#ndekeyamuthanga #rickbetv #kasolo #nicholaskioko for more call rick be through 0791971810
Пікірлер: 165
@justusmyelloofficial2773Ай бұрын
Happy to see your unity guys. Love all of you. Tunaenda mbali.
@dmtumeАй бұрын
Myello endelea kutulia Tu hivo....I like Vile umetulia usishikane na mbwembwe
@stephenmusyoki-zq4fhАй бұрын
Myello wi ngoo nene, na wi musyai. Utao waku nutethasya😂😂😂, wavika kitengela manthe nguthoowee kiwu kwa bill yangu
@JuliusKiema-iy1eyАй бұрын
Akuna kitu apo unaitwa unity kasolo ATA kuogea kwake wacha Tu ikae sikuwai ona watu wanasema ni WA mungu wanaogea ivo,vau Vai kanisa no vandu mwithaa mulikite
@charlcokeАй бұрын
Myello ulitoa ngoma kali sana. I was so amazed na hiyo lingala musica.
@gladysGina-ry4gxАй бұрын
Myello tavya kasolo aekane na kiburi.
@dmtumeАй бұрын
Kasolo anapenda kutake advantage of being an orphan to insult each and everyone.....NKT!!!! Upuzi
@elizabethmutanu9614Ай бұрын
Ama kasolo ni comedian mwenye hajajijua bado😊
@morrissilaАй бұрын
Mnabebeleza hii kamtu for no good reason, kwani yeye ni nani
@chrismutua-rs7xqАй бұрын
good move rickie b , lakn uitavya kasolo apuguze kiburi
@challycharlo7189Ай бұрын
Wacheni kutufala! This is a game plan btn the two sides alafu mnakuja kwa camera blackmailing us. Mouthy Kasolo
@ChristineWambua-vm6mbАй бұрын
Wapy like nza rick be
@DandyKennyАй бұрын
Rick be ungeanza na kuwachapa vibomo wote ..wanaume kupigiane makefile online ni umama..wacha wapigiwe kelele na mabibi zao nyumbani sisi online we respect them as men. Bravo Rick be
@collinsngumbi5153Ай бұрын
Nice job Rick be....peace is much needed
@RobertBonyАй бұрын
Spanner boy,, congrats,and to kasolo congrats too,, atleast ameact mature na learned kamba guy, for the first time nmepeda that vibe of kasolo ,,tokea tukunywe kahawa baba shine
@user-mr3fn1hc2yАй бұрын
Congratulations Ricky B, you are doing great job
@MargaretKamau-er8ioАй бұрын
I love tht tukikosana tupatane tusolve and the brotherhood goes on big up to you guys
@MutusetvАй бұрын
Happy to see you together Kasolo and Kioko. Kazi nzuri Rick Be
@jothammaweu3005Ай бұрын
Rick Be unatumikanga sana na majamaa wakitafuta kick. Ww are not fools
@mckipenziofficial2168Ай бұрын
Kasolo atakuja kuisha kama Ringtone ngoja uone juu hii kiburi yake inakaa juu kila time, mbona aseme gari ya Kioko kila time na yeye alipewa gari na sponye
@rynkenya3706Ай бұрын
😂eee
@dominicmuli3826Ай бұрын
niwivangite lakini wanaume n kuelewa congrats munene
@simonkomu6680Ай бұрын
Very interesting, men of vision,
@johnmuendo6314Ай бұрын
Congratulations Rick B for a good job
@amoskioko4878Ай бұрын
Kazi nzuri Rick be,keep it up
@jonathanmwangangi7186Ай бұрын
