Rayvanny asimulia ugomvi wake na Harmonize ulivotokea hadi kupatana kwao na kufanya Wimbo wa Sensema! Tulikua tunamsema Diamond kwenye Simu, ikawa Vita kubwa sana, Akanipeleka Kesi nifungwe miaka 30 Jela! Harmonize ADUI Sana!
Пікірлер: 139
@PeterMarco-b5j2 ай бұрын
Nimekuelewa sana vivavanny boy kua na moyo wakisamehe💪💪💪 my brother
@user-mo2hy8zs5w2 ай бұрын
Umetishaa sanaa leyvanny na pia kondee boy mii namkubarii sana jeshii mii ndoo shabikii yakee sanaa Na nimeimbaa rimx kibaoo nyimbo zake badoo sijazitoa broo ni saprt broo Lil ommy
Harmonize ndo alie nileta hapa💯💯to the caption 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Kumbe ray anamoyo kama Wang..wakutokasilika hata kama mtu akiwa anakuuzi kiasi gan ..na anamoyo wakusamehe napia kutokasilika kitu chakukasilika .wow. Ray moyo wake unafanana Saana na mim
@AlyFaby-wi1ug16 күн бұрын
True kabc brother
@rizikikasongo4388Ай бұрын
Wanaume uwa wanakuwa na clean heart ♥️. Ila wanawake yooooh! Bless them 🎉
@deejayspapination2 ай бұрын
King of Interview 🔥🔥🔥
@LilOmmyTV2 ай бұрын
Lets gooo
@deejayspapination2 ай бұрын
👍👍👍👍
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij2 ай бұрын
Vizuly Sanaa,RA.....,kua sababu Luana maisha keshoo.🎉🎉🎉
@user-ut9th1bq7iАй бұрын
My best artist in my home country Tz
@iyogomusictz73692 ай бұрын
Naombeni like nyingi jmn kwa omy
@LilOmmyTV2 ай бұрын
Unyama sana
@Wakishua352 ай бұрын
@@LilOmmyTVkaka angh Tambwe Nakubaligi Saan Interview Zako kinyama
@jokx_kid2 ай бұрын
Naombeni like ata 3 tu Kwa @rayvany mpenda amani
@Maneno_ya_hekimatv2 ай бұрын
Likes zitakusaidia Nini aisee
@HeryethIzack-ck8bu2 ай бұрын
Ray nakukubali sana broo pambana kaka angu daima ntakuombea ufikie malengo yako kaka i love you a lot ❤❤❤
@KawaGarments-zt6le2 ай бұрын
Ray nakuenzi kwa roho Yako safi, much love
@abouskillskefea3413Ай бұрын
... Jamaa kumbe ni matured vby mno respect broh... Really is better than perfect
@AlyFaby-wi1ug16 күн бұрын
2:36 👏👏👏👏👏👏
@BasuleBasule2 ай бұрын
King Of Interview ❤
@iyogomusictz73692 ай бұрын
Nakkbali kaka leo nimekua wakwaza kucheki kipindi
@DaniPedagogie14 күн бұрын
Watoto wa KONGO APA kunyumba uvira semeni neno moja kwa vany boy
@Omari32002 ай бұрын
My brother rayvany unajua San yani up smat
@avitrujweka21132 ай бұрын
V Vanny Boy! ❤👑🤴🐯🐅🔥🌎🔥
@JulianaMushi-nq3kc2 ай бұрын
Nimekuja hapa kusikiliza harmonize alifanya nini c rayvan
@mrsinia30642 ай бұрын
😂😂😂
@kenndennisofficial14892 ай бұрын
Nenda kwa interview ya hamo😅
@GwakisaMwaisanga-th7uz2 ай бұрын
Kuma lako
@blueagent5612 ай бұрын
Best interview
@hollanddutch-day2 ай бұрын
Best interview the mvp king of ,......🎉
@bitunimtunguja36662 ай бұрын
Namkubali vany hataki bifu ..mungu akulinde ❤
@user-pk1yl7zt8p2 ай бұрын
Senge sana nyie lukuga mnamsemdje kat alipotez mda wake kuwatengeneza#vistuli hamnga shkran sana
@muksinimbaruku12332 ай бұрын
Mbna vistur sasa wakati van ndio anaongea? Na kama swala la wema ubaya unakuwa rahisi kuupoteza wema wako, kama mwema kuwa mwema na mbaya kuwa mbaya tu.
