
@EmmaMakalwe Жыл бұрын
@@rashidgogo5558 nanukuu maneno ya CEO kaizer chief,,,we know much about Simba because we played with them,,,,but we don't know much about yanga because we don't played with them we gonna know much on tommorow after match.......Sasa na hiyo ushindwe kusoma mwana simba
@EmmaMakalwe
@EmmaMakalwe Жыл бұрын
@@rashidgogo5558 lugha kijana inabidi urud shule
@callicevallice7383
@callicevallice7383 Жыл бұрын
Ranga bonge moja la mchezaji🔥🔥
@jamesgasper6764
@jamesgasper6764 Жыл бұрын
Jamani Kama skudu ana umli wa miaka 33 vipi huyu team captain wa kaizer chief 😮
@husseinyusuph5458
@husseinyusuph5458 Жыл бұрын
Wana njano wenzetu hao
@kurumwagodfrey7052
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@jamesgasper6764
@jamesgasper6764 Жыл бұрын
Jamani Kama skudu ana umli wa miaka 33 vipi huyu team captain wa kaizer chief 😮
@francepaul7711
@francepaul7711 Жыл бұрын
😂😂😂
SHUHUDIA UZINDUZI WA TAWI LA YANGA DURBAN NCHINI AFRIKA KUSINI
23:02
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 16 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 10 МЛН
Ranga Chivaviro Kaizer Chiefs DEBUT Vs Chippa United
2:41
MagnoliaArtsComps
Рет қаралды 69 М.
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
BALAA LA MAXI NZENGELI VD FC AUGSBURG/AMEKICHAFUA BALAA.
8:43
Yanga 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/10/2022
23:19
GHAFLA MANARA AIBUKIA YANGA DAY AKIWA NA ULINZI MZITO
6:20
Millard Ayo
Рет қаралды 69 М.
this picture 🥶 #cr7 #edit #football #trollface
0:22
FOAR7
Рет қаралды 3 МЛН