#Ripoti

  Рет қаралды 22,073

ITV Tanzania

ITV Tanzania

2 жыл бұрын

Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our KZfaq Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Пікірлер: 269
@share966.like.subscribe
@share966.like.subscribe 2 жыл бұрын
ITV ITV ITV ITV ITV ITV mara mia mungu awabariki sana sana sana sana na ripoti maalum hii ilinitamanisha sana nipate nafasi ya kuwafanyia kitu kibaya Qnet na wengine ambao siwataji
@josef_rodrick4981
@josef_rodrick4981 2 жыл бұрын
Hongera dada Jacline kwa ripoti nzuri. Nakuomba uende kuwahoji TRA, brela kuhusu uelewa wao na hii kampuni kwasabb sio mara ya kwanza hii kampuni kuleta shida hapa nchini. Mh. Sabaya alihangaika nayo sana kule wilayani Hai. Hizi kampuni ziko nyingi sana kuna moja iniitwa WECARE imeshaifanya hivo sana hapa Tz. Na hizo campuni ni za wahindi na wanigeria.....
@emmanuelmwesongo7177
@emmanuelmwesongo7177 2 жыл бұрын
Nashukuru sijaona mtu yeyote wa morogoro alietapeliwa na huu ujinga
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 2 жыл бұрын
30:56
@linetkhaemba1029
@linetkhaemba1029 2 жыл бұрын
Watazania ni vichwa ngumu sana. Yani ni kitu kimeonekana ila wanakana. Kweli hawa😂😂😂😂watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gracestewart440
@gracestewart440 2 жыл бұрын
Bwana Hawa watu cyo wazima 😂😂😂 nimecheka sana leo.
@zuwenamillanzi5424
@zuwenamillanzi5424 2 жыл бұрын
Daaah!! Mie imenigharimu miaka 4 kutafuta 5M iniipeleke law school alafu hawa bongo zao zipoje!?
@universenurity776
@universenurity776 2 жыл бұрын
Kumbe hii nchi ina hela.. Yan watu wanatoa milion 5 kama karanga
@husseinibnuhassan1272
@husseinibnuhassan1272 2 жыл бұрын
Wajuba wamekula suti wanalala kwenye viti wanaamini utajiri hewa dah hii nchi sijui nabii gani aje kutuombea kwa Mungu
@fadhililusingu4071
@fadhililusingu4071 2 жыл бұрын
Ameagiza kiwanja??😂😃
@petromwakaseghe9534
@petromwakaseghe9534 2 жыл бұрын
Daaaaah qnet good morning billionaire hata mimi niliponea kwenye tundu la sindano kutapeliwa
@dayanatesha3114
@dayanatesha3114 2 жыл бұрын
Dahh 😭😭 hizo hela zao wangejiajiri wenyewe tu wangefika mbali jmn 😥😥mungu awasaidie tu jmn maybe hawajui walitendalo ...tuwaombee 😩😩
@abeljoshua3761
@abeljoshua3761 2 жыл бұрын
Daah awa jamaa sio bure kuna kitu kwnye akili zao akipo sawa🤣🤣🤣🤣🤣
@mouddyibrahim68
@mouddyibrahim68 2 жыл бұрын
Hongereni sana ITV👏👏
@jollywilson9938
@jollywilson9938 2 жыл бұрын
Wengi wao hapa ni kutok kijijini hawana uelewa wakutosha kuhusu biashara za mtandaoni hapo wengine wamekopa fedha nadhani wengine wameshirikisha wazaz wameuza mashamba pesa imetolewa na hakuna manufaa🙌🙌
@claudiuszebedayo3414
@claudiuszebedayo3414 2 жыл бұрын
Duuuh, asee mafanikio yana safari ndefu! Imani waliyonayo ni ya kipekee! Yaani utajiri ungekuwa kwa njia hiyo Tanzania tungekuwa matajiri
@lazaroletion2420
@lazaroletion2420 2 жыл бұрын
Vijana madini imewaingia haswaa, kama vile wamepuliziwa kukubali ujinga 😅😅, Kukubali umekosea sio dhambi
@yohananelsonmusic7207
@yohananelsonmusic7207 2 жыл бұрын
Kunakampuni lingine lipo hapa Simiyu jaman. Vijana hawa nawahurumia. Wanaishi maisha ya shida mno
@halidimbaraka5841
@halidimbaraka5841 2 жыл бұрын
Hii si hali ya kawaida wanahitaji maombi aisee hawa watu hawako vizuri kichwani kabisaaa
@lasudnuru4982
@lasudnuru4982 2 жыл бұрын
Nliitwa nikaambiwa hizo hela ila salamu yao tu “Good morning billionaire ” na ilikuwa mchana nikajua hamna cha maana
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 566 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Asubuhi, .. Agosti 07, 2024
26:07
ITV Tanzania
Рет қаралды 1,6 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 17 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 55 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Why Protesters Flew Russian Flag In Northern Nigeria - Falana
28:18
Channels Television
Рет қаралды 78 М.
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, Agosti  06, 2024
1:00:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 21 М.
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:21
BBC News Swahili
Рет қаралды 37 М.
Duniani leo June 5, 2019
30:00
VOA Swahili
Рет қаралды 10 М.
أذكار الصباح بصوت الشيخ العفاسي | Morning Athkar | Les invocations du matin
23:25
LIVE | TAARIFA YA HABARI AZAM TV  -  JUMANNE 30/03/2021
1:03:45
Tundu Lissu azungumzia kikao chake na Rais Samia Suluhu wa Tanzania
3:34
BBC News Swahili
Рет қаралды 233 М.
#RIPOTIMAALUMU:Unywaji Pombe Rombo na Athari Zake.
52:51
ITV Tanzania
Рет қаралды 21 М.
DC mwingine aiwashia moto kampuni ya Q-NET “mmelogwa”
11:25
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 7 М.
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,5 МЛН