Nice job Rick be kuleta hamani kenya
@priscillajohn-zs9hkАй бұрын
Mungu azidi kuwapa hio neema
@raphaelmuia3061Ай бұрын
Kasolo kiburi itakumaliza...ety atafute lawyer😂
@mwikalimutinda4477Ай бұрын
Rick be ume act kama mzazi,, congrats 👏
@mercyngina272Ай бұрын
Kazi zuri Rick B....but kambas you should learn ...mnatuaibisha
@judymusau5427Ай бұрын
Kunyimwa event ndio ilileta hii shida yote ukifuata hii story,hati ye ni MTU mkubwa we
@merkillerАй бұрын
Ningekuwa kioko haka kamtu kiburi ingeishia hapa,,,,,how can you attack watoto wa mtu,,,,,, too baad
@violetomwenga4012Ай бұрын
Happy for your reunion ❤❤
@syombuawillyАй бұрын
Am happy for you my brothers
@felixmuiamulinge1128Ай бұрын
Hiyo pole ya kulazimishwa haiwezi
@ericodaktari399Ай бұрын
Kipindi series ya hawa watu to remain trending
@PaulMalikaАй бұрын
Congrats Rick be
@JONESKILONZOOFFICIALАй бұрын
Kazi zuri kwa kusameheana
@rashidkasomo6510Ай бұрын
My brother Kasolo stop your ego and pride please and God will bless you,am an orphan too but I can't take that as an advantage to mock and oppress others please
@VirginiahMwithuiАй бұрын
Ni sawa lakini mwa kasolomoni niwendete nguma
@nickomwamwa4027Ай бұрын
Ulete mutulani kungulukwangala na kilinga,this time akamba festival
@paulinekioko1166Ай бұрын
Wenenevya....ukaninivywa
@stellamarismbithe8337Ай бұрын
Rick Be big up
@annlewa1136Ай бұрын
Kioko you have totally let me down. You should have taught Kasolo a lesson! Tumechoka na yeye😢
@meshmusyoka6449Ай бұрын
This is good🎉
@BejalitoАй бұрын
Kasolomoni ngai niwakukilisye ti kilomo.ndiwa syonthe duniani nikwikwetye
@paulmutuku9254Ай бұрын
Hii Mambo na kick hitawafanya mpate kiboko ya mungu,,sanasana waubiri
@danielkilonzo-gd1zxАй бұрын
Akuna kusameana wamesameana apo coz akuna ata mmoja amesema pole,,,wameinyamazia apo
@kamchinamaggy3464Ай бұрын
Hii ilikua kiki tu but kama mashambiki mna fanya tukosee mungu juu sio kila mtu anawaelewa
@hilarymatheka5048Ай бұрын
Kila rick B weekie mwa ti kiseo...weevuthisye muno
@purityloko9220Ай бұрын
Great ❤❤❤
@NellyMusau-ul8emАй бұрын
That's good🎉🎉🎉
@colletawausiАй бұрын
Kioko na Rick be nimewa unfollow..huyo ni nani mnaongea na yye
@RobertBonyАй бұрын
Aume mekaa au mweeka...👊👊👊
@arbanuskioko1923Ай бұрын
Kasolo avyae mundu mue...no aoe na akaumya ue...
@malaikajabali-oj2fhАй бұрын
If it was kamba festival everyone from kambaland was entitled to be invited and recognised but kasolo kunanga ngoo we have long way to go.
@socyeric5442Ай бұрын
That's why they took alot of tym and energy to advertise it
@silamatheka9208Ай бұрын
Kasolo alifanya hivyo na ndeke, kesho yale matusi ikaanza tena...nyinyi mnachukua sisi fala Sana..
