No video

Roma Akumbushia Alivyotekwa Tigo Fiesta Classic Mbeya, Apandishwa Jukwaani kwa "Wheelchair"

  Рет қаралды 791,409

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Tazama jinsi Roma Mkatoliki alivyopanda jukwaani akiwa amefungwa sehemu za mwili wake kukumbushia jinsi alivyotekwa kabla ya kuungana na Stamina kupiga bonge la show

Пікірлер: 286
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
Doctor stamina 🤣🤣🤣 hatr sana nyiye rostam Mungu awape maisha maref muendelee kutup vitu vizur km hivi
@suziemgata8925
@suziemgata8925 2 жыл бұрын
Hawa wasanii hasa Hawa wanaharakati wanapitia magumu,,Sana😰😰kwani wananchi tunaelewa sasa,,tunashindwa kuwapigania watu Kama hawa tunasapoti ujinga ujinga👏👏👏✍️✍️✍️
@Mahonda8080
@Mahonda8080 3 жыл бұрын
Kama umesikia ipo siku inchi itashikwa na upinzani nipe like
@kaaweemwenyewe2872
@kaaweemwenyewe2872 5 жыл бұрын
dah aiseee hiyo team ya rostam inalaza ya kufa mtu kila siku wanabuni mambo mazuri mungu awabariki sana Roma & Stamina
@habarimpya7156
@habarimpya7156 6 жыл бұрын
Huuuuuuuuuuuuuuuuuu uwezo unakera yaaaaaaaaaaaani Rostam inajua mpaka basi Kazi nzuri sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
@BarasaWafula-xv7hf
@BarasaWafula-xv7hf 8 күн бұрын
Roma sings his thoughts and shows how much he loves his country. A patriot of its kind ❤❤
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 6 жыл бұрын
daaaa yaaani.. Mungu hutenda.. ROSTAM ni habari ya mjini tisha mbaya... pamoja tutasonga kama shabiki wa Liverpool..
@jacksonmgitaabwiro7681
@jacksonmgitaabwiro7681 6 жыл бұрын
hip hop ni uhalisia wa maisha(unayoyapitia na unayoish)... Safi sana "Rostam"
@user-do8fe2od4i
@user-do8fe2od4i 5 ай бұрын
Roma my favorite artist
@emmanuelimaxxaka754
@emmanuelimaxxaka754 5 жыл бұрын
pole xana brodher Roma ndio changa moto ktk maixha tuko pamoja nawe kikubwa ni kumu omba good
@josephmbeya5973
@josephmbeya5973 6 жыл бұрын
Hakika waweke silaha chini tushindane kwa hoja, kwani upinzani ni uadui?? Big up kaka Mkatoliki
@jumamenge5634
@jumamenge5634 6 жыл бұрын
Duuuu
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Viongozi wa kiafrica hawajui kuweka silaha chini
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@hkmeme5437 ni chuma tu hoja kuteseka na kichwa kimoko ata ukiwa wewe na huna hoja 😆😆
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Жыл бұрын
@@hkmeme5437 mkuu au hujauona 2023😂😂😂
@hkmeme5437
@hkmeme5437 Жыл бұрын
@@christonchristian7448 2023 Niko 😂😂😂
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
big up san roma kaz zak nazielew san pia pole san bro
@kuharibuwilbroard6266
@kuharibuwilbroard6266 6 жыл бұрын
Nimependa hiyo idear Roma unaweza mpaka unakela brother
@lameckplatnum685
@lameckplatnum685 6 жыл бұрын
Roma sinajambo juu yako nakugubali sana we noma
@chidiomari.65
@chidiomari.65 6 жыл бұрын
Nimeipenda sana iyo idea
@romanvalentine5770
@romanvalentine5770 6 жыл бұрын
Big wajina u so creativite broher
@chidikenadeking8578
@chidikenadeking8578 6 жыл бұрын
Rostam noma sana Tanzania kwa hip hop y tanzania
@LothAugustino
@LothAugustino 2 ай бұрын
Hii ni Dunia na mwenyez mungu anaona atalipa kisasi mwenye
@denismakweba3870
@denismakweba3870 6 жыл бұрын
vichwa vingne hivi,ingalijkuwa ni mechi 'Rostam' ni man of fiesta
@fikirimpweleleomari3916
@fikirimpweleleomari3916 6 жыл бұрын
Rostam full of everything
@shukuruazizi7676
@shukuruazizi7676 6 жыл бұрын
umetishaaa mzazi pamoja kaka roma bonge ra sh0000
@alfredsamuye4247
@alfredsamuye4247 6 жыл бұрын
daaahhh Roma wew ni shdaaaaaa love u
@faithkoinange4259
@faithkoinange4259 6 жыл бұрын
I salute u Roma u r so creative
@aisheryramadhan2472
@aisheryramadhan2472 Жыл бұрын
Nampenda Sana Roma wallah😭😭😭😘😘😘😘
@naclindaniely3737
@naclindaniely3737 6 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu Romaa
@wangechikoome4170
@wangechikoome4170 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭Roma mungu akulinde
@jamesmwawesu8167
@jamesmwawesu8167 6 жыл бұрын
kutekanatekana huo ni uhuni wa kishamba ...kweli kabisa braza ...pamoja +254
@youngmalotz5522
@youngmalotz5522 6 жыл бұрын
Daaah fiesta ya mwaka huu ni nomaa aisee......
