Nasubiri Kwa hamu kesho, awe tuu mjamzito tena mapacha, Mungu tuu amponye asikufe ,kumenoga balaa
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
jamni iwe hivo..tusije skia ni heart attack kisha ndo mambo mengine tena jmni
@hildapeter5385 Жыл бұрын
Anaded mama jamani uwiiii bon atalia nyie ila atamuacha pazur
@saleemadhiyabalkhatri7800 Жыл бұрын
@@hildapeter5385 ndio bora awahi kumuandikia kila kitu kabla hajarudisha namba na akifariki mara kaka atasema hizo mali ni shearing mara boniface atatimliwa kaka anaroho ya korosho
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Oyaaa leo wa kwanza
@tinnahagustinolyelu4247 Жыл бұрын
Mungu ana njia zake jamani
@sporamushi2339 Жыл бұрын
Hawa watu wa kukana ndugu zao wapo ukishafanikiwa anakukumbatia na kukutanbulisha Kwa Kila mtu hii na express nayo hii
@beatricemsele4844 Жыл бұрын
Tuishi Kwa kumuamini Mungu jmni 😅😅😅😅 nachekaaa kimasaiii
@shamirasongati3906 Жыл бұрын
Ee hivi ndio tunapenda,atleast imewahi
@NeppoMbezi-py9le Жыл бұрын
Huyu mama alikuwa malaika ambae amemkonect bon na Kaka yake kisha yeye akaondoka ni naomba bon akapime Tena afya uenda akuathirika.apumzike kwa amani mama mwema.
@williammushi4674 Жыл бұрын
Mc safari the BIGGER mc in no one
@shuudewizzygal8435 Жыл бұрын
Kaka ake alkuwa na roho mbaya pro max🌚
@hildapeter5385 Жыл бұрын
Bon mkeo kipenz anakufa anakuachua utajiri ila pole kwa kuondokewa na kipenzi chako
@RahabuRichard-ex7sp Жыл бұрын
Acha kumchulia bana
@MarryFrank-bc4lr Жыл бұрын
Uliambiwa amekufa khaaa🙄🙄
@sesiliamally2295 Жыл бұрын
Thankx
@elizabethsilumbe6615 Жыл бұрын
Du namombea uyo mama maisha 100
@winfridakaaya2758 Жыл бұрын
Daah maishaa haya kwelii unakana familia kisa masikini daaah
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Wa kwanza 8:46
@francymutua7022 Жыл бұрын
Huyu Bon Natakia mema tu
@jedidahbintidaudi8241 Жыл бұрын
jmni Veronica usije ukaikatiza simulizi hii..ebu endeleza mpaka wiki ijayo jmni
@zeramohamed9672 Жыл бұрын
Nahuyo nduguye sijui atajitambulisha
@emmanuelpaul5704 Жыл бұрын
Hii simulizi imenifunza sana
@naimamalekela812 Жыл бұрын
dada unavyo adithia hd raha mana nataman ht nimuone huyo bon😃
@naimamalekela812 Жыл бұрын
dada Veronica ahsante
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Nimesubiria kweli yani
@hopendimbo4184 Жыл бұрын
Kwamiujiza ya mungu bibi kapata ujauzito😂😂
@doricehungu5817 Жыл бұрын
Na mm nawaza hivyo Hope jamani Mungu amsaidie
@janethkomba4485 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jacklinemshana587 Жыл бұрын
Hilo nalo neno
@rehemamoyo4182 Жыл бұрын
Ata mimi nimewaza ivyo
@marialuvinga867 Жыл бұрын
Sa kapataje wakat wanatumia kinga au wameacha😂😂😂😂
@jacklinegodifrey8607 Жыл бұрын
Kaka ako vipi hajakuona kweli
@williammushi4674 Жыл бұрын
Top mc in town mc safari
@fhfbfcvcgfggf6844 Жыл бұрын
Nyie maisha haya
@user-br1yr5me7i Жыл бұрын
Pamefika pazur❤
@user-hl2kn6si2i Жыл бұрын
Hakika Dunia ni duara
@DevothaKibiki-gn2ny Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣et nilivuonyoa Nimecheka kwa Sauti
@williammushi4674 Жыл бұрын
Kwakwel mapenz ni upofu its not about Age
@user-lx2un9eh2u Жыл бұрын
Veronica nice
@fatimahasin2041 Жыл бұрын
❤ one love da vero
@hopendimbo4184 Жыл бұрын
Nandomaana baada ya kuluka presha ikapanda
@janethsadock4559 Жыл бұрын
Mimba hiyo,naomba iwe hivyo
@drvidah7030 Жыл бұрын
Hakika Mungu yupo
@winfridakaaya2758 Жыл бұрын
Jamaniii
@anithahalicy2715 Жыл бұрын
Tupo kabisa
@suzanmwaseba997 Жыл бұрын
Hivi ndo imeisha
@khorima Жыл бұрын
To be poor is a crime. A very bad point of view. Usiwatupe ndugu kwa ajili ya Umaskini.,
@sesiliamally2295 Жыл бұрын
❤
@latifahamis7487 Жыл бұрын
❤❤
@mvfff7224 Жыл бұрын
Jaman mama ni nini sasa😢
@rehematawalani733 Жыл бұрын
HASANTEEE
@zeramohamed9672 Жыл бұрын
Mama naona atakufa
@naomipeter8093 Жыл бұрын
Kuna coment mkitoa mkumbuke siyo movie jmnii😂😂huenda na wao wsnaona😂😂😂😂
@veronicajanuary8583 Жыл бұрын
Stki iishe jomon big up wa jina tufanyaje wengine wasikilize kazi ako kipenz
@JaneLunguli-fd1mu Жыл бұрын
Jamaani niwe mkweli tu bonifance baadae atalia tu huyu mama sina imani nae hata kidogo kwanzia huo ugonjwa na mambo mengine
@ireneherman76 Жыл бұрын
Kisa nini na wewe😂
@maryumamapunda8910 Жыл бұрын
@@ireneherman76 😂😂😂
@hildapeter5385 Жыл бұрын
Kwa taarifa yako tu watazaa na watoto mapacha habar ndyo hyo