ROHO YA UTULIVU (THE SPIRIT OF CALMNESS)

  Рет қаралды 424,099

Pastor Tony Kapola

Pastor Tony Kapola

3 жыл бұрын

ISAYA 30:15
[15]Kwa maana Bwana MUNGU, Mtakatifu wa Israeli, asema hivi, Kwa kurudi na kustarehe mtaokolewa; nguvu zenu zitakuwa katika kutulia na kutumaini; lakini hamkukubali.
#KutuliaNaKutumaini
#SpiritOfCalmnessByPastorTony
#KurudiNaKustareheNiUamuziTu

Пікірлер: 510
@MsChocoFlava
@MsChocoFlava Жыл бұрын
This man he is not only a PASTOR but he is a TEACHER, Yani ni kiongozi wa viongozi nacho mpendea ni ukweli wake the way anavyo preach Hata kama shetani yuko ndani yako lazima utatega sikio na kumsikia maana mahubiri yake yana mifano mingi sana MUNGU AZIDI KUMBARIKI
@rahimfeka6276
@rahimfeka6276 Жыл бұрын
Kaka mimi Naitwa Rahim mimi ni Muslim lakini ndugu yangu nakufatilia sanaaa nakubali sana speech zako tunaitaji watu zaidi kama wew
@lexiennaturals8366
@lexiennaturals8366 3 жыл бұрын
This pastor will be known all over the world in 5years to come.. When you teach the word of God Jesus draws people to you... Haya mafundisho ni deliverance tosha... Dunia inataka mafundisho haya... Mungu apanue mipaka ya hii huduma.. Receive love from kenya
@vilancelumala7049
@vilancelumala7049 3 жыл бұрын
Ukweli
@jicholafursa7058
@jicholafursa7058 3 жыл бұрын
Sure your prophet
@MWAMARUNGUTV
@MWAMARUNGUTV 3 жыл бұрын
Hapo kweli. Glory to God 🙏.
@godiasjohn2915
@godiasjohn2915 3 жыл бұрын
Kabisa
@defenceumazi8047
@defenceumazi8047 3 жыл бұрын
Amen powerful words
@iannimrod2834
@iannimrod2834 Жыл бұрын
Unafariji,unabariki,unafundisha na kuelimisha pia.....ubarikiwe katika huduma pamoja na familia yako
@user-pj7zj4po1b
@user-pj7zj4po1b 11 ай бұрын
Ubarikiwe San mtumishi wa my Mungu unanipa tumaini San god bless you ❤️❤️
@AliciaJonas-gu8ho
@AliciaJonas-gu8ho Ай бұрын
Amina baba namshukiru MUNGU nina moyo wa utulivu❤❤
@CandyVois
@CandyVois 2 ай бұрын
Upo na roh mtakatifu kabisaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤umenipo somo kabisa na linanius kabisa
@neemakanigi1390
@neemakanigi1390 8 ай бұрын
Jaman hv ,Kuna group maalum la pastor Tony kapola
@eliasiravuga7539
@eliasiravuga7539 4 ай бұрын
Waoh that great, asante sana Mutumishi wa Mungu, Pastor TK,,, iyo ni kweli kabisa,,,, 📖🕊️❤️
@mirriumkiamba3455
@mirriumkiamba3455 3 жыл бұрын
Napokea leo roho ya utulivu ,neno nzuri blessed ,nakataa kusumbuka ,🙏🙏
@buzaglomichael4339
@buzaglomichael4339 2 жыл бұрын
Aminaa
@pastorydaudi1388
@pastorydaudi1388 2 жыл бұрын
Naomba nikuoe
@majed8488
@majed8488 Жыл бұрын
Napokea roho ya utulivu shetani kaaa kwako
@majed8488
@majed8488 Жыл бұрын
Amen
@majed8488
@majed8488 Жыл бұрын
Amen nimefunguliwa kwa damu ya yesu
@ImanShedrack-py4nm
@ImanShedrack-py4nm 29 күн бұрын
Mungu aliempa hii karama anikumbuke na mimi kwakweli
@tabbywamtz501
@tabbywamtz501 3 жыл бұрын
True pastor, mie mme wangu alifariki nikiwa na miaka 27 hiyo ilikua 2014,hadi Sasa Nina msubiri Mungu, Sina hofu nina Amani moyoni kwa sababu najua wakati wake ukifika umefika kwa hiyo bado namsubiri
@simulizitanzania2571
@simulizitanzania2571 Жыл бұрын
Mungu akutunze,pole sana
@CandyVois
@CandyVois 2 ай бұрын
Pole mum
@partsonkayange8443
@partsonkayange8443 Жыл бұрын
🙋🙋🙋 mfundisho.yako.mzuri.mtumishi
@henriettesukari8841
@henriettesukari8841 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana apa Congo RDC 🇨🇩 🙏🙏
@CandyVois
@CandyVois 2 ай бұрын
@AlbertinaFazili
@AlbertinaFazili Ай бұрын
Amen 🙏 Holy spirit calm my heart and mind
@MtazameKristoTv
@MtazameKristoTv Жыл бұрын
Pastor Kanibariki sana, nitakua na utulivu Kwa Jina La Yesu
@MichaelDominic-ht4yq
@MichaelDominic-ht4yq 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@WinfridaMuhiche
@WinfridaMuhiche 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumish
@elizaddy5806
@elizaddy5806 Жыл бұрын
Huu ni ujumbe "MNENE",safi sana.