@jamilaathumani54812 ай бұрын
Ray van alivyoongea mind set kama yng Yan ...najisikiliza Mimi nakujikubali Mimi Zaid napia ninanjia yng Mimi kama mim na mungu wangu tuu..
@lokweegerald3392Ай бұрын
one love vanny boy all the best manze you are more than a man
@VictorMawanja2 ай бұрын
Jmaa anajisahau sana😅😅😅😅 sema yuko openly
@joesplatnumz2 ай бұрын
Rayvanny ilikua akitoa ngoma dai lazima alikua aposti toka atoke wcb bt hii ya sensema diamond hajaposti kabisaaa 😂😂why?ama kisa kuna konde kashirikishwa?
@IssahYasini14 күн бұрын
Lilommy the king of intarview
@rajabuhassan19322 ай бұрын
Nakuelewa sana lily ommy na sipendagi kipindi chako kinipitee
@ShadreckDreck2 ай бұрын
Nitakushangaa saana utakapo msikiya yule mnafiki mchonganishi harmonize.Fanya kazi saana tu na uzidi kumuheshimu tu Diamond aliyekutowa
@Omari32002 ай бұрын
My brother lilomy unajuw kuongeya namt vizuri
@SimbaBabaYao2 ай бұрын
Brothers 🇹🇿 for everything 💯🫶🏾
@anjuadnani26072 ай бұрын
Nakupnda sn Lily omy naomba usiondoke wasafi
@SequereMatitoАй бұрын
Gostei❤❤ Mozambique
@diclopar46872 ай бұрын
Ray vanny wa kukaya 🎉🎉🎉nakubali kaka
@IsayaLaison2 ай бұрын
Vanny the best
@DonaldSoteАй бұрын
Mavoco WA Tatu Ku sign na ni wa kwanza kusepa WCB makonde WA pili kusepa
@Kautharkabanga2 ай бұрын
You won bro umetisha Sana bro
@LESLABOY2 ай бұрын
Interview bila kuulizwa utajua tu mwana ni wa mbeya maana anapangilia maneno kama mchungaji Hananja😂😂😂😂😂😂one love ma men
@ayuzo48522 ай бұрын
Iil omy ❤
@user-rb1xh6os1q2 ай бұрын
Hahahaha wakati ana kucheki alikua hajalewaaa😂😂
@ree60822 ай бұрын
😅😅nmechekaaa😂
@NoName-pp4lo2 ай бұрын
Lily ommy fanya siku umlete lavalava kw podcast
@Omari32002 ай бұрын
Kwer kk afany mpang amuit lavalav
@user-fs7fe4pq6j2 ай бұрын
Sita kwingne tisa 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉 powerful point
@AlexanderNimbona-lj4ln2 ай бұрын
Fresh🤗🤗🤗
@user-yd8sp4es9n2 ай бұрын
Chui 🎉❤
@Back-and-4thАй бұрын
Rayvanny ni kama anakuanga mbishi sometimes
@DicksonMakalaАй бұрын
global way
@JacksonKimario-ig8dl2 ай бұрын
Mavoco ndiyo aliyetoka wa kwanza
@Njiwamichael-km1dm8et9x2 ай бұрын
Ni kweli jamaa anafanya makubwa ila awa matako wanapost ujinga me naumiaga siku moja ndamkili mtu
@ALVINESOKA2 ай бұрын
Ntaoa siku nkimuona lil0mmy amevaa tisheti 🙌🙌
@FakiBuzwhite-no6re2 ай бұрын
Ktk maswali yko mengi unamchuma vanny amseme jeshi kwa ubaya ila vanny ashajielewa tyr
@richkaja33172 ай бұрын
Ombeni interview ya pamoja mmakonde na mnyachusa ili tuone harmonize bdo anakinyongo sanaa
@chany99502 ай бұрын
Good👍🏾
@RobatSimonАй бұрын
