RIAMA ALLY AJIBU KUSHINDANA NA DIDA WA MASHAMSHAM WASAFI BAADA YA KUTUA CROWN FM

  Рет қаралды 30,822

Bongo Touch

Bongo Touch

23 күн бұрын

Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that

Пікірлер: 47
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 21 күн бұрын
Hii redio itakua smart sana sio ile nyingine, wanaturingia waskilizaji mwanzo mpaka mwisho mtangazaji anatamba badala ya kutangaza kwa ufanisi.❤😊
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 21 күн бұрын
Mungu yu mwema Allah atakusimamia umetoka mbali Sana na uvumilivu unao Allah akunusuru Kwa kila jicho lenye kudhuru mwanangu nakupendaga Sana Mie TIMU RIAMA hata kwenye movie.
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 18 күн бұрын
Rihama Ally ❤❤❤🔥 🔥 🔥 Nakujua vzr nishafanya nawe kazi huna baya i love you 😍 💋 💋 💋 hongera sn pambana 💯
@wemakalama6458
@wemakalama6458 18 күн бұрын
Hongera riama Allah akutangulie❤❤😍😍
@nailaomar4810
@nailaomar4810 22 күн бұрын
Mashaallah mstaarabu sana nimependa jinsi alivojibu mungu atuhifadhi ❤
@fatmamasoud1398
@fatmamasoud1398 16 күн бұрын
Tuko.pamoja kipnzi dada Riana Allah akuongoze kwenye jaz zako❤❤❤❤❤❤
@fikirinimalange8164
@fikirinimalange8164 22 күн бұрын
RIAMA ALLY UNAPENDEZA NA KIPINDI JIRANI NAKUAMINI. NAKUPENDA SANAAAAAA MAMA WA KULIA LIA
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 15 күн бұрын
Mashaallah mpenzi wangu Riyamma hongera zako
@thamani5842
@thamani5842 18 күн бұрын
Ma Sha ALLAH Riyama una lafudh nzuri
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 15 күн бұрын
Nakupenda kwenye movie kuliko kwenye uandishi tena njoo uzidi kutubirudisha mwaya
@khadijakimana8809
@khadijakimana8809 2 күн бұрын
Congratulations Rihana❤
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 16 күн бұрын
Riama namkubali sana huyu dada bola kapunguza mwili kapendeza sana kuliko ule ubonge maana angezidi pale angehalibika
@LucyChedrick
@LucyChedrick 10 күн бұрын
Kapungua vizuri
@salomewandya7257
@salomewandya7257 13 күн бұрын
Mashaallah Riyama ulipo na sisi tupo❤❤❤❤❤
@miskyabdillah7451
@miskyabdillah7451 16 күн бұрын
❤❤❤ Allah akutangulie kwa kila jambo la kher love
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 18 күн бұрын
Mashaallah ❤kipenz changu
@AnastasiaKilonzi
@AnastasiaKilonzi 14 күн бұрын
Allah is Good rayana mashallah ❤❤
@meddykeita5220
@meddykeita5220 16 күн бұрын
Masha Allah ma dada Allah akusimamie
@hanifamziray277
@hanifamziray277 13 күн бұрын
Umejibu vzr sn hongera
@fatumakale7004
@fatumakale7004 17 күн бұрын
Tuko pamoja inshallah 😍♥️❤️❤️❤️❤️
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 6 күн бұрын
Hyu Dada akikuchamba halaf usilie we bingwa 😂😂😂😂
@LujainaOmari
@LujainaOmari 7 күн бұрын
Nakupenda sana
@user-to4mj3di9m
@user-to4mj3di9m 15 күн бұрын
Mtu wa mmana kabisa mtoto minal Aaali ❤HALLA😂😂😂
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 16 күн бұрын
Ana hekima sana sana ,lakini hapo pa kuchamba duh kumekucha
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 15 күн бұрын
Dada na hio CROWN Pato pata Aly kiba ni mtu wa maana kabisa.
@user-ty1tp8ly8q
@user-ty1tp8ly8q 21 күн бұрын
❤❤❤
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 21 күн бұрын
Hapa ni nyumbani Dida ataisoma namba
@user-zq7jb2ij4u
@user-zq7jb2ij4u 18 күн бұрын
Ndugu yangu tushukuru allah maana tunapata Ladha halisi ya kiswahili alhamdulillah lkn tusiwachonganishe. Hasada zimekuwa ni nyingi.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 18 күн бұрын
@@user-zq7jb2ij4u kweli kaka
@Nashoora8
@Nashoora8 18 күн бұрын
Uwo uchonga Nishi kweli mbona ukumsema mwanzo uje umuone Leo afai sababu ya lihama wote tuna wapenda na tuta wasikiliza wote ❤❤
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 18 күн бұрын
@@Nashoora8 Rihanna ni mtangazaji bora kuliko dida . Wasafi mkae kwa kutulia
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 21 күн бұрын
❤❤❤❤
@user-el1rx9ei1o
@user-el1rx9ei1o 14 күн бұрын
Dada waku nimefurahi sana
@WonderfulSoccerGoal-gf2iy
@WonderfulSoccerGoal-gf2iy 15 күн бұрын
Hongela
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 15 күн бұрын
❤kalibu sana
@user-ln2cg9rg1g
@user-ln2cg9rg1g 17 күн бұрын
❤🎉🎉
@user-xr5xx7bq3p
@user-xr5xx7bq3p 14 күн бұрын
❤❤
@user-jh8sb9ms8w
@user-jh8sb9ms8w 16 күн бұрын
Mtangazaji msenge nini unamfosi mtu kujib yupo tarari kushindana ovyo
@nishgold4160
@nishgold4160 17 күн бұрын
Kutoka kuwa mama mateso mpaka kua mtangazaji
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 10 күн бұрын
1:24 1:24 1:24
@amanielSamwel-rr8bz
@amanielSamwel-rr8bz 11 күн бұрын
Dida yupo juu nyie!
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk 15 күн бұрын
Kipindi Cha huyu dada kitakuwa pendwa balaa
@salmabasil385
@salmabasil385 10 күн бұрын
Dida kusoma kunamingusha
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 18 күн бұрын
Tupo nawe odo🎉❤
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 18 күн бұрын
Riyama ally❤❤❤
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 15 күн бұрын
Nakupenda kwenye movie kuliko kwenye uandishi tena njoo uzidi kutubirudisha mwaya
@reginaNorway-n7d
@reginaNorway-n7d 16 күн бұрын
❤❤❤❤
ALIKIBA AMTAMBULISHA RIYAMA ALLY MTANGAZAJI MPYA WA CROWN MEDIA
9:56
BONGO TRENDY TV
Рет қаралды 11 М.
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 476 М.
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 39 МЛН
UTACHEKA SANA WEMA, STEVE NYERERE NA ELIUD MCHEKESHAJI WAKIIGIZA KIKOREA
9:15
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 63 МЛН