@tullypeter1057
@tullypeter1057 Жыл бұрын
Napokea roho ya utulivu
@HatimathJafary-hm6kk
@HatimathJafary-hm6kk 9 ай бұрын
Dah umibarkiwa isivyo kawaida. Mtumish mungu akulinge mtumish
@user-bm1ei1cj7q
@user-bm1ei1cj7q Ай бұрын
Pasta ubarikiwe kweli jiwe
@danielmosota2315
@danielmosota2315 Жыл бұрын
Pastor kuzema kweli wafundisha na kuelimisha pia ubarikiwe sana tena sana
@justhanichoraus9389
@justhanichoraus9389 Жыл бұрын
Napokeaa
@kashindiseti4493
@kashindiseti4493 3 жыл бұрын
Yesu nijaliye roho ya utulivu🙏
@gracedamas5883
@gracedamas5883 Жыл бұрын
Ameni napokea pumziko
@editarwaetson4475
@editarwaetson4475 Жыл бұрын
Mungu yupopamoja na ww
@DoreenAngel-vz9mh
@DoreenAngel-vz9mh 3 ай бұрын
Ooooh Jesus thank you
@cathrynyoram4569
@cathrynyoram4569 Жыл бұрын
I receive the spirit of calmness
@DayanaSospeter-sy8wl
@DayanaSospeter-sy8wl Жыл бұрын
Napenda mafundisho yako yaan najisikia raha yaan unanifany namuona mungu kila mda
@greacembwnwilibati8197
@greacembwnwilibati8197 Жыл бұрын
Mungu nipe roho ya kuvumilia na utulivu niwenaamani kwenye ndoa yangu 🙏🙏🙏
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 жыл бұрын
Emen,kweli tujifunze kukaa kimya pale dhoruba zinakokuja mbele yetu((Bora waseme unadharau/kiburi au vyovyote lkn wakati wa bwana ukifika wataelewa))
@AgnesHillary-js4hd
@AgnesHillary-js4hd Жыл бұрын
Mungu àkubaliki
@bilhahkabaru7608
@bilhahkabaru7608 3 жыл бұрын
Kwa dakika hii nakataa kuhangaika moyoni na maishani .Mungu tawala mawazo yangu na mienendo yangu kwa maombi hii nibadirishe Amina Amina Amina
@jonathanlubua9457
@jonathanlubua9457 Жыл бұрын
Neno zuri,simamia kweli.
@faridaaloyce7672
@faridaaloyce7672 2 жыл бұрын
Roho ya utulivu iwe juu yangu...ameni
@user-dn7wo2zw5b
@user-dn7wo2zw5b 6 ай бұрын
Eee mungu nifundishe kutulia
@cleverjohn169
@cleverjohn169 Жыл бұрын
Ameen napokea
@SelpherAkala-ue2fr
@SelpherAkala-ue2fr 9 ай бұрын
Amen, nimefarijika sana.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumushi barikiwa sana
@eveanangisye1999
@eveanangisye1999 3 жыл бұрын
Hakika Mtumishi unakitu tofauti sana sijutii kukujua nabarikiwa kila mahubiri yako Mungu azidi kukuinua viwango kwa viwango
@aikamichael5945
@aikamichael5945 2 жыл бұрын
Napokea leo roho ya utulivu katika jina la Yesu 🙏
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 ай бұрын
Wewe Ni zaidi ya tunavokuelewa
@user-wh1iw4cf5k
@user-wh1iw4cf5k 2 ай бұрын
Amina 🙏
@kelvinnuni9455
@kelvinnuni9455 Жыл бұрын
Ubarikiwe mno baba
@khaledoman8266
@khaledoman8266 9 ай бұрын
Amen barikiwa
@hosianasaitoti3823
@hosianasaitoti3823 Жыл бұрын
Nakuelewa balaa,ubarikiwe
@marylenemwanyungu2323
@marylenemwanyungu2323 Жыл бұрын
Amen.uwezo wa kutuliza dhoruba. Storms are not permanent. Nothing stays 4rever
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 10 ай бұрын
Amen.
