A Swahili Bongo movie starring; Ngoma Nagwa, Kasambala One, Vaileth Frank Movie title - Chawa Aforevo ID - D21yFeuw2y #bongomovies #swahilimovies #mozambiquehere
Пікірлер: 31
@MwombeGotifilidaАй бұрын
Nakupenda sana mwaaaaaaa
@salhashaban93462 ай бұрын
Jamn daa vai hujawah kukoxea nakpndaga mwenzio ❤❤
@MwombeGotifilidaАй бұрын
Vailet jamn nakupenda
@aumasusan-gw9gq7 ай бұрын
Vai ni ww umefanya nko apa❤❤❤❤
@user-jf9pt8bu5j Жыл бұрын
Wa kwanza
@user-uz5hk4jz3x9 ай бұрын
Vai muda mrefu sana big up
@aishaabdulla1669 ай бұрын
Nimeona picha yako laylat ndo Nika fungua hii movie ❤❤❤
@minanietienne-sz8xu9 ай бұрын
Keep up guys lekker movie
@robertkitsao4 ай бұрын
Vai💪
@user-jl3ck5mf8p11 ай бұрын
Uma wa chai duh hii kali😂😂😂😂😂
@mashudimwakuphamashudimwak758411 ай бұрын
Kali,kweli,sikupima,😅😅
@bramwelmunialo5075 Жыл бұрын
Good work
@fatmajilo151311 ай бұрын
Kazi nziri
@user-ko4tl9tj5t7 ай бұрын
Nimeona picha yako vai ndonikafungua hii movier
@Zainab_salat10 ай бұрын
Vai wa kicheche😂😂😂😂 ninakuona
@user-jg7we5mt4i9 ай бұрын
Nimeona picha yako Vai ndonikaifunguwa hiyi movie
@EventFaustin-xo4wz7 ай бұрын
Uwajeku we did
@user-ck9mc8sr5r9 ай бұрын
Waoo Vai siku myingi Bira kukuona jamani dada angu love you ❤❤❤
@user-jg7we5mt4i9 ай бұрын
Nakupenda wangu Vai❤❤
@kipkosgeymurrey175311 ай бұрын
Good job
@AidaLokwawi-hr4ix9 ай бұрын
Wow
@user-iq5xs7si5k8 ай бұрын
❤❤
@RuccasRuccas-rt3bg11 ай бұрын
Uchawa una faida
@user-sd3co3cw6w10 ай бұрын
Zarina❤
@saidahmed9688 Жыл бұрын
good movie
@nkurikiyearodiedavid62559 ай бұрын
Eti mama Katutoa uchumi wa kati na kutuweka uchumi wa pembeni🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@shamsiyasalim68667 ай бұрын
Wewe adamu hiyo movie uliyo cheza ni movie abayo itakufunza wewe mwenyewe wacha Tama za Mali za watu huyo si wema hata kidogo umesitiriwa we na make hayo ndio malipo kwa dada wawatu?kumuwa!
@NasonNyagenda11 ай бұрын
Kumekua na filamu nyingi ambazo hazina hadithi wala maneno yenye kuvutia Yani ni mradi tu watu waigize Muhimu filamu iwe na hadithi ambayo inamvutia mtazamaji Iwe na maneno ambayo yamepangika na iwe na elimu burudani ña mafunzo tofauti Lakini unatazama filamu ili mradi tu haina kila kitu Kama filamu hii mm sijaona kitu cha kueleweka kabisa