@ahmediseif3177
@ahmediseif3177 5 жыл бұрын
Roma usiogepe kuongea ukweli sema mm sikupewa kipaji kama chako ila kamaningekuwa na kipaji kama hicho ningekosoa hadi Siku ya mwisho ya maisha yangu
@annalaurent2144
@annalaurent2144 6 жыл бұрын
Pole Roma God is in control
@pierredeboy7472
@pierredeboy7472 6 жыл бұрын
No coment ✌✌✌✌✌✌🔥🔥🔥
@jacksonpancras9135
@jacksonpancras9135 6 жыл бұрын
Pierre De Boy xana
@eddoboy1920
@eddoboy1920 6 жыл бұрын
Roma ni moja ya wasanii wanaonifanya nicheki Fiesta
@Directorjax55
@Directorjax55 2 жыл бұрын
Dah aseeee mmmmh pole sn mwamba nakubali dah ila nami nmeumia kukuona upo kwny hali ya maumivu hvo
@jafaridossantos9306
@jafaridossantos9306 6 жыл бұрын
Big up saaaaana Brother yani Nyinyi ndio wasani. Sio kama wale wasaga supu kina Harmvany🙊🤣😅😂😂😂😁😎😎😎
@bimsucretz8770
@bimsucretz8770 6 жыл бұрын
saluti kwako mkatolik
@josephelius1153
@josephelius1153 6 жыл бұрын
pole sana brother mungu atakulipia Kwa yote yaliyokutokea
@kgchippy
@kgchippy 6 жыл бұрын
Huu ndio usanii tunautaka!!
@user-en6lt4sq8j
@user-en6lt4sq8j Ай бұрын
roma ni msaani mzl❤❤
@evangeliquehb4640
@evangeliquehb4640 6 жыл бұрын
hahahabah Roma love u like u
@jackisongirani245
@jackisongirani245 3 жыл бұрын
Wanaotaka kwenda Zimbabwe na 2030 nataka mikon iv ✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋✋
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 жыл бұрын
Love this guy
@mohammedmchachu8820
@mohammedmchachu8820 5 жыл бұрын
Shikamooooooooooo👊👊mkatoriki 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@tomtomboyjackson6055
@tomtomboyjackson6055 Жыл бұрын
Mara paa 2023 gonga like
@emmanuelsamwel2865
@emmanuelsamwel2865 6 жыл бұрын
romaaaaaaaaaa
@leydvdavid2821
@leydvdavid2821 2 жыл бұрын
Penda sana wew mungu akujalie maisha malefu loma
@zainabuhussein1177
@zainabuhussein1177 6 жыл бұрын
big up Roma
@pinonijonifasi8847
@pinonijonifasi8847 4 жыл бұрын
Daaaah Nimetoka machoz
@freddykise7716
@freddykise7716 2 жыл бұрын
No comment kak Roma nakukubali
@marrykamome4185
@marrykamome4185 6 жыл бұрын
Nimekubali
@shukururamadhani6655
@shukururamadhani6655 6 жыл бұрын
Pole sana romaaaaaaaaa
@user-mf7jw1gp8q
@user-mf7jw1gp8q Жыл бұрын
Nmeichek tena 2023 🎉
@shemejiwaxxl9563
@shemejiwaxxl9563 6 жыл бұрын
R $ S MUNGU awape maisha marefu
@chinganchomagu4348
@chinganchomagu4348 2 жыл бұрын
Safi Sana roma
@h.efrankii9849
@h.efrankii9849 2 жыл бұрын
Too much love..hope u get this liberation soonest guys...i feel this guy man
@sammringaa7411
@sammringaa7411 4 жыл бұрын
Salute sana
@IbrahWAKITENGA
@IbrahWAKITENGA 6 жыл бұрын
Tumetisha
@sadikiomary9183
@sadikiomary9183 6 жыл бұрын
noma
@devidinchimbi9019
@devidinchimbi9019 5 жыл бұрын
Gud show baba
@fettyedward6463
@fettyedward6463 6 жыл бұрын
mungu akulinde loma ukomzima
@privinuspatrick2577
@privinuspatrick2577 6 жыл бұрын
Rostam nyie noma
@kelvinrichard7059
@kelvinrichard7059 6 жыл бұрын
one love Roma we mkali
@tonnyelias9454
@tonnyelias9454 6 жыл бұрын
Daaaah hii ni kutumia changamoto za maisha as a source of income
@SeifSeif-ml5ny
@SeifSeif-ml5ny 5 ай бұрын
Iy good kak
@isaiahisaac7240
@isaiahisaac7240 6 жыл бұрын
big up Mwanangu ROMA ....,
@mistykingz
@mistykingz 2 жыл бұрын
So,Roma was seriously injured at that moment or its just a stage costume? someone enlighten me please
@fintanchavala2145
@fintanchavala2145 2 жыл бұрын
Stage costume
@BilalyamisseIssufo-ml2jl
@BilalyamisseIssufo-ml2jl 5 ай бұрын
