Ruge Kuhusu Uhusiano Wake na Zamaradi

  Рет қаралды 452,280

Papo Kwa Papo na Papi

Papo Kwa Papo na Papi

Күн бұрын

Ruge Mutahaba akijibu swali kuhusu mahusiano yake na Zamaradi Mketema
Itazame interview nzima hapa • Live na Ruge Mutahaba

Пікірлер: 78
@abdulaziz703
@abdulaziz703 5 жыл бұрын
Daaah Ruge umejaaliwa Busara za kupitiliza. Unamjibu mtangazaji kistaarabu hata kama swali alilokuhoji hujalipenda. Mungu akuweke salama huko ulipo.
@mwanaidikilua1323
@mwanaidikilua1323 4 жыл бұрын
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani, Amen.
@peterjohn8745
@peterjohn8745 5 жыл бұрын
Kwajince unavoonekana na dudu anavokusema ni tofaut yote ayajua mwenyezi mungu kwamm cwez kusema ww mbaya ama dudu mbaya!mwenyezi mungu akupumzishe kwa aman
@MaaneML
@MaaneML 5 жыл бұрын
Leo wakati akiagwa Karimjee ndiyo tumejua alikuwa na watoto watano. Mungu awalee. Ni baba wa Yatima.
@babamicah8787
@babamicah8787 5 жыл бұрын
Nimejifnza runge ni mpole pia anaakil sana yn anapiga traft za akil mno
@leontineflorance5198
@leontineflorance5198 5 жыл бұрын
Mungu amulaze pale ambapo mwenye alitayarisha. Kuwa tayari hujuwi siku utakayo kufaaaa à.
@marymwacha995
@marymwacha995 5 жыл бұрын
He was very humble, rest in peace😭😭😭
@raymondkanyama6387
@raymondkanyama6387 5 жыл бұрын
duh rip brother ruge..
@annabahatifrancis5650
@annabahatifrancis5650 5 жыл бұрын
Ruge you are very smart and you really cared for your family. if you exposed them wangepata matusi ya kufa mtu kama tunavo bila sababu ili tu uumie wewe. private life is private and only expose your business life.
@abednegochristopher4640
@abednegochristopher4640 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani ruge
@mohammedsanyange7800
@mohammedsanyange7800 5 жыл бұрын
AnnaBahati Francis R. I. P tumepokea kwa masikitiko mkubwa Sana Mziba wamu
@sarakasitanzania2149
@sarakasitanzania2149 2 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/m76fgMKrtN2bmKs.html👆
@shabanshabani9937
@shabanshabani9937 5 жыл бұрын
Nimejifunza kitu mambo binafsi yatabaki kuwa binafsi m/mungu akuelekeze njia salama amini
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 5 жыл бұрын
Kumbe alikuwa anamaneno ya busala halaf mpole maskin mungu akutangulie baba
@hadijapazia684
@hadijapazia684 5 жыл бұрын
Innalillah wainna ilaih rajiu'n
@alisaalis9218
@alisaalis9218 5 жыл бұрын
Ghai na bwana mpole hapati bibi mzuri,Poleni sana ndungu zetu watanzania, tuna wapa pole kutoka +966 M/Mungu awe faraja kwenu,Raha ya milele umpe eeh bwana,Apumzike kwa amani, Amina
@janerosjustine9716
@janerosjustine9716 5 жыл бұрын
U mstaraharabu San Mungu akurehem baba
@yohanayohana1513
@yohanayohana1513 5 жыл бұрын
Rip broo
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 жыл бұрын
Anaonekana tayari ni mgonjwa,kamaumeona macho ni meupee nayamelegea gonga like
@lucasheluman476
@lucasheluman476 5 жыл бұрын
Ziada alute nakuona wewe mzma
@tuffahhappiness3357
@tuffahhappiness3357 6 жыл бұрын
Msiri sana Ruge lakini dawa yake keshapewa na. Zamaradi Mketema kuachwa mchana na kuolewa kabisa
@awenanassor3169
@awenanassor3169 5 жыл бұрын
R.I.P "RUGE MUTAHABA"
@princesspeter48
@princesspeter48 5 жыл бұрын
Rest in peace
@kulway4669
@kulway4669 4 жыл бұрын
Inalilllah wainaillah rajiun
@marianachristophory4916
@marianachristophory4916 4 жыл бұрын
Rip brother.
@vdjmaxwell6692
@vdjmaxwell6692 5 жыл бұрын
Daaaah!!huyu jamaa ni wa pekee sana
@leoniabeatusi206
@leoniabeatusi206 5 жыл бұрын
Rip
@rachaelmwegoha2883
@rachaelmwegoha2883 5 жыл бұрын
💪🏻💪🏻
@janethmakengo3368
@janethmakengo3368 5 жыл бұрын
R.I.P
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 5 жыл бұрын
R.I P BOS RUGE
@athumanmgissasimbadamu3316
@athumanmgissasimbadamu3316 5 жыл бұрын
😭
@rehema2018
@rehema2018 5 жыл бұрын
RIP Baba
@bitunihassan9950
@bitunihassan9950 5 жыл бұрын
😢😢tangulia kwa amani
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 жыл бұрын
Wenye tu Chanel twenu awamu hii mtapiga hela sana kupitia Ruge.
@leaherasto929
@leaherasto929 4 жыл бұрын
R.I.P Ruge Mutahaba
@rehemamshiko6753
@rehemamshiko6753 Жыл бұрын
R.I.P. Ruge
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 жыл бұрын
