No video

HAMISA MOBETTO Afunguka Nilimwambia AZIZ KI Abaki YANGA/NI WAPENZI?/Ashikwa KIGUGUMIZI

  Рет қаралды 75,502

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

_________________________________________________________________________________
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZfaq channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
_________________________________________________________________________________
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

Пікірлер: 71
@filbertntibasiga8093
@filbertntibasiga8093 Ай бұрын
Tungekuwa na wadada wenye kujielewa kama hamisa tungeona mengi mfano Arusha wazungu Kila kukicha wako pale wadada wa kimeru wamebaki kushangaa tu chukueni fursa
@free2tree
@free2tree Ай бұрын
boya sana we jamaa waache dada zetu
@masumbukomaganga438
@masumbukomaganga438 Ай бұрын
Etie ndugu zanguni katika imani daah mobeto bwana uishi maisha marefu zaidi dada yangu katika imani
@MuntuwimanaYona
@MuntuwimanaYona Ай бұрын
Wasimcukie hamisa mobetto Kwa sababu nitajiri mwenye uwezo anapambana kingine capiri , kama amempenda mobeto azizi k mapenzi yapo Dunia nzima msiwe na wivu kama nayeye azizi k amempenda fresh mobeto mzuri sana
@ObedyMollel-w8g
@ObedyMollel-w8g Ай бұрын
Very good hamisa mobeto
@GraceMbulu-rp8ko
@GraceMbulu-rp8ko Ай бұрын
Kazi nzuri mobeto nakupenda❤❤❤❤
@SalmaShilla-c1t
@SalmaShilla-c1t 19 күн бұрын
Nampenda huyu dada jmn
@user-bu9wj5pi3t
@user-bu9wj5pi3t Ай бұрын
Really hamisa
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 Ай бұрын
Hongera sana Misa ,umeweza kuonyesha njia kuwa ukimtegemea Mungu na ukafanya kazi kwa bidii kila kitu kinawezekana.
@McmnagoLikoko
@McmnagoLikoko 26 күн бұрын
Kaz gani kujiuza au
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 26 күн бұрын
@@McmnagoLikoko acha makasiriko ndg yangu tafuta hela ,kama virahisi ,ingia kujiuza nawe.
@AyshaTt-zp7yu
@AyshaTt-zp7yu Ай бұрын
Ongela.sana.kipenzi.❤❤❤❤❤
@KelvinMwawite
@KelvinMwawite 22 күн бұрын
Kwakweli huyo shemeji yetu mobeto ashukuliwe kwaku muambia azz k abaku yangaa
@devotabashome1090
@devotabashome1090 Ай бұрын
Aziz kabaki kwa mapenzi ya yanga na mashabiki zake
@ramadhanimurid6238
@ramadhanimurid6238 Ай бұрын
Furaha ni bora kuliko pesa wangap wana hela lakin hawana furaha aziz k kachagua furaha sio hela
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 Ай бұрын
We thank you
@KelvinMwawite
@KelvinMwawite 22 күн бұрын
Yaaah nikweli ❤ yangaa
@ADELADamus
@ADELADamus Ай бұрын
🎉🎉Viziri Sana
@rachellukosi8860
@rachellukosi8860 Ай бұрын
Hatakama kabaki kwaajiri ya mwanamke inakuusu Nini 😂😂 ss ndo yanga bwana
@JumaMusa-q4y
@JumaMusa-q4y Ай бұрын
Azzi ki anapenda furah kuliko pesa ila nampongeza sana
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv Ай бұрын
well done dada
@musamusa6213
@musamusa6213 Ай бұрын
Bgp sana hamisa
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Ай бұрын
Yaani mahojiano yote yalilenga kwa Azizi
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Ай бұрын
Ni marafiki wa kawaid tuu General or normal friends ambayo haiko na shida
@Mercy_Lifestyle254
@Mercy_Lifestyle254 Ай бұрын
I just love her
@HamadMussa-rf3df
@HamadMussa-rf3df 3 сағат бұрын
Tuna omba kazi dada
@MpelwaMakolo
@MpelwaMakolo 11 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@user-pb6mt3wx4z
@user-pb6mt3wx4z Ай бұрын
❤❤❤❤
@RukiaHaji-m8h
@RukiaHaji-m8h 15 күн бұрын
❤❤❤
@ZamyIsmaily
@ZamyIsmaily 10 күн бұрын
Ilo gauni si ndo jenzi ya yangaaa
@NaomySamwel
@NaomySamwel Ай бұрын
Kyaaaaaaaaa
@anoldkapinga758
@anoldkapinga758 Ай бұрын
Acheni majungu yy kaamua kubaki hapa km ww unavyoamua kufanya yako, najua huu ni usimba na unajua uwezo wake, tusubir tar 8 dawa iwaingie
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu Ай бұрын
Waandishi wa bongo wambea sana 😂😂😂😂😂
