No video

ALIYEKUWA M/KITI wa Juma Magoma Tawi la Yanga AWASHA MOTO/ ANATAFUTA KIFO Injinia hawezi KUONDOKA

  Рет қаралды 127,763

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZfaq channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 373
@FaridiMussa-qc2bk
@FaridiMussa-qc2bk Ай бұрын
Hawa ndio wazee wa yanga Gonga like kama umemkubali huyu mzee
@FrankLuhaha-dt5sh
@FrankLuhaha-dt5sh Ай бұрын
Waliomkubaliiiii huyuuu mzeeee gonga like. 😂😂😂😂😂hawa ndo wazeee wa busala tunaooo watakaaa sis
@Majhidymhessa
@Majhidymhessa Ай бұрын
Mimi wa Kwanza
@AshaMwamba
@AshaMwamba Ай бұрын
@@FrankLuhaha-dt5sh mashani yakii pamoja hayakosi kugombana jamànii
@jamilahjamilah4157
@jamilahjamilah4157 Ай бұрын
❤❤
@DeodatusMwawa
@DeodatusMwawa Ай бұрын
Naqubali kaka
@selemanikipembac5686
@selemanikipembac5686 Ай бұрын
Anatak kifo😅😅
@user-vi7ly9zh1q
@user-vi7ly9zh1q Ай бұрын
Yanga oyeeeeeee💚💛💛💛💚mzee wamaana kabisa uyu
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 Ай бұрын
Hoiyeeeee
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
Mnajifariji tuu lkn mumeshindwa kesi subirin kitachotokea
@user-fg8hg9fe1w
@user-fg8hg9fe1w Ай бұрын
Mzee Abdallah sakho una upeo wa mbali sana 🎉🎉🎉🎉 utaishi miaka 100 mzee 😂😂😂😂
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Ай бұрын
Miaka 1000 Kwa Mzee wetu
@user-ip6xg6jx3g
@user-ip6xg6jx3g Ай бұрын
Wewe ni mganga
@ALLYBULULA
@ALLYBULULA Ай бұрын
Hongera mzee upo vyema sana chikia maua uako🎉
@InnocentBoatLake-bq4gk
@InnocentBoatLake-bq4gk Ай бұрын
Mzeee upewe maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉watuache na Yanga yetuuuuuuu❤❤❤
@AllanAthuman
@AllanAthuman Ай бұрын
Mze ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ulindwe na mungu zaid yaa apo ulipo
@user-zx1vk9pr1w
@user-zx1vk9pr1w Ай бұрын
Mzee wamaana kwel huyuuu gonga like hapo 🤣🤣🤣
@mwajumampokileomckapela7541
@mwajumampokileomckapela7541 Ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko button ✅✅✅✅✅
@user-tl1yv6nv9m
@user-tl1yv6nv9m Ай бұрын
Mzeee mngu akujallie unaenda nawakati❤❤❤❤❤❤❤❤
@AlexMbagata
@AlexMbagata Ай бұрын
Busara inapimwa hivi na ujasiri wa kutosha kabisa hongera mzee kwa kwenda na wakati.
@AshphauShomary
@AshphauShomary Ай бұрын
Kumbe wazee wenzake wapo bana Aya magoma mjibu mzee mwenzako Sasa mzeee Asante sanaaaaa nipe nmba zako nikupe gahawaaa
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 Ай бұрын
Good wise Oldman we love you, achia vijana waendeshe gurudum,
@judithtitomalyeta4000
@judithtitomalyeta4000 Ай бұрын
Kweli magoma njaa Kali ana tia aibu Hana watoto wamshauri vijana watapiga
@rubenikambio1718
@rubenikambio1718 Ай бұрын
Asante Mzee umetupa location, asante sana🥺
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Ай бұрын
Eng huyu mzee apewe posho swafiiiii❤❤❤
@selemannyamafu8840
@selemannyamafu8840 Ай бұрын
Nzee mungu akuweke miaka zaidi na zaidi uyo atakua katumwa atuache na furahaa yetu wana Yangq
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 28 күн бұрын
Asante Mzee Umeongea maneno ya Msingi na imetoa Ushauri Sahihi Kwa Juma Magoma.