@sarahadonga6149
@sarahadonga6149 3 жыл бұрын
Kwa hakika Pastor huyu ako na wisdom and teachings that will transform this generation.....a blessing to me each and every day I listen to him.....am a Kenyan currently in doha Qatar....
@kendinjeru8961
@kendinjeru8961 Жыл бұрын
You are blessed, blessings in abundant
@Unlimitedfavour575
@Unlimitedfavour575 Жыл бұрын
I receive the sprit of calmness in Jesus Name !!
@KennethmwendwaKinyua
@KennethmwendwaKinyua 8 ай бұрын
Amen man of God
@silasteven3929
@silasteven3929 Жыл бұрын
Toni mungu akubariki Sana mahubri
@farajatimotheo2702
@farajatimotheo2702 Жыл бұрын
Daaaaah somo linanihusu mwanzo mwisho
@naomiaisaac3134
@naomiaisaac3134 Жыл бұрын
Asante ubarikiwe napokea
@emmaculategideon
@emmaculategideon 11 ай бұрын
Aminaa...Leo napokea Roho ya kutulia, Roho ya utulivu, nakata Kuhangaika napokea pumziko
@rithakiondo1099
@rithakiondo1099 4 ай бұрын
Amen Amen
@aminatsuma7904
@aminatsuma7904 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏 true story
@yusuphkimaro428
@yusuphkimaro428 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri mchungaji
@marthaallen1164
@marthaallen1164 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 jiwe kuwa mkateee 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asanteee pastor Mapenzi ni upofuu ahaaa pofukaaaaa
@michaelmremi
@michaelmremi Жыл бұрын
Ujumbe mzuri
@furahasmart1516
@furahasmart1516 Жыл бұрын
Unabarikiiii sanaaaa
@shedrackMgonja-ht5rt
@shedrackMgonja-ht5rt Ай бұрын
Amina
@nicolemulonda8984
@nicolemulonda8984 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Unapofundisha, huwa unabadirisha maisha yangu, na akili yangu piya.
@karoladamu
@karoladamu Жыл бұрын
Akiliyangu tulia namngojea BWANA YESU
@user-wv5cq5kt7b
@user-wv5cq5kt7b 9 ай бұрын
Amen mtu wa Mungu nimebarikiwa sana Yesu akudhidishe 🙏🙏🙏
@aminakabuka8700
@aminakabuka8700 Жыл бұрын
YES NISAIDIE
@ipyanamwakapola2176
@ipyanamwakapola2176 Жыл бұрын
Ilikumuelewa pastor tony kapola yahitaji akili ya utulivu
@mariasamson6055
@mariasamson6055 Жыл бұрын
Napokea roho ya utuliv nienende katka mapenz ya Mwenyezi Mungu 🙏
@uniqueluate1934
@uniqueluate1934 7 ай бұрын
Amen 🎉🎉
@marymwaya9685
@marymwaya9685 Жыл бұрын
Kwa kwelihuyu baba anaupako natamani kutwmbelea kanisa lake
@monicamlowezi8596
@monicamlowezi8596 3 жыл бұрын
Pastor Tony mafundisho yako yananibariki sana na kunivusha.Mungu akubariki sanasana
@cathymathew6088
@cathymathew6088 2 жыл бұрын
Akili kubwa Sana hii. MUNGU akupe baraka tele Mwalimu wangu.
@nicholusmwandambo2022
@nicholusmwandambo2022 Жыл бұрын
Hivi masanja amewahi kusikiliza message hii
@marthakalebi6965
@marthakalebi6965 Жыл бұрын
Nimesikiliza April 2023 nimeingia you tube nikitamani neno la kunisaidia na ni perfect word i was looking for; Haleluya!!