Akili mingi sana
@sureiamboo
@sureiamboo 3 жыл бұрын
He was not perfect but very humble
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 5 жыл бұрын
Inna Lillah Wainna Ilayh Rajiun
@kadibebe7128
@kadibebe7128 5 жыл бұрын
RIP , ameugua siku nyingi kwa ajili pict nyingi anaoneka alikuwa mgonjwa
@aristidiakamara5572
@aristidiakamara5572 5 жыл бұрын
Hadidja MUKARUSHEMA wewe hauta ugua pole sana kesho yako subili utajiuliza
@feithchilala6374
@feithchilala6374 5 жыл бұрын
Hadidja MUKARUSHEMA at mm nilihisi ugonjwa uliingia siku nyingi
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
😭😭😭😭
@mariammbelwa8259
@mariammbelwa8259 5 жыл бұрын
alikua ana akili Sana'a ruge Na ndo maan majibu yake anaotoa apoo yameenda shule
@fabyorahbanzi8081
@fabyorahbanzi8081 5 жыл бұрын
rip
@catenzeki678
@catenzeki678 5 жыл бұрын
@Ali Ali 😂😂😂😂😂😂
@musasamwel8250
@musasamwel8250 7 жыл бұрын
Good show. Should keep it going.
@dorianmboya8666
@dorianmboya8666 5 жыл бұрын
Kaka pole sana
@aishamlamali5454
@aishamlamali5454 5 жыл бұрын
Ati juju na shubi ni watoto wako pia chefuuuu ..khah
@olliahysteven9741
@olliahysteven9741 5 жыл бұрын
Jmnii kafarkii
@isabellanjesa3488
@isabellanjesa3488 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani
@Deqlate
@Deqlate 5 жыл бұрын
Isabella Njesa dada nimekuona
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 5 жыл бұрын
ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV uone DUDU BAYA YUPO PABAYA ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI
@robbymarco2739
@robbymarco2739 4 жыл бұрын
m.a.p
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 жыл бұрын
Kumbe alizaa na zamaradi?ndo kujua leo
@bimaisarankamia4153
@bimaisarankamia4153 5 жыл бұрын
Mm pia nilikuwa sijui kumbe alikuwa amezaa na Zama jmn
@jamesminja3273
@jamesminja3273 5 жыл бұрын
waandishi wetu bwana maswali yao sooo much boaring !!!! stupid kwani ukijua mambo yake binafsi itatusaidia nini!!!
@maktabatv9325
@maktabatv9325 5 жыл бұрын
Hayo maswali sio ya mwandishi ni maswali yaliyokuwa yakitumwa moja kwa moja kutoka twitter
@mathewkachalla207
@mathewkachalla207 5 жыл бұрын
shilole
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 6 жыл бұрын
MWANAUME KUACHWA! AIBU KAKA YANGU, MWANAUME WA KIHAYA HUWA HAWAACHWI. AU ILE STAIRI YA KKKKKKKKTTTTTLLL HUKUMFANYIA!
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
@Ali Ali mmmh kwa. Kukeketwa ndio nn?
@erasmusshauritanga4444
@erasmusshauritanga4444 5 жыл бұрын
@@husnauthman7609 Kisimi kinakatwa.
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
@@erasmusshauritanga4444 kisimi hakikatwi ila kinakatwa kiharage
@erasmusshauritanga4444
@erasmusshauritanga4444 5 жыл бұрын
@@husnauthman7609 Kwani kunatofauti?
@erasmusshauritanga4444
@erasmusshauritanga4444 5 жыл бұрын
@@husnauthman7609 Kwani kunatofauti?Kisimi na kiharage.
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
Jibu makini
@rukiashoko7528
@rukiashoko7528 5 жыл бұрын
R.I.P
@jacklinejackline8607
@jacklinejackline8607 Жыл бұрын
R .I.P
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 18 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 20 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 23 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 81 МЛН
NANDY AMLILIA RUGE/ ALIZA WATU ASHINDWA KUIMBA
4:42
Millard Ayo
Рет қаралды 1,2 МЛН
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
TOKA KWA RUGE MUTAHABA
24:18
Success Path Network
Рет қаралды 146 М.
MEENA ALLY RUGE KAFARIKI  SIJIONI TENA CLOUDS | MASANJA TV
7:21
Masanja TV
Рет қаралды 556 М.
Mkasi | S13E10 with Ruge Extended Version
40:28
MkasiTV
Рет қаралды 532 М.
RUGE  MUTAHABA : MBEYA MSIISHI KIMAZOEA
6:16
MbeyaYetuOnlineTV
Рет қаралды 40 М.
"Ruge Mutahaba ni mali ya Watanzania." Mbaki Mutahaba
24:13
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 77 М.
My wife said she wants to show me her true skills
0:27
昕昕一家人
Рет қаралды 62 МЛН
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
0:30
FASH
Рет қаралды 24 МЛН
And who would you choose?👇
0:20
Kitty Power
Рет қаралды 17 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 12 МЛН
Старший брат хотел ее защитить 😭🥺😱 #shorts
0:37