@BenPeter-vp2cy
@BenPeter-vp2cy Ай бұрын
😂😂😂😂😂 nimecheka sana apo mzee alivyoanza kujibu. Namim nikizeeka ntakua najibu kama mzee apo😂😂😂
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini Ай бұрын
Niwachache wanao zeeka vizur
@hakimundabila7940
@hakimundabila7940 Ай бұрын
Kuzeeka unachukulia rahisi siyo
@SadikBakary
@SadikBakary Ай бұрын
Hawa ndio wazeee wa yanga yetu❤❤ tunakupenda san❤❤
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Ай бұрын
Namba za cm za huyu Mzee apewe kahawa,anabusara sana.lusheni
@slowclimbertothetop4572
@slowclimbertothetop4572 Ай бұрын
Mzee ikimpendeza anywe kahawa mwaka mzima nalipa mimi huku
@abdulrahmanisaid4127
@abdulrahmanisaid4127 Ай бұрын
mzeee wa kwanza anayezeekaa na akili zake❤❤❤❤❤
@titusJulius-zm3lh
@titusJulius-zm3lh Ай бұрын
😂😂😂😂
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Mwendo mdundooooo 💃💃💃 mfukishieni salam mze kasema🎉❤😂
@Agath45
@Agath45 Ай бұрын
Huyo mzee magoma anatafuta kifo cha mapema😂😂
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Ай бұрын
Mzee wa hovyo Sana anataka pakufia , njaa inamsumbua eti wapewe timu na pesa zilizopo 😂😂😂😂 wao wawili waiendeshe timu kweli njaa mbaya Sana! Mara nataka Wana Yanga wamtambue juma magoma kuwa ni nani😂😂
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw Ай бұрын
Walishamzoea Yusuf manji wakimtikisa kidogo anatoa pesa huu sio utawala ule
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc Ай бұрын
Sasa safari hii kaingia chakike, kayatimbaaaaaa😂😂 Sura yake sijui ataiweka wapi, atatembea kwa wasiwasi kuanzia sasa😂😂
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Ай бұрын
😅😅😅
@user-rj5gw2dx7y
@user-rj5gw2dx7y Ай бұрын
Asante mzee wetu kwa busara zako nyingi kwa yanga
@christianjohnmwalugaja8090
@christianjohnmwalugaja8090 Ай бұрын
Kiukweli huyo Juma Magoma anatumika na Simba issue kubwa wanawazuia Yanga kwenda kuweka Bango pale mtaa wa msimbazi
@user-vf5pp2wn1f
@user-vf5pp2wn1f Ай бұрын
Hongela San Mzee wetu nyie ndio wazee wa yanga🎉🎉🎉🎉🎉
@moshielfesty7992
@moshielfesty7992 Ай бұрын
😂😂😂Mzee agiza gahawa bili nitalipa Baba 🎉🎉🎉
@calvintheone299
@calvintheone299 Ай бұрын
Safi mzeee wangu😊
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi Ай бұрын
Mzee kaongea point sana.nakutakia maisha marefu babuyangu🙏
@Maryc2G
@Maryc2G Ай бұрын
Mwenye kiti wa yanga ananguruma. Yanga waleeeeeeee!!!!!!!!.
@perepetuajohn
@perepetuajohn Ай бұрын
Akome kabisaa aiache Yanga yetuuu💚💚💚💚💛💛💛
@HawaAlznezbar
@HawaAlznezbar Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂safiii san baba semaa semaa daima mbelee nyuma mwikooo
@khamiskhan-m8m
@khamiskhan-m8m Ай бұрын
Babu mwambieh mangoma atuachie yng yetuu😂😂😂😂😂
@user-cc8le8bx5s
@user-cc8le8bx5s Ай бұрын
Kweli babaangu jinaskujui munguakubaliki
@djmuketztv
@djmuketztv Ай бұрын
Uyu mzee ni noma😅😅😅
@mohamedyk1163
@mohamedyk1163 Ай бұрын
Huyu mzee katisha sana yani ni🔥🔥💥
@user-ed4wh9ln9q
@user-ed4wh9ln9q Ай бұрын
Mzee safi Sana engineer abaki
@user-ds9gp5ew6h
@user-ds9gp5ew6h Ай бұрын
Mm nashindwa kuelewa yeye nani mpaka aanze kutusumbua mda huu wakati timu imetulia au sisi Tanzania tumelogwa?