Habari
@JacksonKimario-ig8dl2 ай бұрын
Harmonize ni msanii wa pil kutoka kwenye Lebo ya WCB
@AshaHadhidha-hj3oo2 ай бұрын
Huyu hata aseme nn aende huko kwa konde cc team wcb sahii tuna raha kama nn
@kanjimlevi2 ай бұрын
et wakati anakucheki alikuwa hajalewa hahaahah
@Youngmedi8062 ай бұрын
Likes nyingi kwa lil omy
@Fantastic.-gm1eo2 ай бұрын
Tunataka kolabo ya diamond na harmonize ili game ichangamke kama enzi ya kwangwaru
@doubletlacs13002 ай бұрын
True story
@joesplatnumz2 ай бұрын
Na ww lil mommy mbona bado una kinyongo na harmonize?coz ikija swala la kumuongelea konde you seem to be too happy on that na ww ni mtangazaji so haupaswi kuweka chuki na wasaniii...ama coz uko wcb ndio dai akikosana na wengine pia nawe wayavalia njuga?
@clainjovin64762 ай бұрын
Point 😅
@frankdaud25742 ай бұрын
uko vizur
@emmanuelharorimana97662 ай бұрын
SHUKRANI kwenu
@malkavoice25702 ай бұрын
Hivi kati ya Mmakode na Mavoco nani alikuwa wakwanza kutoka wcb?
Sema na ww unajiskia xana tayari unajiona jamaa ndo kajishusha vitu vingine piga kimy tu
@QUEENBEEOG2 ай бұрын
Alikuwa ajalewa😂😂😂 kwa nn pombe jaman
@assuatemanuel87852 ай бұрын
Harmonize ni mnafiki usentegueme sana
@sharafimohamed59372 ай бұрын
Hata mamaako mnafiki sana 😂
@vanjay86852 ай бұрын
Hakuna aliyekujua kabla ya WCB wakati huo unajiita raymond kumbuka ni juzi tu na tumeona kwa macho yetu
@MustaphaMkiwaАй бұрын
👊
@rulimbiyesaid59072 ай бұрын
Mnapatana nini nyie😅😅 inAbd mpigane, uyu atoe jicho yule abaki na mkono mmoja
@bonirodi63012 ай бұрын
What happen to mack voice?
@antidote25427 күн бұрын
iyo topic yako inamislead
@user-uw6yi9nv1j2 ай бұрын
Lei Vani kaka
@user-bp5mn8je9r2 ай бұрын
ila rayvanny
@mwanamkeshujaabongoflavama71802 ай бұрын
Hamo alikua si kwanza kutoka wcb alikua mavoko
@Omari32002 ай бұрын
Kwer kk lilomy unajuw kuongeya ila turetee lavalav
@Mizahh-ll5lu2 ай бұрын
Ila mziki ni siasa kumbe akuna beef kat ya mondi na konde wala vanny biashara ya mondi bado dah nimee elewa k2 kumbe tunatengenezewa story ila akili kubwa sn bg up kwenu wcb
@AlbaSnepa-lr4bp2 ай бұрын
✊
@KelvinKivamba-kl1ry2 ай бұрын
Nmekuja kumsikiliza atasema nn kuhusu konde
@DEVISON-t6e2 ай бұрын
Hivi nikitaka kuwa mwanachama wa NLM nifanyaje?
@FakiBuzwhite-no6re2 ай бұрын
Cjapenda kichwa cha habari kumuita konde adui ww lilyommy bado ni chawa tuu
@agustinorichadi12532 ай бұрын
mbona bado hamnajitoa
@ericdeogratius9702 ай бұрын
We mtangazaji nyamaza basi mwache mtu aongee kwanza
@IbrahimShan-qu3um2 ай бұрын
Unabagua wasanii wa kuhoji bro....so vzuri piga kazi acha zako