Рет қаралды 144,848
Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
1. Roho Mtakatifu, Kiongozi animi;
Utushike mkono Tulio wasafiri;
Utupe kusikia Sauti ya upole:
“Msafiri fuata, Naongoza nyambani.
2. Wewe ndiwe rafiki, Msaada karibu;
Tusiache Shakani; Na tukiwa gizani
Utupe kusikia Sauti ya upole:
“Msafiri fuata, Naongoza nyambani.
3. Siku zetu za ka zi, Zikiwa Zimekwisha,
Wala hatuna tamaa Ila mbingu na sala:
Utupe kusikia Sauti ya upole:
“Msafiri fuata, Naongoza nyambani.