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Tatizo ssi watanzania ni watu ambao hatupendi challenge ndo maana ht mtt akijenga mtaani badala wampe motisha wanamroga ili wengine washindwe ndo kma mpira badala ya kuzipa sapoti timu ili zilete ushindani wao wanawaza kudidimiza na ndo mana tunashindwa kuendelea ht kitaifa
@MosesKameka-z8o
@MosesKameka-z8o Ай бұрын
Mzee uko vizuli
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct Ай бұрын
Point mzee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx Ай бұрын
Aende kwa madunduka ndio kwa fujo sisi tupo kwetu KENYA lkn titakuja kufanya mandamano huko mumtoe magoma aende burundi
@edmundhenrykagimbo9776
@edmundhenrykagimbo9776 Ай бұрын
Wow! Mzee Abdallah Sako yupo vizuri mno! 👏👏👏!
@augustinoflavian1738
@augustinoflavian1738 Ай бұрын
Mzee wa maana kabisa huyu
@josephmwangita7041
@josephmwangita7041 Ай бұрын
Safi sana Mzee wetu wakina ubwela fc hapo wanaumia sana
@James-sz4ec
@James-sz4ec Ай бұрын
Mzee tumekuelewa taja namba yako tufanye miamala
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Ай бұрын
Sanaaaa
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 Ай бұрын
Ana staili kweli😂😂😂
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 Ай бұрын
Wazee wanaojielewa kma hawa wapo wachache sana
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Ай бұрын
Huyo magoma mshamba sana na walomtuma hao wotee
@H3s4d
@H3s4d Ай бұрын
Nimesema. Hiyo. Ni. Njaa. Mzee. Nimekuamini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 Ай бұрын
Mzee kunywa kahawa chupambili nakuja lipa😂
@kakamau0384
@kakamau0384 Ай бұрын
Yanga yangu mbele tu nyuma aaahh 😂😂
@user-wg2vl1rh4l
@user-wg2vl1rh4l Ай бұрын
Hizi ndo kauli anazotakiwa apewe mshamba Magoma .MPE BABA 56.10 ISAYA.
@user-cq4ct1lv9k
@user-cq4ct1lv9k Ай бұрын
Mzeee safisana ameangea vizuri sana
@FaustinaMkama
@FaustinaMkama Ай бұрын
Tuma namba Yako mzee.tumimine muhamara
@charlespeternsangano9219
@charlespeternsangano9219 Ай бұрын
Safi mzeee
@FidesWillbard
@FidesWillbard Ай бұрын
Yangaaaa weeee watafte watu wakushindana nao so yangaaaa
@samsitinasamweli
@samsitinasamweli Ай бұрын
Hivi huyo mzee anakili timamu anakumbuka tunapotoka
@user-fw9gr8tw6b
@user-fw9gr8tw6b Ай бұрын
Mzee anakitu asikilizwe mtu wamana kbs huyu 👏👏👏
@WestonSamwelly1
@WestonSamwelly1 Ай бұрын
Yup Sawa mzee
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 Ай бұрын
Hao wazee itabidi tuanze kuwatafuta kimya kimya
@Theopithmachali
@Theopithmachali Ай бұрын
Safi Sana babu
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu Ай бұрын
Yanga bingwa tena
@DoreenTesha-kk2kw
@DoreenTesha-kk2kw Ай бұрын
Mtu wa maana kabisa👏
@user-kr2zi7du7y
@user-kr2zi7du7y Ай бұрын
😅 mitano tena 🔥🔥🙌
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 Ай бұрын
Mm smbaa lakini watuzeni chochote kama zawadi hawa wazee mii ni mtu wa burudani bwana naumia nikifungwa ila sio chuki za kichawi mpira starehe sasa kurudi ulikotoka starehe tutazipata wapi nambea tu timu yangu pendwaa simba Allah aipe mafanikio iwe zamu yetu kucheka kiroho safi
@MohamedSharafi-w7q
@MohamedSharafi-w7q Ай бұрын
Huyo magoma kama hana kazi aje newla tumpe mikorosho apulize atuachie yanga yetu
@user-mw7ky4wd3q
@user-mw7ky4wd3q Ай бұрын
Nzee uko sawaaa
@user-gs2cr1xc8c
@user-gs2cr1xc8c Ай бұрын
Salute mzee
@mudricabuy3309
@mudricabuy3309 Ай бұрын
Ankari bin Ansu 😂😂😂
@AliveGiant
@AliveGiant Ай бұрын
Mzeee wa maaana kabisa huyu
@kaminambeho
@kaminambeho Ай бұрын
Huyu mzee ningepata namba yake ningemtumia hela ya kahawa
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o Ай бұрын
Tunamuomba Mwenyezi Mungu tushinde huu mtafaruku
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Ай бұрын
Mambo haya wayapeleke Kwa MAKOLO.....sio YANGA, ukilizua ujue utabaki mwenyewe.. Magoma njaa tu' inamsumbua
@fazo-kl9fu
@fazo-kl9fu Ай бұрын
Asante sana mzeee wetu unazewka na uelewa wako
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 Ай бұрын
Huyu Asomewe Hasbillah Waneemalwakiyl Makolo Wanataka kutuondolea Raha ila Tutamuweka Chini Muweche Kama Kachoka Kaaa..