@purityndungu7261
@purityndungu7261 Жыл бұрын
Great wisedom word for the powerfully servant of the most high God
@pasteurmardocheemwale2023
@pasteurmardocheemwale2023 Жыл бұрын
Pastor wewe una Mungu Kweli Niko Congo na wa Oba wa minifu WA bwana wetu yesu ni obeyeni mipaka ya pesa ya anguke Nika muobe uyu baba pastor ni ta furhai sana Niko Congo RDC 🇨🇩 😘 🇹🇿🇹🇿
@valsilaakamatonya632
@valsilaakamatonya632 Жыл бұрын
Hii mahubiri inaongea juu yangu! Kweli kukosa utulivu n kitu mbaya....mungu nisaidia
@apostlekathawedaniel7186
@apostlekathawedaniel7186 3 жыл бұрын
Pastor I declare as an Apostle of the Lord that you will preach where God want you to preach in Jesus name .You are blessed Pastor
@hilderwanjiku6269
@hilderwanjiku6269 3 жыл бұрын
Naomba Mungu anipe roho ya utulivu
@neemaloy889
@neemaloy889 Жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@nicholausfungo8999
@nicholausfungo8999 Жыл бұрын
God gave this pastor a very different gift. His sermons are never tiring to listen to, and in fact what he teaches has healed my heart a lot. God bless him very much
@simonjohn1865
@simonjohn1865 Жыл бұрын
Napokea roho ya utulivu ameen🙏🙏
@listonminja6497
@listonminja6497 Жыл бұрын
Napokea kwa jina yesu
@edwardmuhia5569
@edwardmuhia5569 3 жыл бұрын
" it's only in stillness that we can find answers" "to the mind that is still the whole world surrenders"
@joynessmhalila226
@joynessmhalila226 2 жыл бұрын
Amen
@rosemariechan7752
@rosemariechan7752 Жыл бұрын
Isaiah 30 : 15
@edwardmollel6243
@edwardmollel6243 Жыл бұрын
Napokea roho ya utulivu kwa damu ya yesu napokea roho ya mafanikio amen
@dativarichard1987
@dativarichard1987 2 жыл бұрын
Ee Yesu naomba unijalie roho ya utulivu
@eunicebahati2542
@eunicebahati2542 Жыл бұрын
Hakika mtumishi ni Roho wa Mungu ako juu yako, nimekupata juzi nimepona
@evaedward877
@evaedward877 2 жыл бұрын
Asante Yesu kwa neno hili leo limenipa majibu napokea pumziko
@user-mq1wq2kt6b
@user-mq1wq2kt6b 5 ай бұрын
Mungu nijaliye roho ya utulivu
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 Жыл бұрын
Pastor unajua mpaka unajua tena
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Жыл бұрын
Napokea pumziko,nakataa kuhamaki
@NyangaWalter
@NyangaWalter Жыл бұрын
maahn, Pst Kaopola is so eloque
@joeomondi7244
@joeomondi7244 Жыл бұрын
👌..
@user-nz9sl7tj1k
@user-nz9sl7tj1k 10 ай бұрын
Mung akubariki siku zote maish yak
@coletagamba1802
@coletagamba1802 3 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, Mungu azidi kuyatunza mafuta amekupaka
@Madam_Tinna
@Madam_Tinna Жыл бұрын
MUNGU akubariki sana kwa Mafundisho haya Mtumishi...
@thedon8048
@thedon8048 Жыл бұрын
Hakika kuna mafumbo wasiyoyajua wanadamu ila ukimfatilia huyu unapata majibu yake🙏🙏Ahsante sana kwa elimu yako
@emmanuelsimfukwe
@emmanuelsimfukwe Жыл бұрын
God bless you servant of God.lm in Zambia chozi near Nakonde
@glorymushi6158
@glorymushi6158 Жыл бұрын
Unajua nakupenda sana na nafatilia sana somo lako uko vizuri sana yani umenibadilisha vyakutosha kwangu wewe ni mwalimu
@mariammwankemwa9790
@mariammwankemwa9790 Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu ilikukomboa wengi kupitia karama yako
@advelaneema
@advelaneema Ай бұрын
Be blessed❤
@miltonotsieno8772
@miltonotsieno8772 11 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
Mwanamke Shujaa Ni Nani? | Night Of Miracles Mbeya | Pastor Tony Kapola
20:14
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 50 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
Nyota Yako Ina Thamani | Maombi Ya Kuombea Taifa | Pastor Tony Osborn
21:11
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 123 М.
The Powerful Work Of God | Kuuweza Wakati Ujao | Pastor Tony Osborn
21:48
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 22 М.
THE POWER OF YOUR MIND (Nguvu ya Akili yako)
8:37
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 276 М.
KAULI ZA NAPE NA KASHKASH ZILIZOWAHI KUMKUTA
6:48
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
Nani ana inuwa watu by Pastor Tony Kapola
4:58
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 513
ZUIA ULIMI WAKO USINENE MABAYA (ULIMI CHIMBUKO LA UOVU)
6:24
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 223 М.
JIFUNZE KUKAA KIMYA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
12:39
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 492 М.
MAKOSA YAKO YA JANA YASITAFSIRI KESHO YAKO
12:15
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 165 М.
PASTOR TONY KAPOLA SHETANI ANAKUJALIBU WAKATI WA MAGUMU
4:36
HVT CHANNEL
Рет қаралды 30 М.