@stephenmichael8943Ай бұрын
Kasolo nimekupenda lakini nyote mlikosea nashukuru pia mmemove
@nancymuendi4768Ай бұрын
I wonder
@nancymuendi4768Ай бұрын
Respect is a two way traffic
@bethelchannel.encounterwit3305Ай бұрын
KASOLO UNASEMA UMEOKOKA. BIBLIA INASEMA SAMEHEHE MARA NGAPI. INATUONYA KUHUSU ULIMI. KWANI UNASOMA GANI. TAFADHALI WATU WAACHE KUCHEZA NA MUNGU. BE HUMBLE. DON'T USE WHAT GOD HAS GIVEN YOU TO ANGER THE LORD. REMEMBER WHERE YOU HAVE COME FROM. PLEASE STOP FORGETTING. YOU SHOULD BE THE ONE TO UNITE PEOPLE NOT TO CAUSE DIVISIONS AMONG PEOPLE. MNATUCHEZEA NYINYI WASANII WA GOSPEL
@AnnaMwivaАй бұрын
Kasolo syokea ngai we baya sana
@joachimmutaiti1475Ай бұрын
Olangai kiki minaa ,, lkn mwi ma power
@maxwellmusauАй бұрын
Nanitwamina 💪💪
@DancanMwendwaАй бұрын
Hii ilikuwa kiki
@josephmusiva9584Ай бұрын
Kweli kabisa Kiki hiki😂😂
@paulinekioko1166Ай бұрын
Mkona wanna nyinyi
@user-wo7yk1lx5zАй бұрын
Rick be ulichoma sna
@chefbrian5116Ай бұрын
that's is how kasolo is
@everlynemumbua1005Ай бұрын
Ata hii usimuinvite
@tabithamulwa3629Ай бұрын
Rick big tell him the truth,kasolo kiburi high level ,kioko si wa level yake,heshimu kioko, better kioko than you ,kioko he has reputation than you kioko isalute ni wewe hunakosewa ,na fortune,ndeke ,myello,kasalo sifa mbaya
@michaelmwendwa9060Ай бұрын
Hand shake🤝
@catherineciada8760Ай бұрын
Siku moja kasolo atanyoroswa juu ya hio mdomo yake kubwa
@charitysamuel8878Ай бұрын
Kioko we love u.. don't trust this mbulikya
@SOLOMONKILONZO-ns5rvАй бұрын
❤❤
@rynkenya3706Ай бұрын
Ebu ni search ya katombi nisenzye ikinya
@munyokimakau.Ай бұрын
Hizo maswali ya rick be imeeda shule,,,,,hakuna kufavour kasolo...at all
@pascalinenzive3639Ай бұрын
Kioko wachana na kasolo
@mwikalimutinda4477Ай бұрын
Haki nyinyi,,kioko ni Roho safi
@catemutaic6374Ай бұрын
Heri ndeke wangu mimi
@christophermusembi4204Ай бұрын
Hle kiki hko ukambani is on another level😂😂
@CEOwamarangi_Thee_PainterАй бұрын
My friend Rick b mnakosea kathongo na ni orphan 😂😂😂😂😂
@Larry_mutavaАй бұрын
Upuuzi tu
@FredrickKyalokimweleАй бұрын
Kasolo you talk much wacha mdomo mingi zeleke we have hauendi mbali
@rodgersmutunga1038Ай бұрын
Spanner wia waku ni museo
@RASHY_016Ай бұрын
Muyiema usyiwa ingi
@MaryNzula-xi2msАй бұрын
Shinda ya kasolo ni marigo
@charanfestoАй бұрын
mnachekesha,lkn kasolo ni politician watakasirisha watu na hawaoni shida
Nacheka na kioko kasolo akisema uliniita mouthious😂😂
@ngitimosuАй бұрын
Mnatuchezea where,bure kabisa wasanii was ukambani
@josephkaesoАй бұрын
Hii ni ya kulazimishwa na haitaeda bali.
@solomonmuli4384Ай бұрын
Alisema mnamshindia kuwa na macho mbili yeye Ako na Moja kaa pikipiki ,but yeye ni kiburi tu itamumaliza kanywa malaa .Kioko be careful with kanywa malaa
@JacksonMutiso-lh1kmАй бұрын
Kila yatima hii Kenya akilia kama kasolo si nchi mzima itageuka kilio
@mulicharlesmuliАй бұрын
Hata kama ni kick!!
@carlosmulinge4997Ай бұрын
Content creators
@isaacwambua7652Ай бұрын
Good but kosolo mdomo yake Aina brakes,atachoma tena
@puriejoseАй бұрын
Sasa yatima na msamaha wapi na wapi??just apologise to kioko msalimiane na hio issue ihishe.
@kyanzavistrikersmunduwawif2739Ай бұрын
Huu ni upuzi,onaku Cha mutwe
@cipriano3040Ай бұрын
Akuna kitu iko apa.......u guys shld be open na msiseme mko na issues....this is acting