Hongereni kwa kazi nzuri sana, nimefurahia kwani kwaya imeimba vinzuri sana hata Bila vyombo inapendeza kumuimbia Mungu kwa Sauti Bila hata vinubi. Mungu awabariki sana
@hymnstunestz2640 Жыл бұрын
amen
@hymnstunestz2640 Жыл бұрын
endelea kushare .....ww ni mchango mkubwa sana kwetu
@barakanziku20 Жыл бұрын
Mungu awatangulie ktk huduma ya Mungu.
@hymnstunestz2640 Жыл бұрын
Amen
@rozaliamagige2109 Жыл бұрын
Wow Kama kawaida Hahahaaaa hongereni sana kwaya yangu pendwa usharika wa Buguruni