Mimi ni chabiki WA Roma kuliko intotowake Niko Mozambique
@osca312
@osca312 2 жыл бұрын
I like you so much
@nduteboyclassic1163
@nduteboyclassic1163 6 жыл бұрын
love mingi mingi KWa roma
@ThomasJerry-pq8oe
@ThomasJerry-pq8oe 4 ай бұрын
Kk nakukubali sana 2kopamoja
@focustz4408
@focustz4408 6 жыл бұрын
nakubali sana mkali
@user-cd3oe7qx6d
@user-cd3oe7qx6d 9 ай бұрын
😮in blood Roma
@salumuidi6378
@salumuidi6378 5 жыл бұрын
tishasanaaa rostam
@geofreynyoni8198
@geofreynyoni8198 6 жыл бұрын
he's so creative
@benbenson4716
@benbenson4716 6 жыл бұрын
Nilitabr utaitwa Rais kipind ukiwa wazir
@nwntz
@nwntz 6 жыл бұрын
hip hop is house of reality
@mdashomwamba679
@mdashomwamba679 6 жыл бұрын
Yan aidia hii mnge ifanya fiesta dar Salam Inge kuwa poa xana
@sadakilona5031
@sadakilona5031 6 жыл бұрын
Tusubiri aweza akatuletea mazuri zaidi bongo
@hashimsleiman1727
@hashimsleiman1727 2 жыл бұрын
Noma sana roma
@enestlazalo2479
@enestlazalo2479 Жыл бұрын
roma nakukubalisanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jescarpaul7408
@jescarpaul7408 6 жыл бұрын
Roma we kumamae sana umejua kuniliza
@phetymissanya6643
@phetymissanya6643 6 жыл бұрын
Alhamdulilah ur life 🙏🙏🙏
@suleimanmarcelo287
@suleimanmarcelo287 4 жыл бұрын
2020 viva roma viva
@sniperboy7098
@sniperboy7098 4 жыл бұрын
Roma nakukubali sanaaaa
@paulokwako4085
@paulokwako4085 3 жыл бұрын
mkatoliki huku kenya twakweshisu sana
@salimngonga2231
@salimngonga2231 2 жыл бұрын
Kali brother
@MsodokiMusodoki
@MsodokiMusodoki 2 ай бұрын
dha kweli kak
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 6 жыл бұрын
hawa watu balaaa
@msafiblog
@msafiblog 2 жыл бұрын
2022 🔥
@simonopiyo7829
@simonopiyo7829 3 жыл бұрын
Duuuh pole san mshkaj wang me nakukubal san
@ezrawaya8377
@ezrawaya8377 4 жыл бұрын
In blood Roma✌️
@fabbymusic1
@fabbymusic1 2 жыл бұрын
Good show
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 жыл бұрын
Nakupenda roma sana.
@zanishirima9257
@zanishirima9257 6 жыл бұрын
nice creativity...
@saidshaban2278
@saidshaban2278 2 жыл бұрын
Bonge la ngoma💥
@luckmarko5093
@luckmarko5093 6 жыл бұрын
Yap
@barakalukosi2251
@barakalukosi2251 4 жыл бұрын
Nakukubali Roma sana
@claraemmanuel4169
@claraemmanuel4169 6 жыл бұрын
🙏mung yup Na wewe
@ZIGYTZ
@ZIGYTZ 3 жыл бұрын
Daah pole sanaaaaa
@pinonijonifasi8847
@pinonijonifasi8847 4 жыл бұрын
Pole roma
@kulwakulwa9272
@kulwakulwa9272 2 жыл бұрын
Nakukubali
@pillysweya912
@pillysweya912 3 жыл бұрын
Nyimbo mypa roma
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Uyu jamaa yuko good sanah
@safarijoseph4927
@safarijoseph4927 2 жыл бұрын
One love bloody
Mademu Wa Dodoma Wawagonganisha ROSTAM, Washindwa Kuchagua
7:23
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 148 М.
ROMA: Nilitabiri Mh Rais MAGUFULI atakuja kuwa.......
14:31
LilOmmyTV
Рет қаралды 528 М.
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Люблю детей 💕💕💕🥰 #aminkavitaminka #aminokka #miminka #дети
00:24
Аминка Витаминка
Рет қаралды 470 М.
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 78 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 154 М.
BREAKING NEWS: Roma Mkatoliki asimulia walivyotekwa
50:28
Millard Ayo
Рет қаралды 201 М.
SAMIA ALICHOMWAMBIA ROMA KWENYE WIMBO WAKE WA NIPENI MAUA YANGU
10:43
Chama la Wana 'ROSTAM' Walivyokiwasha Jukwaa la After Skul Bash
8:39
ROMA ft. Story - 2030 (Official Music Video)
7:05
NISHER ENTERTAINMENT
Рет қаралды 1,7 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44