@BarakaJoseph-es7tx
@BarakaJoseph-es7tx Ай бұрын
Tuma namba Mzee tuweke pesa
@abdaa800
@abdaa800 Ай бұрын
😂mpe kahawa mzee anywe
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Umenena kweli Baba yangu Mungu akulinde
@JoviceEustad-vv1hl
@JoviceEustad-vv1hl Ай бұрын
Engineer hersi tafuta na kadi ya ccm ugombee uraisi wa nchi tunakupa
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s Ай бұрын
Kwenye urais wa nchi badoo sana
@seciliamchalo5627
@seciliamchalo5627 Ай бұрын
​@@user-jj7qv7kh2smmh!
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 Ай бұрын
😂😂😂😂mitano tena
@stevenmichael9264
@stevenmichael9264 Ай бұрын
W jamaa ww, kolozdad wakikusikia me sihusiki
@FadhiliMkisi
@FadhiliMkisi Ай бұрын
Safi mzeee wangu naninataaka afeee kwer
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Juma magoma kweli anataka kifo
@IsaKinyonga
@IsaKinyonga Ай бұрын
tazipataje namba za huyu Mzee wamaana sana
@TanzanianTanzanian-p1q
@TanzanianTanzanian-p1q Ай бұрын
Kweli mzee
@ramadhannjolesti
@ramadhannjolesti Ай бұрын
Mzee cc wananchi tumekuelewa tuma namba yako tufanye miamara💚💛💪💪😄😄😄
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 Ай бұрын
Mashaallah
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 Ай бұрын
Eti wazee wa yanga hata hiyo mahakama ni wapumbavu tu wanasikiliza watu wamechoka maisha wanajitafutia umaarufi
@Adrianolaurian
@Adrianolaurian Ай бұрын
Safi sana🎉
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 22 күн бұрын
Uyo magoma ana njaaaa sanaaaaaaa😂😂😂😂😂😂
@user-wu2du6jy5c
@user-wu2du6jy5c Ай бұрын
Mzee unasema ukweli nikuatalisha maisha
@olgasalmus44
@olgasalmus44 Ай бұрын
Mzee nimekupenda Bure wambile wasikile.
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 Ай бұрын
Axante Mzee wetu tutampoteza sisi asituletee ujinga wake wanayanga 😂😂
@patridabernard9148
@patridabernard9148 Ай бұрын
Magoma apelekwe mirembe Kwa check up na watoto zake
@gloriaburamu8818
@gloriaburamu8818 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nakupenda Babu
@MtashobyaJosia-wt9jq
@MtashobyaJosia-wt9jq Ай бұрын
Mtashobya josia nikiwa Kenya atari kweri magoma njaa itampereka pabaya
@samsitinasamweli
@samsitinasamweli Ай бұрын
Haowazee wasituchanganye timu yao ama hawajui wamezeeka wachie ngazi
@suleimansalum4049
@suleimansalum4049 Ай бұрын
Huyu mzee mtu wa maana kabisa❤❤❤
@PriscaBenjamin-ub7lu
@PriscaBenjamin-ub7lu Ай бұрын
❤Mzee uko vuzuri Sana 👐
@yonaantony
@yonaantony Ай бұрын
Mzee unatosha ❤❤❤❤❤😢😢
@BonMaro
@BonMaro Ай бұрын
Mzeee kasema mi naakili timamu na ujingastaki zhen why whypendaa sanaaa mzee wangu
@lodricksengo9197
@lodricksengo9197 Ай бұрын
Muzee uko sawa kabisa awachie vijjana kamahana kazi atafute kazi yakufanya
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 16 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
Can This Bubble Save My Life? 😱
00:55
Topper Guild
Рет қаралды 84 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 70 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 9 МЛН