@Mercy_Lifestyle254
@Mercy_Lifestyle254 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@RukiaHaji-m8h
@RukiaHaji-m8h 15 күн бұрын
Mmh
@user-un7eg3sc6d
@user-un7eg3sc6d Ай бұрын
Ukosahihi mobeto
@user-un7eg3sc6d
@user-un7eg3sc6d Ай бұрын
Nimependa majibuyako kabisaa
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 Ай бұрын
Kazi kwanza mapenz baadae
@Reyy2406
@Reyy2406 Ай бұрын
Hadi na mimi nimecheka 😂😂
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini Ай бұрын
Wandishi hawawezi achamtu salama😂😂
@johnlyimo5971
@johnlyimo5971 Ай бұрын
❤😂❤
@Mrsule255
@Mrsule255 Ай бұрын
406 subscribers 🎉🎉🎉🎉🎉🎉👏🙏...!!! Let's go!!
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku Ай бұрын
Duuu 😮😮
@AsiaNgoleka
@AsiaNgoleka 29 күн бұрын
Hamisa ni timu Gani anaishabikia? Tupe jibu tukutadhimini
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 Ай бұрын
Niwajulishe tuu kwamba Aziz ana project maalumu na yanga Kubakiza kombe la africa kwa mara ya kwanza apa kwetu Tanzania Ongeen mumalize ila kilichomubakiza ni hiyo.project
@drgeofreykupaza7707
@drgeofreykupaza7707 Ай бұрын
KIBETO RELATIONSHIP
@user-bx5tv4sr9m
@user-bx5tv4sr9m Ай бұрын
Waandishi ! Ulizeni maswali ya msingi. Try to be proffessional
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 Ай бұрын
Huyo sio mchezaji mpira ni malaya tuuu 😂😂😂😂
@ashaali7154
@ashaali7154 13 күн бұрын
Malaya kama wewe? Inaonekana munafanya wote huo umalaya ndio maana ukamjua kama yeye ni malaya mwenzio au sio?
@AziziHasani
@AziziHasani Ай бұрын
Ucje mbemenda tuu akashindwa kucheza
@georgegregory8414
@georgegregory8414 Ай бұрын
Aziz anaipenda yanga Amisa wewe unataguta kiki tu buna jipya
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Yaani aziz ki shetani wake kakataa hela alizopewa club kubwa kachagua kubaki hapa kwa ajili ya MWANAMKE kweli 😅.. Si angeenda huko kwenye hela nyingi akawa anatuma tiketi ya ndege kila wiki anakutana na ampendae huku pesa ndefu inaingia..
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he
@SmilingBirdwingButterfly-yq3he Ай бұрын
Kuna mapenzi ya timu, kuna mapenzi ya mama alafu Kuna mapenzi ya mrembo hapo so muache afuate mapenzi ya moyo wake
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
@@SmilingBirdwingButterfly-yq3he ini rahisi na furaha kulizungumzia hili.. Ila mimi ningependa yeyote kwenye huu mjadala avae undugu na aziz ki.. Pesa huleta mapenzi inasikitisha kuacha pesa kufuata mapenzi ambayo hata angekuwa popote angepata kwa sababu pesa ya kutosha kumsafirisha yeyote ampendae ingeongezeka mara dufu.. 🤭🤭.. Anyways we think differently.. Usiku mwema 👍
@HappyKitindi
@HappyKitindi Ай бұрын
Mobeto mjanja sana, kagundua akienda nje hatapata ticket atapata akina mobeto wengine 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@boazygodfrey9371
@boazygodfrey9371 Ай бұрын
Basi Tu Sina Hela Ila MOBETO Nakupenda Sana
@MmandaNicetas
@MmandaNicetas Ай бұрын
❤❤❤❤❤​@@rexgodwill7353
@josephinegeen9557
@josephinegeen9557 Ай бұрын
Who is she not even Beautiful she has chinese eyes.
@samjm7330
@samjm7330 Ай бұрын
Can you compare yourself to her?
@HappyKitindi
@HappyKitindi Ай бұрын
Bring ua picture to us, so we can compare u with mobeto who is beauty 😂😂😂😂😂😂😂
@alexbayingana7879
@alexbayingana7879 Ай бұрын
I think the beauty of a lady its her heart not face I love her she such lady kila mwanaume mwenye kujitambua angetamani kua naye,
@ashaali7154
@ashaali7154 13 күн бұрын
Jealous will kill you faster Josephine take care.😅
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 10 МЛН
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 42 МЛН
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 36 МЛН
MWIJAKU AMLIPUA HAMISA MOBETTO, KUTEMBEA NA AZIZI K NI UPUUZI
11:42
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 41 МЛН